This has been and still my best song ever. It's like I don't want to hear any other songs. I would rather listen this song till death. God's blessings to you for your marvelous singing beyond. I just Love you, I Love the song
Damu hiyo, iliyomwagika inatosha kusafi dhambi za watu wote wanaomwamini yesu, na kila mtu anayeamini na kukubari, ameupata uzima ule wa milele....... FAVORITE PART AMEEEN TEAM
Kwa kukosa maneno mazuri ya namna ya kuelezea furaha na jinsi nilivyoguswa na wimbo huu, itoshe kusema tuu kwamba wimbo huu ni kama mana iliyoteremshwa, ladha yake ni ngumu kuielezea, ni kama chakula (muziki) wa Malaika. Kila kipengele ni kitamu sana, kuanzia kwenye utunzi wa wimbo, maneno, harmony na arrangement, sauti za waimbaji, instrumental na video pia. Hii mixing ni ya kipekee sana. Bwana ambariki kila aliyeshiriki katika maandalizi na utengenezaji wa wimbo huu. Natamani kwenda mbinguni nikaimbe nanyi wimbo huu.
Composition safi! Instrumentation safi! Production safi! Vocals safi! Ila hata nimalize list yote ninarudi katika composition hii na kusema kuwa ni one of the very best duniani. Mbnarikiwa sana. (Wakati mwingine waandikeni hawa wahusika hapa itapendeza zaidi).
I like how ur musical sound is different to most that's marred with rapid beats. Be blessed for Glorifying God with sweet melodies such as this. Amen to God for this ministry!
My number one choir, very very well arranged songs with sweet Melody and harmony, I wish other groups to follow your steps. Congrant my fellow singers.
Unaweza tufuatilia kupitia mitandao ya kijamii Kama Facebook, TikTok, Instagram lakini kupitia Audio platforms zote yaani Spotify, Apple music, Boom play na nyingine. Zote Hizi tunapatikana kwa Jina la Dodoma Adventist Chorus. Ubarikiwe Sana😇🙏
Mbarikiwe na bwana natamani nijiunge na kwaya yenu🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Amen. Ubarikiwe pia na karibu Sana 🙏💙🙏
Mungu awabariki Dodoma Adventist, nyimbo zenu zinamaudhui mazuri sana. Nabarikiwa sana.
Amen. Zidi kubarikiwa brother 👋😇💙
Amina. Nabarikiwa sana na nyimbo zenu. Mungu azidi kuinuliwa.
Amina. Zidi kubarikiwa ndugu
Imekoseka sauti yangu ya kwanza hapo, Ila bado ni org, nabarkiwa.
Tu record nyimbo tano za Makambi 2024🎉
Amen. Zidi kubarikiwa 👋💙🙏
I've never stop listening to this experted marvellous sounding song! I always hamming it on my car. BWANA AZIDI KUWATUMIA NDUGU ZANGU.
Amen. We are so happy that you've been blessed. God bless you more and more😇🙏
My favorite song of all time. Melody 🙌🏿🙌🏿🙌🏿
Amen💙
Giving "Heritage Singers "vibes yet original! Amazing music guys.....many blessings!
Amen. Be blessed brethren 👋🙏💙
Bwana na azidi kuwainua,this is just perfect☺️
Amen. Bwana awabariki Sana Hope voice🤝🙏
I'm so in love with your singing and your group. Lots of love from Uganda
Ameeen 😇❤️
I'm here too appreciating this work.
It's an epic performance
Duuuh Mufikie viwango vya juu watumishi wa Baba
Amen Brother. Mungu akubariki, umekuwa Baraka Sana kwetu🙏🙌
Wimbo mzuri Sana MUNGU awabariki sana
Amen. Ubarikiwe pia 🙏😇
This has been and still my best song ever. It's like I don't want to hear any other songs. I would rather listen this song till death. God's blessings to you for your marvelous singing beyond. I just Love you, I Love the song
Amen. Blessings be upon you always 🙏😇💙
Damu hiyo, iliyomwagika inatosha kusafi dhambi za watu wote wanaomwamini yesu, na kila mtu anayeamini na kukubari, ameupata uzima ule wa milele.......
FAVORITE PART
AMEEEN TEAM
Amen. God bless you brother 🤝👋
Mbarikiwe kwa ujumbe wenye nguvu...
Amina. Ubarikiwe pia👋
My favorite song❤❤❤❤❤
Amina😇🙏
Amen and Amen
Amen. Ubarikiwe sana mtu wa Mungu.🙌
Mzidi kutumika vema katika Utume wa Mungu nawaombea🙏☺️🥰
Amen brother 🙏
Mhina👍🙏😋
😇
Heavenly music on earth 🔥 its nice item for sure.
Amen🙌🙏
To God be the Glory
Amen brother 🤝
Barikiweni sana
Amen. Bwana akubariki pia🤝
Amen
This is one of the best compositions I've come across from within tz. God bless you guys, it's a blessing indeed
Amen. Be blessed brother 🤝
Fact bro
Instrumentation nayo ime comply na voice
Here for the chorus🔥🔥🔥🔥. God bless y'all
Amen. God bless you too brother 👋
Underrated song ❤
Amen. Glory to God
Kwa kukosa maneno mazuri ya namna ya kuelezea furaha na jinsi nilivyoguswa na wimbo huu, itoshe kusema tuu kwamba wimbo huu ni kama mana iliyoteremshwa, ladha yake ni ngumu kuielezea, ni kama chakula (muziki) wa Malaika.
Kila kipengele ni kitamu sana, kuanzia kwenye utunzi wa wimbo, maneno, harmony na arrangement, sauti za waimbaji, instrumental na video pia. Hii mixing ni ya kipekee sana. Bwana ambariki kila aliyeshiriki katika maandalizi na utengenezaji wa wimbo huu.
Natamani kwenda mbinguni nikaimbe nanyi wimbo huu.
Amen brother 🙌. We pray the same prayer with you😇😇
A masterpiece, absolutely love it❤
Amen. God bless you 😇🙏💙
Amen🤓
Amen🤝
This is Heavenly..blessings!!
Amen. God bless you more and more🙏😇
amina❤
❤️
Wakuu wakuu heshima kwenu isee
Bwana atukuzwe Sana.
Amina amina sanaaaaaaaa, mbarikiwe, endeleenii Mungu awatanguliee
Amen. Endelea kutuombea🙏🙏
Mko vizur sana.....Mbarikiwe sana
Amina. Ubarikiwe pia kaka🤝
Amaizing song. Mbarikiwe
Amen. Bwana awabariki pia 👋
Mungu awabariki sanaa
Amen. Mungu akubariki pia 😇💙
It is so good
Amen. Glory to God 😇🙏💙
Amen mbarikiwe sana....viumbe wa pekee nyie, kuna viumbe hapo wamenibariki sana.
Amen. Ubarikiwe pia 🤝👋
Setting the bar very high. Mbarikiwe sana 🔥🔥
Amen. Bwana akubariki pia brother 🙌🙏
Amen
Watu wangu mubalikiwe nawapenda sana niko m'uburundi
Amen. Bwana akubariki Sana huko👋
Huwa mnashiriki wapi? I want to travel from Kenya to see you guys minister.
Composition safi! Instrumentation safi! Production safi! Vocals safi! Ila hata nimalize list yote ninarudi katika composition hii na kusema kuwa ni one of the very best duniani. Mbnarikiwa sana.
(Wakati mwingine waandikeni hawa wahusika hapa itapendeza zaidi).
Amina🙌. Bwana atukuzwe Sana. Tunashukuru Sana kwa comment na ushauri huo, Tutafanya hivyo next time.🙏🙏
Mbarikiwe na Bwana
Amen. Ubarikiwe pia 🙌🤝
Kari bun ujasir
Asante sana 🙌🙏
Fantastic 🌍
Amen. God bless you 🙏🙏🙌
I like how ur musical sound is different to most that's marred with rapid beats. Be blessed for Glorifying God with sweet melodies such as this. Amen to God for this ministry!
Amen😇🙏
God bless you too👋
God bless you DAC
Amen🙏. God bless you more Dainess👋👋😇
My number one choir, very very well arranged songs with sweet Melody and harmony, I wish other groups to follow your steps. Congrant my fellow singers.
Amen. God bless you our fellow singer😇🙏
Soothing, amina
Amen. God bless you 🙏🤝
Ah! Your compositions are Holy Spirit filled. Amen 🙌🏿
Amen. To God be the glory 🙏😇
Amen🙌
Amen🤝
@@dodomaadventistchorus Amen 😊
Bravo
God bless you brother Maginga🤝
Utamu kolea. Barikiweni sana.
Amen. Bwana akubariki pia 🤝
Nimeupeza sana mziki wenu wanadodoma. Je, naweza wafuatilia vipi?
Unaweza tufuatilia kupitia mitandao ya kijamii Kama Facebook, TikTok, Instagram lakini kupitia Audio platforms zote yaani Spotify, Apple music, Boom play na nyingine.
Zote Hizi tunapatikana kwa Jina la Dodoma Adventist Chorus.
Ubarikiwe Sana😇🙏
God thank you for this blessing . So swèet
Amen. God bless you 🙌
Marvellous and wonderful voices with a spot on message.
Amen. Be blessed 👋
Aisee. Hii imekaa mkao
Amen. Ubarikiwe Sana🙏
Bwana azidi kuwainua Vijana wangu, kumtumikia Mungu ni faida
Melody Tam Mnoo🌹..Mbarikiwee kwa Hudumaa🙏
Amina. Bwana akubariki pia🤝👋
Mbarikiwe sana Tunawapenda
Amen. Tunawapenda pia. Bwana awabariki Sana🤝👋
Amen.hii composition plus arrangement ni tamu kusikia
Amen. Bwana atukuzwe Sana🙏
Ooh my God you're taking it to the next level. The Best gospel music ever heard.... Be blessed guys
Amen. To God be the glory 🙌
I love the rendition... I'm so much blessed 👌🙏
Amen. God bless you even more 🙏
This is Perfect 🎤💙
Amen🤝🙏
A wonderful and a powerful song and blessing one
Amen. God bless you brother 🤝
Wimbo mtamu
Amen, Bwana akubariki Sana🤝👋
Beautiful composition and harmony
Amen🙏👋
To God be the Glory...⚓
Amen. God bless you brother.🤝
Naam nikiwa mkubwa
Amen.😇
Hahaaaa
@@mikemhina9656 wew jamaaa sasa umepata kituu piga mambo nakuona uko na walimu wabobezii aisee Mungu atykuzwe aisee
@@erickmalima5901 Amina bro 😊🤝