Masheikh wa Bakwata msikilizeni vizuri Sheikh Mwaipopo maneno anayoyazungumza ni ya msingi sana mnapoteza muda na Maulidi matokeo yake waislamu wanabaki kua nyuma kwenye kila kitu Asante sheikh Mwaipopo ujumbe umefika
Mwaipopo utapata ugonjwa wa moyo kaka yangu, maisha ni mafupi enjoy, usijipe presha hii vita huiwezi. Utapata hata ugonjwa wa mental illness. Umeikuta dini ya kiislam na utaratibu wao, huwezi kubadilisha. Shauri yako usije kusema sijakushauri.
Shekhe Mwaipopo mimi naona Shekhe Mazinge yupo sawa sisi Waislamu hatutakiwi kwenda kuombewa na washirikina na Makafiri. Hawa Washirikina wanao omba kwa jina la Yesu na wengine wote hatutakiwi kwenda wala kushiriki Ibada zao.
Uyu Sheikh mwaipopo ni mkweli ndo maana amta muelewa lakini wakati mwenyezi mungu akimchukuwa ndo mtajuwa umuimu wake,mwaipopo ni wale ambaho mwenyezi mungu alisema msipo shika dini yake atawaleta watakaho tetelea dini yake ndo uyu baba uyu ni walihi wa mungu mtake msitake.
Hustadhi mwaipopo hume hongea ukweli watu wanasumbuliwa sana na maradhi. Kwa hiyo kwenye huponyaji nyaji mtu Hana hangalia kupuna sio dini. Hukisoma biblia Kuna mafarisayo walimkataa yesu walisema sio nabii. Hukisoma yohana 9:1-25. Kijana halikuwa kipofu toka kuzaliwa haliponywa hupofu . Yeye haliwajibu mafarisayo Mimi nilikuwa kipofu Sasa nimepona sijuhi kama hanadhambi au Hana.
Viongozi wa kiislam wanashinda mitandaoni kutukana tuu, wenyewe kwa wenyewe 😅 igeni wakatoliki wapo kimya wanafanya mambo yao kimya kimya. Wakatoliki ndio walio tengeneza mifumo ambayo serikali nyingi zinafata. Uislam ni dini changa kuliko dini zote duniani, ndio maana viongozi wake hawajatulia.
Mtu mwenye matatizo hachagui pakwenda yeye anachoangalia aondokane na matatizo yake na ukiwa na matatizo hautojali dini wala kabila wewe utakachoangalia ni uzima wa mwili wako.
Mazinge anajidhalilisha kushindanda na Mwamposa, yule ni level nyingine kabisaa 😂 yaani ni kama sisimizi kwake. Na hanaga muda wa kubishana naye. Yeye kazi zake zinajitangaza na huwa halazimishi mtu kumfuata, watu wanaenda wenyewe kufuata yale aliyopewa na Mungu. Alafu mazinge ni muongo aliyekubuhu hakuna malipo yoyote kwa Mwamposa
Maamuma Mwaipopo, wewe unamshanga Mazinge kumsemasema Mwamposa mbona wewe nawe Kila wakati unawasemasema Wakristo? Unawasemasema chadema unamsemasema Kadogoo na wala hakujibu wewe na Mazinge ni wale wale Waislamu Kwa uchokozi ndiyo zenu mnajiona Bora kuliko wengine!!
Swala la LOWASA kushindwa kuchukua hii nchi hujui kitu nyamaza, na unaposema huweI kuchukua nchi ikiwa unamsaliti raisi wako si kweli, nenda kamfuatilie Raisi wa KENYA, WILIAM SAMOEL RUTO halafu uje uthibitishe maneno yako hapa
This men,he talked so much for nothing,kwani nini kosa la sheikh Mazinge?kazi yake sikuambia watu waache kilicho kuwa ni Zambia?kwani kwa mwa mposa ni halal or haram?sometime naamini lile neno la mnafiki anadalili 40 some you have those Sheikh kabisa,kunavingine havina maana kuviongelea 😮
Yaani nyie Waislamu wachokozi sana mnamwona Mwamposa hafai wakati nyie mnasujudia Al hajar Al aswad lililoko kwenye Kaaba kule Makka na mkifika Madina mnamwomba Muhammad kwenye kaburi lake wakati Kesha kufa je hiyo ni ibada ya MUNGU MUUMBA MBINGU NA ARDHI kweli??
Unazidi kuteseka juu ya uislaam hayo unayo yasema ni ya kwako endeleya kuelewa hivo hivo utakufa kwa cuki zako uislaam ulikuwepo na utaendeleya kuwepo kwa tariff yako tunamsujudiya Allah sio jiwe ukubali ukataye ukweli ndo huyo ila nakutakiya usilimu ili uwe na amani duniani na akhera mana umechoka sana
@@Kuminamoja1995 Kwa YESU KRISTO MWANA WA MUNGU ALIYE HAI hakuna mateso😅😅 Anayeteseka ni yule anayesujudia kuelekea kwenye Kaaba kwenye Al hajar Al aswad Jiwe jeusi mala Tano Kwa siku 😅
Masheikh wa Bakwata msikilizeni vizuri Sheikh Mwaipopo maneno anayoyazungumza ni ya msingi sana mnapoteza muda na Maulidi matokeo yake waislamu wanabaki kua nyuma kwenye kila kitu
Asante sheikh Mwaipopo ujumbe umefika
Asalam alaikum sheikh mwaipopo ukweli mtupu
Shekhe Allah atakulipa kwa kusema ukweli, Allah akuzidishie elimu yenye manufaa
Kwa mwamadi hakuna majibu majibu yapo kwa YESU waacheni waje kwa YESU kuna majibu yao ya kweli
Mwaipopo utapata ugonjwa wa moyo kaka yangu, maisha ni mafupi enjoy, usijipe presha hii vita huiwezi. Utapata hata ugonjwa wa mental illness. Umeikuta dini ya kiislam na utaratibu wao, huwezi kubadilisha. Shauri yako usije kusema sijakushauri.
Shekhe Mwaipopo mimi naona Shekhe Mazinge yupo sawa sisi Waislamu hatutakiwi kwenda kuombewa na washirikina na Makafiri. Hawa Washirikina wanao omba kwa jina la Yesu na wengine wote hatutakiwi kwenda wala kushiriki Ibada zao.
Sasa mazinge kaongea ubaya gani hapo
Unaongea kweli zote endelea kuwaambia simamia haki ubalikiwe
SubhanaAllah
Leo umevuta bang gan
Nakufatilia sana sheikh tangia zamani ila leo kidogo naona sijakuelewa mwamposa nikafiri kwahio kumsema unapata sawabu
Daaaaah naomba uniseme na mm upate swawabu na me ni kafiri😂😂😂
Hakuna kweli kwenye uislamu
Uyu Sheikh mwaipopo ni mkweli ndo maana amta muelewa lakini wakati mwenyezi mungu akimchukuwa ndo mtajuwa umuimu wake,mwaipopo ni wale ambaho mwenyezi mungu alisema msipo shika dini yake atawaleta watakaho tetelea dini yake ndo uyu baba uyu ni walihi wa mungu mtake msitake.
Mbona munakubali waende kwa wangaga? Acha roho mbaya
Unamtetea kwa sababu mtu wa kwenu mbeya mwaipopo na mwamposa ni ndugu
Kwanini usinge mpigia simu tu umwambie
Hustadhi mwaipopo hume hongea ukweli watu wanasumbuliwa sana na maradhi. Kwa hiyo kwenye huponyaji nyaji mtu Hana hangalia kupuna sio dini. Hukisoma biblia Kuna mafarisayo walimkataa yesu walisema sio nabii. Hukisoma yohana 9:1-25. Kijana halikuwa kipofu toka kuzaliwa haliponywa hupofu . Yeye haliwajibu mafarisayo Mimi nilikuwa kipofu Sasa nimepona sijuhi kama hanadhambi au Hana.
Sheikh mwaipopo kwani hata mimi najiuliza hawa waislamu wanaoenda kwa mwamposa naona hawajielewi
Ww bado hujapat matatizo
Upuuzi tuu
Viongozi wa kiislam wanashinda mitandaoni kutukana tuu, wenyewe kwa wenyewe 😅 igeni wakatoliki wapo kimya wanafanya mambo yao kimya kimya. Wakatoliki ndio walio tengeneza mifumo ambayo serikali nyingi zinafata. Uislam ni dini changa kuliko dini zote duniani, ndio maana viongozi wake hawajatulia.
MAKOSA YETU KUMTOA JELA HUYO KENYA NDO KIMETUPONZA
Tuanze kukemeana kwanza sharif manyau nyau unamtetea alaf wanampinga mwamposa wakati aje msikitini
sasa huyo mazinge ashawah kumsikie mwamposa anawaita waislam?si wanaenda wenyewe kwa akili zao kwan ni machizi
Mtu mwenye matatizo hachagui pakwenda yeye anachoangalia aondokane na matatizo yake na ukiwa na matatizo hautojali dini wala kabila wewe utakachoangalia ni uzima wa mwili wako.
NDO MTAJUWA ELIMU YAKE HUYO
Mazinge anajidhalilisha kushindanda na Mwamposa, yule ni level nyingine kabisaa 😂 yaani ni kama sisimizi kwake.
Na hanaga muda wa kubishana naye. Yeye kazi zake zinajitangaza na huwa halazimishi mtu kumfuata, watu wanaenda wenyewe kufuata yale aliyopewa na Mungu.
Alafu mazinge ni muongo aliyekubuhu hakuna malipo yoyote kwa Mwamposa
❤❤😅
Mwamposa Mazinge siyo size yako wewe endelea na kufundisha dini yako mwamposa humuwezi ana ushawishi mkubwa kwa sasa
Maamuma Mwaipopo, wewe unamshanga Mazinge kumsemasema Mwamposa mbona wewe nawe Kila wakati unawasemasema Wakristo? Unawasemasema chadema unamsemasema Kadogoo na wala hakujibu wewe na Mazinge ni wale wale Waislamu Kwa uchokozi ndiyo zenu mnajiona Bora kuliko wengine!!
Mwaipopo leo Umeniangusha kwa kumsema mazinge? mazinge alisema ukweli.
Mwamposa yupo bize anapiga kazi, mazinge ni mtu mdogo sana kwa Mwamposa na hana muda wa kujishana naye. Sasa mazinge ajitafakari mwenyewe.
Swala la LOWASA kushindwa kuchukua hii nchi hujui kitu nyamaza, na unaposema huweI kuchukua nchi ikiwa unamsaliti raisi wako si kweli, nenda kamfuatilie Raisi wa KENYA, WILIAM SAMOEL RUTO halafu uje uthibitishe maneno yako hapa
Hawajui walitendalo hao waislam wote wanaokwenda kwa mwamposa na siyo waislam sahihi
Waislamu wanaenda Kwa mwamposa wanajitambua hao ndiyo Wenye akili wameepuka vilinge vya majini😅😅
Hata watu wa roho mtakatifu si mna majin nyinyi au ndiyo mpaka mtajiwe jina la pepo wachafu
@@babazungu3180 Njoo na wewe tukutoe jini Karin iyenaye😂😂😂
ALWAH SW AKULINDE NA AKUSIMAMIE KATIKA MAMBO YAKO YOTE NAKUPENDA MNO KWA AJILI YA ALLWAH YAANI SH MWAIPOPO NAKUKUBALI SANA SANA ZAIDI YA SANA
ULIKUSUDIA KUANDIKA ALLAH UKAKOSEA AMA?SIJAELEWA
Waislamu mmebaki na chuki ushilikina
Mazinge anajizalilisha mwamposa hn time nae ameanz kujialibia sifa yk
Mazinge anatafuta Kiki kwa Mwamposa
This men,he talked so much for nothing,kwani nini kosa la sheikh Mazinge?kazi yake sikuambia watu waache kilicho kuwa ni Zambia?kwani kwa mwa mposa ni halal or haram?sometime naamini lile neno la mnafiki anadalili 40 some you have those Sheikh kabisa,kunavingine havina maana kuviongelea 😮
Kama ni Haram kwenda Kwa mwamposa pia ni Haram kusujudia JIWE JEUSI lililoko Makka kwenye Kaaba
Ni haram kwani huyo mwamposa ni mwislam mwenzenu
Yaani nyie Waislamu wachokozi sana mnamwona Mwamposa hafai wakati nyie mnasujudia Al hajar Al aswad lililoko kwenye Kaaba kule Makka na mkifika Madina mnamwomba Muhammad kwenye kaburi lake wakati Kesha kufa je hiyo ni ibada ya MUNGU MUUMBA MBINGU NA ARDHI kweli??
Unazidi kuteseka juu ya uislaam hayo unayo yasema ni ya kwako endeleya kuelewa hivo hivo utakufa kwa cuki zako uislaam ulikuwepo na utaendeleya kuwepo kwa tariff yako tunamsujudiya Allah sio jiwe ukubali ukataye ukweli ndo huyo ila nakutakiya usilimu ili uwe na amani duniani na akhera mana umechoka sana
Unateseka ukiwa wapi ndugu
@@qwerqasd8597 Anayeteseka ni yule anayesujudia kuelekea Makka kwenye Kaaba yenye Jiwe jeusi mala Tano Kwa siku😅
@@Kuminamoja1995 Kwa YESU KRISTO MWANA WA MUNGU ALIYE HAI hakuna mateso😅😅 Anayeteseka ni yule anayesujudia kuelekea kwenye Kaaba kwenye Al hajar Al aswad Jiwe jeusi mala Tano Kwa siku 😅
Bado amjasema mpaka useme mateso yako lol 😆