kING WA MADEM (JIRANI) |19|

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии • 144

  • @BienvenuSerraphinNkoy
    @BienvenuSerraphinNkoy 16 часов назад +8

    Wewe ni noma mwanangu, sasa kwenye ma swala ya ma demu we noma

  • @SAFANdaykanza
    @SAFANdaykanza 18 часов назад +7

    Wakwanza leo nawatakia noël nzuri namwaka mupya kwenu 💕💕💕🇸🇦🇸🇦🇸🇦💋🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @Tice_tz
    @Tice_tz 16 часов назад +8

    Tunaofuatilia king wa madem huku tunaangalia mechi ya young Africans tujuane Kwa like hapa 🎉🎉🎉🎉

  • @LuluPeter-o1t
    @LuluPeter-o1t 17 часов назад +9

    Bahilam unampenda sophia au unamtamaniiii😂😂😂😂😂.

    • @FahadiDuran
      @FahadiDuran Час назад

      @@LuluPeter-o1t anamtamani tu

  • @Nojabz
    @Nojabz 17 часов назад +6

    Wakwanza leo kutoka rd Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 tujuwane hapa

  • @NurdinIddy
    @NurdinIddy 17 часов назад +6

    Kazi nzuri tunafurahi kwakua unawahi kutoa kazi huchereweshi 😂😂😂😂

  • @kenedymkwawa6978
    @kenedymkwawa6978 18 часов назад +4

    Wa 9 leo hongera kwakazi nzurii

  • @evelnjuma1834
    @evelnjuma1834 16 часов назад +3

    Nimependa sna kijogoo alivyo kataliwa mana khaaa amezid pia Mr massod alivyo pona kaz nzuli sna tunawapnda Sana 🌹🛍️🇹🇿

  • @AliMunga-c8n
    @AliMunga-c8n 14 часов назад +2

    Kazi nzuri bro bhailam mariam Mzee simba Mzee masuod big up sana kazi nzuri

  • @SashaOscar
    @SashaOscar 15 часов назад +2

    😂😂😂😂😂 nilijua tu atamwagiwa usoni😅😅😅 makofi mengi kwa sophia

  • @SeanBird-w9d
    @SeanBird-w9d 16 часов назад +2

    Series ilipangwa ikapangika,hongera bhailam upo vizuri

  • @tiffahbby3697
    @tiffahbby3697 14 часов назад +2

    Yan bhailam kila episode lkn upatwe na janga😂😂😂😂😂 na ukomi

  • @رحيمهايباد
    @رحيمهايباد 16 часов назад +4

    Bailam limekukutajambo😂😂😂 naumalaya hukom

  • @salmasalam3268
    @salmasalam3268 18 часов назад +4

    Woowo wale wa wakwanza bado mmelala ❤😂

  • @NeemaGeorge-t1u
    @NeemaGeorge-t1u 16 часов назад +3

    Kijogoo we😂😂😂

  • @Sayd-pi5lq
    @Sayd-pi5lq 13 часов назад +2

    Kijogoo kayatimbaaaaa😂😂😂😂

  • @slokidog
    @slokidog 17 часов назад +3

    nimewayi leo duuh ❤

  • @JacklinebosiboriMomanyi
    @JacklinebosiboriMomanyi 17 часов назад +4

    Nipitieni watu wangu😢🎉😂😂

  • @KidalosMafumbula
    @KidalosMafumbula 16 часов назад +3

    Kazi nzuri sana wanangu

  • @JosueMwelwa
    @JosueMwelwa 17 часов назад +4

    Congratulations guys

  • @elizabethmahenzo7220
    @elizabethmahenzo7220 17 часов назад +2

    Nice movie ❤❤❤🎉🎉

  • @LizieTopsha-254
    @LizieTopsha-254 17 часов назад +2

    😂😂😂😂😂bailham alidhani kashanasa ndege

  • @Marty-z8q
    @Marty-z8q 17 часов назад +48

    Habari wapendwa wote tunao sherekea Christmas 🎄 nawapenda ote ila naomba mnifollow wapendwa

    • @Nojabz
      @Nojabz 17 часов назад +5

      Ivi dunia inatoka sangapi ?

    • @KhadijaKisoma
      @KhadijaKisoma 17 часов назад +2

      Dunia jaman mati nakupenda niwe nakuona jaman

    • @kp-waaquino
      @kp-waaquino 17 часов назад +1

      Tuko pamoja nawe akikisheni mnamfollow marty

    • @ElinikeSoi
      @ElinikeSoi 17 часов назад +1

      Tuko pamoja

    • @GwagwagwaMkaliwao
      @GwagwagwaMkaliwao 16 часов назад

      Mbona munatuweka roho juu jamani Dunia mbona kmy😂😂 et mchepuko wa manyanya😂😂❤❤

  • @SaidiNgomwa-f4l
    @SaidiNgomwa-f4l 17 часов назад +3

    ira kuanza kura😂😂😂🇲🇿

  • @AminaMshirazi
    @AminaMshirazi 15 часов назад +2

    Bailam sasa si uchague kimoja sumu au kamba 😂😂😂😂

  • @gadafimuemede2985
    @gadafimuemede2985 18 часов назад +5

    Wakwanza Leo from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🔥🇲🇿

  • @GwagwagwaMkaliwao
    @GwagwagwaMkaliwao 16 часов назад +2

    Bhailam hii move aina mvuto kabisa

  • @AllyNgenzi-yf6jr
    @AllyNgenzi-yf6jr 18 часов назад +3

    Wakwanza mm leo kazi kazi

  • @chadrackrunogeza3302
    @chadrackrunogeza3302 18 часов назад +2

    Wa kwanza kutoka Drc kalemie ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @shadyarif653
    @shadyarif653 18 часов назад +4

    King wa malavidavi kwa mistari yake ya mapenzi,Maua yako mkuu🎉..254

  • @Rizikimeali
    @Rizikimeali 16 часов назад +1

    Subhanallah duuuh chakula jamani kuna watu hawana chakula 😢😢😢

  • @RoseMwangulu
    @RoseMwangulu 18 часов назад +2

    Sana tuuh🎉

  • @MkeySingano
    @MkeySingano 14 часов назад +1

    kijogoo bhana akat tamaaa kabsa kwa sophia

  • @Business.Finance.Investment
    @Business.Finance.Investment 4 часа назад

    Kaka Bhailam, movie nzuri lakini mumeifanya ndefu sana hali ya kwamba matukio yanakosa uzito, matukio yanajirudia nakadhalika. Alafu pia zingatia mafunzo katika tamthilia yote. Kazi nzuri

  • @عائشهعبدالله-ي7ب
    @عائشهعبدالله-ي7ب 13 часов назад +1

    Bhailam kanyakanyanga tena jmni 😢😢😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @chrismamesofficiel1996
    @chrismamesofficiel1996 18 часов назад +4

    Mwanangu

  • @PapaGahera
    @PapaGahera 18 часов назад +4

    Wakwanza leo

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 17 часов назад +2

    Kijogo anawika 🎉🎉🎉Sophie kaziya apoapo kijogo siomutu wala hana cakupenda uyo nimuaribifu tu hana lolote😂

  • @noajuma2444
    @noajuma2444 15 часов назад +1

    Anamtani tu akunakitu hapo 😂😂😂

  • @AlainTuriwa-t2l
    @AlainTuriwa-t2l 17 часов назад +4

    kijogo kauwa

  • @PatrickIgiraneza-e8o
    @PatrickIgiraneza-e8o 18 часов назад +3

    Wakwanza gutok🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @SalmaSaid-v3d
    @SalmaSaid-v3d 17 часов назад +3

    Umalaya wako Hadi unachrfuwa kijo😂

  • @CALEBSIMIYU-mb8nv
    @CALEBSIMIYU-mb8nv 17 часов назад +2

    🎉🎉🎉🎉🎉 naomba like ya kijogoo

  • @candiesalm8995
    @candiesalm8995 13 часов назад +2

    Huyu nae mzee masudi hakomi😢

  • @minahsamwel
    @minahsamwel 10 часов назад

    Unamtaman akishakupa tu kwishaaa 😂😂 sophia usimpe kaz hivohivo rafik ang😂

  • @FariOfficial142
    @FariOfficial142 16 часов назад +2

    We Bhailam unatupa chips 😢 chini 😢

  • @Jacklinejohn7
    @Jacklinejohn7 7 часов назад

    Kijogoo ❤😂😂😂😂 sofi ndio kiboko yako

  • @HawaBakari-gd5ed
    @HawaBakari-gd5ed 7 часов назад

    Nafurai sana nikimuoma masoudi😊na sipendi kuona anateseka😢😊

  • @AlonaAfc
    @AlonaAfc 12 часов назад

    Brother bahilm ebu chukuwa kwanzah maua yako mzeeeee 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉Kwel nimeon MAPENZI lazima uyapambanie🎉🎉🎉🎉🎉

  • @minabuelysee8
    @minabuelysee8 14 часов назад +1

    Vizur

  • @ChristineAsifiwe
    @ChristineAsifiwe 4 часа назад

    😂😂😂 masudi aliyataka mwenyewe

  • @NjoleZuma-ue9yo
    @NjoleZuma-ue9yo 18 часов назад +2

    🎉🎉merry Christmas 🎅 🎄 ❤️

  • @Officialshabani9
    @Officialshabani9 18 часов назад +3

    🔥🔥🔥🔥first comment 🎉

  • @OmanOman-hj7tv
    @OmanOman-hj7tv 15 часов назад +1

    Kijogoo umeyabananga

  • @LuqmaanRamadhan
    @LuqmaanRamadhan 18 часов назад +2

    Kijogoo huna nyota😂😂

  • @AishaJoslin
    @AishaJoslin 13 часов назад

    Nipenda hio kidjogo nyota imezima

  • @SophiaNdayishimiye
    @SophiaNdayishimiye 9 часов назад

    Tunataka mwendelezo ❤

  • @geraldpallangyo7726
    @geraldpallangyo7726 16 часов назад +2

    kidawa mkali

  • @barakajohn4865
    @barakajohn4865 18 часов назад +3

    Kenya 🇰🇪🇰🇪 1st

  • @mathnaasaa2166
    @mathnaasaa2166 12 часов назад

    Dah mnatupa chips 😢😂😂😂😂😂

  • @halimaali8732
    @halimaali8732 15 часов назад +1

    Merry Christmas 🎅 🎄 and happy new year 🎉

  • @AminaMshirazi
    @AminaMshirazi 16 часов назад +2

    Bora mungemwaga chini ugali kuliko izo chipsi😢😢😢

  • @JeziraMusa-i7v
    @JeziraMusa-i7v 17 часов назад +14

    Ni nani anaamini kua wanaume kam kijogo wako 😢

    • @Mimah866
      @Mimah866 15 часов назад +1

      wako sanaaa tuu😂😂😂😂😂

    • @SophiaNdayishimiye
      @SophiaNdayishimiye 9 часов назад +1

      Niliezaa nae ni kijogoo mtupu

    • @aishaomar2287
      @aishaomar2287 7 часов назад +1

      Mbn waongea na uoga😂😂 wako wengi tu sana ongeza volume

    • @esterkimalio8846
      @esterkimalio8846 7 часов назад +2

      Wako wengi mnooo,,,,hata mume wangu yuko hivi,,,maana hakuna sket inampita na husema hajaoa,,,na ukimfuma tu anaomba msamaha mpaka atalia

    • @aishaomar2287
      @aishaomar2287 6 часов назад +1

      @esterkimalio8846 🤣🤣🤣 umenichesha sana ww,usimtangaze mwnzko

  • @IssaBengine-w5v
    @IssaBengine-w5v 23 минуты назад

    Ivi kijogo uko siriaz kweli na mapenzi kwa uyo Dada mpangaji 😂😂😂😂Ao unaitaji kumtisha nabusauti bwauruma ukisha mlamba tayar mana sis manaume sio burebure

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 7 часов назад

    Kijogoo niko na wewe hadi wakukate icho kitu😂😂 nawe sheikh masoud nko na ww hadi wakuue😊

  • @RukiaDzombo-uf7wp
    @RukiaDzombo-uf7wp 13 часов назад +1

    Bhailam jamen , Sophia ana mchumba wake lakn ww mshindani,aya ona Sasa

  • @Emilymama2boys
    @Emilymama2boys 7 часов назад

    Apa kutanuka 😂😂

  • @SitaniRongo
    @SitaniRongo 14 часов назад +1

    🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @RubazaReuben
    @RubazaReuben 12 часов назад +1

    Achana na umalay

  • @SwansyWillah-k3h
    @SwansyWillah-k3h 15 часов назад +1

    ❤❤❤

  • @witnessmaturege2944
    @witnessmaturege2944 12 часов назад

    Kilasiku matatizo sinunayataka mwenyewe na nyege zako mvembo mwanaume Malaya ukitembea unanuka nyuchi khaaaaaaaa 😂😂

    • @RahmaAlly-n2c
      @RahmaAlly-n2c 10 часов назад

      @@witnessmaturege2944 😂😂😂😂

  • @SaumuWanje
    @SaumuWanje 18 часов назад +2

    🔥🔥

  • @KINGABUMEKAR
    @KINGABUMEKAR 18 часов назад +5

    WANAWOPENDA TABIA ZA KIJOGOO LIKES HAPA TUJUANEE

  • @ZanabZone
    @ZanabZone 16 часов назад +2

    ❤❤❤😂😂😂😂😂😂

  • @KimsitiThedon
    @KimsitiThedon 16 часов назад +2

    ❤❤❤😅😢😮🎉

  • @fatuma6011
    @fatuma6011 15 часов назад +1

    Kijogoo hauja koma tu

  • @StanoRugger-ee9ei
    @StanoRugger-ee9ei 13 часов назад +1

    Sasa ona kafia getto Tena Nkts

  • @nasirkhator6796
    @nasirkhator6796 18 часов назад +3

    Jamaa hiki chumaa mwakiona vipi wajomba?,🐔

  • @goromamussatvonline
    @goromamussatvonline 12 часов назад

    dah Chips hyo🤤🤤🤤

  • @mohdsaad2736
    @mohdsaad2736 11 часов назад

    ❤❤❤😊😊😊😊

  • @robertvedasto968
    @robertvedasto968 16 часов назад +2

    Hello...jamani Naomi alienda wapi

  • @Mrpasakaonline70
    @Mrpasakaonline70 12 часов назад

    Kijogoo hapo huwez aseeh nawatakia Christmas njema wapendwa

  • @AliZay-g8w
    @AliZay-g8w 17 часов назад +2

    Moçambique 🇲🇿🇲🇿🫶🇹🇿

  • @RUTAHANWACHRISTOPHER
    @RUTAHANWACHRISTOPHER 13 часов назад +1

    Sofia nihatari sana audio jamani

  • @jovinlawi2999
    @jovinlawi2999 18 часов назад +3

    Duuu mnachelew kutowa muvi

  • @khalwalejohn6255
    @khalwalejohn6255 13 часов назад +1

    Hapa kutanuka

  • @RubazaReuben
    @RubazaReuben 12 часов назад +1

    Asa, una mpendaje hali ya kua ni mke wa mtu

  • @AyishaOman-cw4xs
    @AyishaOman-cw4xs 17 часов назад +2

    🎉🎉🎉❤❤❤😂😮

  • @bettyfuraha4796
    @bettyfuraha4796 13 часов назад

    Kishankipeee

  • @Rakosore
    @Rakosore 12 часов назад

    ❤❤❤😢😢😢😢

  • @guystephaneramazaniofficia8904
    @guystephaneramazaniofficia8904 7 часов назад

    mimi njo wa mwisho

  • @YasmeenSalim-f7h
    @YasmeenSalim-f7h 15 часов назад +1

    Hiyo episode 20 yaja saa ngapi 🎉🔥🥹🥰

  • @RayvannyAli
    @RayvannyAli 8 часов назад

    🎉🎉❤😂😂😂

  • @YasmeenSalim-f7h
    @YasmeenSalim-f7h 15 часов назад +1

    Hiyo episode 20 yaja saa ngapi🎉🔥🥹🥰

  • @TREETOPCYBER
    @TREETOPCYBER 9 часов назад

    Mwanetu mbona fupi hvo 😢 Weka basi dakika kidogo kaka, ila kipindi tamu sana

  • @JihadmussaMussa
    @JihadmussaMussa 17 часов назад +3

    Kijogooo unauaaa ck ya krismas??? 😅😅

  • @yuui1878
    @yuui1878 16 часов назад +2

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🇧🇮🇸🇦

  • @dilshadmurtaza6871
    @dilshadmurtaza6871 12 часов назад

    Kijogoo maneno mengi acha kumtishia amani dada wa watu. Kajiuwe tuone

  • @Catherineofficial-ey6tu
    @Catherineofficial-ey6tu 17 часов назад +5

    Samahanini ila si sawa kumwaga chakula kuna watu wanashida hukoo hawajala chchte wakion hivi si njema😢

    • @SarahChombo
      @SarahChombo 17 часов назад +3

      ni moviee tuu jamenii

    • @FredSilwimba-q9c
      @FredSilwimba-q9c 17 часов назад +2

      Heee ilaa na wew sasa si wanaigiza

    • @TeddyPaul-j3g
      @TeddyPaul-j3g 15 часов назад +3

      Sasa watatoa wapi ela ya Bando kama chakula hakuna akaaqqa😅😅😅😅

    • @SharifuAlbughuli
      @SharifuAlbughuli 14 часов назад +2

      😂😂😂😂Seem weh ndo umetamani. Chaps kwa hujui kam hii n move au 😂😂😂acha uloho nyooo

    • @SarahChombo
      @SarahChombo 13 часов назад +2

      @@SharifuAlbughuli ila nyieee 😂😂😂

  • @اسماء-ج9ن
    @اسماء-ج9ن 12 часов назад

    Jmn naomi yuko wapi