Kongole askari wetu mmefanya demonstration moja kati ya mbinu na maneuver muhimu sana katika mapambano ya karibu au Close-Quarters Battle(CQB) . haya ni mapambano (mapigano) ya karibu ,ana kwa ana yanatokea haswaa maeneo ya mijini(urban area) ambako kuna kuna na structures nyingin kama majengo ambayo yana zuia uono(visual) NA UWEZO WA KUMKABILI ADUI KUTOKEA MBALI HIVYO KUHITAJI UMAKINI,UHARAKA NA UWELEDI wa hali ya juu katika mienendo(movement) maana adui anaweza kutokea ghafla kutoka kona yeyote delaying ya hata ya nusu dakika tu inaweza kugharimu uhai wa askari au team kwa ujumla. Hongereni saan Maafande 👍👍.
Aaah hongereni wanajeshi wetuuuuu, ni fahari kuwa mtanzania na hivi Kuna bamia ,nyanyachungu , maharage ,Michele na dagas ,samaki Amina zote weeeeee ilove TANZANIA!!!!!
Ni kweli Kama ilivyo ada avumae baharini PAPA na NYANGUMI lakini Kuna wengi wazuri na watamu kuliko hata hao Samaki wakubwa ukitoa nyama kubwa bado shombo iko pale pale.
@@jeffhard5773 Jifunze Kupenda Cha Kwako,Hata Kama wapo Wazuri Kuliko Hao Hawatakusaidia Chochote,Hao ambao unasema sio wazuri ndio wanafanya Mpaka saivi uishi kwa amani..
@@WernerMselewa-ie8co kitu pekee usichokijua kuhusu hii serikali kila kitu wao hufanya kwa sababu na pia kwa kutazama maslahi yao binafsi na hata mafunzo ya kijeshi kutupiwa mtandaoni lengo nikujenga hofu kwa wananchi wao na pia kwa wasemaji mbali mbali wa vyama pinzani ili waendelee kufanya utopolo bila kusemwa mfano angalia nchi zilizo endelea na zisizo endelea Kama Wana tabia yakurusha mbona hatuoni majeshi yao mtandaoni mara nyingi na mwisho Amani ya kila mja hutoka kwa Allah na si serikali kwani hakuna Amani kwenye Unyonyaji na Ukandamizwaji wa haki za msingi sisi tuna utulivu
Najivunia kuitwa Mtanzania, nchi ya amani nchi ya pendeka...... Asante Mheshimiwa Rais kwa kuleta uhusiano huu utakaoboresha ulizi wa Taifa letu Mama la Tanzania. Mungu IBARIKI AFRIKA IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE MBALIKI RAIS NA WAANDAMIZI WAKE TUIJENGE KESHO YAKE ILIYOBORA NA YAKUJIVUNIA...
@@hassankuka1104Badala ya kudeal na miccm mijizi unaanza chadema wasiyo kusanya Kodi, Jifunzeni kwa Gabon, Mali walio kataa utumwa wa kivyama, jeshi linapokuwa mali ya watawala ni hatari zaidi
Safi sana na sisi tupo nyuma yenu ila nashukuru kwakuni achia kabegi na kofia ntafanya kazi kwa juhudi na uchungu wa nchi yangu kama nilivyo aidi mbele ya kiongozi mmoja sitomtaja kwa sasa nipo Mbalali Mbeya kwa kazi maalum nahakuna MTU alie nisumbua kuusu begi Mungu mkubwa
Hapo mmelenga sio kujifunza wenyewe na kujichua wenyewe, mnavyo shirikiana na nchi zingine kwenye kufanya mafunzo kama haya yaki jeshi mnaimarisha zaidi ulinzi wetu, maana mnakuwa na ufahamu na uelewa wa ainambali mbali ya combart na iyi itatusaidia kipindi cha vita, sio ile mlio kuwa mnafanya wenyewe. Hongereni sana kwa hatua. Kweli jeshi mnasikiliza wananchi sasa
we haupo jeshini hauwez kujua masuala hayo ila jeshi letu lina vifaa vya kisasa na vingi na wataalam wapo na wengine kama ulskia kuna watoto wa form 6 div 1 na 2 walchkuliw jeshini wote wanasomeshwa degree ya military science..... Do not underestimate.... Tuwape moyo na tuwaa appreciate walinzi wetu
@@manenoramadhan1432sio wako fiti kwa sababu wamepitia vita, sema wako sharp kwa sababu ya mazoezi, kuhusu vita Kwenye hii dunia mtaalam ni Russian peke yake, wala hakunaga choko yoyote anayeingia apo
Niliisubili kwa hamu kubwa hii,nawaomba wafanye jambo hili na mataifa mawili mengine ambayo ni North Korea na Urusi.Nidhamu na uweledi vitani ndo mpango mzima.⚔️⚔️⚔️🇹🇿
Wafanye mazoezi ya kuuwa mahain waujumu uchumi na wezi wa lrasilimali za nchi na wanao uza mali za nchi hii hapo wata wini lakin kama ni lengo la kuwa tishia wasemaji na watetezi wa wanyonge hapo mmepolola!
hayo sio mafunzo hayo ni mazoezi ya pamoja kwa ajili ya kubadilishana uzoefu na kujiweka fit zaidi ni kama friend match kwenye mpira. kitaalam huitwa "drill"
@@muhammadjuma8457 No !! Wakati mwingine lugha (kina)hutumika kutofautisha jambo hakuna ukawaida hapo hivyo vitu viko technically. Kuna tofauti kati ya Drill na Rehearsal au Exercise. Training, Rehearsal au Exercise ndo Mazoezi au Mafunzo ila Drill ni Maonyesha yanayo fanywa ili kubadilishana mbinu na uzoefu baina ya majeshi au vikosi viwili tofauti. Hapo watu hawajifunzi ila wanaonyesha kile walichojifunza ili kuboresha zaidi utendaji wao. Drill ni kama Friend Match .
Safi sana jeshi langu/letu.Safi sana watu wangu wa nguvu.Jwtz.Safi sana makamanda wangu/wetu.Safi mhe Rais wangu/Wetu Mama Samia Suluhu.Imara Jeshi letu daima
Russia mbona Yupo kabla ya iyo video ya mazoezi kupostiwa we tulia tu, apo kaonekana mchina, yes ni mbinu za mikakati izo alishakuja kiduku keleke zikawa nyingi leo anaonekana mchina 😂subiri uone siku atakavyo jionesha mrusi sasa 💪💪💪💪
Nashangaaga sana lazima muongee icho kingereza hakati mpo tz wezenu hao mnao fanyanao mazoez wanongea lugha ya kwao nyinyi mnaongea lugha ya inchi nyingine amuoni ata aibu 2barike watz 2pende lugha ye2 ya kiswahil 2achane lugha ya kitumwa wazo langu niilo2
Wanatumia kichina ni lugha yao, kiingereza ni utumwa soon unatoweka labda ubakie Kenya, mwishowe kabisa jiulize we mwenyewe wamewezaje kuelewana? think deep sisi tuna kiswahili na sio swahili 😂😂😂Kwanini wazungu weupe na weusi mnaikwepa hii Ki? Ili kutimia usahihi wa kiswahili 😂😂😂😂
Kunaswali pia naitaji kujuwa kunahawa Jeshi la Akiba mbn halipewi kipaumbelee hata nafasi zikitangazwa hali ya kuwa kunawatu wanaumri mdogo na wanajuwa kupitia kule ndoto ztatimia alafu atimayake nafsi zikitangazw n jku na jkt
wanaingia mdogo mdogo kwenye sekta zetu nyeti kwa mbinu ya kushirikiana,. hata jana nimeona wanajeshi wa kenya wakipewa mafunzo na wamarekani.., mdogo mdogo mabeberu wanaingia upya
Hayo ni mazoezi ya pamoja sijawahi kuona mafunzo yanaoneshwa hivyo mafunzo ni siri ili wengine wasiyaige ili vita ikitokea iwe lahisi kumshugulikia adui
Mambo ya Sasa nivinu vyanyukria au ndege zisizokuwa narubani tujiandae namanykiria tuyatengeneze wenyewe madini tunao navitu vyakuwezesha kuunda manyukria ili nchi jirani zituogope
Haya ni mazoezi ya pamoja na siyo mafunzo kama alivyosema mwandishi ,kwani mafunzo siku zote uwa ni ya siri ili kwenye uwanja wa medani iwe rahisi kumuangamiza adui kwa sababu adui hatakuwa hajui mbinu zenu
Some islands controlled by the Taiwanese government are less than 3 kilometers from the Chinese coast. For example: Kinmen Island, Matsu Island. But the Chinese military does not have the ability to capture these islands. Tanzanians cannot obtain any valuable resources from China.
You should thank China for not capturing those Island but rather allowing them to do any kind of business with the Mainland. Pretty sure you must be a Banana Chinese from Taiwan.
Kongole askari wetu mmefanya demonstration
moja kati ya mbinu na maneuver muhimu sana katika mapambano ya karibu au Close-Quarters Battle(CQB) . haya ni mapambano (mapigano) ya karibu ,ana kwa ana yanatokea haswaa maeneo ya mijini(urban area) ambako kuna kuna na structures nyingin kama majengo ambayo yana zuia uono(visual) NA UWEZO WA KUMKABILI ADUI KUTOKEA MBALI HIVYO KUHITAJI UMAKINI,UHARAKA NA UWELEDI wa hali ya juu katika mienendo(movement) maana adui anaweza kutokea ghafla kutoka kona yeyote delaying ya hata ya nusu dakika tu inaweza kugharimu uhai wa askari au team kwa ujumla.
Hongereni saan Maafande 👍👍.
Roja roja
Unanikumbusha kipindi kile nipo katika Rasi ya Tumaini Jema na Ghuba ya uajemi.
Roger that!!
Timamu
Medani na chinese au Russians ni better than westerners...ambao sina imani nao
Aaah hongereni wanajeshi wetuuuuu, ni fahari kuwa mtanzania na hivi Kuna bamia ,nyanyachungu , maharage ,Michele na dagas ,samaki Amina zote weeeeee ilove TANZANIA!!!!!
Ni kweli Kama ilivyo ada avumae baharini PAPA na NYANGUMI lakini Kuna wengi wazuri na watamu kuliko hata hao Samaki wakubwa ukitoa nyama kubwa bado shombo iko pale pale.
@@jeffhard5773 Jifunze Kupenda Cha Kwako,Hata Kama wapo Wazuri Kuliko Hao Hawatakusaidia Chochote,Hao ambao unasema sio wazuri ndio wanafanya Mpaka saivi uishi kwa amani..
@@WernerMselewa-ie8co kitu pekee usichokijua kuhusu hii serikali kila kitu wao hufanya kwa sababu na pia kwa kutazama maslahi yao binafsi na hata mafunzo ya kijeshi kutupiwa mtandaoni lengo nikujenga hofu kwa wananchi wao na pia kwa wasemaji mbali mbali wa vyama pinzani ili waendelee kufanya utopolo bila kusemwa mfano angalia nchi zilizo endelea na zisizo endelea Kama Wana tabia yakurusha mbona hatuoni majeshi yao mtandaoni mara nyingi na mwisho Amani ya kila mja hutoka kwa Allah na si serikali kwani hakuna Amani kwenye Unyonyaji na Ukandamizwaji wa haki za msingi sisi tuna utulivu
Najivunia kuitwa Mtanzania, nchi ya amani nchi ya pendeka...... Asante Mheshimiwa Rais kwa kuleta uhusiano huu utakaoboresha ulizi wa Taifa letu Mama la Tanzania. Mungu IBARIKI AFRIKA IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE MBALIKI RAIS NA WAANDAMIZI WAKE TUIJENGE KESHO YAKE ILIYOBORA NA YAKUJIVUNIA...
Wanatutisha tusipingi bandari sisi chadema wakinzisha tunaanza
@@hassankuka1104kunawatu wanachekesha kweli😮😂
@@hassankuka1104Badala ya kudeal na miccm mijizi unaanza chadema wasiyo kusanya Kodi, Jifunzeni kwa Gabon, Mali walio kataa utumwa wa kivyama, jeshi linapokuwa mali ya watawala ni hatari zaidi
Safi sana na sisi tupo nyuma yenu ila nashukuru kwakuni achia kabegi na kofia ntafanya kazi kwa juhudi na uchungu wa nchi yangu kama nilivyo aidi mbele ya kiongozi mmoja sitomtaja kwa sasa nipo Mbalali Mbeya kwa kazi maalum nahakuna MTU alie nisumbua kuusu begi Mungu mkubwa
Hili ndojeshi tunalotaka kuliona Sina mashaka na jeshi langu jwt na China kazi nzuri Sana walinda amani.
Jaman mama samia upo vizuri sana ujamaa udum
Hapo mmelenga sio kujifunza wenyewe na kujichua wenyewe, mnavyo shirikiana na nchi zingine kwenye kufanya mafunzo kama haya yaki jeshi mnaimarisha zaidi ulinzi wetu, maana mnakuwa na ufahamu na uelewa wa ainambali mbali ya combart na iyi itatusaidia kipindi cha vita, sio ile mlio kuwa mnafanya wenyewe. Hongereni sana kwa hatua. Kweli jeshi mnasikiliza wananchi sasa
Kwahyo skutukichokozwa mojakwamoja nachina ndaniiii😂😂😂😂❤
Kiduku na urusi pia 💪💪💪
Kombati ya Tanzania iko safiii sana 💪💪💪
Ipo bright Zaidi, kitu ambayo sio poa sana mana porini ni rahisi kuonekana.
Kombat inategemeana na uhalisia w mazingira..ww unafikiria china haijui kuchagua kombati...?😮
JWTZ inahitaji silaha na vyombo vya kisasa zaidi hilo ndio tatizo kubwa zaidi teknolojia ndio mpango zaidi jeshi linunuliwe vifaa vya kileo.
Ukiangalia kwa makin wachina wako fiti sana coz wameshapitia vita sasa sisi hp tz nikuwatishia tu raia kwa mabom ya machoz
we haupo jeshini hauwez kujua masuala hayo ila jeshi letu lina vifaa vya kisasa na vingi na wataalam wapo na wengine kama ulskia kuna watoto wa form 6 div 1 na 2 walchkuliw jeshini wote wanasomeshwa degree ya military science.....
Do not underestimate....
Tuwape moyo na tuwaa appreciate walinzi wetu
@@manenoramadhan1432sio wako fiti kwa sababu wamepitia vita, sema wako sharp kwa sababu ya mazoezi, kuhusu vita Kwenye hii dunia mtaalam ni Russian peke yake, wala hakunaga choko yoyote anayeingia apo
@@GHAZWACREWBAJOMBAbig up bro 💪💪💪
Ahsante sana jeshi letu kwa huduma yenu, ila kwa upande wa teknolojia msijisahau sana maana dunia inabadilika kwa kasi sana
Niliisubili kwa hamu kubwa hii,nawaomba wafanye jambo hili na mataifa mawili mengine ambayo ni North Korea na Urusi.Nidhamu na uweledi vitani ndo mpango mzima.⚔️⚔️⚔️🇹🇿
North Korea Alisha wahi kufanya jambo lake hapa na Jeshi Letu USA Waka Waka kinouma
Yaani ukiona China apa ujue north Korean ipo na urusi ipo apo kabla ya mazoezi ayo kuanza 😂😂😂😂
Good,,,zoezi nzuri sana
Jeshi letu lipo vizuri viva Tanzania nawanajeshi wetu(hapana chezea)nadiliki kusema kwa furaha
Tuombe basi pambano la kirafiki na marekani
Wafanye mazoezi ya kuuwa mahain waujumu uchumi na wezi wa lrasilimali za nchi na wanao uza mali za nchi hii hapo wata wini lakin kama ni lengo la kuwa tishia wasemaji na watetezi wa wanyonge hapo mmepolola!
Good
Tanzania tufanye na Russia pia mazoezi❤❤❤❤❤
ALAFU KUNA MTU ANAKWAMBIA WACHINA WOTE WAFUPIII.
hayo sio mafunzo hayo ni mazoezi ya pamoja kwa ajili ya kubadilishana uzoefu na kujiweka fit zaidi ni kama friend match kwenye mpira. kitaalam huitwa "drill"
Kwa lugha ya kiingereza ndio inaitwa drill na sio kitaam izo ni lugha tu zimetofautiana
@@muhammadjuma8457 No !! Wakati mwingine lugha (kina)hutumika kutofautisha jambo hakuna ukawaida hapo hivyo vitu viko technically. Kuna tofauti kati ya Drill na Rehearsal au Exercise. Training, Rehearsal au Exercise ndo Mazoezi au Mafunzo ila Drill ni Maonyesha yanayo fanywa ili kubadilishana mbinu na uzoefu baina ya majeshi au vikosi viwili tofauti. Hapo watu hawajifunzi ila wanaonyesha kile walichojifunza ili kuboresha zaidi utendaji wao. Drill ni kama Friend Match .
@@muhammadjuma8457 Mafunzo ni Exercise sio "Drill" au kiingereza/lugha Gani ulikuwa una maanisha..??
@@muhammadjuma8457 Drill Kwa kiswahili huitwa Luteka. Hayo ni mambo deep kidogo
Umezungumza kwa kitaalamu huitwa drill nikamwambia iyo ni lugha tu . Tatizo sisi tunaizarau lugha yetu ilo neno litafute maana yake kwa kiswahili
Nimeipenda sana Mungu awabariki Jeshi letu
Ongera Mungu awalinde
nipeni like zangu leo mimi wa kwanza 😢😢
sema awa jamaa noma
Mmmmh nimejaribi kuangalia kwa umakini nimeona Kuna kuchelewa katika tukio Yaani hatuko fasta uzito ni mwingi
Safi sana jeshi langu/letu.Safi sana watu wangu wa nguvu.Jwtz.Safi sana makamanda wangu/wetu.Safi mhe Rais wangu/Wetu Mama Samia Suluhu.Imara Jeshi letu daima
Mko vizur hongera kwenu
Marekani na Umoja wa ulaya hatutaki wakanyage kwenye nchi yetu
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿Najivunia. Kuwaa MTANZANIA❤❤❤❤
Nchi yakina Juma lokole
Nimeipenda hiii
Tunawaomba pia mfanye mafunzo na Russia ❤🇷🇺🇹🇿
Wagumu hao..hta sura hawaonyeshi
Russia mbona Yupo kabla ya iyo video ya mazoezi kupostiwa we tulia tu, apo kaonekana mchina, yes ni mbinu za mikakati izo alishakuja kiduku keleke zikawa nyingi leo anaonekana mchina 😂subiri uone siku atakavyo jionesha mrusi sasa 💪💪💪💪
Askari sifa wepesiiiii. Alfu vitendo vifanyike kwa viwango.
safi sanaa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Nashangaaga sana lazima muongee icho kingereza hakati mpo tz wezenu hao mnao fanyanao mazoez wanongea lugha ya kwao nyinyi mnaongea lugha ya inchi nyingine amuoni ata aibu 2barike watz 2pende lugha ye2 ya kiswahil 2achane lugha ya kitumwa wazo langu niilo2
Kazi nzuri
Pia mafunzo haya yange fanya hata ya kijamii, technologia, kilimo na mengineyo kuimarisha na uchumi
Nimeipenda hii sio ile ya mashoga wa US.
Shida watching wanatumia Kachina sisi tunatumia English akati sisi ni swahili alie fatilia hili awake likes 👍
Wanatumia kichina ni lugha yao, kiingereza ni utumwa soon unatoweka labda ubakie Kenya, mwishowe kabisa jiulize we mwenyewe wamewezaje kuelewana? think deep sisi tuna kiswahili na sio swahili 😂😂😂Kwanini wazungu weupe na weusi mnaikwepa hii Ki? Ili kutimia usahihi wa kiswahili 😂😂😂😂
hiyo inaitwa urban drill close combat hapo wangetupigisha kidogo na Jungle daaah ingependeza sana 😅😅😅
Kunaswali pia naitaji kujuwa kunahawa Jeshi la Akiba mbn halipewi kipaumbelee hata nafasi zikitangazwa hali ya kuwa kunawatu wanaumri mdogo na wanajuwa kupitia kule ndoto ztatimia alafu atimayake nafsi zikitangazw n jku na jkt
Amazing very good
Wow napenda sana kuangalia hii kitu🇹🇿❤️
Ahahahahaha. Nakubali sanaaa uwezo wa jeshi letu
Tumeni onyo kwa marekani
wanaingia mdogo mdogo kwenye sekta zetu nyeti kwa mbinu ya kushirikiana,. hata jana nimeona wanajeshi wa kenya wakipewa mafunzo na wamarekani.., mdogo mdogo mabeberu wanaingia upya
Wako vzr sana
One love tutalipua mtu akituchokoza watanzania
Tz Nchi yangu nakupenda kongole waasisi kwa mising imara
Wangetufunza ata namna y kutengeneza droni pamoja na kuendesha..maan droni ndio vita halisi ilipo duniani kw sasa..hapo wanapigiwa mbali sna n droni😂
Mama ana uza na jeshi la tanzania
China na Tanzania ❤ for life
Yaaan hawa wachina ndo wakushirikiana nao hata suala la bandari tungewapa wachina watusaidie nisingelia
Nice
Congole sana....i mis home
Mh! Jeshi, Mchezo(Table Tennis)! Iwe salama kwa uwezo wa Mola. Ila, "huanziaga" humo!
Safi sana makamanda wetu, xie xie
Safi
First to comment
Ni jambo zuri Sana ila tukiweza washirikiane na sisi tekinolojia yao maana vita sikuizi ni akili mtu wangu
Ila binadamu nyoko kweli yani haya yote ni kwaajili ya binadamu wenzetu wakikorofisha wanabondwa za kichwa.
Vizur,ila wageni wanaonekana ni wepes na wako chap,Tuongeze juhudi zaid.
Umeme wa Mgao ,kila kitu Misaada ,Hatuzalishi hta Kibiriti tunashirikiana nao Nini jamani au ndo Kutuuzia Silaha za kale na kuchukua Rasilimali Zetu
Sari sana. Mmarekani lazima aje upya
Kwa mm nimegundua wa china wepesi kuliko ss tz sijui ww
Bravooo.
Tanzania Huraaaa
Mmetisha sanaaa ni hatari
Watu saiv hawapgani hvo watoe ushirikiano kwenu silaaha nzto za kvta
Vijana sasa wamewiva hata sisi tunaona
Sawa
Our Boys, Be blessed
Haya ndio mambo muhim sasa jengen jesh
Kuna m23 mkapimane kama mko sawa.
Turudishen sare yajayo ni mazito😂
Hayo ni mazoezi ya pamoja sijawahi kuona mafunzo yanaoneshwa hivyo mafunzo ni siri ili wengine wasiyaige ili vita ikitokea iwe lahisi kumshugulikia adui
Kuna Nanga mmoja nimemuona, mstari wa mwsho kulia 😂😂😂😂😂
😂😂😂
Boya anachelewa 😂😂😂
nimecheka sana hilo neno limenikumbusha mbali
Unafutilia namba hahaha 😂😂😂 Hao wapo tu Kila sehemu
Unafutilia nanga tu hahahaha duuuuuuuuu Hao wapo tu Kila sehemu
2017 hapa kazi tuu
Tanzania 🇹🇿💯🇹🇿✈️✅
Safi Sana.
Wakenya mjipange wangese nyie tanzania tuko imala kiulizi❤ ilove tanzania
Wow😮
Kongole sana wanajeshi wetu
Mambo ya Sasa nivinu vyanyukria au ndege zisizokuwa narubani tujiandae namanykiria tuyatengeneze wenyewe madini tunao navitu vyakuwezesha kuunda manyukria ili nchi jirani zituogope
Safi sanaa
Wafanye na mazoezi ya kuua mafisadi.
Haya ndiyo mambo yanayowapa heshima, waachane na habari za kutesa raia kisa nguo za mtumba... love my military JWTZ❤
Aisee!!! Hatari sana…sasa Tanzania ipo tayari kuungana na China kumsambulia USA na NATO Forces vita ikitokea🤔
USA ni level nyingine kabisa ndugu yangu bola tutulie
nimemuona chama
Safi sana makamanda wetu
Nikisikia vita nalala tu wakombozi tunao🤣🤣🤣🤣🏃
Hamna kitu 😄😄😄
Safisana serkal yetu pamoja na China wakimaliza China waje wa Russia, Cuba, Korea ya kaskazin, Iran,
Haya ni mazoezi ya pamoja na siyo mafunzo kama alivyosema mwandishi ,kwani mafunzo siku zote uwa ni ya siri ili kwenye uwanja wa medani iwe rahisi kumuangamiza adui kwa sababu adui hatakuwa hajui mbinu zenu
Kuna wawili wananifurahisha hapo😂😂😂
Hapo kwenye waziri tu waulinzi ndio tumekosea angekuwa man ingefaa
Imekaka vizur sana
Kweliii jeshi ni kitu inginee kbx
Wachina oyee
yamefanyika lini haya ??
Dah jeshi kweli balaa sana
Hii kweli mafunzo
Some islands controlled by the Taiwanese government are less than 3 kilometers from the Chinese coast.
For example: Kinmen Island, Matsu Island.
But the Chinese military does not have the ability to capture these islands.
Tanzanians cannot obtain any valuable resources from China.
You should thank China for not capturing those Island but rather allowing them to do any kind of business with the Mainland.
Pretty sure you must be a Banana Chinese from Taiwan.
Mwenye kuelewa kesha elewa nini kina endelea.....