Jamani unanikosha meme naomba na meme nipeleke kidibwi tukainjoi wote meja kunta ❤️❤️ leo naomba unipe ata link yako apa kunta namm nivimbe kitaa kwetu
Kuna sehemu ukiwepo ww yan utakuwa msanii namba moja tajir TZ , ww balaaa mc na mzee wa bwax, subirin nipate pesa nyingi nitajaribu kufanya hilo aisee 🙏🙏🙏
Mashabiki wa kijana wetu Meja kuntah tujuane kwa likes hapa
Wengine wanabahatishaga 2 singeli kiboko meja kunta bhana👌🇰🇪
Mnanifanya nizidi kujivuna kuzaliwa Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥
sengeli wawaaciye wenye nayo bwana iyi ndo sengeli apana kuvamiya fani zisizokuwa zenu big up meja wew ndo baba lao kwenye sengeli nakukubali sana
Nipeni basi na mimi like 10 tu jamani ... Meja KUNTA ajawai kukosea💥💪.
Umetaka likes kumi tuu zilizozid rudisha
@@josephshirima7057 😜😂😂 ngoja nikugawie angalau nusu kidogo.
Meja simping
0
Utantoa rohooo...mie c mshamba wa mapenziii .... Jangala akisha kewa unamjua.❤❤❤
Kwahyo hii nyimbo umemuimbia Paula weeee
Ngoma kali sana kama umeielewa gonga like twenzetu
Kwan hizo like mnapeana kindugu nini...hebu hapa dondosha hata moja tu
Singeli 🔥 🔥. Nipe like from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Meja kwahii ngoma mm naenda kukununulia viw kwa hela yangu
Noma Sana
Hv nanderev wa sngel freva kam sio meja anaye kubaliana na hil alike
Oya Weeeeh kidimbwi sio poa
Gonga like back
mwanangu unaua stress, vibe linachipua nani wakukamata na hujavunja sheria wala nazi.
Gonga like kama unakubalina na mimi, Meja kunta ndo mfalme wa singeli🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🔥
Rais wa singeli.🙌🙌🙌🙌
G maker hata angebana tako lazma utoboe
Me ndo nakamilisha comment ya 100 apaa,,,,nachokubali mejakunta akitia singel maneno yanaeleweka na anasikika anaimba nn
☝️☝️☝️🎶🎶🎶
Wahuniii wanachanjaaa kadiii
Ayawee ayaweeee! Nikipenda sisubili
Mi mshamba wa mapenzi
Nikipenda nakua boya kweli.....AU CIO.
Chomaaaaa tenaaaaa
Huyu sasa ndio rais wa singeli nchini tanzania meja meja meja
🔥🔥🔥🔥🔥MK #kidibwi umeua
Nikishapenda huwa boya kishenzi
Nampenda meja kimya na nyimbo zake zote ninazo na nimezitolea rimx ila sina pesa ya kwenda studio saport naomb
Mtu mbaya mejja kunta💯💯🇹🇿🇹🇿🇰🇪🇰🇪
Kunta uko juu baba....shangwe from +254
WANANGU WANACHANJA KADI! Meja kama meja Ngoma Kali sana
Yani wewe unaga show mbovu unanikosha miyeeeee💖
Watu wa buza kwa mpalange tujuane
Yaaan hapa nausachi kwenye audio marck na siupat #meja tuwekee kwenye audio mack buana 💕💕💕💕💕💕💕
Oooooyaaaaaaaaaa ni mda wetu weweeeee
Dogo kwa bongo hii hakuna ✓✓✓✓ good Singer ♨️♨️♨️🛫🔥🔥🔥🔥🔥
Nyimbo kalii xana
Ngoma kali namkubali sana brother meja kunta 🎶🎶🎤💪🎼
Meja ameua tena ...Tumweke apo #No 1 Trend ....Katupo pampja gnga Like😘😘
Dah iyo ngoma nikali sn 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🎉🎉🎉🎉
Much love for Singeli... ❤❤❤❤
Wa kwanza like zangu hapa
Meja ndoo mkali wa singeli
Niko apa naenjoy siendi popote 🔥🔥🔥🔥😍nipo kindibwi
Kidimbwi kwetu kuna madimbwi like za kuinjoi na meja kunta
Meja ajataka dharau za DO LET ME GO
Jamn mbn sipatagi likes,,,,nmekosea wap 😥
Kaoge maji ya mgomba
Haipo ngoma ya huyu mwamba nisiyo ielewa zote nazipata frexh sanaaaa
Mejja kama mejja haipingwi dingii 👏👏👏👏❤❤❤❤
Naitwa mista misifaa nasifai nasifazangu mbili
Sifayakwanza nikipenda sisubiri😁😁
Mbili mxhamba wa mapenzi na nikipenda huwa boya kixhenz🤣🤣🤣
😂😂 Umetisha.
We mtoto hatar umetisha umu
Kali sana iyo🔥🔥🔥🥵
Jamani unanikosha meme naomba na meme nipeleke kidibwi tukainjoi wote meja kunta ❤️❤️ leo naomba unipe ata link yako apa kunta namm nivimbe kitaa kwetu
😂😂😂😂🍎🍎🍎
Huyu ndio mnyama kwenye singeli hata sauti yake 🔥
kenyan love....kaliiiii sanaaa!
meja mkali sana issa msaga sumu nakuelewa ningekuwa nadada ningekupa
Meja kama meja kwenye huu mziki ni 🔥🔥🔥🔥
Wanachanj kad
Nyimbo kaliii hiii
Bonge moja la ngoma kaka umeuwa tunazid kuwakimbiza mk forever more💥💥💥💥💥💥💥💣💣💣
Nakubl mzee wa show
We dogo unajua achia mawe bab fireeeee trust me 😀😀😀👍👍👍
Utajua hujui
Achia video sasa mzee baba
Ayaaaaaaa weeeeeeeee
Baba eeeeh nimefanya kurudia kaliiiiiih mpka kidogoni
Sema kidimbwiiiiiiiiii
oya Meja tungia hii ngoma nyimbo ya simba 🦁🦁🦁. utakuja kunishukuru. kama unaamini itakuwa fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 gonga like apooo
hahahahah😅😅😅💪🦁👈👈🦁
Kidimbwi kama Kidimbwi utatuuwa wweeee
Kuna sehemu ukiwepo ww yan utakuwa msanii namba moja tajir TZ , ww balaaa mc na mzee wa bwax, subirin nipate pesa nyingi nitajaribu kufanya hilo aisee 🙏🙏🙏
Chukuwa mauwa yako hayo hapo 💐💐💐🙌🙌🙌
Unajua sana mzee baba 🙏
Ndemla unapiga piga si usibili 😅😅😅 noma sana meja twende kidimbwi tukaenjoy
Mm mjinga wa kupenda,,,,,,,nakuwa boya twende kidimbwi 2kaenjoy
You did it again🦊🔥🔥🔥
Njoo uku south korea mji wa soul
🔥🔥🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾KIDIBWI
Hakuna wakufata moto huu
mejaaaaaaah wee nomaaaaa
Tumehikubali🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸✋ hello my African
Tunapata kutoka south korea mji wa soul goma linapigwa sana club
Ayaa wee. Meja Kunta umeuwa kaka🔥🔥🔥+974..
Umetisha meja
Kiboko wa sjngeli. Hujawahi niangusha kabisa. Like 20 kwa wale tunakubali
Noma sana
Yani meja unajua mpaka unajua tena 😊
Kuna waimba singeli na meja kunta
Meja power kwa singeri we ni king
Kizazi sana
YAPENDEZA KWELI WIMBO MZURI
Nomaaaa sanaa naomben laik zenu
Kidimbwi nakuja twende wote
Ebwanaaaa
Eyo keniiiiiiii hatari hii kitu
Mk noma xana haipingwi 🔥🔥🔥
Mad love outta Nairobi
Bado ujawakalisha chinga na kinata meja ngoma yako bado sana na autowatoa number one trading 🇶🇦
Miuno fen jaman utania
Kidibwiiiiiiiiiii
Meja anaandika verse ndefu noma yaan habahatishi
Nzuri san❤
makin xana hii ndo singeli mdogo meja
Na twende kidibwi tukaenjoy...gonga like twende
Nice song