" When watching/ listening to such horriable, demonic stories from Tanzania, i wonder/ask my self: Si ni hawa jirani zetu wanajifanya watakatifu/ Heshima, waungwana kumbe ni wakorofi kiasi hichi? What the hell ya utajiri baada ya kuuwa jamii yako, kuleta maafa nyumbani? i look these people with an other eye now! Wakenya tujichunge , kuna hatari ya kuleta mila hizi kwetu!!
Knowledge is power ,we need to learn uwe muislamu au mkristo ,wakubua wa madini wameshindwa ,sasa wacha tufunzwe na ex mchawi amb aye ameongea name shetwani USO kwa USO nasasa ako kwa mungu mumbaji yote,lord God take care of this young man meshak hassan
Ulikua mchoraji kama mimi hata mi pia nimeishi singida shuleni kwenye uchoraji nilikua napata macks 99% kwa sababu hiyo mpaka hivi sasa mi ni fundi mzuri sana wa kushona hata hapo Dar niliku maarufu sana sa ivi niko inje ya inchi lakini hata huku wananiita the best tailor in sadec .
Kama kuna mahubiri nasikiliza hadi mwisho. Sio wote washirikina tunataka mambo ya kiganga kwani tunataka kuwa waganga wa kienyeji.? Kuna wengine tunapenda shuhuda za nguvu za Mungu. huree😤
Shida yenu hamuitaki kweli.Katoa hoja nyingi nzito cha ajabu badala ya kujibu hoja mmebaki mnalialia. Mara hajui kiarabu,mara sio msomi,nani kawaambia ili kujua siri za Mungu lazima uwe msomi. Kwahiyo ambao hawajasoma hiyo elimu mbinguni hawaendi?
Kumbe hata hujui kuwa kitabu cha dini yako(Quran) kinaeleza siri za Mungu? Sa siku zooooote huwa unaenda msikitini kujifunza nini? Kumbe ndo maana hata Meshaki hamumuelewi. Mungu katumia manabii na vitabu vitakatifu ( Bible) kutujulisha siri na mambo mbalimbali tusiyoyajua kuhusu yeye na Malaika,ambao kwa macho ya nyama hawaonekani.
Hahahaaa.. yan huyu jamaa km vile mm story yake inavoanzaa... nilikuwa mchoraji sana. Na darasa la 4 academicaly nilianza kushuka kiasi flan huku dingi nae alikua na mpungaa wa kutosha.. sema tu mimi sijatafuta mali kibabe km mzee mtafya hapa😂😂😂
bora story ya huyu yule jamaa anayeitwa hassan anaonekana ni mdini snaaa na anajifanya anajua sanaa wakati kunawatu umewahoji humu wanajua mambo meng zaidi kuliko yy
Wakina Mtafya ni watu wanaopatikana mkoa wa songwe wilaya ya ileje. Wako mpakani kabisa na malawi. Ni kabila dogo ila lina manjengeka sana haswa ushirikina. Okay tuendelee na story yetu.
@@eishstoner6692 YESU KRISTO ndio Mungu wa kweli na ni BWANA na mwokozi na Zaidi ya yeye hapana Mungu mwingine tubu na kumuamini YESU KRISTO kabla haujachelewa
Congratulations davistarmata nice work unaenda mbali

Amen mtumishi, haogopi kusema kweli
Bora huku huku 🔥🔥🔥hatutaki mahubiri ya uongo na kweli
Mahubiri ya kweli ni yepi? Mbona hii trela tu tayari wana maombi wametatwa? Huwezi kukwepa nguvu ya Yesu ni km maji usipokunywa utayaoga.
Kabsa
Pole Sana YESU KRISTO ni BWANA na mwokozi na zaidi ya yeye hapana mwingine
Embu tupishe sie wewe usiyejua lolote na pole kama yalikuchoma😂😂👌
Hahaha rosebkingalu nakuitaa Mara tatu.. 🤭🔥🔥😂
Braza wangu kabisa huyu
Wa ileje tuko hapa.. gonga like
Meshak tayari radi imempata nini
Aende tu hatuna mbaya naye
Asante......davistar kumbuka kumleta lwanda magere tena🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hi
Hi
Love this story big up Davistar
Mzigo mpya kabisa huu 💥
Ulikua mchoraji kama mimi hata mi pia nimeishi singida shuleni kwenye uchoraji nilikua napata macks 99% kwa sababu hiyo mpaka hivi sasa mi ni fundi mzuri sana wa kushona hata hapo Dar niliku maarufu sana sa ivi niko inje ya inchi lakini hata huku wananiita the best tailor in sadec .
Hizi ndo za kwetu... Maubiri yalikuwa mengi bn.. 🤗🤗🤗
Hii story tam sana! Pa1 sana davista
Davsta hii ngoma Kali kabla hata sijaangalia mzigo mzuri wapi some awadh💣💣💣
Mm hapa darling 😘
Vituvyetu ivi Sasa umeona jamaa alivyo tulia
Twende Kazi Mr....
Story nzur sana cngrtn mr davistar
Kazi zuri Sana...Mr Davista🇰🇪🇰🇪
Doh maskini wachawi walikuona mapema sana pole sana
Mahubiri yanamaana yake hasa kwa mtu anaemjua mungu
Story ya meshack umeipenda eee?
Unaanza vizuru Davista mata kumaliza story humaliziagi
Another story , hongera Davistar
Simulizi matata Sana huyu nilimsikia RFA
Nice davista
🇰🇪🇰🇪🇰🇪tunakupenda mr everything
Hi
Ileje huko kama unaelekea malawi
Nilikuhama kdg kwasababu ulituwekea mahubiri
Karibu 🌹
Unampenda uongo ,kwa YESU KRISTO ndio kweli ,utakimbia tena YESU KRISTO akirudi
@@marianachriss2444 🥰🥰
Big up bro mungu abariki kazi ya mikono yako
Hi story mi naijua sana! Huyu jamaa mi namjua sana! Yuko na story ya hatari!
Yap
Story fresh🇧🇮🇹🇿👌🏿
Zungu nishaingia Mr dm💪
Story kali 😍😍😍
Kama kuna mahubiri nasikiliza hadi mwisho. Sio wote washirikina tunataka mambo ya kiganga kwani tunataka kuwa waganga wa kienyeji.? Kuna wengine tunapenda shuhuda za nguvu za Mungu. huree😤
Namkumbuka sitosahau hatari sana😂
Uyu jamaa ni noma story yake iko🔥🔥🔥
Meshak ako wap davisty
Kusaidiana katika kulima au kazi
Ni '' ujima''
Ndo naianza 🔥🔥
Davista tatizo lako humalizi story!! Tunahitaji habariza meshaki
meshack anamgawa na mashabiki na analeta udini na maubili humu kama hii channel ni ya kidini tunaomba tujue
@@saidiissa8729 we Ndio mnababaishaji hutaki kuamini kweli mgawanyiko wa nini ,kumbe watu wanapenda uongo
@@marianachriss2444 km unavyo danganywa ww
@@aminaally863 pole Sana yamwkuchoma na hiyo hizo unazitaka mwisho ni huohuo unaokataa ,roho inayokataa kweli ndio itakayo kufa
@@marianachriss2444 kila nafsi itaonja umauti
Naomben mniitie somoe awadh.. pill mussa na credoo harakaa.. 🔥🔥🔥🔥🤭
Saiv watafika
Zuu blessed yuko wap mbona simuon ata comment na Fatma
Nishajieleta mama🤣
Awaitiki
@@fatmamucha4419 beby sijui hataa .. mwenyew namtafutaa.. 🤔🤔🤔
Jamani kuna watu wana roho mbaya laki 8 unapewa elfu 40 tena nusu nusu
davista acha na meshack ataleta mgawanyiko...sio shuhudaa yake ile yuakejeli uislamu na nahana elimu yyote..
Shida yenu hamuitaki kweli.Katoa hoja nyingi nzito cha ajabu badala ya kujibu hoja mmebaki mnalialia. Mara hajui kiarabu,mara sio msomi,nani kawaambia ili kujua siri za Mungu lazima uwe msomi. Kwahiyo ambao hawajasoma hiyo elimu mbinguni hawaendi?
@@kamgomoli3650 wee uliskia wapi mtu akujua Siri za mungu
Kumbe hata hujui kuwa kitabu cha dini yako(Quran) kinaeleza siri za Mungu? Sa siku zooooote huwa unaenda msikitini kujifunza nini? Kumbe ndo maana hata Meshaki hamumuelewi. Mungu katumia manabii na vitabu vitakatifu ( Bible) kutujulisha siri na mambo mbalimbali tusiyoyajua kuhusu yeye na Malaika,ambao kwa macho ya nyama hawaonekani.
@@kamgomoli3650 kuna kitu chaitwa *ghaib*
@@eishstoner6692 Ndo nini hicho mimi sio mwarabu fafanua!
Kaka dav una2pa mavi2 xna yaan
Sauti hamna Davista
Du,! 😳 Kunawanyama na binadamu, Pesa ya ufundi kutoka laki8 jamaa katili balaa
Turudishe kwa Meshak
Lete mbili mapemaaaa...
Ok huyu ndo rayton??
😟
Hahahaaa.. yan huyu jamaa km vile mm story yake inavoanzaa... nilikuwa mchoraji sana. Na darasa la 4 academicaly nilianza kushuka kiasi flan huku dingi nae alikua na mpungaa wa kutosha.. sema tu mimi sijatafuta mali kibabe km mzee mtafya hapa😂😂😂
Mzigo mpya umeingia njoon
Ndiyo tumefika asanteee❤❤❤❤❤💋💋💋💋
@@pilimusa7770 asante kwa kufika ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Alie fikiri huyu kaka ni aristote mkono juu
☝️☝️
Huyu si laiton
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
bora story ya huyu yule jamaa anayeitwa hassan anaonekana ni mdini snaaa na anajifanya anajua sanaa wakati kunawatu umewahoji humu wanajua mambo meng zaidi kuliko yy
Sindano imewachoma kwa YESU KRISTO ndio kweli , tubu na kumuamini YESU KRISTO kabla haujachelewa
Story tamu
Tumalizie story ya Meshaq please
Wakina Mtafya ni watu wanaopatikana mkoa wa songwe wilaya ya ileje. Wako mpakani kabisa na malawi. Ni kabila dogo ila lina manjengeka sana haswa ushirikina. Okay tuendelee na story yetu.
👍
Waliiba wanapigwa hadi wakapotesa fahamu 😲
Nimechelewa leo 😔
Ndio kufika muda huu.
💪
Story tamuu
🇰🇪🇸🇪🕹
Santa dav
Wa4
Hongera
Dev saut niki dogo sana ongezen saut
Bado ushuhuda wa meshack haujaisha ,tunataka huo usitutoe kwenye point
Ushuhuda gani laana we na meshack..watoto wa iblis...
@@eishstoner6692 unaambiwa siku ya kiama allah baada ya kuwachukuwa watu wake na kuwawek kwenye moto
Nae anaingia
Alaf bado hushtuk😂
@@kaatayari9555 hahahah Duuh shetani muongo sana ,kwa YESU KRISTO ndio Mungu wa kweli na Zaidi ya yeye hapana Mungu mwingine
@@eishstoner6692 YESU KRISTO ndio Mungu wa kweli na ni BWANA na mwokozi na Zaidi ya yeye hapana Mungu mwingine tubu na kumuamini YESU KRISTO kabla haujachelewa
@@eishstoner6692 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mbavu zangu uwiiiii
Ugumu katika ukoo
Iyi ndio story zakutuletea za yule jama yako
Sindano ilikuingia mpaka ukalazwa, pole sana YESU KRISTO ni BWANA na mwokozi na Zaidi ya yeye hapana Mungu mwingine tubu kabla haujachelewa
Nice davista