Mungu wangu nipo mbele zako naomba neema na rehema zako. Kupitia maombi haya nikainuliwe kiuchumi, kiafya , na mtoto wng Enock ukamuone ktk masomo yake akawe kichwa baba.
Mungu naomba uniinulie mtu sahihi wa kunisaidia mtaji wa biashara. Nimeomba msaada muda mrf lakini nimekuwa nikiambulia ahadi zizotekelezeka. Ila kupitia maombi haya naamini nitapokea kwa jina la yesu kristo wa nazareti. Amen
Ee Mungu wangu nikutanishe na mtu sahihi katika mfungo huu na ninaomba familia yangu ikaone matendo Yako katika mfungo tuliopanga utakaoanza jumatano hadi alhamisi
Imani yangu ipo kwako Bwana,Nakuomba ingilia kati maisha yangu popote nilipokwama Inua mtu wa kunibeba,sitakiwi kusimam natakiwa kusonga mbele kwa kukimbizana,nimesha jivuta sana sasa nahitaji imani inayoishi,nisaidie Mungu wangu kuyaishi maisha ya kusudi lako nisikwame popote katika jina la Yesu Ame
Ahsante kwa ibada hii mungu naomba kibali 🙏🙏🙏naomba usinyamaze juu ya maisha yangu najiunganisha kwa maombi haya usinipite mungu wangu naomba unikumbuke 🙏🙏🙏🙏🙏
Kweli kabisa haya mazingira ni magumu sana hakuna Mtu anakuelewa😭😭 Amen MUNGU wangu fungua milango yangu baba nikumbuke nakuhitaji wewe unisaidie awape mtetezi anitetee 😭😭 Amen
Imani yangu na Tumaini langu ni wewe Mungu wangu naomba uwe pamoja nami usiniache Mungu wangu Usijifiche uso wako kwangu katika Jina la Yesu Kiristo Amina
Rehema na Neema zakó zikawe juu yetu Mfalme wa wafalme ili ukaweze kutuinulia watu sahii wakútuvusha mahali ambapo tumekwama kwa Jina lako takatifu Amina.
EBaba Muumba wangu nakuomba unipe moyo wa uvumilivu na kistaimili majalibu yanayokuja mbele yangu Mungu baba pekeangu siwezi pasipo wewe Baba ninaitaji Amani ya Moyo.Ame .Mungu Baba nakuitaji sana katka maisha yangu
Mungu nionekanie katika afya yangu nisiwe mtu wa kuumwa umwa tena, onekana juu ya familia yangu wafunguliwe kiuchum, kiafya na kiroho..mwanangu azid kuwa mwenye afya kila siku, mume wangu apate kuitwa kwenye ile kazi apate kibali kila sehem, destiny helper aonekan kwang kuanzia leo
HALLELUJAH naamini BWANA utatenda uniinue kwa imani nisimame,kwa mfungo uniwezeshe, kwa mdeni wangu kunilipa,kufungua njia kwa ofisi,milango ya kazi,katika kila hatua naomba kibali na destiny helper
Najiungamanisha na mfungo huu pamoja na maombi naomba Mungu ainue watu sahihi Kwa ajili ya maisha yangu mume sahihi biashara zangu zisonge mbele Kaz yangu ipate kibari kikuu nakuongezwa mshahara ninao wadai wote wanilipe mungu naomba niletee wateja sahihi inua uchumi wangu ukue na ndgu zangu naomba pia ulinzi Kwa watoto wangu mungu naomba onekana kwangu nataka nikuone mungu katka Ibada hii
Ayo yote ni yangu kwa saahii nayapitia jamani mungu watu wananikataa peza zangu 😢simepotea nasafili kwe na nyumba kutoka Saudi Arabia mume mwenye alisema atanioa amenikana 😢watuu wamenitoloka eee mungu wangu nisaidie
Mungu wangu nipo mbele zako naomba neema na rehema zako. Kupitia maombi haya nikainuliwe kiuchumi, kiafya , na mtoto wng Enock ukamuone ktk masomo yake akawe kichwa baba.
Yaaani Aya mazingira tuliyo nayo ni kwa neema zake na mkono wake ndo tutakuwa salama 😢😢❤
DEO akanitafute anilipe deni langu million ishirini namdai mwaka wa nne sijui Yuko wapi ila kwa Ibada hii nimepokea pesa yng kwa DEO Amina
Mungu naomba uniinulie mtu sahihi wa kunisaidia mtaji wa biashara. Nimeomba msaada muda mrf lakini nimekuwa nikiambulia ahadi zizotekelezeka. Ila kupitia maombi haya naamini nitapokea kwa jina la yesu kristo wa nazareti. Amen
Usinipite yesu kupitia maombi haya uniponye magojwa umuuponye mtoto wangu macho na kichwa uniinuwe kiuchumi kwako yote yawezekana yesu ameen
Mungu nakuomba univushe na familia na uzao wangu kanionekanie kipitia Madhabahu Yako.Amen
Bwana yesu naomba untanglie kila jambo kwa familia yangu funika kijana yangu na damu yesu krist
Namini mungu utanitendea huu mwezi wangu,na huu mufungo ni wangu yesu, nitakuona naomba kwa mini amen
Ameen Ameen! Mungu nina imani utatenda kama ulivyotenda kwa wengine na ikawe hivyo kwangu Katika jina la Yesu. 🙏🙏🙏
Bwana Yesu naomba inionulie watu sahihi wa kutuvusha ktk maisha yangu
Ee Mungu wangu nikutanishe na mtu sahihi katika mfungo huu na ninaomba familia yangu ikaone matendo Yako katika mfungo tuliopanga utakaoanza jumatano hadi alhamisi
Ee MUNGU wangu nitie nguvu niushide ubaya kwa wema YESU nakuhitajii
Imani yangu ipo kwako Bwana,Nakuomba ingilia kati maisha yangu popote nilipokwama Inua mtu wa kunibeba,sitakiwi kusimam natakiwa kusonga mbele kwa kukimbizana,nimesha jivuta sana sasa nahitaji imani inayoishi,nisaidie Mungu wangu kuyaishi maisha ya kusudi lako nisikwame popote katika jina la Yesu Ame
Ahsante kwa ibada hii mungu naomba kibali 🙏🙏🙏naomba usinyamaze juu ya maisha yangu najiunganisha kwa maombi haya usinipite mungu wangu naomba unikumbuke 🙏🙏🙏🙏🙏
Bwana YESU nataka kukuona Amen Amen Amen 🙏
Mungu wangu nijaze na nguvu zako ni weze kufanikisha mfungo huu ,sina kimbilio lengine isipokuwa wewe baba
Naomba kibali cha kukutana na watu sahii kwa jina la yesu amen pia napokea mme sahii kwa jina la yesu amen 🙏 🙌 ❤
Huu mfungo ni kwa ajili yangu yaani kama vile umeniona, asante sana Yesu naamini utatoa watu kwa ajili yangu🙏🙏🙏
Imani yangu nikwako bhana nakuomba unitangurie kwenye maisha yangu namagumu yote ninayo yapitia univushe salam
Maombi yako yamekuwa yananigusa sana mtumishi 🙏🙏🙏
Eeeh Mungu wangu Naomba uwe Nami na najiungamanishaaaa na Mfungoooo huuuuu ktk jina lakoooo takatifuuuuu
Kweli kabisa haya mazingira ni magumu sana hakuna Mtu anakuelewa😭😭 Amen MUNGU wangu fungua milango yangu baba nikumbuke nakuhitaji wewe unisaidie awape mtetezi anitetee 😭😭 Amen
Usinipite baba wa Mbinguni usiku huu niinulie watu sahihi katika kila eneo la Masha yangu watakaonikwamua nilipokwama
Mwenyenzi Mungu inua watu sahihi Kwa Elimu ya watoto wangu na Maisha yangu
Asanteh Yesu kwa Neema Yako najuingamanisha na mfungo huu kwa njina la Yesu
Asante kwa Ibada ya siku ya kwanza nashukru mungu akutunze nawe pia akupe mtetezi mm nimepokea mtetezi wng nashukru Sana asb njema baba.
Imani yangu na Tumaini langu ni wewe Mungu wangu naomba uwe pamoja nami usiniache Mungu wangu Usijifiche uso wako kwangu katika Jina la Yesu Kiristo Amina
Eee Mungu wangu najuwa utoniacha kupitia mfungo huu 😢nipo apa Bwana yesu Na mm mtoto wako 😢🙌🙌🤲🇴🇲
Amen.
Mungu tuiinulie mtu wa kutushika mkono
Amen 🙏 MUNGU
Fanya njia Kwa rehema zako nyingi
Ee bwana mungu wangu nisaidie mtu wa kunibeba nilipo kuama asante yesu Kristo amém
Eee Mungu niinulie Wa kunilipia madeni mimi na Mume wangu na watoto wangu tunaaibika kwaajili ya Madeni hayalipiki
Eeh mungu wangu niinuliye watu wa kuniinuwa kimaisha kiuchumi ameen
Amen najiungamanisha na madhabau haya kukomboa familia yangu mungu Naomba uniinulie mtu sahihi wa kunibeba😢😢😢
Mungu nataka kukuona wewe, uniponye mngonjwa yote kwa Familia yangu, tuned from Nairobi Kenya
Wewe ni Bwana mponyaji litume neno lako tupone kila hitaji letu katika jina la Yesu
Amen Mungu atuinulie watetezi wetu walio sahihi wa maisha yetu
Eee Mungu wangu, kupitia hii mfungo, naomba uniinulie mtu sahihi katika maisha yangu, kama ulipowainulia Wana wa islael Musa akawafusha, Amen.
Najiunganisha haya maombi ya kufungua hata kama nimechelewa MUNGU akanikutanishe na watu sahihi Amina
Asante Yesu Eee Mungu wangu naomba unikutanishe na mtu sahihi ataye nibeba Kwa jina la Yesu 🙏🙏🙏
Rehema na Neema zakó zikawe juu yetu Mfalme wa wafalme ili ukaweze kutuinulia watu sahii wakútuvusha mahali ambapo tumekwama kwa Jina lako takatifu Amina.
Nataka nikuone Mungu igawa napita kwenye shida na mateso pamoja na madhaifu yote nataka nikuone Bwana
Amen Asante yesu roho mtakatifu 🙏🏻
Amen Amen sana 🙏 🙌 mubarikiwe sana ubarikiwe ❤❤❤❤
Mungu maombi haya yasipite bure kwenye maisha yangu,ulisema neno haiwezi pita bure naomba Kwa Imani nitumie msaidizi nmechoka na kilio
Onekana Bwana katika maisha yetu! Tujaalie neema ya kukulingana. Ili mengine yote tuyapate kwa ziada!
Madeni , mahusiano uchumi Yesu 🙏
EBaba Muumba wangu nakuomba unipe moyo wa uvumilivu na kistaimili majalibu yanayokuja mbele yangu Mungu baba pekeangu siwezi pasipo wewe Baba ninaitaji Amani ya Moyo.Ame .Mungu Baba nakuitaji sana katka maisha yangu
Mungu nionekanie katika afya yangu nisiwe mtu wa kuumwa umwa tena, onekana juu ya familia yangu wafunguliwe kiuchum, kiafya na kiroho..mwanangu azid kuwa mwenye afya kila siku, mume wangu apate kuitwa kwenye ile kazi apate kibali kila sehem, destiny helper aonekan kwang kuanzia leo
Mungu wangu usiniache niinulie watu wa kunisaidia kusonga mbele
HALLELUJAH naamini BWANA utatenda uniinue kwa imani nisimame,kwa mfungo uniwezeshe, kwa mdeni wangu kunilipa,kufungua njia kwa ofisi,milango ya kazi,katika kila hatua naomba kibali na destiny helper
Natamani nikuone Bwana,zungumza Kwa ajili ya maisha yangu
Nataka nikone Bwana japo napita kwenye shida na tabu Mungu wangu 😭😭
Ndio yesu nataka kukuona baba 🙌 kupitia mmufungo Huu🙏🙌
Eee mungu nipe mtetesi shahihi kwenye kazi yangu,watoto wangu ,ndoa yangu mungu wangu niko jini yako usiniache
Najiungamanisha na mfungo huu pamoja na maombi naomba Mungu ainue watu sahihi Kwa ajili ya maisha yangu mume sahihi biashara zangu zisonge mbele Kaz yangu ipate kibari kikuu nakuongezwa mshahara ninao wadai wote wanilipe mungu naomba niletee wateja sahihi inua uchumi wangu ukue na ndgu zangu naomba pia ulinzi Kwa watoto wangu mungu naomba onekana kwangu nataka nikuone mungu katka Ibada hii
Eeh Mungu nipe support katika biashara yangu
Nipe wateja zaid ,fungua milango yangu
Mungu niinuliye watu ambaye ata ni sapoti kwenye biyashara yangu.
Amen nimekata ndoto zakurudi nyuma
Baba naomba ukatebde kama Neno lako linavyonena❤❤😁🙏🙏
Mungu niinulie wakuni tetea
Asante Mungu kwa kuwa umeshajibu.
Bwana mimi nataka nikuone kwenye afya yangu mungu wa mbinguni
Amen, usinipite yesu kupitia maombi haya🙏🙏
Nataka nikuone MUNGU katika haya mambo nipitiayo
Mtetezi wangu yu hai. Niinulie ee Yesu wangu mtetezi wangu
Wewe ni bwana mwenye uwezo unitumie mtetezi wa kunitetea
Wasaidizi wa hatma yangu wakati umefika ingieni kazini sasa nishikeni mkono Katika Huduma,kazi,Biashara ndoa watoto Ee Yesu niinulie watu sahihi
Naomba nikuabudu ktk roho na kweri kupitia mfungo huu
Bwana najuwa utoniacha kupitia mfungo huu 😢nitetee bwana😭😭😭😭👏🧎
Asante bwana mungu wa mbinguni
Asante bwana kwa maombi iyi baba
Eeh Mungu unikumbuke
Amen asnte Yesu wewe ni mwema kwangu
Mungu week hii nipe kazi kupitia kwa haya madhabaho ya Siri ya bibilia
Ameeni Mungu fanya jambo kwenye maisha yangu
Ameen ameen mtumishi wa mungu 🙏🙏🙏
Amen amen Mungu apewe sifa
Namimi munisaidie kupitia hiyi maombi mutumishi wa bwana yesu niko zambia
Amen asnte Yesu
Ameen🙏 ameen🙏 ameen🙏I receive it in JESUS MIGHT NAME
Niinulie jehova niinulie mtu wa kunisaidia jehova
Sylvia Ameen asante bwana Kwa Neema yako kubwa,baba naomba uponyaji maana wewe nimponyani❤🙏
Asante Mungu
Ameni
Amen and Amen 🙏 🙌 👏 😊
Amen amen 🙏🙏🙏🙏🙌
Ameeen asante yesu maana utosha
Ayo yote ni yangu kwa saahii nayapitia jamani mungu watu wananikataa peza zangu 😢simepotea nasafili kwe na nyumba kutoka Saudi Arabia mume mwenye alisema atanioa amenikana 😢watuu wamenitoloka eee mungu wangu nisaidie
Amen Amen
Nikombolewe kupitia mfungo huu
Ww ni bwana uniponyae naomba utume neno liniponye
Ameni🙏
Amen 🙏🙏
Ameeen
Amen namm nijibu Mungu wangu
Ameen
❤
Amina pastol
Nataka nikuone Mungu, ni kweli napita kwenye magumu mengi lakini nataka nikuone wewe leo🙏
Jehova 😢😢
Nitatoa fungus la kumi DEO akinilipa simpati muda wote huo mungu niinue nimalize
Emeern