TAZAMA ASKARI KOZI NAMBA 31 WAKILA KIAPO CHA UTII CHUO KIWIRA/ MHE. NAIBU WAZIRI AKIRI WAMEIVA.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 дек 2023
  • NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini, Desemba 29,2023 amefunga Mafunzo ya Awali ya Askari wa Jeshi la Magereza Kozi Namba 31,hafla iliyofanyika katika Chuo Cha Magereza Kiwira Mkoani Mbeya.

Комментарии • 2