Hakika mtunzi wa hizi nyimbo Mungu anamtumia kwa namna ya pekee, nyimbo zinanibariki sana. Mungu awabariki sana kwa huduma hii na kuendelea kuwafanikisha zaidi za zaidi.
Nawaona waimbaji rafiki zangu kutoka kwaya ya wavunaji, wasalim wote na Mungu azidi kuwatumia kueneza injili ya malaika watatu... Nimebarikiwa sana. Jina la Bwana litukuzwe
Mungu awabariki kwa wimbo mzuri. Na nitarudisha sifa kwa Mungu siku zote. Amen
Amen🙏
Naomba jina la studio 👏👏👏👏but mwlm 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼God bless all of u
Ubarikiwe Sana. Jina la studio Ni Ararat Studioz
Ni kweli mwenyi enzi Mungu anaumia wakati pumzi ya viumbe vidogo inapokatika. Hii yaonesha kabisa gunsi upendo wake ni mkuu sana
Amen 🙏🙌💙
Nami ni muadventisti kama nyinyi. Nyimbo zenu zina ujumbe unaoweza kusababisha kujitoa kwa Mungu milele. Asante kwa kuiponya miyoyo kwa namna hii
Amina. Bwana akubariki sana
Hakika mtunzi wa hizi nyimbo Mungu anamtumia kwa namna ya pekee, nyimbo zinanibariki sana. Mungu awabariki sana kwa huduma hii na kuendelea kuwafanikisha zaidi za zaidi.
Amen.
Mungu akubariki Sana pia. Zidi kutuombea😇💙🙏
Wimbo mtamu kwa kweli. Nimeusikiliza sichoki... Amina ❤️
Amina😇🙏
Tonation ya Sopranos is 😊🌟✨
The writer has is deeply contemplating of God's love
God's Love is AMAZING!
Amen.😇🙌🙌
Kaka kuboja nimebarikiwa sana kukuona
Wo wow wow. Everything is perfect in this song.
May our God bless you 🙏🙏
Amen. God bless you too😇🙏💙
Huuu wimbo nimeipenda kbx from uganda
Amen. May the Lord bless you there👋😇
Nawaona waimbaji rafiki zangu kutoka kwaya ya wavunaji, wasalim wote na Mungu azidi kuwatumia kueneza injili ya malaika watatu... Nimebarikiwa sana. Jina la Bwana litukuzwe
Amen. Salaam zimewafikia.🙌👋
"Viumbe vinayonizunguka vyaonesha ukuu wake"
Amen🙌
Keep pushing
Nimependa kila kitu wimbo ujumbe and the location too
Be blessed as I am with this song
Amen🙏🤝
Muziki mtamu sana. Nabarikiwa sana ninaposikiliza
Amina. Zidi kubarikiwa mtu wa Mungu 😇🙏
Kila mara nikiangalia huu wimbo natamani ku-like tena na tena 😄 ... hakika Bwana ni mwema 🙏🏾
Amen🙏
Mnajua Kuimba Mungu awabariki sanaa, Mnafaa kuigwa
Amen. To God be the glory 🙏🙏😇
Much love for your music from Kenya!. God bless you guys.
Amen🙌🙏
Great message, wonderful voices. Mungu azidi kuwainua🙏
Amina Sanaa ❤️❤️❤️
Amina. Ubarikiwe Sana Yoshua🙏
Amen🙌🙌
Amen brother 🤝
Hallelujah... Mungu ni muumbaji mkuu hakika
Amen🙏🤝
Amen
Amen🙏🤝
Aminaa
🤝🤝
From Burundi..nimewapenda ,Hebu wekeni nyimbo zingine....keep be blessed🙌
Amen.🙏🤝
I've never been disappointed na nyimbo zenu nabarikiwa sana..... mbarikiwe pia
Amen😇🙏💙
I'm blessed from Kenya
Amen. God bless you even more 🙏🤝
Barikiweni sana wimbo mtam sana
Amina 🙌
Aimeeeen🤗🙏
Mbarikiwe na BWANA. Nawapenda Sana
Amen. Ubarikiwe Sana Dainess, twakupenda pia
Blessing indeed...
0:12 Mr Robert Jumanne spotted😎
😃😃😃😃
What a masterpiece! Mbarikiwe sana wajoli
Amen. Bwana na akubariki Sana pia 😇👋
Amina sana
Amen🙏🤝
HIYO SAFI
Amen🙏
Great
Amen amen amen.... God bless you guys
Amen. Be blessed as well bro
The best recording
Amen🙏👋
Nawapenda sana❤❤
Asante Sana. Tunakupenda pia💙💙😇👋
Amennnn😊😊 very touching
Amen brother 👋🙌
Kazi nzuri
Amina🙌🙏
Nimependa
Amen🙌
Amen !! God bless you
God bless you too🙏😇
Mungu awabariki
Asante Sana. Bwana akubariki pia 😇💙🙏
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
💙💙💙💙💙🙏🙏
Sabbath blessings🙏
This song keeps me going. God bless you. Much love from Uganda
Amen🙏🙏. We are happy that you've been blessed 🤝😇😇
Amen mbarikiwe
Amen🙏🤝
❤
beautiful song
Amen, Glory be to God🙏😇
Barikiweni...Amina
Amen. Mbarikiwe Sana pia
Barikiwen sana
Mungu awazidishie
Amen. Nawe pia😇🙏
To God be the Glory🙏🏾
Amen🙏🤝
God bless you guyz for the service your providing
Amen🤝🙌
Still my favorite of ur songs! Glory to God!
Amen🙏😇
This is the best song I bumped into this sabbath. Happy sabbath. Powerful. More songs. I have already subscribed
Amen🙌. Be blessed
I hear Jese nkundi tenor voice very clearly
Amen for the choir
Amen. You've got a nice ear brother 🙌🙌
Amen, i’m blessed🙏
Ubarikiwe zaidi Rachel🤝🙏
Kwa Hakika Ninabarikiwa
Good job to the composer and the choir... I'm blessed sooo blessed
Amen🤝🤝
Be blessed Robert