INAUMA SANA: AJERUHIWA VIBAYA KICHWANI AKIAMUA UGOMVI, FUVU LAPASUKA, APATA UGONJWA WA KIFAFA...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 янв 2025

Комментарии • 69

  • @fatumasukwaju226
    @fatumasukwaju226 2 года назад +6

    Grobal hongereni kwa habari.Tatizo lenu amturudishii mrejesho.Mkirusha taarifa naomba mtupe na mwendelezo.Hata hivyo nimeongea na mgonjwa anasema tayari ameshaatend Muhimbili.Allah amponye .

  • @africandarling6925
    @africandarling6925 2 года назад +2

    Pole sana sana Kaka ALLAAH Yupo Pamoja nawe Insha Allaah Utapona

  • @happyjerry628
    @happyjerry628 2 года назад +4

    Pole sana kaka, mungu akufanyie wepesi na akupunguzie maumivu

  • @aishaaisharagp9381
    @aishaaisharagp9381 2 года назад +7

    Polesana Kaka Allah akusimamie dah mtihani kwakweli

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 2 года назад +2

    Pole sana kk
    Watu wa ata wana mioyo mibaya
    Wema umekuponza

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 2 года назад +1

    Pole kaka MUNGU akusaidie

  • @stellamwasha1409
    @stellamwasha1409 2 года назад +1

    Pole sana kakangu Mungu akupiganie wee

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 21 день назад

    Mungu akuponye!

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 2 года назад

    Subhannahllah pole sana Allah akuponye in shaa Allah.

  • @VeronicaMtita
    @VeronicaMtita 17 дней назад

    Aisee Yani nimeishiwa hata sijui niseme Nini ila kikubwa nakuomba kwa mungu utapona pole sana sana kaka angu pole sana mh

  • @mecksaloon81
    @mecksaloon81 2 года назад

    Pole ndg Mungu mkubwa atatenda juu yako usikate tamaa

  • @gorethnahimana3925
    @gorethnahimana3925 2 года назад +1

    Aaa pole sana kaka
    Mungu atakuponya

  • @olphamoraa6683
    @olphamoraa6683 2 года назад +1

    Pole sana kaka mungu yupo utapona kwa jina la yesu

  • @jumannerajabu6324
    @jumannerajabu6324 2 года назад

    pole sana ndugu yangu vumiriya mungu yupo nawe dunia mapito2 haijalishi unapitia changamoto gani mungu mkubwa unapona ishanlla

  • @aminaam281
    @aminaam281 2 года назад +3

    Pole sanaaa kaka 😭 mungu atakuponya

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 2 года назад +1

    Pole sana kk ajali kazin Allah atakufanyia wepes utapona inshaallah ni mtikhan tu ukiamua kukukuta kama mitikhan mingine

  • @sa3dasa3da87
    @sa3dasa3da87 2 года назад +8

    Kuna magonjwa mengine serikali inabidi isaidie wananchi jamani!!!hela inatafutwa lkn uhai wa mtu hautafutwi

  • @phibijuilus7748
    @phibijuilus7748 2 года назад

    pole sana kakayangu kwa maumivu makali unayopata . mungu akusaidie ww mutengeme mungu ndio kila kitu

  • @nancyjohnson6620
    @nancyjohnson6620 2 года назад +1

    Wanawake Kama hawa ni wachache Mungu akulinde

  • @julianacellestine801
    @julianacellestine801 2 года назад

    It pains. Mwenyezi Mungu akawe ndo kitululizo chako. Pole sana dunia ngumu

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 2 года назад +1

    Pole sana kaka Mungu atafanya wepesi utapona

  • @frolamazimba465
    @frolamazimba465 2 года назад +1

    Pole Sana kaka mungu akutangulie

  • @ZakiaSwai
    @ZakiaSwai 28 дней назад

    Pole

  • @hamisichodo6411
    @hamisichodo6411 2 года назад

    Pole sana Kaka yangu, Mungu aendelee kukuponya

  • @mosesfrancis3946
    @mosesfrancis3946 2 года назад +1

    Mungu awape nguvu amponye huyu kaka jamani

  • @ruqayaruqaya4283
    @ruqayaruqaya4283 2 года назад

    Pole kaka jmn hp dunian kuna watu wana matatizo 😭😭😭daah aisee mungu atakufanyia wepesi inshallah 😢

  • @tumajunior6080
    @tumajunior6080 2 года назад

    Pole kakangu Allah atakuondolea yote maumivu na mitihani kwa jumla

  • @rozylameck3500
    @rozylameck3500 2 года назад

    Pole xana kaka mungu akusimamie upone

  • @mariamalongo8803
    @mariamalongo8803 2 года назад +1

    Pole Sana

  • @vidalyuki4916
    @vidalyuki4916 2 года назад

    Pole San kaka mungu atakusaidia

  • @emmanuelkushaha9038
    @emmanuelkushaha9038 2 года назад

    Pole mungu ni mwema utakaa sawa

  • @redemptionmkanga3610
    @redemptionmkanga3610 2 года назад +1

    Mungu anakupa pumzi ili sisi tunaokuona tuushuhudie ukuu wake kwa hiyo Hali km bado unaishi endelea kumshukuru Mungu utapona tu kakaangu

  • @mariamhamisi598
    @mariamhamisi598 2 года назад

    Pole san kk allah yupo Nasi atakusaidia utapon kwa uwezo wake allah

  • @ivankivinge2987
    @ivankivinge2987 2 года назад +2

    Pole sana kaka.

  • @lovenessyohana1247
    @lovenessyohana1247 2 года назад

    Daah pole sana kaka angu

  • @alalwialalwiii8194
    @alalwialalwiii8194 2 года назад +1

    P0re Sana kaka yangu mungu nimwema kwakwer

  • @rahmarahma920
    @rahmarahma920 2 года назад

    Polesana kaka

  • @phibijuilus7748
    @phibijuilus7748 2 года назад +4

    huyu mwanamke unaupendo kwa kweli na mumeo

  • @zamdakimaro2973
    @zamdakimaro2973 2 года назад +8

    MTANGAZAJI NA YEYE ANASHIDWA KUINUA MKONO MPAKA MGINJWA ANAINAMA KUONGEA ,POLE SANA KAKA NINA UHAKIKA UTAPONA

    • @lonelady3368
      @lonelady3368 2 года назад

      umeonae.ata mimi nimejiuliza ivyo..anamchokesha sana

  • @phibijuilus7748
    @phibijuilus7748 2 года назад +1

    jamani pole sana kakayangu

  • @maremidundo8130
    @maremidundo8130 2 года назад

    hapana selikali huko kamaalie tekeleza hiro unakutana nae mtaani inaonesha yuko juu ya Shelia😭😭😭😭😭😭

  • @sintaibra355
    @sintaibra355 2 года назад +2

    Pole Saana Kwa Yote

  • @kenethmichael5427
    @kenethmichael5427 2 года назад

    Pole yake

  • @samiaarimkonekonko5096
    @samiaarimkonekonko5096 2 года назад

    Daaa pore sana kaka yangu😭😭😭😭

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 года назад

    Mtihani mkubwa

  • @deogratiusdeo6954
    @deogratiusdeo6954 20 дней назад

    pore sana kaka ata mm nilipata tatizo hilo ila mm nilipona tatizo tu sikio halisikii pia na kizunguzungu lakini huyo mtu aliekufanyia hivyo mungu atamlipa tu

  • @hanifaalbalushi2483
    @hanifaalbalushi2483 2 года назад +1

    Sasa huyo babamdogo ni Shetani kabisa

  • @luckyrasuli525
    @luckyrasuli525 2 года назад

    Jaman n nzi wanakichimba tena kitajitengeneza shimo

  • @fatumasukwaju226
    @fatumasukwaju226 2 года назад

    Mmmh.bado namfikiria huyo baba mdogp kutokutoa taarifa.

  • @neema_mollel
    @neema_mollel 2 года назад +3

    Haya mambo ya kuamua ugomv c mazuri .Sasa ulipoambiwa ngoja niuoneshe c ungekimbia 😲😲

    • @didadisminder5559
      @didadisminder5559 2 года назад +2

      Kweli kabisaaaa unaangalia na ugomvi wa muamuwa na ckuzi anaeamuwa ndo kinamkuta

    • @judithmelvinealuchio8968
      @judithmelvinealuchio8968 2 года назад +5

      sasa kuna vitu vikikufwata ndugu yangu uwezi ukaepuka mungu ni mwaminifu maana hakuwa na mbaya atapona katika jina la yesu Christo mukombozi wa maisha yetu 🙏🙏🙏

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 года назад +1

      @@didadisminder5559 ndooo maana wengine huwa wakiona ugomvi wanaangalia tu mpka mwisho

  • @anatolimayot4303
    @anatolimayot4303 2 года назад

    Mbona ni kama mwiragh wa mbulu

  • @aminaabdalla9949
    @aminaabdalla9949 2 года назад

    Jamanimtangazaji inua Mike juu huyu atacama kuima

  • @SeverinoLuis-j1h
    @SeverinoLuis-j1h 14 дней назад

    Uyo aliekupiga yupo polisi

  • @luckyrasuli525
    @luckyrasuli525 2 года назад

    Huyu dada hajui kuhoji anarudia maswali

  • @margarethsolomon9823
    @margarethsolomon9823 2 года назад +3

    Mi. Nampa pole. LAKINI ninashikwa na ukakasi wa maelezo yake. Mtu aliyempiga yupo hai!!, Wakikutana huyo mtu anakwepa njia. Kwa vipi yuko huru, hakupelekwa hata mahakamani!!! 🤷 Na je huyo nduguye aliyemsababishia kipigo ni kwa nini alikimbia wala asitoe hata taarifa huko nyumbani kwao mpaka kesho yake aje kuokolewa na bodaboda mwenzake? Okay 🤗 hakuna hata ndugu mmoja ambaye angeweza kumsimamia kesi ya kupigwa bila sababu ya msingi? Ninapata mashaka sana na sababu za ndugu huyu kupigwa vibaya vile na wale wasababishi wake wote kukimbia. Mhuuuuuuuuuuuu 🙄 I am so wondering about his statement.

  • @tiphabashiry1797
    @tiphabashiry1797 2 года назад

    He yupo huy mtu du hajakamatwa

  • @yes2676
    @yes2676 2 года назад

    Hiyo mihela ya mikopo ya COVID ikowapi Mama? Au Hawa Huwa hamuwaoni? Mnafuatilia tu wezi wa simu????

    • @faridamapogolo2892
      @faridamapogolo2892 2 года назад

      Kweli jamani hivi viongozi hawaguswi na shida za watu

  • @phibijuilus7748
    @phibijuilus7748 2 года назад

    pole sana kakayangu kwa maumivu makali unayopata . mungu akusaidie ww mutengeme mungu ndio kila kitu

  • @mosiuledi4598
    @mosiuledi4598 2 года назад +1

    Pole sana

  • @genelnchera5607
    @genelnchera5607 2 года назад

    Pole sana kaka

  • @nunuuali5316
    @nunuuali5316 2 года назад +1

    Pole sana kaka

  • @djnangaxtwo2975
    @djnangaxtwo2975 2 года назад

    Pole sana