MKUU WA MKOA FEKI AKAMATWA MBEYA, ALIKUWA ANASIKILIZA KERO ZA WATU NA KUPOKEA MAONI...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 янв 2025

Комментарии • 78

  • @theresiakaruhanga364
    @theresiakaruhanga364 2 года назад +4

    Afande. Mi namuombea msamaha maana haonekani kama ni tapeli ila ni ushamba tu msameheni tu

  • @ShekhahamedMuhsin
    @ShekhahamedMuhsin 9 месяцев назад +3

    Muheshimiwa tunamuombea msamehe amejielewa

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 2 года назад +12

    Huyo kijana amebeba ujumbe , inamaana mkuu wa mkoa ni mzigo hapo , asikilize matatizo ya wananchi wake sio kukaa tu ofisini .....

  • @michaelezekiel8620
    @michaelezekiel8620 2 года назад +3

    Mheshmiwa mkuu wa mkoa, Tunakuomba msamehe hatarudia Tena, Tunakuomba!

  • @omarmkumba3547
    @omarmkumba3547 2 года назад +8

    Huyu kiukwel anastail msamaha!

  • @CSMAPESA
    @CSMAPESA 2 года назад +3

    Tumekuelewa mkuu wetu wa mkoa

  • @ngurungutz3764
    @ngurungutz3764 2 года назад +2

    Kweli kabisa

  • @nadrahassan5241
    @nadrahassan5241 2 года назад +3

    Maskini msameheni jamani 😔💔 wapo watu wengi wanawo tumia majina ya watu maarufu ili kupata wafuasi😔

  • @MwitaSenso
    @MwitaSenso Месяц назад

    Msaameen tu jamn sis vijana Mungu atusaidei

  • @mishimtambo4684
    @mishimtambo4684 4 месяца назад

    Yani nimecheka mpaka nimepaliwa sasa alikwenda Kijiji Gani jamani ila watu😂😂😂😂

  • @sharifanyumayo6314
    @sharifanyumayo6314 2 года назад +4

    Kwa upande wangu mi naona hyo kijana angeachiwa tu cz kashatubu makosa yke na amesema lengo lake ni nini! Mbona wapo matapeli wengi tu hamuwakamati? Na kasema wapo wengi muwasake wote basi na syo huyo tu. Toeni Ajira kwa vijana

  • @bachutamwita4518
    @bachutamwita4518 2 года назад +2

    Kweli kijana unaelezea kwahisia nzuli Sana

  • @babalao910
    @babalao910 2 года назад +1

    Mmh! Maisha Mapya Kwa watz, Kazi IENDELEE.

  • @Neema935
    @Neema935 9 месяцев назад

    😂😂😂Kwa kweli, duniani, m'na mambo, dogo ka rithi.ukuu wa mkoa, kwa haki na kweli. Asamehewe kwa kweli.

  • @jumaabdala7530
    @jumaabdala7530 2 года назад +1

    Duu kunabinadamu Wana loho ngumu Duuh 🤔🤔 Dogo unachakachuwa na Mdogo ivyo

  • @mwanaishakhamis8069
    @mwanaishakhamis8069 2 года назад +1

    Huyo ni wash wash wash🙆🇰🇪.amekoma huyo

  • @lemausontz3513
    @lemausontz3513 2 года назад +3

    Watu wanajiongeza Serikali inabna Kila Kona tfanyj Sasa tunatumia za kuzaliwa

  • @neemaruben5427
    @neemaruben5427 2 года назад +1

    Aiseeee we jela moja kwa moja

  • @nasramuddy1326
    @nasramuddy1326 2 года назад

    Duh,aiseee

  • @marthamilaji9385
    @marthamilaji9385 2 года назад +1

    Nimekuonea uruma mdogo wangu tuache tamaaa

  • @teddygabriel5662
    @teddygabriel5662 2 года назад +2

    Duh🤔🤔🤔🤔

  • @jamesgasper6764
    @jamesgasper6764 2 года назад +1

    Msameheni tu kijana coz hakufanya Kwa ubaya arafu alifanya Kwa kumuenspaya RC

  • @josephmahando493
    @josephmahando493 Год назад

    Ajira ngumu sana jamani, Msameheenii

  • @King3201Offical
    @King3201Offical 2 года назад +2

    Huyo kijana kosa lake ni kutumia jina la mtu bila idhiki ya huyo mtu lakini ki ukweli huyo dogo hata makosa mengine mana kaeleza vizuri na kakili makosa kwamba hakujua kama ni kosa alifanya kwa mapenzi tu akidhani kwake itakuwa frusa kwahyo tusiwe wepesi wa kuhukumu tu bila kutafakali jambo kwa upana.

    • @alimahmoud358
      @alimahmoud358 2 года назад

      Mm naona kijana Hana makosa wakati hajatapeli mtu

  • @danielshimora5315
    @danielshimora5315 5 месяцев назад

    Sasa kama amekuta hamsikilizi kero za watu, afanyeje???.

  • @greenwellnsyukwe4729
    @greenwellnsyukwe4729 9 месяцев назад

    Mbona hata mwonekano unamgomea jamaniiii.

  • @RAPHAELSAID-kk7wu
    @RAPHAELSAID-kk7wu 7 месяцев назад

    Jiamini mzee unapo ongea ulikuwa unafikisha ujumbe wanatakiwa wajue majukumu yaotu

  • @berrydanny3577
    @berrydanny3577 2 года назад

    Km kero zimetatuliwa Basi 😃

  • @DamasAmos-ue2gh
    @DamasAmos-ue2gh 4 месяца назад

    Niwaongo ao nimipango yao

  • @ANRAHIMKADUMA
    @ANRAHIMKADUMA 9 месяцев назад

    pigeni na Makofi hawa Watu ili iwe mfano kwa wengine muongo huyo mba kabisa

  • @samsonhaule3647
    @samsonhaule3647 2 года назад +1

    Kama hakumtapeli mtu Msameheni bure.

  • @ANRAHIMKADUMA
    @ANRAHIMKADUMA 9 месяцев назад

    Huyo miaka mitano inamuhusu bila kupind

  • @coolruler6820
    @coolruler6820 2 года назад

    Asikilizwe tuu,,,,,ahojiwe na ukweli utajulikana,,,,huenda kweli alifanya kwa kutokiwa na nia ovu

  • @paschaljoh5729
    @paschaljoh5729 2 года назад +1

    Mbona dogo anaonekana ana akili Sana ktk teknolojia maana mpka kufikia uwezo wa kudukua taarifa za mkuu wa mkoa Yuko vzur na alikuwa na lengo nzur bt njia alotumia ndo inamfanya aonekane Mhuni lakn dogo yuko na akili Mingi kusikiliza kelo za wananchi wakt mkuu wa mkoa kaweka litumbo lake tuu officin Hana muda na Wananchi wake acha wenye mbinu mbadala wazitumie taifa tunahitaji vijana kama hawa

  • @salamanauthar480
    @salamanauthar480 2 года назад

    Msameheni jamani

  • @trillhappybeautypoint9874
    @trillhappybeautypoint9874 2 года назад

    Jamaniii labda alikua hajui

  • @marymichael9964
    @marymichael9964 2 года назад +1

    Wamuachie kashatambua kosa

  • @dailantz4073
    @dailantz4073 2 года назад

    Hasameewe tu uyokijana nibina dama hajakamilika

  • @mahmoudsuleimanmohamed4969
    @mahmoudsuleimanmohamed4969 2 года назад

    easy police huyo ni kijana tu hajui alifanyalo

  • @TimothyPatrick-ku8rg
    @TimothyPatrick-ku8rg 4 месяца назад

    Tumieni busara amejifunza msameheni tu

  • @gervasmalimi5126
    @gervasmalimi5126 2 года назад +1

    Yamkin Sasa unaenda kufungwa

  • @geofreyalexander1382
    @geofreyalexander1382 2 года назад

    Website sio E mail

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 2 года назад

    Ana kosa na pili na la 3 pia 🤣🤣kosa la pili kafunga sala kimakosa 🤣🤣kosa la 3 anasali pili udhu 🤣🤣🤣

  • @moodyzanzibar4336
    @moodyzanzibar4336 9 месяцев назад

    huyu mmemuonyesha mbona mijambazi inayoumiza watu hamuionyeshi hadharani??

  • @hemedmalamsha8829
    @hemedmalamsha8829 2 года назад

    Mbona hafanani na ukuu wa mkoa

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 2 года назад +1

    Sio email hiyo , hiyo ni website

  • @adamjonas1568
    @adamjonas1568 2 года назад +1

    Duh

    • @simongabrielngwelusimongab550
      @simongabrielngwelusimongab550 2 года назад

      Juma homela msamehe huyo kijana halfu umuchukue uende naye ukakae umusikilize shida yake kubwa no nini jifunze kusamehe mbona magufuri alikuwaga na moyo wa kusamehe jamani mtu akiomba msamaha asemehewe

    • @ngurungutz3764
      @ngurungutz3764 2 года назад

      Msameeni tu

    • @amockkalinga1520
      @amockkalinga1520 2 года назад

      @@simongabrielngwelusimongab550 point!

  • @yusufkisome639
    @yusufkisome639 2 года назад +1

    MKUU WA MKOA mwenyewe anasemaje?

  • @janetdaniely7945
    @janetdaniely7945 2 года назад +1

    Duu jamn matatizo kwel hii inchi inavijana waovyo San Aki

  • @alimakame9215
    @alimakame9215 2 года назад

    Dunia ujanja dar

  • @rosemalle3600
    @rosemalle3600 2 года назад +2

    Huyo kijana,Hana akili kwa kutapeli kwa kutumia Jina la mkuu wa mkoa,kwa kujinufaisha,apewe adhabu Kali iwe fundisho kwa vijana wengine,vijana muwe na wazo ya kufanya yoyote Ile,msichague kazi,hata ya kulima Ni kazi,kwani mlio wengi hamjitumi kwa kufanya kazi ya mikono,

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 9 месяцев назад

    Huyu mkuu wetu wa mkoa feki tunaomba asamehewe

  • @joycekalago532
    @joycekalago532 2 года назад

    Anatetemeka sana dogo duh

  • @mathiasbuchenja331
    @mathiasbuchenja331 2 года назад

    Jela kabisaaa!!

  • @tunsumejohntunsumejohn2210
    @tunsumejohntunsumejohn2210 2 года назад

    Mkuu wa mkoa hiv unaitwa nan maana hata usikiki kabisa

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 2 года назад

    Jamaaa ameshikwa na baridi ya gafla

    • @amockkalinga1520
      @amockkalinga1520 2 года назад

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😀😀😀 wewe Ibrahim wewe umenichekesha ati baridi ya ghafla

  • @alibushiri4725
    @alibushiri4725 2 года назад +1

    Duuuuu

  • @charleskingimwakasagule5752
    @charleskingimwakasagule5752 2 года назад

    Ndo ubaya wa viongozi wa tz yani hukumu inatolewa mitani sio mahakamani yani hivohivo na hakimu ataenda kufata ivo hivo du

    • @hamiduhamisi2371
      @hamiduhamisi2371 2 года назад

      umeonae hiyo kitu mi mwenyewe sijawaelewa kabisa kwani mahakama kazi yake nini?

  • @مسدمصطفى
    @مسدمصطفى 2 года назад

    Still innocent until proven guilty. Police you have already judged him and put him in prison

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 2 года назад

    Inaonekana uyu mkuu wa mkoa kavu awezi kumsamee mkuu wa mkoa nae mwizi tu kwasababu uyo dogo kakamatwa basi mwizi yeye

  • @Oman-p8x
    @Oman-p8x 8 месяцев назад

    Msamehenituu

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 2 года назад

    Sasa anasikiliza kero za watu anazitatua vipii halafu akijipa hicho cheo kinamsaidia nini sasa

  • @zakiaramadhani3519
    @zakiaramadhani3519 2 года назад +2

    Masikini anatetemeka lkn kama kweli hakuwa na nia mbaya

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 2 года назад

    Hahaha duu kamuona mkuu wa mkoa mzembe wa kazi yake