- Видео 11
- Просмотров 467 611
Dodoma Adventist Chorus
Добавлен 7 янв 2022
Dodoma Adventist Chorus is a singing group of Adventists determined to preach the everlasting gospel through songs and prepare people for the second coming of Jesus Christ.
The Choir is located in Dodoma, Tanzania
The Choir is located in Dodoma, Tanzania
Mavazi Meupe || Dodoma Adventist Chorus
MAVAZI MEUPE
Bridge 1
Je umechoka rafiki
wataka pumziko
Au umetanga mbali
wataka rudi nyumbani?
Nguo zako chafu,
macho hayaoni tena,
Maswali majibu hakuna,
Mashaka yamekusonga,
Je naweza kukubaliwa,
Nani anisaidie?
Yesu Mwokozi anakuita.
Chorus
Wote anipao Baba
Watakuja kwangu na kamwe..
Kamwe sitawatupa nje,
Nitawarudisha zizini
Pale watakapoita
Nitaitika na nitafungua milango ya rehema,
Njoo kwake Mwokozi
Dhambi zako 'tasamehe
Verse
Nayajua matendo yako
Hu baridi wala moto
U vuguvugu mpendwa
Heri ungekuwa ni baridi
Au moto ujulikane
Na upate dawa iliyobora
Unasema 'mi ni tajiri
Sina haja na chochote
Na nimejitajirisha
Hujui wewe ni mnyonge masikini
Kipofu na mwenye shaka
Njoo kwa Yesu akuita
Bridge 2
Nakupa shauri ndugu...
Bridge 1
Je umechoka rafiki
wataka pumziko
Au umetanga mbali
wataka rudi nyumbani?
Nguo zako chafu,
macho hayaoni tena,
Maswali majibu hakuna,
Mashaka yamekusonga,
Je naweza kukubaliwa,
Nani anisaidie?
Yesu Mwokozi anakuita.
Chorus
Wote anipao Baba
Watakuja kwangu na kamwe..
Kamwe sitawatupa nje,
Nitawarudisha zizini
Pale watakapoita
Nitaitika na nitafungua milango ya rehema,
Njoo kwake Mwokozi
Dhambi zako 'tasamehe
Verse
Nayajua matendo yako
Hu baridi wala moto
U vuguvugu mpendwa
Heri ungekuwa ni baridi
Au moto ujulikane
Na upate dawa iliyobora
Unasema 'mi ni tajiri
Sina haja na chochote
Na nimejitajirisha
Hujui wewe ni mnyonge masikini
Kipofu na mwenye shaka
Njoo kwa Yesu akuita
Bridge 2
Nakupa shauri ndugu...
Просмотров: 7 733
Видео
Nahodha || Dodoma Adventist Chorus
Просмотров 46 тыс.7 месяцев назад
NAHODHA Siku moja Yesu aliwaambia Wanafunzi wake hebu na tuvukeni ng'ambo Wakapanda wote ndani ya chombo Mara tufani chombo kikaanza kujaa maji Wakati huo Yesu amelala Wakamwendea kumwamsha "Bwana Twaangamia" Akasimama, kakemea upepo kukawa shwari dhoruba zikakoma Kisha akageuka (Kisha akageuka) Akawauliza (Akawauliza) Imani yenu i wapi (Je imani yenu i wapi nao wakaogopa) Ni nani huyu ambaye (...
Chagueni || Dodoma Adventist Chorus
Просмотров 49 тыс.11 месяцев назад
Yoshua 24:14-15 Basi sasa mcheni BWANA, mkamtumikie kwa unyofu wa moyo na kwa kweli; na kuiweka mbali miungu ambayo baba zenu waliitumikia ng’ambo ya Mto, na huko Misri; mkamtumikie yeye BWANA. Nanyi kama mkiona ni vibaya kumtumikia BWANA, chagueni hivi leo mtakayemtumikia; kwamba ni miungu ile ambayo baba zenu waliitumikia ng’ambo ya Mto, au kwamba ni miungu ya wale Waamori ambao mnakaa katika...
Safisha Njia || Dodoma Adventist Chorus
Просмотров 59 тыс.Год назад
SAFISHA NJIA Verse 1 Mimi ni mdhaifu Siwezi kutembea, Nimebeba mzigo mzito, Sijui ni nani atanitua, Nimesikia leo, yupo mtu anaeweza kunitua mzigo wangu, Yesu naomba nionane naye. Verse 2 Nguo zangu Ni chafu Siwezi jisafisha Hata mwili huu wa udongo Naona hauna thamani tena Kweli ninayo haja Kuonana naye sasa tabibu na mwokozi wangu Yesu naomba anitakase. Chorus Safisha njia ili nipite Nataka k...
Maji ya Uzima || Dodoma Adventist Chorus
Просмотров 44 тыс.Год назад
Yohana 4:13-14 Yesu akajibu, akamwambia, Kila anywaye maji haya ataona kiu tena; [walakini ye yote atakayekunywa maji yale nitakayompa mimi hataona kiu milele; bali yale maji nitakayompa yatakuwa ndani yake chemchemi ya maji, yakibubujikia uzima wa milele. Ubarikiwe Sana unapotazama na kusikiliza wimbo huu. Artist: Dodoma Adventist Chorus Song Title: Maji ya Uzima Instrumentation: @mjmusicclass...
Wimbo wa Sifa || Dodoma Adventist Chorus
Просмотров 53 тыс.Год назад
Ufunuo wa Yohana 15:2-4 [2]Tena nikaona kitu kama mfano wa bahari ya kioo iliyochangamana na moto, na wale wenye kushinda, watokao kwa yule mnyama, na sanamu yake, na kwa hesabu ya jina lake, walikuwa wamesimama kando-kando ya hiyo bahari ya kioo, wenye vinubi vya Mungu. [3]Nao wauimba wimbo wa Musa, mtumwa wa Mungu, na wimbo wa Mwana-Kondoo, wakisema, Ni makuu, na ya ajabu, matendo yako, Ee Bw...
Yu Hai || Dodoma Adventist Chorus
Просмотров 58 тыс.2 года назад
Luka 24:4-8 [4]Ikawa walipokuwa wakifadhaika kwa ajili ya neno hilo, tazama, watu wawili walisimama karibu nao, wamevaa nguo za kumeta-meta; [5]nao walipoingiwa na hofu na kuinama kifudifudi hata nchi, hao waliwaambia, Kwa nini mnamtafuta aliye hai katika wafu? [6]Hayupo hapa, amefufuka. Kumbukeni alivyosema nanyi alipokuwa akaliko Galilaya, [7]akisema, Imempasa Mwana wa Adamu kutiwa mikononi m...
Tazameni Mwana-kondoo || Dodoma Adventist Chorus
Просмотров 41 тыс.2 года назад
"Siku ya pili yake amwona Yesu anakuja kwake, akasema, Tazama, Mwana-kondoo wa Mungu, aichukuaye dhambi ya ulimwengu!" Yohana 1:29 Mwana-kondoo wa Mungu (Yesu Kristo) miaka mingi iliyopita aliwahi kujitoa kafara kwa ajili ya wenye dhambi wote ili kwamba kila anayeamini na kumkubali awe na uzima wa milele. Hadi hivi leo kafara ile ina thamani na yeyote anayeamini anaweza kuupata uzima huo unaoto...
Muumbaji Mkuu || Dodoma Adventist Chorus
Просмотров 49 тыс.2 года назад
Suala la chanzo cha uhai katika dunia yetu linaweza lisiwe geni katika akili zetu leo. Kwa namna mbali mbali unaweza kuwa umekutana na nadharia tofauti kuhusu chanzo cha maisha katika dunia hii. Katika nadharia zote zilizopo haziwezi kushindana na uhalisia mmoja ya kwamba kuna nguvu isiyoonekana tena iliyo kuu mahali fulani ambayo sio tu kwamba iliumba vyote tunavyoviona, lakini pia inaendelea ...
'Tajificha Kwako (Hiding in Thee) || Dodoma Adventist Chorus
Просмотров 61 тыс.2 года назад
Mara ngapi katika majaribu umechagua kimbilio lako binafsi ukamsahau Kristo Yesu ambaye ni Mwamba wa kale? Ni tumaini letu kuwa wimbo huu utakukumbusha kuwa japokuwa umechoka na majaribu yamekusonga, unaweza kujificha kwa Yesu Kristo ambaye ni Mwamba wa kale. Karibu sana na ubarikiwe unapotazama wimbo huu. English How often in temptations have you chosen your own refuge and forgot Christ Jesus ...