Hawa ni majambazi hiyo nyumba ni wakfu pia vipi upewe nyumba kwa nyumba ina msikiti wake karatasi zimeandikwa wakfu na toka lini wakfu upewe wewe uwongo mtupu utumishi kwa mshahara gani wa thamani hiyo halafu hakushinda mahakamani uwongo mtupu wezi tu matapeli tu hawoo watumbatu wezi wakubwa
Alieitafta amekufa na huyo anaewadhulumu pia nae atakufa na ataviacha hapa hapa duniani
Asante Kwa Kutufuatilia
Iyo lazima iwe ivo kwasababu uwo urisi wakugaiwa nyumba unautatanishi tena sana .wakfu nisawa wanavotenda kazi .
Asante Kwa Kutufuatilia
Dhuluma imezidi hamumuogopi hata mungu nidhuluma gani hii hamuogopi mungu
Asante Kwa Kutufuatilia
Tumuogope M'Mungu Usumbufu Kusumbuwa Watu na Haki ni Yao Si Vibaya Ndo Maana Tunakufa Vibaya kwa Ajili ya Kudhulumiana Wenyewe kwa Wenyewe
Asante Kwa Kutufuatilia
😅
Asante Kwa Kutufuatilia
😢
Asante Kwa Kutufuatilia
Mali za urithi 😂 ndio maana nchi imejaa magofu! Tuwafundishe watoto kutafuta vipya jomoni
Asante Kwa Kutufuatilia
Kwamaana Watu Wasirithi.
,hapa tanga taasisi ya Ansar wamewazulumu yatima marhum said janjira tena mashekh ndio wanaongozwa kwa zulma hawaogopi yatimawala hawaogopi Allah
Asante Kwa Kutufuatilia
Kuzulumiyana saiz kama maji yakunywa
Asante Kwa Kutufuatilia
Huyu Rajab Makopo unayemtaja hapa ndiye yule baba ake Ahmed Rajab
Asante Kwa Kutufuatilia
Kaka zangu walinitumia mapolisi wanne wanikamate kisa kudai haki ya urithi wa nyumba ya Marehemu Baba yetu ,Daaahh
Asante Kwa Kutufuatilia
@@ICONTVTZBig up & Good Job ✊🏿
Hebu wakabizieni nyumba yao huyo mamaenu aliyeiba hizo nyaraka ameziacha amekesi ya dhuluma huko aliko kweli huwa haibadiliki itaendelea kuwa kweli
Asante Kwa Kutufuatilia
Huyo Mkuu wa koa anafanya nn,?
Asante Kwa Kutufuatilia
HUYO DADAENU MUNGU ATAMLAANI PESA MALI YA DHULMA ITAMPELEKA WAPI
Asante Kwa Kutufuatilia
Hawa ni majambazi hiyo nyumba ni wakfu pia vipi upewe nyumba kwa nyumba ina msikiti wake karatasi zimeandikwa wakfu na toka lini wakfu upewe wewe uwongo mtupu utumishi kwa mshahara gani wa thamani hiyo halafu hakushinda mahakamani uwongo mtupu wezi tu matapeli tu hawoo watumbatu wezi wakubwa
Asante Kwa Kutufuatilia
Waandishi wa abali wa mchongo atishiwe kuuliwa na nani?
Asante Kwa Kutufuatilia
Huyo katibu wa wakfu yule videvu hafaii kabisaa
Asante Kwa Kutufuatilia
Imekuwa Adhurumiwa Tena baada ya Amedhulumiwa 😂😂😂 kiswahili cha wapi hicho
Asante Kwa Kutufuatilia
tumbatu