Pole kwa Maradh yanayo kusumbua Khamials Pia Kaka Mungu akujaalie mwisho mwema niwachache wa aina yako kujitolea kwa ajili ya mtu asiye ndg nijambo lapekee sana
Poleni sana.. Allah Kareem amkirimu na mja wake huyu kwa afya nzuri. Hii ni mitihani kutoka kwake Allah kwa kila mtu... Allah atufanyie wepesi sote... Ameen
Mungu mwenye huruma naomba utende miujiza kwa khamisi ili aweze kupona hakika ww Mungu ndio Dakitari wa Madakitari pia ww ndio Dawa ya Uzima naomba kwa imani uponye huyu kijana na umtimizie mahitaji take Amina
Hima hima watz .. hapa ndipo kipimo Cha dini zetu kilipo kwa Mwenyezi Mungu.... Tuchangie kila tuwezavyo kumsaidia Hamis... Éee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz
Pole sana hamis ushaur wangu naomba umwombe sana mungu pia uwe na iman Allah yuko pamoj na ww jmn nmeumia sana kwakwelii ila kabla hufanya kuna mitiha mingi sana Mungu tunusuru na majanga haya!¡!!!!
Ya rahmaan ya raheem ya Malik ya quddus ya salam Ya allah ya kareem ya jabar Mwenyez mungu wewe ndio utoa maradhi kwa mitihah mbalimbali Ewe mwenyez mungu mfanyie mja wako wepes apone na. Mpe unafuu wa rizik na kila atakae ona ujumbe apatwe na moyo wa huruma amchangie kijana wetu huyu kama wewe ni mzima wa afya mshukuru mungu. Kwa kumchangia kijana huyu kwa uwezo wa mwenyezi mungu. { INSHAALLAH }. kwakweli imeniuma san hadi nimedondokwa na machozi!!!!
Uwepo wa mungu uliitajika hapo kuanguka chooni. Ilitakiwa. Maombi San. Mungu akufungulie. Baraka. Ukaponye. Nauwe na frahaa kama wengine pole San mdogo wangu
@@bigbossmanbossman6946 YESU kuwa msalabani alifanya kwa ajili ya kukulipia deni la mauti iliyosababishwa na Dhambi ya Adamu kwa hiyo alikuwepo pale kwa misheni maalumu.
Pole Sana Ndugu Yangu,Tafuteni Watumishi Wa Mungu Wakuombee Yesu Anaweza Kukuponya Na Utakuwa Mzima Wa Afya Kabisa Na Utayasimulia Matendo makuu Ya Mungu
Pole sana mdogo wangu kiukweli unatia huruma mm.nakushauri nenda kwenye maombi hii sio hali ys kawaida wengi wamedondoka kwenye mti lkn halo zao sio kama ww. jiongeze mdogo wangu .kwa Mungu yote yanawezekana Mumgu atakusimamia na utarudi ktk hali ya kawaida.
ya Allah tunakuomba msitiri huyu kijana wko ya Allah t7nakuomba sana sana yarraby 😔😔😔😔😭😭😭😭🤲🤲🤲 ya Allah msaidie huyu kiumbe wako anakuhitajia sana yarraby tunakuomba sana ya Allah
Pole sana kaka Khamis, Allah akupe faraja ya maisha, Allah akupe shifaa, Allah akupe mwisho mwema, Allah akupe imani yakua na subra na kutokukata tamaa, Allah ajaalie kwa mtihani aliokupa iwe sababu yakuingia peponi ya firdaus bila hisabu wala adhabu...
Looo Pole ndugu yangu mm natoka Kenya ila imeniuma kiimani jamani Mungu ni mwingi wa majaabu huu ni mtihani kwa walio wazima wa afya kwa hali yoyote ile tutafuteni pepp yake Allah kwa kusaidia watu wenye hali ngumu jamani
Mwenyezi mungu mfanyie wepesi mjawako mbele yako Allah hakuna chakushindikana , kiukweli tunaweza kulalama maisha magumu au kua unaumwa lkn ukimwangalia hamisi unakataa kua mi sio mgonjwa daa ugua pole ndugu mdogo wangu
Pole kwa Maradh yanayo kusumbua Khamials
Pia Kaka Mungu akujaalie mwisho mwema niwachache wa aina yako kujitolea kwa ajili ya mtu asiye ndg nijambo lapekee sana
Pole sama
Pole sana mdogo wangu Allah atakuwafu
Dh alhamdulillah kwa afya alonipa afya. Allah atakupa afya Nduguyangu Atapona kwamungu hakushindikni mama samia msaidie huyukijana wewe nimamayetu huunimtihni kweli hujafa hujaumbika
Ee Mungu mwili wangu unatetemeka sina cha kusema ahsante kwa maisha ya hamisi pamoja na yote bado yu hai Mungu wangu naomba umponye oooh God
😭😭😭😭😭😭mungu akufanyie wepesi
Mungu akupe falaja naamini kwamba hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho pole sana mdogo wangu 🙏🙏🙏😭
🙏🙏
😭😭😭😭😭😭😭oh Mungu nakuomba kwa huruma wako umsaidiye uyu mja wako 🙌
Poleni sana.. Allah Kareem amkirimu na mja wake huyu kwa afya nzuri. Hii ni mitihani kutoka kwake Allah kwa kila mtu... Allah atufanyie wepesi sote... Ameen
Ama kweri mja ujafa ujaumbika allah atakuafu mdg wang
Amina
Daa pole sana ndugu yangu Mungu upo na ww atakujaliya tu utaludi kama zamani
Yesu mdaidie kijana huyu
Mungu mwenye huruma naomba utende miujiza kwa khamisi ili aweze kupona hakika ww Mungu ndio Dakitari wa Madakitari pia ww ndio Dawa ya Uzima naomba kwa imani uponye huyu kijana na umtimizie mahitaji take Amina
Amiin
Pole sana mwanangu 😢 Mungu akupewesi .
Hima hima watz .. hapa ndipo kipimo Cha dini zetu kilipo kwa Mwenyezi Mungu.... Tuchangie kila tuwezavyo kumsaidia Hamis... Éee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz
Amiiii
Yaarabii mwili umeniishia nguvu yaarabi mola Wang 😢
Pole sana hamis ushaur wangu naomba umwombe sana mungu pia uwe na iman Allah yuko pamoj na ww jmn nmeumia sana kwakwelii ila kabla hufanya kuna mitiha mingi sana Mungu tunusuru na majanga haya!¡!!!!
Amiin
Pole sana kakaa mungu akufanyie wepesi upoe kwa haraka akuondoshee mtihani ulionao insha Allah Allahuma Ameen 🤲🤲🤲🤲😢😢😢
Mungu tupe mwisho mwemaaa na ampe wepesi hamc amina
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Alhamdulillah, mwenyezi Mungu atamfanyia wepesi inaimani jamii yenye uwezo wakimsaidia itakapatikana kwa Uwezo wa Allah
Amiin
Pole sana hamissi MUNGU atakujalia utambona Inishaallah 🙏🙏
Subhaana Allah mwenyezi mungu atakuraisishia matakwa yako
Dah! Mwenyezi mungu akuponye inauma sanaa naangalia huku chozi linanitoka
Polesana ndugu Allah akufanyie wepec na sote atupe mwisho mwema amiin
Ya rahmaan ya raheem ya Malik ya quddus ya salam Ya allah ya kareem ya jabar Mwenyez mungu wewe ndio utoa maradhi kwa mitihah mbalimbali
Ewe mwenyez mungu mfanyie mja wako wepes apone na. Mpe unafuu wa rizik na kila atakae ona ujumbe apatwe na moyo wa huruma amchangie kijana wetu huyu kama wewe ni mzima wa afya mshukuru mungu. Kwa kumchangia kijana huyu kwa uwezo wa mwenyezi mungu.
{ INSHAALLAH }. kwakweli imeniuma san hadi nimedondokwa na machozi!!!!
Pole sana Mungu akusaidie upone na ulud katika hali yako yakawaida 🙏🙏🙏
Poleni sana hamisi
Mungu akufanyie wepesi In Shaa Allah
Amoina
Amin
Pole Hamis Hashim,
Global tunawashukuru kwa kutujulisha khs ndugu yetu
Naomba mtupatie No za simu za kumtumia chochote kitu kimsaidie
Pole sana,,, mungu yupo pamoja nawe atakufania wepes kwan akuna linaloshindikana kwake
Pole sana Hamisi kila nikipita na kukuona pale mbezi kwenye ngazi nakuonea huruma sana mungu atakusaidia
Kumbe ndo huyu anaekuaga pale kwenye ngazi mbezi duu minajuaga mwanamke
Mbezi sehemu gani
Mm nilimuonaga kariakoo kwenye mwnd kas
@@abdibilali4186 mbez mwisho stand pale unapotaka kushuka ngaz
Pole mdogowangu mwenyezi mungu akuponye
Yesu wangu mbona haya mambo yanatisha sana mponye huyu kijana anateseka sana mungu wa mbingu mponye
Pole sana Mungu akuponye akushushie balaka zake,kuwa na imani siku moja Mungu atakuponya
Ee mungu naomba umponye huyu kijan mwenzang katika jina lako liishilo milele. Amina
Mungu akubariki kaka ukweli nimdogowako pole amisi
Dah 😭😭😭😭 asante mungu 🙏🙏 mungu atakuponya mdg wang
Pole mdogo wangu maradhi mtihani mtupu pole Allha atukufanyia wepesi
Subhannallah kabla hujafa hujaumbika mungu atakufanyia wepesi inshaAllah
Mungu wangu hujawahi kushindwa hata kwa huyu kaka bado unaweza baba NAOMBA UFANYE KITU MSAIDIE BABA APONE TENA AMEN
Pole Hamis Mungu n mkuu sana sana sana atakuponya
Pole sana kaka hamis MUNGU akutetee na akupiganie afanye wepesi uweze kusimama tena
Ooh mungu wangu tunakuomba usikie kilio cha waja wako kijana wako apone.
Subhana Allah siku nilimuona Mbezi Mwisho Wallah machozi yalinitoka Allah akufanyie wepesi upone
😭😭😭😭😭😭😭😭😭 mungu akusaidie mdogo wangu daaaaaah 😭😭😭😭😭😭😭😭
Daa! Kwakweli inauma sana pole sana isee ni mungu ni mwema utapona dogo
Mungu awabariki Yasin na mwenzio mnaomsaidia Hamisi
Mungu yupo pamoja na ww weka imani yako kwa Mola kaka yangu
Neema ya Bwana na iachiliwe kwake hamisi na mkono wa Bwana ukatende kazi juu ya afya yake. Amina🙏
Watanzania wenzangu naomba tuguswe n hili.
Allah awafanyie wepes mgonjwa na muuguzi kwa subra mliyinayo
Mungu mkumbuke hamisi katika magumu anayopitia mponye amen
Amiin
Pole Sana boy khamis mungu upamoja nawe🙏🙏
mungu akusaidie upate unafuu paka kupona muombe mungu nae atakusikiriza amina
Uwepo wa mungu uliitajika hapo kuanguka chooni. Ilitakiwa. Maombi San. Mungu akufungulie. Baraka. Ukaponye. Nauwe na frahaa kama wengine pole San mdogo wangu
Subhanna Allah pole Sana mdogo wangu mungu atakufanyia wepesi 🙏
Amiin
Daaa pole sana hamis mungu akusaidie sana
YESU KRISTO ANAWEZA KUKUPONYA.Tafuteni watumishi wa kweli wa YESU KRISTO.Wamuombee kwa Yesu atamhurumia.
kabsa kaka iyo sio hal yakawaida
Very true
Yesu hawezi kumsaidia kama yesu anaweza basi asinge sulubiwa angejisaidia yeye kwanza asipingwe na kusulubiwa 😂😂
@@bigbossmanbossman6946 YESU kuwa msalabani alifanya kwa ajili ya kukulipia deni la mauti iliyosababishwa na Dhambi ya Adamu kwa hiyo alikuwepo pale kwa misheni maalumu.
@@bigbossmanbossman6946 kumbe hum .na wajinga mumo
😭😭😭😭😭subhuhannallah yarab tunusuru ma maradhi Yoyote 😭😭😭alhamdulillah sina maradhi Yoyote yanayo nisumbua🙏🏻🙏🏻
Huna na usijivunie kuwa huna maana hata huyu hakua na maradhi Kama wewe hvyo hvyo ....hujaumbwa hujaumbika na hujaijua kesho yako
@@dallasmusic764 ndo maana namshukuru Allah maana sina maradhi kwahiyo alhamdulillah hatakama ninashida ila afya nzur alhamdulillah
Mwenyezi Mungu mweza akurudishie afya yako kijan Khanisi
Mwenyezmung akujalie akupe furaha ktk hali unayoptia..pole sana
Mungu wang Msaidie huyu mtoto. Wewe Mungu ndie Dactar Bingwa. 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Amiin. Amiiin.
Hakika Mwenyezi Mungu hushindwi jambo ninaimani utamwondoshea hii mitihani ya maradhi ndugu yetu Mtoto wetu Khamisi
Pole Sana dah
Mungu akutangulie upone🌘🙏
ဇ alihamdu lnlah labin alaamin asante mungu kwakunipa viungo vyote vya mwili
Daaa pole Sana Hamisi Mungu atakusaidia
Pole Sana Ndugu Yangu,Tafuteni Watumishi Wa Mungu Wakuombee Yesu Anaweza Kukuponya Na Utakuwa Mzima Wa Afya Kabisa Na Utayasimulia Matendo makuu Ya Mungu
SubuhanaAllah pole kaka
Pole sana mdogo wangu kiukweli unatia huruma mm.nakushauri nenda kwenye maombi hii sio hali ys kawaida wengi wamedondoka kwenye mti lkn halo zao sio kama ww. jiongeze mdogo wangu .kwa Mungu yote yanawezekana Mumgu atakusimamia na utarudi ktk hali ya kawaida.
ya Allah tunakuomba msitiri huyu kijana wko ya Allah t7nakuomba sana sana yarraby 😔😔😔😔😭😭😭😭🤲🤲🤲 ya Allah msaidie huyu kiumbe wako anakuhitajia sana yarraby tunakuomba sana ya Allah
Polee Sanaa Hamisi
Tunamuomba Allah husubhana wa taallah uonyeshe miujiza madr wajue tatizo nadawa Hamisi arudihaliyake kamazamani
Pole sana mdogo wangu mungu akujalie
Hiv mim kwa nilivyo hivi nashindwa nin kumtolea MUNGU zaka na sadaka ilio kamili na hata kuwasaidia wahitaji? 😭😭
Polesana mdogo wangu wakupeleke kwamaombi hizo ninguvu nyingine zinapambana na maisha yako mdogo wangu Mungu akusaidie upate huduma ya maombi
Kwa kweli kabisa , ukiwa mzima mushukuru mungu,
Na hiyo kuwasaidia wahitaji ndiyo ibada kubwa kabisa
Serikali mko wapi jamani kijana uyu anateseka ,daah pole sanaa mungu akutangulie
Duh jaman mungu amsaidie
Pole sana mdogo wangu kwa maradhi yanayokusumbua Mungu akunyoshee mkono wake wa uponyaji uweze kupona.
Pole dada Mungu akupe moyo wa kuendelea kumpenda mdogo akoo
Pole sana kaka Khamis, Allah akupe faraja ya maisha, Allah akupe shifaa, Allah akupe mwisho mwema, Allah akupe imani yakua na subra na kutokukata tamaa, Allah ajaalie kwa mtihani aliokupa iwe sababu yakuingia peponi ya firdaus bila hisabu wala adhabu...
Pokea uponyaji katika jina la Yesu Kristo 🙏🙏
Pole.sana wajina wangu Alllah ndo anajua Zaid hatima yako
Pole sana mdg wangu mungu atakujalia inshaallah
Pole sana kaka Mungu ata kusaidia
Asalaam aleykum pole sanaa khamisi na pole kaka mungu atakulipa fadhila yako
Dah wengne wazma wanalalamika maisha magumu hyu atasemaje mungu amponye.
Looo Pole ndugu yangu mm natoka Kenya ila imeniuma kiimani jamani Mungu ni mwingi wa majaabu huu ni mtihani kwa walio wazima wa afya kwa hali yoyote ile tutafuteni pepp yake Allah kwa kusaidia watu wenye hali ngumu jamani
Pole Sana mdogo wetu MUNGU AKUSAIDIE
Nahamini utakuwa salama kwajina la YESU🙏
Laillah illallah.Allah akijaaloe shifaa upone mwanangu
Pole sana mwanangu .,Nashauri apelekwe kwenye maombii hapo Buza Kuna mchungaji kwa Lulenge
Pole,Sana,mdogo,wangu,mungu,atakusaidia
Inshallah mdhamini atampata inshallah waaaah kwel kama ujafa ujaumbika
Mwenyezi mungu mfanyie wepesi mjawako mbele yako Allah hakuna chakushindikana , kiukweli tunaweza kulalama maisha magumu au kua unaumwa lkn ukimwangalia hamisi unakataa kua mi sio mgonjwa daa ugua pole ndugu mdogo wangu
Aiseeeee pole Sana Kaka mola akujalie
Mungu amsaidie
Pole sana na, mungu akutie,nguv
So painful...serikali imtazame hy kijana tafadhari
Allahu akbarr mungu akusaidie jaman
Pole kaka angu mungu ni mwema atakusaidia
😢😢😢😢😢😢😢pole xana ndugu yngu Allah akufanyie wepesi Upone
pole sana mungu akufanyie wepesiupone
Subhanallah mungu atakuafu mdogo wng
Eee mungu msaidie mtoto wetu kipenz tunakuomba mfanyie wepesi jamani
Polesana mdogowang Mungu wamalaki4 atakuponya Amin2 uponyaji wakiungu
Kama ww upo mzma sema asantee munguu
mwenyezi mungu tupe imani na uthubutu tumsaidie kijana mwenzetu
Pole sna kk mungu hatakuponyesha
Pole mdogo wangu usikate tamaa mungu atakuponya
Pole sana Khamis mungu ata kusaidia
Am speechless., nalia mm 😫😭😭😭hamis my prayers to you guys daaa
Mwambie mungu kilio chako kwani mungu htengeneza njia padipo na njia muombe mungu akponye nae atakponya nami nakuombeamungu akponye
Allah yuko pamoja nawe atakutekelezea inshaallah. Yah rabbiy mponyeshe mja wako huyu pia umjalie mwisho ulio kuwa mwema
Subhanaallah yaarabi wajalie wa gonjwa wote wapone yaarabi 💔😭😭🙏🙏🙏
EEee Mwenyez Mungu kwa Rehema zako wewe ni Mkuu Uponyaji ufanyik juu yake pole san
Pole kijana mungu akujalie
Pole sana mdogo wangu mungu akufanyie wepesi wa maumivu