Kuku mkavu | Mapishi rahisi ya kuku mkavu mtamu sana.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 82

  • @RukiaLaltia
    @RukiaLaltia  4 года назад +5

    If you would like to watch this video in English language press the link ➡️ ruclips.net/video/6LiOuRsrohE/видео.html

  • @tajiriskitchenswahiliflavo1723
    @tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 года назад +2

    Kuku avutia huyo masha'Allah, nimpate na ugali mwembamba😋👌

  • @asmaakale6941
    @asmaakale6941 2 года назад

    Mashaallah dada Mungu akupe afya na uzima uzidi kutupa ujuzi

  • @mariamibrahim9855
    @mariamibrahim9855 4 года назад +6

    Wow so yummy, , thank you always for sharing your talent,,my favourite female chef

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 года назад

      mariam ibrahim awww thank you soo much dear

  • @kikwaleelisha1588
    @kikwaleelisha1588 4 года назад +3

    Nimependa sana preparation

  • @cookingwithmimmo
    @cookingwithmimmo Год назад

    Napenda sana mapishi haya

  • @hadijaidrisa4567
    @hadijaidrisa4567 4 года назад +2

    MashaAllah,it looks so yummy..!shukran habibty...!

  • @fkhalfan31
    @fkhalfan31 4 года назад

    Mashallah shukran ukhty jazaakallah kheyr kwa mapishi mazuri😋😋

  • @shamzone388
    @shamzone388 4 года назад

    mash allah nimependa sana Shukran sana habibty kila la kheir

  • @salhsalma9009
    @salhsalma9009 4 года назад

    Mashaallah tamuu,,,,ntajaribu

  • @thehonesty6765
    @thehonesty6765 4 года назад +2

    Shukran sana Allah ijazik kheir fi duniya wal akhera

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 года назад

      Oman triplets Mom ameen yarabi inshallah shukran habibty

    • @thehonesty6765
      @thehonesty6765 4 года назад

      Wajib habibty

  • @haleemaramzan3875
    @haleemaramzan3875 2 года назад

    Ma Shaa Allh

  • @djumamariam1810
    @djumamariam1810 4 года назад

    Shukran sana my dear. Mungu akujalie kheri kwa juhudi zako za sadaka unazo tufundisha.

  • @Zowazowa-xu1gk
    @Zowazowa-xu1gk 11 месяцев назад

    Mashaallah tabarakallah ❤

  • @mariamissaahmed7675
    @mariamissaahmed7675 4 года назад +1

    Yummy! Mouthwatering recipe Thank you 👌

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 4 года назад

    Shukrani sana,kuku mtamu km sauti yako.Mungu abariki mikono yako

  • @blackbarbie2479
    @blackbarbie2479 4 года назад +2

    U made it seem so easy thanks 😊

  • @zuwenambarouk4592
    @zuwenambarouk4592 4 года назад

    Maashaallaah

  • @fatmamohd1184
    @fatmamohd1184 4 года назад

    Mashaallah tunahitajihizo bidhaa

  • @thehonesty6765
    @thehonesty6765 4 года назад +2

    Habibty recipe zako wallahi ni tamu zina ladha ya pekee ...NIAMINI

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 года назад

      Oman triplets Mom shukran sanaa

    • @thehonesty6765
      @thehonesty6765 4 года назад

      Afwan Qalbi🌹

    • @shamzone388
      @shamzone388 4 года назад +1

      Kweli kabisa kama chakula chako ukipika habibt ni kitamu sana love you

  • @alihaji1988
    @alihaji1988 4 года назад

    mashallah shukran kwa mafunzo mazuri allah barik

  • @shakilashariff7024
    @shakilashariff7024 4 года назад +5

    Yummy 🥰😘

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 года назад

      Shakila Shariff shukran habibty

  • @halimahalum3008
    @halimahalum3008 4 года назад

    Masha Allha

  • @ahlamahlam-tt4lx
    @ahlamahlam-tt4lx 4 года назад

    Assalamu Aleykum Rukia nakuliza nikipika tuwi ya nazi ya mbahazi enakatika

  • @beatricemkinga3351
    @beatricemkinga3351 4 года назад

    Hizo spice tu jmn but hongera Kwa mapish matam

  • @ayushiashanty9818
    @ayushiashanty9818 4 года назад

    Shukran tuambie tuliokua mbali na Tanzania na Kenya tutapataje hiyo huduma belgium

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 года назад

      At the moment tunatuma Eastafrican pekee yake ,Europe na nchi zengne bado

  • @ashamidello8298
    @ashamidello8298 4 года назад +1

    So fantastic darling!😋😋I like it!

  • @gladysmaitha5724
    @gladysmaitha5724 4 года назад

    napenda mapishi yako sana

  • @thumakhamy657
    @thumakhamy657 3 года назад

    Mashallah

  • @rashidashafii3148
    @rashidashafii3148 4 года назад

    MashaaAllah

  • @uwinezakaneza7536
    @uwinezakaneza7536 8 месяцев назад

    Shukran Dear

  • @najlaskitchen1572
    @najlaskitchen1572 4 года назад +1

    Thank you for sharing dearest

  • @namirial4509
    @namirial4509 4 года назад

    Safi

  • @julianasabrere6198
    @julianasabrere6198 4 года назад

    Au viungo gani vizuri kwa nyama ya bata?

  • @julianasabrere6198
    @julianasabrere6198 4 года назад

    Hii process naweza kutumia kwa nyama ya bata ?

  • @swideranthony4126
    @swideranthony4126 2 года назад

    Aaaaah we dada unatumia spices nyingi sana bhna khaaaa

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  2 года назад +1

      😂😂😂😂😂 tumia ambazo unazo...bora ushajua mbinu yakupika au sio

    • @judiestephen1502
      @judiestephen1502 2 года назад

      🤣🤣🤣🤣umeona eee

  • @fatimasaid4855
    @fatimasaid4855 3 года назад

  • @ashamidello8298
    @ashamidello8298 4 года назад

    Spice my dear nitakuwa tu mteja wako mamii❤

  • @happysalvinus3695
    @happysalvinus3695 2 года назад

    Tunaomba majina ya spices

  • @julianasabrere6198
    @julianasabrere6198 4 года назад

    So yummy dear, naweza kufata hiyo process yote ya viungo but nikamkaanga na mafuta?

  • @hadijasalum7731
    @hadijasalum7731 2 года назад

    Samahan kipenz nimependa mapishi yko, ila ningependa kujua Kam ntaweza kupata hizo spices

  • @TegemeoGadsonbarunguza
    @TegemeoGadsonbarunguza 8 месяцев назад

    Nitumiye.nabayako

  • @saeedmassoud256
    @saeedmassoud256 4 года назад

    Mm nipo Zanzibar napataje spice nataka kununua ?

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 года назад

      Kwa sasa hatuna wakala zanzibar wala tz tunatuma mzigo tu , malipo ya u safiri unalipia

  • @millionsofreasons9806
    @millionsofreasons9806 4 года назад

    Hii yogurt mnaotumia ndo ile ya kunywa !?

  • @julianasabrere6198
    @julianasabrere6198 4 года назад

    Una wakala wa viungo Tz?

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 года назад

      Juliana Sabrere ikiwa unataka ndio tunatuma tz

  • @DidahHabib-ye1oe
    @DidahHabib-ye1oe Год назад

    4

  • @bridgetantwi533
    @bridgetantwi533 4 года назад +1

    Looks super yummy. Too bad u didn't at least state the English names of the ingredients in the video😩

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 года назад

      All my videos are in English and swahili

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 года назад

      ruclips.net/video/6LiOuRsrohE/видео.html

    • @bridgetantwi533
      @bridgetantwi533 4 года назад +1

      Thanks so much. Later saw ur pinned comment n watched. You hv great recipes new subscriber

  • @sweetydullah1109
    @sweetydullah1109 4 года назад

    Namba ako ya sim kama nahitaji spices

  • @salimmasoud272
    @salimmasoud272 2 года назад

    Me natak nipate izo spice nitapat wap? Nipo zanzibar

  • @veronicakyara8140
    @veronicakyara8140 3 года назад

    Hapikwi na mafuta

  • @ramlaaljawfyvlogs7724
    @ramlaaljawfyvlogs7724 Месяц назад

  • @hadijasalum7731
    @hadijasalum7731 2 года назад

    Samahan kipenz nimependa mapishi yko, ila ningependa kujua Kam ntaweza kupata hizo spices