MAPOKEZI YA MGOMBEA URAIS CCM KASULU KIGOMA BALAA, JPM AFURAHI AAHIDI MAKUBWA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 сен 2020

Комментарии • 135

  • @geofreynoah9458
    @geofreynoah9458 3 года назад +12

    Kigoma mmenifurahisha mnooooooo! Hongereni sana. MUNGU akubariki JPM kwa kuikumbuka kigoma katika team yako ya kikosi kazi. Kura zote ni kwako.

    • @amiryhamza1984
      @amiryhamza1984 3 года назад

      rais wetu kweli mtetezi wawanyonge watu wanakupenda sana safisana mzarendo wakweli

    • @shadrackmpama2947
      @shadrackmpama2947 3 года назад

      Sisi wakigoma tunakupenda sanaa mheshimiwa toka uhuru kigoma haijawahi kupata mawaziri watatu Asante sana baba Mungu akubariki sana kwakweli huna mpinzani ni wewe tyuuuuu ulikumtima wachu

  • @aminaabdallah7702
    @aminaabdallah7702 3 года назад +3

    Baba unafurahisha sana.ubarikiwe MH rais PJM mungu yakupe nguvu ishallah

  • @johnsonlaizer8690
    @johnsonlaizer8690 3 года назад +6

    Mungu akupe maisha marefu rais wetu jpm pia inuka safari hii yakuhusu wewe👆👆🇹🇿

  • @denismassawe9255
    @denismassawe9255 3 года назад +4

    Wao wanakusanya mamia wewe unakusanya mamia,maelfu, Malaki na mamilioni hongeraa babaa

  • @salamaneno6108
    @salamaneno6108 3 года назад +4

    Asante baba tumeona maendeleo kwa mkoa wangu asanteee sana mungu akulinde baba utapita bira kupinga kabsa 100% karibu kigoma tutakupenda milele wewe ndio chaguo la mungu kwa watanzania

  • @edithamsacky6193
    @edithamsacky6193 3 года назад +16

    MUNGU AKUTANGULIE KWENYE KAMPENII ZAKO KARIBU ARUSHA.

  • @isaachayes9783
    @isaachayes9783 3 года назад +13

    Huyu alishashinda siku nyingi, wengine wanamsindikiza tuu, na vile wanavyoongea upuuzi ndio wanazidi kujichimbia kaburi

  • @everydayniewsnangale3636
    @everydayniewsnangale3636 3 года назад +5

    Daah nakukubali kinyama aisee..Ila mzee kapungua Sana mungu akutie nguvu ishallah yatakuwa sawa

    • @ahmednoor1412
      @ahmednoor1412 3 года назад +1

      Kuzunguka nchi tena kwa magari sio mchezo ukizingatia umri 60+ anajitahidi sana

    • @shamimushittindi1418
      @shamimushittindi1418 3 года назад +1

      Yes kampeni c mchezo

    • @julianamasunga700
      @julianamasunga700 3 года назад +1

      Hata kipindi cha jk alipungua sana sana....alafu anafanya mikutano mingi sana kwa siku....

  • @benezethkapongwa3111
    @benezethkapongwa3111 3 года назад +15

    Ngoja niwaambie tu...ukifuatilia vizuri huyu mzee nishagundua anajaza watu karibu kila mkutano ila sasa wale wenzetu wa upande wa pili wakijaza kaeneo kamoja baaasi wanakesha kusema. Mwanza walijaza ila Magu alijaza zaidi...sasa wasubiri na huko kwingine walikopita wanakozani wamejaza ndio wajue nani anajaza na nani anajaza zaidi!!!

    • @onesmojustice2348
      @onesmojustice2348 3 года назад +3

      Hilo hawaoni wajinga wale. Yaani mpaka jpm anakutana na wasanii katikati kashafanya kampeni karibu 10 peke yake bila msanii na watu wanajaa hatari wasubiri octoba ndo watajua kelele zao

    • @missangela6720
      @missangela6720 3 года назад

      ​@@onesmojustice2348 Umeona eeh? Ila usihangaike kutukana; nao ni Watanzania wenzetu. Pili siyo uzalendo kufanya hivyo. Halafu unaweza kujidhalilisha mwenyewe. Tusi kubwa unaloweza kuwavumburishia wapinzani kama hao ni paleee Oktoba 28 kumpatia JPM kura yako, kumchagulia Mbunge na Diwani---Mafiga 3!!! Wakati wa ufunguzi Dodoma JPM alisema lazima katika uchaguzi huu tuwanyooshe hayoo jamaa. Namwombe Anko Bulldozer kura yako. Magufuli fireeeeee!!!!

    • @mako331
      @mako331 3 года назад

      Jamaa wanafanya mikutano kwenye vieneo vidogo ndio watu wajae, ili waseme angalia umati huu, hakuna kitu, waende kwa stadium kama uncle magu tuone hao watu watajaa?

    • @reginatemu9189
      @reginatemu9189 3 года назад

      Natamani wachangamke zaidi ya apo,wakiambiwa nyoosha mikono wanyooshe kwa nguvu zote,sio wanajikusanya tu halafu hawana bashasha za kushangilia,wananiangusha

    • @missangela6720
      @missangela6720 3 года назад

      @@reginatemu9189 Wanasikitika kwa nini JPM ahangaike kiasi hicho wakti ni mzalendo anayepaswa kuchukua nchi hii hata miaks buku??

  • @bodyaman
    @bodyaman 3 года назад +9

    Kila la kheri Mh.Raisi J.Pombe Magufuri

  • @makurusamwel1342
    @makurusamwel1342 3 года назад +9

    Hahaha dah kiukweli ushindi nje nje

  • @silvamsophe4392
    @silvamsophe4392 3 года назад +6

    Safi raisi wetu ushindi lazma mungu mkubwa

  • @lowassasaitoti7303
    @lowassasaitoti7303 3 года назад +14

    Kwely hapa mzee amewakusanya alafu wale washamba wajekusema wamekuja kuangalia show ya wasanii

    • @josiaskay7939
      @josiaskay7939 3 года назад

      🤣🤣🤣🤣🤣

    • @onesmojustice2348
      @onesmojustice2348 3 года назад +5

      Wale ni wajinga wanaumia wanapoona wasanii wote wako na jpm

    • @florabaruti8032
      @florabaruti8032 3 года назад +4

      Rais wetu tunampenda sana

    • @missangela6720
      @missangela6720 3 года назад +1

      @@onesmojustice2348 Unajua Waswahili wanasema nyoka aliyebananishwa ndani ya nyumba anadhani kile welekeo ni njia ya kutokea. JPM kawamaliza hawa jamaa ndio maana wao kila kitu wanaoona kama ni hoja. Hatushangai hata kidogo! Kama umeishiwa chakula, yaani kila kitu kwako ni msosi, hata pumba. ahahahahaha. Viva JPM!!!!

    • @missangela6720
      @missangela6720 3 года назад

      @@onesmojustice2348 Usiwatukane, walie tu taimu ileeee Oktoba 28. Upo hapo?

  • @rwandaafrika6173
    @rwandaafrika6173 3 года назад

    Baba lao RAIS J.P.Magufuli tumekuchanguwa Sisi watanzania wenyewe kwa hiyari Yetu Ameen

  • @matildamkombachepa4320
    @matildamkombachepa4320 3 года назад +2

    Una haki ya kucheza Rais wetu kwa maaana uliyoyafanya yanaonekana Baba, kwa sasa ni Kumshukuru Mungu tuu mana Mungu anazungumza nasi kupitia Rais wetu

  • @safiaothman1098
    @safiaothman1098 3 года назад +8

    Rais wetu Magufuli hadi mwaka 2025.

  • @ausonjustinian5494
    @ausonjustinian5494 3 года назад +1

    Asnt Mzee bb kumbe unaziwezea. Aya aya aya. Wachawe.

  • @evasaimon2101
    @evasaimon2101 3 года назад +2

    Wewe ni rais Tanzania 😁😁😁💯

  • @ausonjustinian5494
    @ausonjustinian5494 3 года назад +1

    Waoo nyomi la.kufa m2 Mlakoze chane. Karb Bkb kwetu.

    • @jamilajamila4572
      @jamilajamila4572 3 года назад

      Allah akujaalie Rais wetu akupe maisha marefu mno💕

  • @saidsultan3681
    @saidsultan3681 3 года назад

    Magufuli oyeeeè

  • @jrsingham
    @jrsingham 3 года назад +1

    Jaman hiyo DAR ES salaam sijui itakuwaje maana sio pouw ili nyomi

  • @stevemwakisimba5986
    @stevemwakisimba5986 3 года назад

    Kazi na dawa safi rais wetu

  • @yusuphalinani5432
    @yusuphalinani5432 27 дней назад

    Ameni

  • @denismassawe9255
    @denismassawe9255 3 года назад

    Zito Kabwela anaona hayaaa !!!??? Magugufi anatisha hizi ni salam kwako Zito Kabwela stiki zinakutembelea hadi kwako duuuuh!!!! Hatari sana. Hongeraa zako mzeee wetu Magu ni kweli hauna mpinzani.

  • @jackngaku7449
    @jackngaku7449 3 года назад

    Anajua kucheza

  • @mako331
    @mako331 3 года назад

    Na hapa ni kwa Zitto kweli upinzani kwisha

  • @danielimikaeli1408
    @danielimikaeli1408 2 года назад

    RlP JPM

  • @shaugentwaha356
    @shaugentwaha356 Год назад

    Kwa kifo chake huyu mwambaaa tulipigwaaa hakika

  • @michaelndilima6210
    @michaelndilima6210 3 года назад

    Safi sana

  • @Pelegrinoemanuel
    @Pelegrinoemanuel 3 года назад

    Jpm ni noma

  • @bizobusiness663
    @bizobusiness663 Год назад

    Tunaongalia 2022 tujuane ap

  • @sarvaharuna9943
    @sarvaharuna9943 3 года назад

    Kasulu ndalichako hana mpinzan pia anko umetishaaa

  • @mathayowasulo569
    @mathayowasulo569 3 года назад +3

    Tuliho tulakusasiye

  • @noelisaac3913
    @noelisaac3913 3 года назад

    Wakoloni weusi

  • @simbalion2871
    @simbalion2871 3 года назад

    Watoto wazurii

  • @masoudkipara5053
    @masoudkipara5053 3 года назад

    Lisu ameona ayo mafuriko original mana ye akiwa na watu 10 tu anajigamba eti nawaza watu

  • @mwitangarama8069
    @mwitangarama8069 3 года назад

    Ila jamani wawe wana angalia wametoka malaisi wangapi na wamefanya nn angaoieni jamani ujue laisi nikama nimungu wapili kwelii kuendesha watu so mchezo kila kitu kina muqngalia yeye jaman hata hyo akipata ndoivyivyo hapo anaongea kwakuwa hajaingia akiingia atakiona chamoto kuendesha watazania tusio nashukulani nimempenda magufuli eti katoka ubiligiji na bajaji hhhhh

  • @sepetukamaisala2040
    @sepetukamaisala2040 3 года назад

    Mmmh kazi IPO nyomii

    • @floramolel4283
      @floramolel4283 3 года назад

      Karibu Arusha jmn mbona unatutenga mweshimiwa

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 3 года назад +1

    Halafu anajivunia utanzania wake na anauwezo wa kuwasiliana na kila aina ya watanzania kwa unyenyekevu na kutumia lugha wanayoifahamu zaidi, badala ya kule maneno ya hasira kama "so what?" ambayo wengine wanayatumia ati wakifikiri hivyo ndio kuendelea.

    • @missangela6720
      @missangela6720 3 года назад +1

      Umeona eeeh? Kiswahili unaambiwa JPM kaipaishwa hadi SADC wameikubali

  • @wazirmlogi7532
    @wazirmlogi7532 3 года назад

    We mzee umeanza lini uhuni huo wa kucheza ki bongo fleva😂😂

  • @stanleychisaluni1503
    @stanleychisaluni1503 3 года назад

    Duuuuuuh,,,,,

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 3 года назад

    Siku zote nimekua kasulu ipo kagera kwa wa haya

  • @venancephilbert9397
    @venancephilbert9397 3 года назад +3

    Hiyo wilaya 1 tu kasulu toa kibondo kakonko uvinza kigoma vjijini

  • @mavuzijiwe6805
    @mavuzijiwe6805 3 года назад

    JPM jembe Beba Nchi hata mara 700

  • @radiIbrahimnuhu
    @radiIbrahimnuhu 3 года назад

    Mfahamu Raisi aliyepata kura nyingi kuzidi idadi ya wapiga kura...bofya hapa ruclips.net/video/SjaPenqZ1QY/видео.html

  • @clemenceclemence7926
    @clemenceclemence7926 3 года назад

    Hivi hao niwatoto.au watuwazima mbona wanasukumana kama wanafunzi

  • @hktztv6519
    @hktztv6519 3 года назад

    Show Kali ya Harmonize kigoma atikisa Ni balaa 🤙🤙 🤙
    👇👇👇👇👇
    ruclips.net/video/USOORQ4W2GA/видео.html

  • @theprogrammer3351
    @theprogrammer3351 3 года назад +1

    Magufuri for life.... Yajayo yanafuraisha

  • @ezzy_e2450
    @ezzy_e2450 3 года назад

    Hapo wengi tulikuwa kwa fiesta ya Mond na kiba bx amna wapiga kura hapo

    • @martinemaganga2546
      @martinemaganga2546 3 года назад

      Hapo ni njiani ,sasa hawo wasanii unaowasema wako wapi? Haujitambui

    • @ezzy_e2450
      @ezzy_e2450 3 года назад

      @@gladnessthomas6502 mbona mnahangaikaa na hi comment nyie mamrukii

    • @sundaysindole1978
      @sundaysindole1978 3 года назад

      We jidanganye tu!

  • @mrwhite24lyrics32
    @mrwhite24lyrics32 3 года назад +1

    ruclips.net/video/3Ja3F4qSzF0/видео.html.
    Na hii ilikuwa hatareee

  • @kabamedestrong3917
    @kabamedestrong3917 3 года назад

    Ndugu zangu Mimi ni kijana mwenzenu mpambanaji naomba support yako kutazama video yangu ya pineapple kwa kugusa picha yangu hapo juu nakuomba pia u subscribe I hope utaenjoy Ahsanteni Sana🙏🙏🙏

  • @maandaziimakavuu3790
    @maandaziimakavuu3790 3 года назад +3

    Raisi wetu wa milele usiyekuwa na mpinzani utashinda kwa 85% Mungu akujalie mausha marefu ameni

    • @khamissnassor1462
      @khamissnassor1462 3 года назад +1

      vice versa is true

    • @ombenishirima6444
      @ombenishirima6444 3 года назад

      Nina mashaka na IQ ya huyu ndugu ,,,,nadhani ni zaidi ya average ya kawaida ....huwa namtafakarigi nashinda kupata majibu ,,,siku nikionana nae nitamuuliza wastani wa IQ yake ni ngapi????

    • @isaachayes9783
      @isaachayes9783 3 года назад +1

      Umekosea atashinda kwa 95% njia ni nyeupe haijawahi tokes

    • @onesmojustice2348
      @onesmojustice2348 3 года назад +2

      Asilimia 1000% anashindaa wenye wivu naomba like zenu basi ata kwa shingo upande.

    • @mahiryally4224
      @mahiryally4224 3 года назад

      @@onesmojustice2348 10009000000090

  • @jonathanvalentine9188
    @jonathanvalentine9188 3 года назад +2

    Magufuli atakuwa rais wa kwanza kutawala miaka mitano tu tangu tupate uhuru

    • @canibalgazaboy8325
      @canibalgazaboy8325 3 года назад +1

      Unaota ukimaliza kuota Kanye ulale ujiandae kwenda kuolewa na raisi wako Lisu ubelgiji 😂😂 😂😂 😂

    • @janekikoti2179
      @janekikoti2179 3 года назад +1

      Una mtindio wa ubongo wewe eti eee?

    • @jonathanvalentine9188
      @jonathanvalentine9188 3 года назад

      Magufuli Ana cha kuwashawishi watu kaharibu kila kitu siyo wakulima, siyo wafanyabiashra, siyowaajiliwa wa serikali yaani kila sehemu.
      Watakaompigia kura magufuli ni walevi wa ccm tu, siyo watu wenye akil zao kwasababu kila MTU kamuumiza kwa sehemu yake

    • @isaachayes9783
      @isaachayes9783 3 года назад

      Umevuta bangi aina ganii?

    • @onesmojustice2348
      @onesmojustice2348 3 года назад

      @@jonathanvalentine9188 sijui nikujibu nini maana utalia siku hiyo na huyo kichaa wenu pimbi.

  • @amanmohd9435
    @amanmohd9435 3 года назад

    Kigoma ni mkoa wenye watu wengi zaidi kwa Tanzania hali zao duni sana lakini bado WANAJAZANA kumshangilia JIWE ...lakini pia inawezekana mijitu imekusanyika kumuona huyo MAGUFULI NI NANI.

    • @onesmojustice2348
      @onesmojustice2348 3 года назад

      Kajinyonge na chama chenu masikini. Umasikini wenu mnafikiri watanzania wote kwendraaaaa

    • @raymondkipipi516
      @raymondkipipi516 3 года назад

      Hapo kaka Aman umechemka , Kigoma Mungu kaijalia tokea kuumbwa kwake haijawahi kukumbwa na njaa wala ukame, ndo mkoa pekee wenye watu waliojaliwa na Mungu kwa akili nyingi, na Tanzania nzima HAkuna mkoa ambao hauna wafanyabiashara matajiri kutoka Kigoma

    • @mahiryally4224
      @mahiryally4224 3 года назад

      Chumaaaa cha pua!

    • @simoncords1173
      @simoncords1173 3 года назад

      Kama watu wanavyokusanyika kumuona yule kiwete aliponaje

  • @irenekellar140
    @irenekellar140 3 года назад

    Ukitazama video hata watu hawana munkari na jiwe yaani anajitahidi wamsapoti ila hakuna kituu ....
    Tumekuchoka baba

    • @MK_AFRICAN_VLOG
      @MK_AFRICAN_VLOG 3 года назад +2

      Sema umemchoka wewe..

    • @makurusamwel1342
      @makurusamwel1342 3 года назад +3

      We boya fala wew kma hawan munkari nae wamefat nn

    • @MK_AFRICAN_VLOG
      @MK_AFRICAN_VLOG 3 года назад +2

      @@makurusamwel1342 c ndio hapo sasa😀

    • @josiaskay7939
      @josiaskay7939 3 года назад +2

      Umesha pata jibu. Tena wewe ni jipu

    • @makurusamwel1342
      @makurusamwel1342 3 года назад +2

      Af utakuta anashoboka tuu af hat kujiandikisha hajajiandikisha maan naon km vle hajielewi