Mheshimiwa Rais Mwinyi, MashaAllah hongera sana, uongozi wako ni thabiti na tunaukubali. Daima ukisimama kwenye haki ujue utashinda tu. Mungu hapendi dhulma wala khiana. Mungu akuhifadhi na akujaaliye afya njema, uzidi kuiongoza Znz kwa amani na mafanikio kwani tunayaona. Big Up!
This is Indeed quite impressive and Very Promising.... Sijapata Kuona Kwa Umri wangu Allahamdullilah Raisi wa Nchii Kupiga Simu Live Coverage discussing With His Minister in finding out the Truth about his country's Progress.. As I said earlier Zanzibar is Capable to make a huge Difference in its Progression Muhimu Watu Wapewe Misaada na Watoto Kusimamiwa Na Watu Kua Na Biddii .. This Clip gives an Inspiration to Understand Kua sio Hoja Kupiga Wizara Zotte Yatosha Kujua Mawaziri Wengine Wakae Sawa na Wafahamu Kua His Excellency is Watching closely.... Ama Sivyo Huyu Raisi Anaonesha Msumenoo 🪚 Well Done Mr.President Wishing you & the People of Zanzibar all the Prosperity and Wealthy Years Ahead...
Zao la jpm nashukuru kaacha watu hakika wapo wengi,inshaallah maliza huko uje huku tunakusubili,Inawezekana maana huku wapo wengi mno(mbegu)zilizoachwa
Kweli kwa hili nime Jifunze Mengi saana, malezi, malezi mhe Rais siyo tu cheo Ali hi nacho! Kuna issue ya malezi ni ni Rais ambaye Amamuogapa na kukuheshimu Mungu ana ofu ya Mungu! Mungu akubariki saaana mhe!!!! 5:21
Rais Usikatishwe Malengo yako na Maneno ya Watu....Watakaopinga Watakuwa Wachache kuliko Watakaokubali swala hili...Allah Akusimamie na Akupe Moyo wa Ustaimilivu wakila jambo...Akupe Busara Zaidi zakutuongoza...Allah Akujalie kila la kheri In sha Allah.
The future president wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Machozi ya furaha yamenitoka kwa kuona jinsi Rais wa Zanzibar anavyoongea na wananchi kwa unyenyekevu na usikivu mkuu lakini wakati huo huo akionyesha kuwa yeye ndiye mkuu wa nchi! That is leadership!
Muheshimiwa Rais kero zipo nyingi sana sana ambazo hazitatuliwa . Hata sisi watu Mwanyanya tuna kero twa kuomba upite barua zetu bado hazija Fanyiwa kazi tumefika hadi ofisi ya Makamo wako wa 2 wa Raisi lakini haija saidia kitu. Bado tuna khofu kubwa ya kuingiliwa na Maji waki wa Mvua. Tunaomba Msaada wako Muheshimiwa Rais. Sisi Tuko Mwanyanya .
Mwinyi unatisha kama njaa nakupenda Bure wewe ndie rais niliekuwa nafikilia utaweza kuwafikia wananchi wako wa hali chini bila kumwagiza mtu Wala kikundi Cha watu maana hao wanatumwa hawafikishi shida za wananchi wa chini 2025 rudi Tanganyika ugombee urais ili historia hii ijirudie tena
Subhanna Allah humuogopi hata Mwenyeenzi mungu unamwita kiumve wa Mwenyeenzi mungu ambae huwezi hata kumuumba Binadamu mwenzako , nawe ukiwa Mwanamke unajua uchungu wa mtoto kweli una mtusi Rais wetu.Sababu CHUKI BINAFSI
Asalm alekum mm Taiba hafidh. Ninaishi Mombasa naomba .kuongea na muheshimiwa rahisi. Kuhusu nyumba ya maremu babangu ilo taifiswa naserekali na mm nataka kurudi kwentu kuishi
Kukosa plan y miji ndio hayo mazara yake kuwavunjia watu kushindwa kulipa ingekua mumeweka plan z miji musingepata harama nyingi z kulipa watu adi leo watu wanajenga wanavotaka
Aaaa babaisha bwege tu hawa ccm Ahadi nyingi vitendo kidogo. Nawajuwa vizuri hawana lolote wanakula wao tu mali za Zanzibar na watoto wao. Wananchi wanakufa njaa mitaani. Hii ni show off tu hakuna lolote
Rais wetu nakukubali sana wewe atakulipa mungu wetu sisi hatuna cha kukulipa baba maendeleo yako tunayoona
Safi sana mh. Rais Allah akuongoze zaidi.
Mashallah hongereni sanaaaa well done Mh rais hussein mwinyi Allah akulinde akupe afya yarabi na uhai uendelee kuwadimia wanyonge znznzibar amin
Nimeipenda sana hii hongera sana sana rais mwinyi ,ungekua rais wa jamhuri wa mungano tzn tungefika mbali sana!!hataki mchezo kabisa.
Mheshimiwa Rais Mwinyi, MashaAllah hongera sana, uongozi wako ni thabiti na tunaukubali. Daima ukisimama kwenye haki ujue utashinda tu. Mungu hapendi dhulma wala khiana. Mungu akuhifadhi na akujaaliye afya njema, uzidi kuiongoza Znz kwa amani na mafanikio kwani tunayaona. Big Up!
John Pombe maghufuli for life hongera sana
Sasa hapo Magufuli hajachangia kitu hapo
Mashaallah Dr hussein rais wa znz
Rais wa watu! Rais wa amani! Rais mwenye maono! Rais Mtumishi wa Mungu!
Mungu akubariki saaaaana mhe Rais
This is Indeed quite impressive and Very Promising....
Sijapata Kuona Kwa Umri wangu Allahamdullilah Raisi wa Nchii Kupiga Simu Live Coverage discussing With His Minister in finding out the Truth about his country's Progress..
As I said earlier Zanzibar is Capable to make a huge Difference in its Progression Muhimu Watu Wapewe Misaada na Watoto Kusimamiwa Na Watu Kua Na Biddii ..
This Clip gives an Inspiration to Understand Kua sio Hoja Kupiga Wizara Zotte Yatosha Kujua Mawaziri Wengine Wakae Sawa na Wafahamu Kua His Excellency is Watching closely....
Ama Sivyo Huyu Raisi Anaonesha Msumenoo 🪚
Well Done Mr.President Wishing you & the People of Zanzibar all the Prosperity and Wealthy Years Ahead...
Ongera sana .Allah Akujalie kila kheri.....In sha Allah....hii Safi sana...Iwe Endelevu kwa Viongozi Wote..
Nawauliza hiyo Sema na Mh, Rais ni Namba gani jamani hii nimeipenda
Zao la jpm nashukuru kaacha watu hakika wapo wengi,inshaallah maliza huko uje huku tunakusubili,Inawezekana maana huku wapo wengi mno(mbegu)zilizoachwa
Kweli kwa hili nime Jifunze Mengi saana, malezi, malezi mhe Rais siyo tu cheo Ali hi nacho! Kuna issue ya malezi ni ni Rais ambaye Amamuogapa na kukuheshimu Mungu ana ofu ya Mungu! Mungu akubariki saaana mhe!!!! 5:21
Ana jitihada za uongozin
Hongera Rais wa Zanzibar
Rais Usikatishwe Malengo yako na Maneno ya Watu....Watakaopinga Watakuwa Wachache kuliko Watakaokubali swala hili...Allah Akusimamie na Akupe Moyo wa Ustaimilivu wakila jambo...Akupe Busara Zaidi zakutuongoza...Allah Akujalie kila la kheri In sha Allah.
Asante rais upo pamoja nawananchi wako husafir kabisa
Hongera Mungu akuwezeshe zaidi ya hayo juu ya kushuhulikia wananchi wko
Hii sema na Raisi amewahi kuifanya mzee Mwinyi Lumumba na ilileta mafanikio.Hongera kwa kupita mulemule.Allah akupe Afya na salama.
Mungu akupe maishaa marefu
Hakika mwinyi ni raising wawananchi mungu akusimamie inshallah 🤝
Thanks Lord
ASANTE MUHESHIMIWA MWINYI.
Mansha Allah rais mwiny MUNGU Akuongezee umri kitendo cha kuongea na wanachi
HUYU NDIO KIONGOZI MWEMA ANAONGEA NA WANACHI WAKE MA SHA ALLAH
M5 tena ila uje bara muheshimiwa mungu akuweke
Mheshimiwa Raisi❤️😘
Safi sana Rais ubarikiwe sana.
True copy of the late J.P.M,Mungu akubariki mh.
Hakuna kitu hapo ni maonyesho tu
@@paolowity4948 uko na uku tena...coment nyingi Umepinga swala ili...Utakuwa sio mtanzania Halisi...Unapinga Jambo jema...sijawai Ona.
Uyu rais natamn aje bara yan natamn nitamn nikaishi uko znzbar
The future president wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Machozi ya furaha yamenitoka kwa kuona jinsi Rais wa Zanzibar anavyoongea na wananchi kwa unyenyekevu na usikivu mkuu lakini wakati huo huo akionyesha kuwa yeye ndiye mkuu wa nchi! That is leadership!
Mwinyi toka mwanzo alionekana Rais Mwema na anafanya vyema kuwasikiliza raia wake
Mashaallah,Allah auangazie nuru uongozi wako mh Rais.
Kama magufuli safi sana sana hapo kwa hapo mwinyi uendelee ivyo ivyo mkuu.mungu anakuona kwa wananchi wako
RAISI UPO SAWA KABISA KAMA JPM TAWALA MILELE
Muheshimiwa Rais kero zipo nyingi sana sana ambazo hazitatuliwa . Hata sisi watu Mwanyanya tuna kero twa kuomba upite barua zetu bado hazija Fanyiwa kazi tumefika hadi ofisi ya Makamo wako wa 2 wa Raisi lakini haija saidia kitu.
Bado tuna khofu kubwa ya kuingiliwa na Maji waki wa Mvua.
Tunaomba Msaada wako Muheshimiwa Rais.
Sisi Tuko Mwanyanya .
Hongera sana mh rais
Jamani Zanzibar wana rais .ambaye ana uchungu. Na wananchi wake
Nnashida na raisi
Kama napata japo kuzungumza nae
mh rais darajani maduka mapya kilio kodi bei juu mno na pia hatupewi tulio kuwepo
Naomba kurudishiwa Ili niwenze kujakuishi
Nasie muheshimiwa njia ya mwanyanya tumevunjiwa nyumba zetu na hatujapewa hata shili😭😭
Raisi mwinyi hatutowi atawale znz mpaka achoke
Rais huyu ndie tuliemtafuta kwa muda mrefu sana
Sisi tunapiga hakuna chochote tunochojibiwa huu mwaka wa 3
Nilikuwa tena sina hamu yakufuatilia siasa za Tanzania baada ya kifo cha Rais Magufuli lakini leo nilipo hona video hii
Mwinyi unatisha kama njaa nakupenda Bure wewe ndie rais niliekuwa nafikilia utaweza kuwafikia wananchi wako wa hali chini bila kumwagiza mtu Wala kikundi Cha watu maana hao wanatumwa hawafikishi shida za wananchi wa chini 2025 rudi Tanganyika ugombee urais ili historia hii ijirudie tena
Rais mshenzi tu anamaneno mazuri lakini jibwa kama yeye hakuna
Hayo yako jibwa bibi yako
Subhuhanallah yarabih mswahaa memee mama uyu anae mtusi kiumbe wako uliemuumba kwa mfano wa MTU kakukosa lipi aswa
Subhanna Allah humuogopi hata Mwenyeenzi mungu unamwita kiumve wa Mwenyeenzi mungu ambae huwezi hata kumuumba Binadamu mwenzako , nawe ukiwa Mwanamke unajua uchungu wa mtoto kweli una mtusi Rais wetu.Sababu CHUKI BINAFSI
Hivi huyu ni mzima kichwa Sasa jema lipi unatata utendewewe kiumbe unalaana wewe.
Hapa huyu Faiza hana Mama, mwanamke mpumbavu haswaa, rudisha simu kwa bwana ako na upunguze stress za Njaa.
Huyu ni Rais wa watu na ni baadhi ya viongozi wachache wa Africa
Mh msaada tunatamani kukuona nakutana na changamoto nyingi ni Mimi kijana wako kutoka pemba
Pongez zisiwe kwa president tu hata uyo katibu anahitaj pongez pia anavojib tu anaonesha dhahir kwamb anafwatilia kinachoendlea ktk wizara yake
Mweshimiwa asalam alayku waonajenahal kwamajina naitwa Abdallah Mbaraka Abdallah nikijana nilekuwana familia nasinakazi wazee pia wanitiza naomba ajira Baba angu nisaidie nakuwomba
Pole nakazi raisi mkuu nashida tena shidayangu kubwa nipe nafasi nikuone hutojutia kunamadudu mkuu huku chini
tunakupongeza wautendaji wako hongesaa,,
Tupeni no
Safi anafuata nyayo za magufuri
Kwa ilivyo Zanzibar ukubwa wake si kama ilivyo Tanganyika hivyo itakuwa rahisi kupambana na kero sugu.
Ulitakaje Wewe....
Asalm alekum mm Taiba hafidh. Ninaishi Mombasa naomba .kuongea na muheshimiwa rahisi. Kuhusu nyumba ya maremu babangu ilo taifiswa naserekali na mm nataka kurudi kwentu kuishi
As so how can you help me
Huniutapeli wakisiasa ccm matapelitu watanzania amkeni tuendelee kudai katiba mpya
Hawa ndio viongozi tunao wataka
Mmbo yamepangwa hyo so bure kuongea tu ajue km anaongea na muheshimiwa
This is a really JPM product. Keep it up Mr President
Amna kitu hapo ni maonyesho tu apate kuzungumziwa mitandaoni na vichwa panzi kama wewe ila wanajua wanayofanya
@@paolowity4948 Wewe sasa Utakuwa Sio Mtanzania Harisi...nimeona coment zako zote nikupiga tuuuuuu.kila coment inayohusu JPM.
Mungu akulinde na mahasidi muheshimiwa president utapata ujira wako unaoutumikia uongozi ni dhamana tetea wanyonge SEMA NA RAIS
Hakuna cha ujira mmoja atakao pata uongozi wa kumwaga damu za watu
Mbona wachangiaji wengi wao ni watanganyika ?
Nina farijika kuhona kuna Magufuli 2 or Junior.
Mkuu uje huku bara 2030
Kukosa plan y miji ndio hayo mazara yake kuwavunjia watu kushindwa kulipa ingekua mumeweka plan z miji musingepata harama nyingi z kulipa watu adi leo watu wanajenga wanavotaka
Aaaa babaisha bwege tu hawa ccm Ahadi nyingi vitendo kidogo. Nawajuwa vizuri hawana lolote wanakula wao tu mali za Zanzibar na watoto wao. Wananchi wanakufa njaa mitaani. Hii ni show off tu hakuna lolote
Hamna kitu apo Sasa c kama diamond platnumz tu siasa imegeuka music
Mtu wakupinga kila kitu...Utamjuwa Tu!kibaya kipi hapo sasa.?
Mtu wakupinga kila kitu...Utamjuwa Tu!kibaya kipi hapo sasa.?
Namba anazitoa wap au michongo
Ipo imewekwa ongea na raisi mwinyi na aliizindua rasmi pale Hoteli verde ipo
Maigizo haya kwahiyo mmepanga watu mpaka mmeshoot video ..
Kule kulikuwa na viongozi ikawa wananchi wamekusanyika kulikuwa na serekali na waandishi
Katibu mkuu hamjali muda wa kutekeleza halafu hata nyumba mbovu kiwanja hakina thamani? Au ndio muhali mtoto wa fulani
Kwakweli fidiya za zanzibar nikechekesho