PENZI LA MAMA MKWE episode { 16 }

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 дек 2024

Комментарии •

  • @directorgozi5509
    @directorgozi5509  День назад +38

    HILI NI GROUP MAHUSUSI KWAAJIRI YA MASHABIKI ZETU KAMA UNAPENDA KAZI ZETU NA UNAHITAJI KUTU SUPPORT GUSA HII
    LINK👇👇👇👇👇chat.whatsapp.com/C3TJF0paB15LyRade5kk9a

    • @MrsMariam-x2s
      @MrsMariam-x2s День назад

      Mganga kunifurahisha kweli hakubali kumuumiza mwenzake safi sana mfukuze kabisa uyo mama sio hata wakusaidiya hhhhhhhh wee unataka nikunyeye chezesha Dera hilo

    • @imrandosantos9470
      @imrandosantos9470 22 часа назад

      Asantee

    • @imanimulumbilwa6056
      @imanimulumbilwa6056 19 часов назад

      Naipenda hili mganga ❤❤❤❤

    • @KennyMphande-r9p
      @KennyMphande-r9p 12 часов назад

      Hongela Mr gozi

  • @DokaSwamwel
    @DokaSwamwel 4 часа назад +1

    Nice job 🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @Stogwa
    @Stogwa День назад +15

    WA kwanza Leo nipeni ata tano bass

  • @YvesJoseph-b3j
    @YvesJoseph-b3j День назад +5

    Tamu kiasi ambacho nashindwa ku elewa

  • @sammykimsmg7402
    @sammykimsmg7402 День назад +11

    WA kwanza kutoka kenya

  • @slokidog
    @slokidog 23 часа назад +6

    kazi nzuli sana lakini tatizo yenu munachelewesha

  • @_Wayiva_mukuta_jean
    @_Wayiva_mukuta_jean День назад +5

    Na mimi leo nimekua wa pili.❤❤❤🇨🇩🇨🇩

  • @CALEBSIMIYU-mb8nv
    @CALEBSIMIYU-mb8nv День назад +10

    Naombeni like 10 nskie kama wengine

  • @ZoyaAli-qy3tg
    @ZoyaAli-qy3tg День назад +4

    😂😂😂ustadh juma umetisha saana manyoya ya mamba bikra mama mkwe atayatoa wp❤😊😂🎉🎉🎉

  • @AngelaNikson
    @AngelaNikson День назад +4

    Director goziiiiiiiiiiii🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Moyomashinee
    @Moyomashinee День назад +4

    Mungu bariki kazi ya mikono yetu❤❤❤

  • @fabbianskevogo8572
    @fabbianskevogo8572 День назад +3

    wa kwanza toka Kenya kazi nzuri gozi

  • @MarKarim-km2yh
    @MarKarim-km2yh День назад +6

    Mapema wa pili ndan ya mjengo atutaki kupitwa na vtu vzur

  • @MarKarim-km2yh
    @MarKarim-km2yh День назад +3

    Dah aisee director wangu thank for surprise hapa zungu hapa kijiko p1 brother mwanzo mwisho

  • @Dullahpeace
    @Dullahpeace День назад +5

    Mh aki napenda kazi yako bro kila itapo endelea inakua tamu kuliko jana

  • @AliMunga-c8n
    @AliMunga-c8n День назад +3

    Big up sana kazi nzuri bro gozi Big up

  • @VaneGesare-wf7oq
    @VaneGesare-wf7oq День назад +4

    Gozi nakukubali sana kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉❤❤❤nawatakia Christmas poa wote

  • @RIPWELE_HEMED
    @RIPWELE_HEMED День назад +9

    Wakwanza Mimi wakuuu

  • @CynaiderAsuka-c9j
    @CynaiderAsuka-c9j День назад +2

    Gozi baby kazi nzuri sana .morio wko kutoka Kenya.

  • @OSTINEMASIKA-b9b
    @OSTINEMASIKA-b9b 23 часа назад

    Aaha fresh hii imetoka kea wakata sasa🎉❤

  • @MaimunaNangabo
    @MaimunaNangabo День назад +1

    😂😂😂mganga umemuweza huyo mama hana adabu kabisa😏😏😏😅😅😅🌹🌹🌹❤❤❤

  • @JoyceMuche
    @JoyceMuche 21 час назад

    Gozi mwamba nakukuli pokea 🎉🎉🎉 nikuwa 🇰🇪

  • @imanimulumbilwa6056
    @imanimulumbilwa6056 19 часов назад

    Nimecheka saanaaaaaa mamba wa manyowa.
    Vizuri sanaaa kazi nzuri,ndivyo walivyo waganga wanapo shindwa na jambo.

  • @JonathanMathias-je9yz
    @JonathanMathias-je9yz 22 часа назад

    I like it uyo mganga ka ni furaisha sana 😂😂😂 kutafuta mamba bikra 😂😂😂

  • @fhugghi4109
    @fhugghi4109 День назад +2

    Ila mganga Juma unamkomesha huyo mmama 😂😂😂😂😂

  • @MrsMariam-x2s
    @MrsMariam-x2s День назад +2

    We shakupe huyu kaka alikua haonekani marasta hhhhhh

  • @Annajumwa
    @Annajumwa День назад +1

    😂😂😂😂😂juma manyoa ya mamba bikira❤😂😂😂😂

  • @MrsMariam-x2s
    @MrsMariam-x2s День назад +3

    Aibu naona mie jamani mapenzi shikamo

  • @Hellen-l9o
    @Hellen-l9o 23 часа назад

    Ngozi na timu yako good job ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @angelNinaofficial-z2d
    @angelNinaofficial-z2d 4 часа назад

    Aki mganga wew na masharti yako uwiiiiiii hoyi mimi😂😂😂😂😂😂

  • @bacarnajumo2786
    @bacarnajumo2786 22 часа назад

    Respect sana mbaba nakubali sana kazi zako zote

  • @MrsMariam-x2s
    @MrsMariam-x2s День назад

    Mwajuma nakukubali sana weye upo vizuri

  • @MwamahonjeChanganya
    @MwamahonjeChanganya День назад

    Kazi xur❤❤❤❤

  • @PREMIO829
    @PREMIO829 День назад +6

    Sou primeira pessoa aqui Moçambique 🇲🇿 peço me like pôr favor 🙏, My brother i m like to you

  • @MwatelaAfricaBoyKijanaWaJana
    @MwatelaAfricaBoyKijanaWaJana День назад +2

    Kila makinga mioyo bro gozi round hii amna kufeli, kazi kazi tu

  • @BrendaKenzie
    @BrendaKenzie 22 часа назад

    Kazi safi sana❤❤❤

  • @RehemaFabian
    @RehemaFabian День назад +3

    Yaan mama katka ndoto kashindwa kutaja jina la Gozi😂😂

    • @Shuu.A
      @Shuu.A 23 часа назад +1

      Nilikuwa nasubiri alitaje 😅😅😅

    • @RehemaFabian
      @RehemaFabian 2 часа назад

      @Shuu.A 😂😂😂

  • @mariambakari-h9n
    @mariambakari-h9n День назад +3

    Wow mganga umejua kunifurahisha uyu bibi aende atafte wazee wenzie

  • @UmmyJumaa
    @UmmyJumaa День назад +3

    Mara hii mshawah

  • @kharimjohneric5499
    @kharimjohneric5499 13 часов назад

    Nilisubili kwa hamu thx Gozi🎉🎉🎉

  • @sayunimnguruta98
    @sayunimnguruta98 День назад +3

    Mama umetishaaa 😂😂😂😂😂 Vai pole kazi unayo ila pambania penzi lako ipo siku utashinda

  • @salamaslaim6678
    @salamaslaim6678 День назад

    Hahaha 🤣🤣🤣 juma we mweu kweli

  • @rogerslwitiko3915
    @rogerslwitiko3915 7 часов назад

    Kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉

  • @_Wayiva_mukuta_jean
    @_Wayiva_mukuta_jean 10 часов назад

    Hila waganga 😂😂😂🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @NourahBethanjuma
    @NourahBethanjuma День назад +2

    Uwiiiiii goz nimefrah xna kumuweka dog zungu kweny hi movie

  • @ZahiraMpangausi
    @ZahiraMpangausi День назад

    Mganga ukajua kumkomesha mam Vai 😂😂

  • @LilianJuma-q6y
    @LilianJuma-q6y 23 часа назад

    Gozi kazi safi sana ila mama mkwe balaa

  • @Renkay-c3k
    @Renkay-c3k День назад +1

    Much love from Kenya dear gozi❤❤❤

  • @MaryamKhamisi-d7f
    @MaryamKhamisi-d7f 21 час назад

    Asant leo mecheka huyu mganga hapa😅😅 manyoya ya mamba bikra shwaaa😅😅 mama mkwe kwisha

  • @chrismamesofficiel1996
    @chrismamesofficiel1996 День назад +2

    ❤❤❤❤❤❤❤naipenda hii

  • @SwabrinaamoohSwabrinaamooh-e3r
    @SwabrinaamoohSwabrinaamooh-e3r День назад

    Good juma 😂😂

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 21 час назад

    Mwajuma mama mipango 😂😂 alafu we juma,masharti mengine ni ishara ya kushindwa kaz sasa😅😊 🙌

  • @MwanasaadaAsha-es6ov
    @MwanasaadaAsha-es6ov День назад

    Naipenda hii move keep it up👏❤🎉

  • @KingNtiharirizwa
    @KingNtiharirizwa 21 час назад

    That time of juma chicho was needed tena zip it up and pick up his clothes😂😂😂😂😂

  • @husseinshamte7129
    @husseinshamte7129 День назад +1

    Mama kaota mbele ya mtoto wake 😂😂😂

  • @nshikirije43emmanuel12
    @nshikirije43emmanuel12 13 часов назад

    Ongera sana gozi

  • @VictorLyimo-dj5ur
    @VictorLyimo-dj5ur 15 минут назад

    Etii manyoya ya mambaa bikraaa😅😅😅😅 ila jumaa😅😅😅😅😅

  • @Vokevokemedia
    @Vokevokemedia День назад +1

    Manyoya ya mamba bikra😂😂wee nawe juma

  • @MariamJuliet
    @MariamJuliet День назад +17

    Tunapenda kazi yako boss lakini tunaomba usiwe unachelewa sana hvyo, jaribu ikikaa sana iwe sku moja ama masaa 42 tupate mwendelezo,, im from Nairobi Kenya

  • @salmasaifabdullahsalimalha1217
    @salmasaifabdullahsalimalha1217 12 часов назад

    Tunapenda kazi yako lakini usiwe unachelewa sana hvyo

  • @Illinoistv.9919
    @Illinoistv.9919 День назад +4

    ❤❤❤❤

  • @NIYUBUNTUMECHACK-jw2db
    @NIYUBUNTUMECHACK-jw2db 22 часа назад

    Niceee

  • @tigejuma9865
    @tigejuma9865 3 часа назад

    Juma jicho katisha kwa kwel...eti uko na vita vya mapenzi...gozi nae eti mbn kama kuna kitu apo😅😅

  • @SaadatiHamisi
    @SaadatiHamisi 22 часа назад

    😂juma jicho bhanaa....eti wee...unataka nikunyee😅

  • @Neemabee24
    @Neemabee24 18 часов назад

    Courage Kaka yangu Gozi support all the way from Canada 🇨🇦♥️🔥👏🏽

  • @Baadae254
    @Baadae254 23 часа назад

    Juma kijicho kweli Undugu ni kufaana hapo ni funzo kuu kwangu

  • @NaomiChacha-i1n
    @NaomiChacha-i1n День назад +1

    Merry Christmas and happy new year in advance....❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @mwanamisi1808
    @mwanamisi1808 День назад

    Gozii always on top kudos

  • @FatumaBahatihassan
    @FatumaBahatihassan 23 часа назад +2

    Tatizo mulonaaro nikuchere wesha
    tunaomba Next

  • @JuliusJembelayexu-dh5mm
    @JuliusJembelayexu-dh5mm 18 минут назад

    Juma tixha xana ❤❤❤❤❤

  • @halimaiddi5769
    @halimaiddi5769 День назад

    Manyoya ya mamba bikra 😂😂

  • @AdijaJuma-b6e
    @AdijaJuma-b6e День назад

    Nawa penda❤❤🎉🎉

  • @MrsMariam-x2s
    @MrsMariam-x2s День назад

    Unauvaliya chupi kilemba hhhhhhh mna maneno nyiye mh

  • @fhugghi4109
    @fhugghi4109 День назад

    Mwajuma mkomavu uko vzr 😂😂😂

  • @RehemaFabian
    @RehemaFabian День назад

    Ila mganga😂😂😂

  • @mrben227
    @mrben227 23 часа назад

    Ila Goazi unanikosha sana ukiigiza msela hizo kauli zako 😅😅😅

  • @saidmohd2931
    @saidmohd2931 14 часов назад

    Waganga wa digital hawa wana Rasta na bleach kichwan 😂😂😂

  • @Ester-u7h
    @Ester-u7h День назад +1

    Huyu akiwa mama yangj namwacha milele

  • @pqolak7443
    @pqolak7443 День назад

    Gozi we ni simba🎉

  • @FelistersWaringa-ow5nx
    @FelistersWaringa-ow5nx 14 часов назад

    Ndio maana nimesubscribe kazi ni safi sanaa❤

  • @LeetalCallypso
    @LeetalCallypso День назад +3

    🔥🔥🔥🇰🇪

  • @Shuu.A
    @Shuu.A 23 часа назад

    Hivi mganga huna nyimbo za kiganga unaimba bongo fleva 😅😅😅

  • @evelnjuma1834
    @evelnjuma1834 День назад +1

    Duuh🛍️🇹🇿

  • @KimsitiThedon
    @KimsitiThedon День назад

    ❤❤ uyama amasio 😮😢

  • @freddywizzyTz255
    @freddywizzyTz255 День назад

    Nilijua tu mama wawatu anaota😂😂

  • @dorahmambo3932
    @dorahmambo3932 День назад

    Mo 🔥

  • @MrHoly84
    @MrHoly84 День назад +1

    Mimi wa tatu😂

  • @HamisiMassemoh-sq5tz
    @HamisiMassemoh-sq5tz День назад

    Dooh kayabananga

  • @denismawira-s9l
    @denismawira-s9l 7 часов назад

    Denis Kenya ❤

  • @Aaqwe-yi6qn
    @Aaqwe-yi6qn 10 часов назад

    Ila huyu mama kiukweli ananikera 😏😏😏

  • @keidykudrat2533
    @keidykudrat2533 16 часов назад

    Skombiso sio mwiz ni blood smart

  • @NEEMASAM-z7v
    @NEEMASAM-z7v День назад +2

    Mgaga

  • @Aniseth-p8e
    @Aniseth-p8e День назад +3

    Hhhh

  • @AaminAmin-m1z
    @AaminAmin-m1z День назад +1

    😂😂😂😂❤🎉🎉🎉🇸🇦🇰🇪🇸🇦🙌

  • @IssaBengine-w5v
    @IssaBengine-w5v 23 часа назад

    😂😂😂😂😂 Kazi ipo penzi lamama mkwe litapindukia mana sio sherti. Ni mama yake na sherti

  • @fabiansululi7511
    @fabiansululi7511 19 часов назад +1

    😂😂❤

  • @LéonardKyongozi
    @LéonardKyongozi День назад +2

    Mungu bariki yeyote anaye soma iyi commentaires umuingize katika mwaka pya Salama na mafanikio iwe mengi

    • @Shuu.A
      @Shuu.A 23 часа назад

      Ameen 🤲 you too

  • @Awoshy
    @Awoshy День назад

    Mambo ya ndoto hayo😂😂nawe umezidi kulala na msichana mkubwa hivyo inahuu😂

  • @FaithGeoffrey-i8c
    @FaithGeoffrey-i8c День назад +1

    iii kipindi nimeacha xx gozi umenikaxirixha xana

  • @angelNinaofficial-z2d
    @angelNinaofficial-z2d 4 часа назад

    Hivi yalioyomo yamo alienda wapi😂😂😂