Wallah hii Qaswida nimeisikiliza zaidi ya mara 10 haishi utamu ustadhi koba upo vizuri watunzi wa mashairi yenye vina mumebaki wachache sana Allah aendelee kukibariki kipaji chako inshallah na mwenyezi mungu atakukutanisha na mtume inshallah
Wallahy hii qaswida imeimbwa na watu tofauti tofaut sana ila hii yako Mashaa Allah sauti manen yanavyotoka yaleta faraja kubwa sna kwa nafsi .Jina la Mtume linanguvu sana kwa nafsi zetu kulitaja tu ivi wahisi faraj kubwa snaAllah akuzidishie na nia io io yakuimba qaswida na akupe umri thaweel.
Maa sha Allah hapo kaka Sharif koba umeniliza sana kama ningekua nipo Tanzania ningelipa gharama yyte ile na mm niwemo kwenye huo ujumbe maana ni ujumbe mzito sana unapasua moyo ndani lazima ashikwe mtume naam
Mashaallah tabaraka Rahman hii qaswida nimeimba nikiwa chuoni hadi leo hii haikongwi leo miaka 60 nyuma kila ukiisikia ni mpya tu huchoki kuisikiliza Mashaallah ❤
Wallah hii kaswiida naipenda sana hainiishi ham kabisa kila nikitoka kzn lazima niweke tena kwa sauti mpaka nasisimka kwa 8zuri wake wa maneno na vidio
اللهم صل على سيدنا محمد محي النفوس صلاة تسعدنا به في جميع الدروس وعلى اله وصحبه وسلم ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف من يومنا هذا إلى يوم القيامة
Wallah sharifu koba unajua kutuweka sawa maana qaswida hii inapita mpaka kwenye mishipa ya damu WALLAH (mtume mzuri asikudanganye mtu.)
Masha Allah, Qaswida nzuri Sana, inasisimua moyoni. Allah awajaze kheir.
Wallah hii Qaswida nimeisikiliza zaidi ya mara 10 haishi utamu ustadhi koba upo vizuri watunzi wa mashairi yenye vina mumebaki wachache sana Allah aendelee kukibariki kipaji chako inshallah na mwenyezi mungu atakukutanisha na mtume inshallah
mbna niktaka kuidanrod haitaki
Mashallah naipenda Sana hii kasda❤
Maashaallah,,wallah mtumie mzuri gaswida inanichanganya sana
😊
😊😊😊😊😊
sharif kombe mungu akupe maisha,marefu nimefurahi kwa qaswida yko nawe mungu takufurahisha
Vittahh kubwa
Mungu awajaze kheri na baraka nasahacrew . international nasheed crew
Mashaallah anayo alama kipenz cha waislamu ❤️
Dohh dohh vittaa kubwa sanaa Masha Allah unang'aa uso wa mtumee muhammad ❤❤❤
Vittaaah...
اللـهـم صل وسلم وبارك على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه وسلم، عدد خلقه ورضا نفسه وزنة عرشه ومداد كلماته.
Wallahy hii qaswida imeimbwa na watu tofauti tofaut sana ila hii yako Mashaa Allah sauti manen yanavyotoka yaleta faraja kubwa sna kwa nafsi .Jina la Mtume linanguvu sana kwa nafsi zetu kulitaja tu ivi wahisi faraj kubwa snaAllah akuzidishie na nia io io yakuimba qaswida na akupe umri thaweel.
TUNAMPENDA MTUME WETU😍
Maashaallah qaswaida inasisimua wallahi Allah akulipeni kwa qaswaida nzuri
Maa sha Allah hapo kaka Sharif koba umeniliza sana kama ningekua nipo Tanzania ningelipa gharama yyte ile na mm niwemo kwenye huo ujumbe maana ni ujumbe mzito sana unapasua moyo ndani lazima ashikwe mtume naam
Shariff koba una balaa tunamuomba Allah akupe umri mrefu wenye kheri ili tuzidi kuenjoy kipaji chako 👏
Mimi ni mkristo lakini nimeipenda
Njoo kwenye Uislam raha kama nn na ndo Dini Ya kweli
Bs silimu mm nakushaur kwkwl
Basi tumfate mtume atuvushe Kwa pamoja siku ya hukmu
Karbu katka uislamu dini ya haki na yenye ukweli ndan yake
Masha Allah masha Allah.... Nice Qaswaid 💥💥💥🔥🔥🔥 (S.A.W) Rasool Llah
Mswalieni mtume Muhammad, ❤️
Naikubali sana hii qaswida.... mashallah ustadh sharif
Anayo Alama. MASHALLAH.
HIZI NI KUTOKA TZ au duh mashallah shariff koba
Naaam
Vitaaaaaah we koba wewe aaaaaah anayo alama Allaahumma swalli alaa Muhammad wa aali Muhammad
Maaashaallah tunamsifu mtume wetu kwa namna mbalimbali kwani yeye ni shufaa yetu yuumu ddini.
Mashaallah Allah bless you good Qaswida
Hii ndio kaswida sasa sio sungura kamkaba tembo mashaallah koba uko vizur allah akulipe kheir
Maashaalla kazii hii iendeelee mpaka na vizazi vyetu INSHAALLAH.🕋💝📿🕌
Nani kama muhammad❤ mashaallah
Ma shaa Allahhhhhhhhh😊😊😊
Ajaabbbbbbb 👍 👌......
Yaaaniiii hadiiii rahaaaaa 💃 💃 💃
اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين وسلم تسليما ❤
Masha Allah kheir ujumbe mzuri sana
Jazzak llahu kheir shariffu koba
Maashallah maashallah maashallah ❤️❤️❤️
Mashalla mashallah ❤❤❤ A.S.W
Ntakupa dada ❤❤❤❤❤❤❤❤ Asante sana shariifu mtume ni mwema
ماشاءالله ماشاءالله ماشاءالله تبارك
اللهم صل وسلم عليه ، الله بارك ، يدق قلوب العاشقين لحبيب محمد رسول الله صلى الله عليه وسلم ، أجمل قصيدة ،،,💗💗💗💗💗
Wallah unatisha mashaallah wakati wrote napenda kuisikiliza ni raha tupu Allah akuhifadhi
Wallah qaswida nimeisikiliza zaida ya mara tano ni nzuri sana
Asante sana shariifu mtume ni mwema anatupenda soote mm nakupongeza wanatwarika tuko Razi na ww mpk pepon
Mimi zaidi ya mara 100.shekhe mungu akujaalia umri mrefu wenye manufaa.
Allahumma swalli wasallim alayhi
Allah atakulipeni kheri zenu Team Nasaha Crew tupo pamoja
Mashaa Allah.....Hii qaswida ina soo much emotion ndan yake akiii.Nmeeiskiliza more than 10times.
Ustadh Koba shukrani kwa kaswida nzuri sana
Mashaaallah nzuri sana mpaka inasisimua 🥰🥰❤
Mashaallah yani hii nzuriiii sanaaa Allah akuhifadhi
Mashallah mungu akujaze kheri na baraka inshaallah 🎉
Wallah napnda kuisiklza hata sichoki mashallh
Naipenda sana jaman hii qaswdaa mungu atujalie mwisho mwemaa
Mashallah mashallah napenda sana kaswida zenu mashallah Allah awazidishie inshallah 🙏
Mashaallah tabaraka Rahman hii qaswida nimeimba nikiwa chuoni hadi leo hii haikongwi leo miaka 60 nyuma kila ukiisikia ni mpya tu huchoki kuisikiliza Mashaallah ❤
Wallah hii kaswiida naipenda sana hainiishi ham kabisa kila nikitoka kzn lazima niweke tena kwa sauti mpaka nasisimka kwa 8zuri wake wa maneno na vidio
Mungu atujalie waislamu site tuufuate mwenyendo wa muhamad
Mashallh mashallh broo nakukubl sna
Naipenda hii gaswidaa mashaallah ni nzr sanaa
Wallah raha sanna kumpenda mtume
Mtabiri wa nyota ebu naomba untumie hii qaswida sheeeehe wangu.
Mashaallahh mashaallahh kaswinda nzur sana❤❤❤❤
Mashaaalllah naupenda uislam
Kaswida naipenda hii jamani sijui nimeiskiza mara ngapi mna nashinda kuirudia maashallh
Maashaallah sharif koba anajua wallah🎉🎉🎉🎉
Maa shaa Allah,huchoki kusikiliza, Allah akulipe kheri
Nimeskiliza zaid ya mara 3 najikuta nabubujikwa namachozi uislam unaraha yake jaman Allah atupe mwisho mwema kwakwel 🤲
صلوا على النبي صلى الله عليه وسلم،ماشاء الله تبارك الله
Mashallah Allah akujaalie napenda sana qaswida zako
Mnapiga Dufu Vizuri snaa shukran ❤❤❤❤
Vitta balaa kubwa sana
Shukraan Sana Kwa kutu saport tunaomba kwenu Duwa tu ili tuzid kumtangaza bwana mtume Muhammad صلى الله عليه وسلم
Na kumswifu bwana wa mabwana.
Mashallah mashallah Allah akuzidishie kupaj qaswid haish utam
Mahadhi ya kale kabbisa na sauti murua kazi nzuri sana
Umefunika kweli shehe❤❤❤❤❤
Mashaallah 💖💖💖
Manshalla manshalla Mwenyezi Mungu akujalie
Mashaallah 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤Qaswida nzuri
Shekh anajua maashallah ht mm nilikuwa sijaijua hii qaswid lkn tangu ile cku nilivyoona azam tv ❤❤
Alorudia zaidi ya mara moja gonga like nikuone
Kbsaaa ❤❤❤❤❤❤❤ al islaam ndo din sahihi
Mashallah mashallah❤️
Hiii lazima jamaa apewe tu sifa kuuu yake wallah kaoiga hiii kuliko
وفقنا الله في الخير إن شاء الله
Koba we ni hatari sana jamani mashaallah twayyib mabruuk
Mashallah❤🎉❤🎉 Allah amzidishie
Nawakubari sana nasaha crew mbona hamtembelei mikoan jaman
Am enjoying this qaswida wallah
ماشاء الله
Kabisa. Haichoshi kuisikiliza. Mashallah.
Allah akbar ❤😭kazi kubwa sana
Mashaallah naipenda sana qaswidahiii
Allah Allah Allah mashaallah mashaallah mashaallah ya salaaam
Mashallaah alla amjaalie kheri msomaji namsikilizaji
Hv nilikuw wap?siku zote hz kushindwa kmjua huy mwamba anajua Sana shukran kwa Azam tv ndo wamenifanya nikufaham
Mashaallah❤❤❤
Maa shaa Allah, kaswida nzuri
Subhanallah ❤️❤️
Walah qasida tamm maashallah
Mashaallah❤
Koba utatuua kwa raha hizi Allah akbar
اللهم صل على سيدنا محمد عدد خلقك ورضا نفسك وزنة عرشك ومداد كلماتك
Masha Allah Allah Akuzidishie
Mashallah mashallah
Vita ni kubwa sanaaa 😅❤️🫡🫶🏻
Mashaallah Mungu awajaze kheri
اللهم صل على سيدنا محمد محي النفوس صلاة تسعدنا به في جميع الدروس وعلى اله وصحبه وسلم ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف من يومنا هذا إلى يوم القيامة
Maanshaallah is nice 💯
👌👌👌👌 Umeuwaaa !!!!!!
Mashallah mashallah Tabarakallah
Mungu akupe maisha malefu koba