Ukisikia Wanyakyusa ndio hawa sasa

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 дек 2023
  • Juakali kila Jumatano - jumapili kuanzia Saa 3:30 usiku
    #series ,#maishamagicbongo ,#dstv #juakaliseries #juakali

Комментарии • 182

  • @ericcharsej4651
    @ericcharsej4651 4 месяца назад +55

    Hahahahahaha NISINGEKUA MNYAKYUSA NINGELIA SANA 🙌😂😂😂😂😂😂
    WANYAKYUSA WOTE LIKE HAPA 💪😂

  • @user-nu5br2qs4p
    @user-nu5br2qs4p 4 месяца назад +14

    Nawapenda wanyakyusa wenzangu 😮😮😮🎉🎉

  • @peterlumambo5797
    @peterlumambo5797 5 месяцев назад +17

    vipaji vikali sana hawa watu

  • @marywayuwa5867
    @marywayuwa5867 5 месяцев назад +9

    Eliud baba umetulia tuli uko nyuma kumbe utaongea 😀😀😀😀😀😂😂😂

  • @janekapoya4733
    @janekapoya4733 5 месяцев назад +7

    Najivunia kuwa mnyakyusa Hadi raha

  • @user-jq2qp2xt5q
    @user-jq2qp2xt5q 5 месяцев назад +3

    Nawapenda sana watu wote wa juakali💞💞💞

  • @mbokamwamwitwa8831
    @mbokamwamwitwa8831 5 месяцев назад +1

    Jmn very very. Gooood❤❤❤❤

  • @user-gh4if8oo2c
    @user-gh4if8oo2c 4 месяца назад +2

    Hiyo nimeipenda sanaaaaaaaàaaaaaàaaaaaaaaaaa.

  • @fatumaomary9635
    @fatumaomary9635 5 месяцев назад +5

    Naipenda hii familia weee!😂😂😂

  • @EdithaMuhagama
    @EdithaMuhagama 4 месяца назад +1

    Polesana diba jipemoyo utashinda

  • @AlfredAsanwisyemwankotwa-dl2zy
    @AlfredAsanwisyemwankotwa-dl2zy 4 месяца назад +2

    Mko vizuri bakukaja

  • @jerrymwakapemba5644
    @jerrymwakapemba5644 4 месяца назад +1

    Nsekile fijo, ngombwike kukaja. Wamejitahidi sana ndugu zangu ❤❤

  • @LucyPartrick
    @LucyPartrick 4 месяца назад +2

    ❤❤❤ wanyakyusa hatuna baya😊

  • @user-qt5cf3ni6c
    @user-qt5cf3ni6c 4 месяца назад +1

    Atari sana bavu zimeuma

  • @lucaschisamalo2852
    @lucaschisamalo2852 Месяц назад +1

    Makabila mengine mmh shida naomba mungu mwanangu asioe munyakiusa maana nishida tuliwahi kupeleka msiba nilijuta kwenda

  • @user-ov7ge3ci6f
    @user-ov7ge3ci6f 4 месяца назад +4

    Aaaaaa Kwa kweli ndio mana dstv n ghali 😂😂

  • @richardmwandali7722
    @richardmwandali7722 4 месяца назад +1

    Fiyofikiii ahhaah kalombo uleuwaaa😂

  • @user-lz7zl9mw7u
    @user-lz7zl9mw7u 5 месяцев назад +3

    Zuuu mnyakyusa original

  • @LovenessAmos-ob6dn
    @LovenessAmos-ob6dn 5 месяцев назад +44

    😂😂😂😂😂 jamani hivi mtu ukitaka kubadili kabila inakuaje process zake nataka niwe mnyakyusa 😂😂😂

    • @christophermwanjoka7406
      @christophermwanjoka7406 5 месяцев назад

      Nenda kijijni unyakyusani masoko

    • @ErnestChrispin-ob2rn
      @ErnestChrispin-ob2rn 5 месяцев назад +1

      Kwan ww ni kabila gani

    • @noelmarapachi1808
      @noelmarapachi1808 4 месяца назад +1

      Yaani nimecheka mnoooooo😂😂😂😂😂,wanyakyusa marafiki zangu, nimejiona kama niko mbalizi mbeya

    • @joycemlay5762
      @joycemlay5762 4 месяца назад

      Peleka ng'ombe

    • @nakalikyumile3234
      @nakalikyumile3234 4 месяца назад +1

      Kuwa mwenye kujiamini,usipende kudharauliwa,ipende elimu,

  • @injiliyakuponyaroho1382
    @injiliyakuponyaroho1382 4 месяца назад +3

    Lusajo ni moto😂😂😂
    Umetisha baba

  • @user-um8iw2ut5j
    @user-um8iw2ut5j 6 месяцев назад +1

    Love you jua kali

  • @user-xq5gz5hg6p
    @user-xq5gz5hg6p 4 месяца назад

    mnatuwakilisha vizuri sana waisa

  • @troikatanzania1149
    @troikatanzania1149 4 месяца назад

    Hahahahahahahha....mmetisha sana wazee

  • @JohnkhalfanGody
    @JohnkhalfanGody 3 месяца назад

    Napenda sana haya maigizo

  • @user-er1ll1cc3s
    @user-er1ll1cc3s 4 месяца назад +1

    Hahahaha kinamwaisaa daaah nimecheka sana

  • @rogerslwitiko3915
    @rogerslwitiko3915 6 месяцев назад +17

    Najivunia kuwa Mnyakyusa🙏🙏🙏🙏🙏

  • @HulumaNganyanga-mh6tg
    @HulumaNganyanga-mh6tg 4 месяца назад

    Hahaaaaaaa naona unyakyusa kaa ote love mbeya kukaja

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np 4 месяца назад +5

    Mnyakyusa kama mnigeria

  • @Oxtradinary
    @Oxtradinary 5 месяцев назад +3

    I like this family...

  • @user-pm1xt4be2p
    @user-pm1xt4be2p 5 месяцев назад +7

    Hii familia ina nipa raha jamni mjombaa

  • @jackisonluvanda8088
    @jackisonluvanda8088 4 месяца назад +2

    Tegeta hapa

  • @oman1oman179
    @oman1oman179 Месяц назад

    😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤wanyakyusa oye na ndiomana mlikataliwa mnafoja sana mimi sitaki famillia yenye fuko haka

  • @adrophinamwanguse1510
    @adrophinamwanguse1510 2 месяца назад +1

    Wanyakyusa oyeeeeee

  • @user-ml3zl1wi3w
    @user-ml3zl1wi3w 4 месяца назад

    Nawapenda sana wanyakyusa

  • @raphaelkisungura8398
    @raphaelkisungura8398 4 месяца назад

    Jamani hii movie iendelee tu, nimependa wajomba sana

  • @noahchepe8036
    @noahchepe8036 4 месяца назад +2

    😂😂😂😂daah hii ni motoo. Mwe bhanyakyusa mwesa isagha kuno

  • @veelmng7746
    @veelmng7746 4 месяца назад

    ahhh safi sana

  • @BrayanJackson-qk7rz
    @BrayanJackson-qk7rz 4 месяца назад

    Jaman nime hipendaa❤❤❤🎉

  • @berthandollo3227
    @berthandollo3227 4 месяца назад +2

    Aaaaaah mama haujakosea mimi kuwa baba wa kinyakyusa

  • @user-ov7ge3ci6f
    @user-ov7ge3ci6f 4 месяца назад +2

    Hahaha 😂😂😂😂 jimy mfuuu oyeee

  • @gohealthy23
    @gohealthy23 4 месяца назад +2

    Watu wangu kwa kiburi tuuuu? Hatujambo😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @andrewmaseta4635
    @andrewmaseta4635 5 месяцев назад

    Mungu anawaona

  • @user-ho9wt4fo8h
    @user-ho9wt4fo8h 5 месяцев назад +8

    😂😂😂 hii familia n moto

    • @noelmarapachi1808
      @noelmarapachi1808 4 месяца назад +1

      Yaani, familia ni babe hatarii😂😂😂😅😅😅

  • @user-um8iw2ut5j
    @user-um8iw2ut5j 6 месяцев назад +1

    Jamani jamani mbavu zangu

  • @tonymollel2226
    @tonymollel2226 3 месяца назад

    DAAAH NMECHEKA SANA

  • @ChifuiJuma
    @ChifuiJuma Месяц назад

    Tamu sana😂😂😂

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq 5 месяцев назад +7

    Eti suti aitunze maana inarudi kwa mwenyewe😂😂😂😂😂😂

    • @Mrtzsd09
      @Mrtzsd09 4 месяца назад

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @Mariam-fm8vq
      @Mariam-fm8vq 4 месяца назад

      @@Mrtzsd09 wabongo wanajua jaman 😂 😂 😂

  • @nurunswebe4203
    @nurunswebe4203 4 месяца назад +1

    Sisi tunaweza tusiwaone ila mungu anawaone

  • @JoyjoyMwangonde
    @JoyjoyMwangonde 4 месяца назад

    Jamani mbavu zangu wanyakyusa oyeee

  • @dainessmyovela2115
    @dainessmyovela2115 4 месяца назад +1

    😂😂😂Jua kali mnatisha sn hatarii, hizo kuku juu ya vikapu mbavu zangu nazionea huruma mwe!big up👍

  • @SaFy-wh3gq
    @SaFy-wh3gq 5 месяцев назад

    Diba umetisha na famlia yko

  • @user-wc1nb7gv8w
    @user-wc1nb7gv8w 3 месяца назад

    Kuwa mnyakyusa kazi xana

  • @Isaacmalikidogo-ew7qy
    @Isaacmalikidogo-ew7qy 4 месяца назад +1

    Wanyakyusa waki fika kongo labda wana weza choma jiji nzima kwa masemi😅😅

  • @LovenessAmos-ob6dn
    @LovenessAmos-ob6dn 5 месяцев назад +2

    Na huyu mjomba aliyelala ananiacha hoi😂😂😂😂

  • @user-li4pq7zw1c
    @user-li4pq7zw1c 5 месяцев назад +2

    Sokapaa 🎂🎂

  • @ZeibyImmanuel-wg2qy
    @ZeibyImmanuel-wg2qy 12 дней назад

    😂😂 yani kichambo chote icho eti tuendelee imba pekeako 😂

  • @user-ir4iz9gv2b
    @user-ir4iz9gv2b 4 месяца назад

    Haahaa jamn natamn namimi ningekuwemo humo

  • @mpokimwasimba
    @mpokimwasimba 3 месяца назад

    Iki ikisu kya kyala umwe bha-Nyakusa umweeeee😂😂😂😂😂

  • @VioletNamz-tq4tg
    @VioletNamz-tq4tg 4 месяца назад

    Adi raha jamani,😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @magemwaipaja8650
    @magemwaipaja8650 4 месяца назад

    Loli nguhobhoka pakubhapilikiiswa mwee 😂 chichi po ikuswigha loli😅😅😅

  • @ceciliaMlowosa
    @ceciliaMlowosa 4 месяца назад +2

    😂lamata anajua jmn😂

  • @user-dm1rx2qd2z
    @user-dm1rx2qd2z 4 месяца назад

    eliud poleeeeeee 😂😂

  • @selemansalum
    @selemansalum 4 месяца назад

    😂😂😂😂wakwe zangu hao bwana😂😂😂😂

  • @NestoryMwakipesile
    @NestoryMwakipesile 4 месяца назад

    My tribe 😊

  • @gilbertkalanda9354
    @gilbertkalanda9354 4 месяца назад

    Huyu Mjomba kavu sanaa😂😂😂

  • @UpendoMgalla-vc6pb
    @UpendoMgalla-vc6pb 6 месяцев назад +3

    Hahahahahaaaaa uwiii wanyakyusa jamani nimecheka Leo mbavu sina

  • @adamsengo1869
    @adamsengo1869 4 месяца назад

    Jina la movie tafadhali

  • @4realstudio728
    @4realstudio728 5 месяцев назад

    Dah!

  • @pascaladloph4719
    @pascaladloph4719 4 месяца назад

    Hahahahahahah aiseeee hii familia aki nani

  • @daudmaikomwakapoma213
    @daudmaikomwakapoma213 4 месяца назад

    Leo jina la bibi yangu limetajwa kiufasaha mbele ya watanzania
    Huyo jimi mafufu ni ndugu yangu ambaye tunaunganishwa na ukoo wa mwakibambo kijiji cha Ndala leo kuna jina limetajwa la bibi yangu
    R. I. P bibi yangu Rahel Kibambo ukoo wenu ni mkubwa kweliiiiii
    Wewe ndo ulikuwa Mungu wangu
    😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @furahagurumo8018
    @furahagurumo8018 5 месяцев назад +2

    Hii tamthilia ni kiboko

  • @richardmwandali7722
    @richardmwandali7722 4 месяца назад

    Ogwee kujobaa ninee mngujonaaa😂😂,, beba kuku yako sulukaaa hahhaah bhabha kukajaaa🌾🤣

  • @briannahseda8707
    @briannahseda8707 4 месяца назад

    Kiukweli hawa ndo wanyakyusa sasa og yan uhalisia unauona huu hapa 🤣🤣

  • @gloireStephano-ym7ep
    @gloireStephano-ym7ep 4 месяца назад

    Iyi kali

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 4 месяца назад +1

    Lazima uwe na kiburi pia,halafu uwe mkalimu

    • @AwardHakimu
      @AwardHakimu 4 месяца назад

      Hivi kwanini? mbna kiburi

  • @AgueroBoaz-ei5qt
    @AgueroBoaz-ei5qt 4 месяца назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nimecheka mpka machoziii

  • @gilbertkalanda9354
    @gilbertkalanda9354 4 месяца назад

    Walahi Mjomba anakula ganja zaidi ya msela wangu mwenyewe😂😂😂

  • @alikomwandoto1258
    @alikomwandoto1258 4 месяца назад

    Sye sokapo hapa😂

  • @user-rl9yb8so7o
    @user-rl9yb8so7o 4 месяца назад

    😂😂😂😂
    Mimi nimeona rangi tu

  • @officialarvia1293
    @officialarvia1293 4 месяца назад +1

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @user-pw6kn6hb6f
    @user-pw6kn6hb6f 4 месяца назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂 wanyakyusa shikamooni

  • @BurtonMulenga
    @BurtonMulenga 3 месяца назад

    He Loli he
    Nyumbani ninyumba

  • @kingswebe3251
    @kingswebe3251 5 месяцев назад +2

    Tegeta ya bibi yako😂😂😂

  • @user-fv7ev7jv1d
    @user-fv7ev7jv1d 3 месяца назад

    Dibamsikilize,mjomba

  • @user-wk1yl4eu4h
    @user-wk1yl4eu4h 4 месяца назад

    Hello wanyakyusa

  • @judyngowi391
    @judyngowi391 4 месяца назад

    Mnyakyusa na suti za njano, kijani , pink, nasikia ndio rangi zenu

  • @HawaHussein-hq1lj
    @HawaHussein-hq1lj 6 месяцев назад +1

    Jmn jua kali imepotelea wapi ???yan huwa inatuliwaza san tunaomb mwendelezo plz

  • @user-li4pq7zw1c
    @user-li4pq7zw1c 5 месяцев назад

    Sokapaa seeee

  • @blackkid7377
    @blackkid7377 4 месяца назад +1

    inatakiwa itengenezwe spin off ya hii series iitwe diba na nduguze ambayo itaonyesha chimbuko la nyumbani kwa kina diba mbeya huko kama wanavofanyaga wazungu

  • @ahamadarashid8797
    @ahamadarashid8797 4 месяца назад +1

    Suti kama ya Aziz ki..Jo bhaja kaka

  • @rodrickmwankenja6263
    @rodrickmwankenja6263 4 месяца назад

    Nipigie nikuelekeze

  • @user-nd2wv4km8y
    @user-nd2wv4km8y 4 месяца назад

    Hahaaaa🤣🤣🤣🤣

  • @davidsika5292
    @davidsika5292 4 месяца назад +1

    Wanakyusa nawapenda sana yani

  • @SurprisedCrosswordPuzzle-qt2lu
    @SurprisedCrosswordPuzzle-qt2lu 4 месяца назад

    Jaman jaman😂

  • @subirakakwela727
    @subirakakwela727 4 месяца назад

    Wanyaki😂😂

  • @naitapwakilemeya4204
    @naitapwakilemeya4204 4 месяца назад

    Suti ichugwe inarudi kwa mwenyewe😂😂😂

  • @neemarajabu5998
    @neemarajabu5998 5 месяцев назад +2

    Kuku anasinzia muda wote

  • @user-nz5ik2xy6t
    @user-nz5ik2xy6t 5 месяцев назад

    Jamani mnitafutie mnyakyusa

  • @salimamasanja4659
    @salimamasanja4659 4 месяца назад

    Nimecheka
    Mbombo
    Ngafu

  • @ErnestChrispin-ob2rn
    @ErnestChrispin-ob2rn 5 месяцев назад

    Jimmy mambo yake tegeta ya bibi ako