TIMU ya SIMBA YATINGA BUNGENI -SHANGWE LAIBUKA -WABUNGE WASHINDWA KUZUIA HISIA ZAO kwa AHMED ALLY...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • TIMU ya SIMBA YATINGA BUNGENI -SHANGWE LAIBUKA -WABUNGE WASHINDWA KUZUIA HISIA ZAO kwa AHMED ALLY...
    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Комментарии • 58

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  5 дней назад +2

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 5 дней назад +5

    Simbaaaaa oyeeeeeeeee 🦁🔥🔥🔥❤️❤️❤️🦁🔥🦁

  • @MariamAlly-q4y
    @MariamAlly-q4y 5 дней назад

    Ongera Sanaa chief mungu akulinde na akuongezee uendelee kua na moyo uwouwo wa upendo uschoke

  • @Tina-xr9lr
    @Tina-xr9lr 5 дней назад +6

    Simba hoyeeeeeeeee ubaya ubwelaaa ❤❤ila tuache utani mbunge letu zuri jaman 😊😊😊

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 5 дней назад +1

    Simba penda sanaaa🎉🎉🎉🎉team yangu pendwa sasa utoporo wanspongezwa kwa lipi😂😂😂

  • @judithkisavanga7244
    @judithkisavanga7244 5 дней назад +4

    Safiii sana timu yanguu❤❤❤

  • @elesianakabuje5832
    @elesianakabuje5832 3 дня назад

    Aaaaah aweeee sio kwa raha hizi...Simba tamu asikwambie mtu💪💪💪🥰

  • @IgnasKapita
    @IgnasKapita 5 дней назад +2

    Congratulations 🎉🎉🎉🎉 to Simba SC

  • @EstaTito-b6h
    @EstaTito-b6h 5 дней назад +4

    Simbaaaaaaaa 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @LauMagwaja
    @LauMagwaja 5 дней назад +3

    Simba nguvu moja 💪 ❤

  • @STELLAMARCELY
    @STELLAMARCELY 5 дней назад +4

    Sijutiii kuwa shabiki wa SIMBA 🎉🎉🎉🎉

  • @HaniffaOmary-v5r
    @HaniffaOmary-v5r 5 дней назад +7

    Ubaya ubwela yani kutesa kwa zamu

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 5 дней назад +2

    Semajiii 🌹🌹🌹🌹

  • @STELLAMARCELY
    @STELLAMARCELY 5 дней назад +4

    Kuteza Kwa ZAMU ndo huku.... SIMBA 💪💪💪

  • @Oman-k4j
    @Oman-k4j 5 дней назад +3

    Alihamdullilah

  • @HusnaHassani
    @HusnaHassani 5 дней назад +5

    Kweli kulia kupokezana

  • @saidhamza5318
    @saidhamza5318 5 дней назад

    Wabongo bhana 👀

  • @mbarakarashidi2361
    @mbarakarashidi2361 5 дней назад +2

    Simba nguvu mojaaa

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 5 дней назад +4

    Miguu ya kupinda chama anatamani angewepo apo😂😂😂

    • @AishaMshamu
      @AishaMshamu 5 дней назад +1

      Ww kiboko😂😂😂

    • @AminaLibisa
      @AminaLibisa 5 дней назад

      Kwani uongo mwangalie tu ata sura yake inauzuni tangia aende utopoloni 😀😀🐸👈

  • @franccoz94
    @franccoz94 5 дней назад +3

    Nikutesaaa kwa zamuu

  • @MatanaEnos
    @MatanaEnos 5 дней назад

    Mnyama💥💥💥💥💥💥

  • @VioletBasli
    @VioletBasli 5 дней назад +4

  • @Bizzylove_Official
    @Bizzylove_Official 5 дней назад +1

    Yan simba inaatari yaan imefanya ubaya ubwera mpk kweny bunge la nchi 🍾🍾🍾🍾

  • @djchid2417
    @djchid2417 5 дней назад +3

    Ubaya ubwela

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 5 дней назад

    ❤❤ nashauri kuwe na suti za klab, Kwa matukio adim kama izi apo wanavaa suti nyekundu❤

  • @ZumrahIdrissa-j6l
    @ZumrahIdrissa-j6l 5 дней назад +1

    Matola amelala bungeni

  • @nurdinmfamau3493
    @nurdinmfamau3493 5 дней назад

    Mwaka Robo Hongereni Mwaka

    • @HalimaMichael-x6x
      @HalimaMichael-x6x 5 дней назад +1

      Mwakakundu mmeishia wapi 😂😂😂😂

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 5 дней назад

      @HalimaMichael-x6x Hakuna Kombe La Robo Nakama Lingekuwepo Basi Mngekuwa Mnaongoza Nyinyi.

    • @JoelMpale-i9w
      @JoelMpale-i9w 5 дней назад

      Napia hakuna mwka kundi mbona mngeja ghorofa.😂

    • @HalimaMichael-x6x
      @HalimaMichael-x6x 5 дней назад

      @@nurdinmfamau3493 na nyie akuna kombe la mwakaundu a.k.a wafukuza kocha

  • @ChirisitianSemu-mo9er
    @ChirisitianSemu-mo9er 5 дней назад

    Simba nguvu moja

  • @OphatySavery
    @OphatySavery 5 дней назад +2

    👍👍🙏

  • @JaylnMomba
    @JaylnMomba 5 дней назад

    ❤❤❤❤

  • @SarahMathias-v1g
    @SarahMathias-v1g 5 дней назад

    Simba oyeeeeeeeeeeeee

  • @ZulfaMalya
    @ZulfaMalya 5 дней назад

    Huyo mwenye tisheti nyeupe ni mchezaji nae😂😂 Ubaya Ubwela

  • @pastordeusfecki
    @pastordeusfecki 5 дней назад

    Wabunge kama watoto duuh kumbe hatuna wabunge kbs sasa mwaka huuuu kweny uchaguzi hamludi madarakani

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 5 дней назад

    Ubaya ubwela huu mwaka watahama nchi😂😂😂😂😂😂

  • @frankmsai7461
    @frankmsai7461 5 дней назад

    😂❤❤❤❤❤

  • @GwamaksmsyaniGmsyani
    @GwamaksmsyaniGmsyani 4 дня назад

    Mnyama kaupiga mwingi

  • @geofreymlegimusimu
    @geofreymlegimusimu 5 дней назад

    LEO UBAYA UBWERA UMETIA TIMU NDANI YA BUNGE LA MCHONGO

  • @SarahMathias-v1g
    @SarahMathias-v1g 5 дней назад

    Ubaya ubwelaaaaaa tu hadi laha

  • @GeorgeOwino-z2v
    @GeorgeOwino-z2v 5 дней назад

    Na mm ni comment wap jamn mbona rahaa

  • @Mumlion2624
    @Mumlion2624 5 дней назад

    Ubaya ubwela bungen

  • @thomasmwalongo3758
    @thomasmwalongo3758 5 дней назад +1

    Mnyama Kama mnyama

  • @crazydaddy9217
    @crazydaddy9217 5 дней назад

    Ukitaka kujua matahira fc (🐸) vichwa vyao punguwani.
    Wanalalamika marefa wanawabeba simba.
    Waulize kayoko aliwabeba nani?
    Wakijibu hili suali basi mie nawacha kujadili mpira kwa mwezi mzima

  • @MS.independent8934
    @MS.independent8934 5 дней назад

    😂😂😂🎉🎉❤❤

  • @MahaSaeed-hf3gs
    @MahaSaeed-hf3gs 5 дней назад

    Kumechangamkaa hukuuuuuu

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 5 дней назад

    Gundu tayali hilo

  • @MwaniPh
    @MwaniPh 5 дней назад +1

    Walinzi wawe makini wasije kuvunja viti vya bunge hao hawachelewagi

    • @SamwelSospeter-lz9fm
      @SamwelSospeter-lz9fm 5 дней назад +3

      Check hili Fala ,boya na k kama k zngne toa hapa mwiko wenu nyuma pumbavuuuuu nikusikie tena

    • @AnnaJayden-k4m
      @AnnaJayden-k4m 5 дней назад

      Hillooo wivu mmeishia makundi nanhamuendi popote 😂

    • @MahaSaeed-hf3gs
      @MahaSaeed-hf3gs 5 дней назад

      😅😅😅😅😂😂😂😂 umeumia eeeeh poleeeee ubaya ubwelaaa umekwingia

    • @LindaMbilinyi-n3n
      @LindaMbilinyi-n3n 5 дней назад

      Wivu utakuua

    • @subralugege7019
      @subralugege7019 5 дней назад

      🐸🐸🐸🤣🤣🤣ubaya ubwela