MAMAYANGU KICHAA PART 4

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 фев 2025

Комментарии • 840

  • @Steve_Mweusi
    @Steve_Mweusi  Год назад +311

    TABIRI UNAHISI PART 5 ITAKUAJE UKIPATIA MSHINDI ATAPEWA ZAWADI ASANTE KWA SUPPORT YAKOOOOO

  • @RehemaKatana-hb4ei
    @RehemaKatana-hb4ei Год назад +16

    Inahuzunisha isay nimejikuta nalia nikikumbuka vyenye Niko mbali na wanangu naumia sana Mungu atulindie watoto wetu tuko pamoja Hadi mwisho One ❤ from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @marymkumbimarymkumbi5153
    @marymkumbimarymkumbi5153 Год назад +26

    Ananitoa machozi sere jamani 😭mungu nilindie watoto wangu mpaka wajitambue 🙏pole sana mwanagu seremani mungu atakusimamia

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 Год назад +10

    Wenye mama hongera kuna wengi hawana n wengine n wazim 😢😢😢dogo sele unacheza vizuri mtoto🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @matikocharles4181
    @matikocharles4181 Год назад +16

    Feeling emotional and tears rolling down my chiks what the families goes thru in the name of stepmothers,good scripture from Steve mweusi big up from 254 Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @lilianalmas5911
    @lilianalmas5911 Год назад +9

    Hajira kumbe huwa mkali hivi duuuh!!!! Masikini Dogo sele 😢😢. Nakubali Sana Steve mweusi 🙌🏼👏🏼

  • @chidzodunda
    @chidzodunda Год назад +7

    Steve kwakeli mungu akupe maisha marefu tuu pamoja na kikosi chako hii episode n moto bwana ina mafunzo mazuri sana ❤❤❤❤❤❤❤

  • @ekapolonrobin9883
    @ekapolonrobin9883 Год назад +41

    "Ni ngumu kuamini yatakuja kupita" This has touched me this morning...

  • @thierryhenrytv
    @thierryhenrytv Год назад +8

    Unatisha Steve kwa uzembe kwenye majukumu yako( nice comedian 👍)😂😂😂😂😂

  • @SalumuWembo-fo5rr
    @SalumuWembo-fo5rr Год назад +11

    Petit Steve mweusi tu es très fort je te suis depuis en RD Congo 🇨🇩🇨🇩 trop d'amour ❤️❤️

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 Год назад +2

    Mungu nilindie mwanangu Erick,nipo mbali nae ipo sk nitakuwa nae atafurahia tu❤

  • @AnnaKinga-j5s
    @AnnaKinga-j5s Год назад +10

    I like this song ❤❤❤ ningetamani siku zirudi nyuma na me nipate upendo wa mama jamani inazidi kupamba moto next please

  • @AbeliChangalucha-xd8ef
    @AbeliChangalucha-xd8ef Год назад +1

    Stivu tafuta jimama moja lenye matako makubwa uwe unalihonga hapo dukani hadi raha utaenjoy 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @amosidaniel1830
    @amosidaniel1830 Год назад +2

    Kazi zuri san brother mwenyezi mungu akutangulie katika maisha yako mdogo wangu 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @fatumajuma9388
    @fatumajuma9388 Год назад +2

    Mungu akueke dogo Sele much love frm 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Muendelezo jmn sele nakukubli sana ❤❤❤❤

  • @subiraathury9160
    @subiraathury9160 Год назад +4

    Yaani hii series ni maixha yangu kabisaa yalio pita kipind nipo ndogo duuuh Steve Big up😢😢😢 from 🇲🇿🇲🇿

  • @songoloJaden
    @songoloJaden Год назад

    Pole sana na wale wa mama wenye wana acha wa toto kwenye ali kama ilo pole
    sanaaaaa!!!!😮😊

  • @NeliaKayuni-ft2ol
    @NeliaKayuni-ft2ol Год назад +1

    Jamani wakina baba mujifuze kitu hapa nawapenda sana from shwazirand

  • @lalylaabdi2572
    @lalylaabdi2572 Год назад

    Mpaka nimetokwa na machozi aki sele baba na Steve much ❤❤❤❤❤❤🎉🎉nawapenda sana big up

  • @hadijasuleiman3856
    @hadijasuleiman3856 Год назад +1

    Yani sele umeupiga mwing kwaajil yahii move jmn unanifanya nilie kila ninapotizama hii movie yako iko vzr aiseeh 😢😢

  • @Dontatv255
    @Dontatv255 Год назад +1

    Story Nzuri Sana brother 🙌❤️

  • @HusnaMasenga
    @HusnaMasenga Год назад

    Dogo sehere umetisha baba hongera sana mtoto nzuri mashaallah kazi ipo moto 🔥🔥🔥 san Mungu akubaliki ❤❤

  • @Jaydannychawaboy.
    @Jaydannychawaboy. Год назад

    Mih Niko hapa mpaka itakapo ishia hii movie 🎥😢😢😢... afu kingine usichokijua hii movie Iko hot kuliko vyote za zamani Steve mweusi 😢😢😢😢❤❤❤❤... nakukubali Sana na ninachokushauri uongeze juhudi kaka mashabiki tupo❤❤❤❤❤....

  • @bilid4128
    @bilid4128 Год назад +1

    Aliyendika scripts so genius ana fkria sana .Big up sana 👑

  • @andrew0502
    @andrew0502 Год назад

    Mbwela umetorokwa na Sele, acha kuzubaa hahahaaa nakutania bhana kk kazi nzuri nakukubali sana

  • @dicvanofficial
    @dicvanofficial Год назад +1

    Hivi kumbe Hajirakidotty actress una roho mbaya ukiamua uwiiiiii

  • @MarryTina-c1n
    @MarryTina-c1n Год назад

    Katika kazi nzur nzur Steve ii ya moto sana❤

  • @OrnellaNdabarushimana
    @OrnellaNdabarushimana Год назад

    Kazi nzuri sana❤❤❤❤ nivile tu munatuchereweshaga

  • @Njerii301
    @Njerii301 Год назад

    steve 😂😂😂😂😂kashindwa na change mahesabu kidogo yanamzingua waaaaah kusoma sio muhimu kweli😂😂😂kazi ipo stivoo..❤❤❤❤❤❤

  • @JohnJohnkyalo
    @JohnJohnkyalo Год назад +2

    Wow amazing dogo sele ❤❤🎉kwa kazi unaofanya I'm watching from kenya

  • @Andreamanog-l1k
    @Andreamanog-l1k Год назад +1

    Utabiri wangu sele anaongea ukwel kuusu manyanyaso na mama yake atapona steve nipe Maua yangu😅

  • @Omar-yn6do
    @Omar-yn6do Год назад +32

    Steve i enjoy your episodes daily❤.....i love the show❤

  • @yusuphmkomwa3427
    @yusuphmkomwa3427 Год назад

    Makini kazi nzuri tuko pamoja mpaka mwishoooooooooo

  • @AbdallahBaabad
    @AbdallahBaabad Год назад +1

    Steve nakubali sana lakini mbona kwenye dr.ndemwa umetutupa kabisa I love dogo sele's reactions

  • @kenkijana350
    @kenkijana350 4 месяца назад

    Napenda siku moja nipatane na huyo kijana namsaport

  • @YoungblackPeople-qf7vx
    @YoungblackPeople-qf7vx Год назад +1

    Jamaniii siyo comment za kuomba like hata kuombea aenderee kufanya mambo mauzuli zaidi ya hayqqa❤blessed 🙌 Steve mweusi

  • @AbdurahmanKinia
    @AbdurahmanKinia Год назад

    Hii kwa kweli inasikitisha
    Issa Mashauzi aliimba Mama ni Mama
    Mama wa kambo ni balaa Inshallah siku moja baba ata jua ukweli na changa moto unapitia

  • @josephineuwizeye8250
    @josephineuwizeye8250 Год назад +3

    Stève je te suis depuis Bujumbura en tout cas tu es fort courage!!

  • @Yahyaazizi-b7f
    @Yahyaazizi-b7f Год назад +10

    Very sad this movie but all characters plays well appreciation to team mweusi families also tell mrs ndaro we needs mr machale epsod

    • @AbdurahmanKinia
      @AbdurahmanKinia Год назад

      Kweli matezo ya Mama wa kambo waaaau
      Mungu amsaidie Sele na matezo na changa moto anaipata 🙏🙏🙏🙏
      Watching from UAE

  • @RammyGing
    @RammyGing Год назад

    Jamani mnanikumbushambali inauma😢😢😢😢😢 pole sanaaaa sele mungu akupekipaji tuletey nambatano

  • @IssaothmanSliman
    @IssaothmanSliman Год назад +2

    🎉🎉🎉🎉 umetishaass mwamba steeeeeeveeeee😢😢😢

  • @ruyagilatv6641
    @ruyagilatv6641 Год назад +1

    Inaumiza Sana dogo sele sijui kwanini hamwambii baba yake ukweli was changamoto anazopitia ila ni movie tu

  • @OmariRamadhan-b3s
    @OmariRamadhan-b3s Год назад +1

    Vizur sana. Wa Tanzania wenzangu. Kwaku tuleteya vitu. Vizur ❤❤❤

  • @hafsahmassemoh3598
    @hafsahmassemoh3598 Год назад

    Nataka ku comment uchungu Wangu wte alafu nikakumbuka ni movie inatufunza kitu 😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤ ongeren sana

  • @amosjohannah5983
    @amosjohannah5983 Год назад +7

    nice one dogo sele much love from kenya❤❤❤

  • @Dianaf774
    @Dianaf774 Год назад

    Nimeipenda 😢😢tunangoja next kZi nzuri❤❤

  • @andrew0502
    @andrew0502 Год назад

    Jamani kumbe ni Aziza, dah! hadi machozi yamenitoka duu Aziza hongera na pole kwa scene ngumu km hiyo,, Steve naomba mpe maokoto mengi Aziza kwa hii series!

  • @marwagabrielmwita4947
    @marwagabrielmwita4947 Год назад +17

    Moving together ❤❤❤one love from country 254

    • @Leo-bk3fg
      @Leo-bk3fg Год назад +1

      Ni zur San Ila mnachelewesha had mnakera

    • @RaulMuseme
      @RaulMuseme Год назад +1

      Gakyzicw

  • @DorineOriama
    @DorineOriama Год назад

    Waaaah kama waishi na mama shukuru maulana azidi kumlinda awe hai

  • @Khadijaasaid4533
    @Khadijaasaid4533 Год назад

    Finally mbwela nmemuona kwa Ii kitu fire🤝🥰🥰

  • @DOGOKE
    @DOGOKE Год назад

    Kazi safi
    Huyu sele amripamba pia hajira
    Wakenya tumeikubali👊👊👊

  • @shadracknyese3307
    @shadracknyese3307 Год назад

    Maisha niliyopitia nikitazama na hii movie 😢😢 nachoka kabisa yan. Asante MUNGU ulinipitisha katika yale magumu

  • @NashHussein-d2h
    @NashHussein-d2h Год назад +5

    Jmn nimempenda baba ake sele jins alivyo❤🥲🤭🫣

  • @EMANUELRICHARD-i1m
    @EMANUELRICHARD-i1m Год назад

    Hapa bila unafiki hii mmecheza kweli kama kufikiria mmefikilia sanaaa hingelini sanaaa Mungu azidi kuwajalia katika kila hatua mnayokuwa mnazidi kwenda

  • @NimbonaUdhaifa-jw2lo
    @NimbonaUdhaifa-jw2lo Год назад

    Inauma kbs mungu tujarie afya tuwalee watoto wetu 😭😭selemani anapitia magumu kbs

  • @bahatimdigo9714
    @bahatimdigo9714 Год назад +9

    Moving together ❤❤❤ much love... MashaaAllaw Tabarkallah Steve broo Allah Kareem

  • @Beastfalso
    @Beastfalso Год назад +3

    14:31 SELE WALA AJAKIMBIA KAVUTWA NHUMA YA CAMERA😂😂😂 MNATUPIGA BANAA😢❤ WE MWEUSS WEWE

  • @Frenxionog900
    @Frenxionog900 Год назад +4

    MUNGU KWANZA🙏🙏🙏
    Seen By Mr walimwengu.

  • @Uwitonze-l2v
    @Uwitonze-l2v Год назад

    Lakin kweri muna uwezo kbs unaona, nyie wote munawelewa kbs chakufanya👏👏! Steve hujafukuzwa dukani!! 😅😅😅😅😂😂😂

  • @haluwahavla9740
    @haluwahavla9740 Год назад

    Waaaau very interesting story really big up xna team steven ❤❤❤❤❤❤

  • @kura.the.boy-
    @kura.the.boy- Год назад

    Hapa inaonekan huyu jamaa ndio baba Sele sasa wanatak wamchukue mama Sele wakamtibu 😂😂😂😂😂

  • @victornzuri24
    @victornzuri24 Год назад +3

    Good job selemani❤❤❤❤❤❤❤

  • @partypulsetv
    @partypulsetv Год назад +8

    Dope❤...nifikisheni 2k subscribers,niko na mixes kaliii🔥🔥🔥

  • @omarmweri7882
    @omarmweri7882 Год назад +1

    Hajra Roho mbaya kumbe🤣🤣, Kakake na Hamad nakubali mbona tamu tu kila ijayo!! 254.

  • @mariamhamisi598
    @mariamhamisi598 Год назад

    Nilikuwa naisubiri kwa hamu nimeipata 4 sasa kabla sijaimaliza kusikiliza leteni ya 5 mschelewe nawapenda san kaz nzur ❤❤❤❤❤

  • @QueenNeymaa
    @QueenNeymaa Год назад

    Endeleza hii Episode❤️❤️❤️ Ndugu

  • @mohammedganyuma3445
    @mohammedganyuma3445 Год назад

    😢😢😢😢 ongera dogo sele...please msikadi kutoa muendelezo .kwakweli inauma nashindwa kujikaza Ata mumenipe nawaza wanangu wanaishi vp?? 😢😢 kwa umbali nilio ila naamini mungu yupamoja nao❤❤❤❤

  • @majisifu4773
    @majisifu4773 Год назад

    The biggest show/episodes in East and Central Africa,,Pick up steve mweusi ###live from kenya

  • @francismuthiani349
    @francismuthiani349 Год назад +20

    ONE LOVE FROM KENYA 🇰🇪 ❤.

  • @bahatsnn7448
    @bahatsnn7448 4 месяца назад

    Selemani unaceza vizuri san mutoto pewa mawuwa yako❤❤❤

  • @MatridaMsigwa-rg1vr
    @MatridaMsigwa-rg1vr Год назад

    Sele unaNiliza mwangu kwakweli kazi nzuri

  • @DoreenEsther-p9k
    @DoreenEsther-p9k Год назад +1

    Baba mtuuuu anampenda sana mwanaeeeee

  • @Njerii301
    @Njerii301 Год назад

    mama wa kambo kulea mtoto wa mwengine ni mtihani kweli duu!Maulana atusaidie tuwalee watoto wetu vizuri 😢

  • @MichaelKim-p7v
    @MichaelKim-p7v Год назад

    Dogo sele pole kwa matatizo unayopitia unakipaj cha kuigiza big up sana

  • @RphathNyamahanga-yh5yt
    @RphathNyamahanga-yh5yt Год назад

    Nakbali sana kazi zenu wew na Ndaro pa1 san

  • @NjokiMwagodi-ie7ul
    @NjokiMwagodi-ie7ul Год назад

    Steve wewe na kikosi chako mungu akuweke sana unaelimisha jamii.mimi hukufuatililia sana God bless you all ❤❤❤❤

  • @maburudani1234
    @maburudani1234 Год назад

    Naona mwisho...mama uyo kichaa atakuwa sawa alafu uyo baba atamrudia...wataishi wote na selemani....sele atapata nafasi ya kukaa na mamaake

  • @mikedominik
    @mikedominik Год назад

    mwenye hili duka mumlipe hela nyingi sana, mmeitumia sana😂😂😂😂

  • @Nahdiya-nr3de
    @Nahdiya-nr3de Год назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂 mtoto mwenyewe sio mdogo ww wzita watu wajekumxhukua wafkiri atakungojea kwn yy chizi hyo chizi kakimbia sembuse huyo 😂😂😂😂😂😂

  • @johnkamau2069
    @johnkamau2069 Год назад +1

    my best sele ❤❤❤ love you so much dogo

  • @rogerslwitiko3915
    @rogerslwitiko3915 Год назад +13

    Fantastic series 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

    • @Jackilinedanielikilika
      @Jackilinedanielikilika Год назад +1

      Huyo dada nimechukia san

    • @rogerslwitiko3915
      @rogerslwitiko3915 Год назад +1

      @@Jackilinedanielikilika Hahaha usimchukie huyo Dada yupo kufikisha ujumbe Kwa Hadhira na jamii Kwa ujumla

  • @mathewmlala6290
    @mathewmlala6290 Год назад +1

    Jamani wanawake heeee😂😂

  • @annandrew2000
    @annandrew2000 Год назад +35

    How I love this episodes is on another level❤

  • @MinimanFrancis
    @MinimanFrancis Год назад +6

    Daa wakwaza Leo nipe like Kama unamukubali Dogo sele

  • @benroseshango8072
    @benroseshango8072 Год назад

    This is the best thing that has happened to me🥳💯the episodes are amazing.Good work Steve,,,

  • @Melodylan5
    @Melodylan5 Год назад

    Part5 huyu hajira kidoti ataumbuk kuhusu steve na mwanae wa siri nipe zawad kbisa😂😂😂😂

  • @MahafudhiAbdallah
    @MahafudhiAbdallah Год назад

    Naendelea kuwafuwatilia na kujifunza jinsi ambavyoo tunatakiwa kuwajali wazazi wetu nawashukuru Sana endeleeni kutufahamisha jinsi ya kuwa na Imani katika kuwasaidia tupo pamoja nipo Zanzibar

  • @shadiahshadiahshadiahshadi4060

    Ongera sana tunawapenda sana ❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮 majirani zetu ❤❤❤

  • @winfridamarco3492
    @winfridamarco3492 Год назад

    😅😅Steve mweusi anachekesha .
    Bora babaake sele angefika tu shuleni

  • @purity134
    @purity134 Год назад +2

    Amazing I really love this Suleiman

  • @SmilingGramophone-pg4yp
    @SmilingGramophone-pg4yp 9 месяцев назад

    Uyo mtoto anafanya niyamwage machozi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @faieshikoo6955
    @faieshikoo6955 Год назад +1

    Itakuwa labda mama yake si kichaa. Kuna kitu wanakificha mamake Dogo Sele yu majifichoni amah????? ......Aiisee ila 😂😂😂😂Leo mumeninasa nimebaki na mzuka Bado wa kuitazama......Can't wait for the next episode much love from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @BlytoneErenest
    @BlytoneErenest Год назад

    Muuza duka hamna kabisaa 😂😂😂❤

  • @Danija447
    @Danija447 Год назад +2

    Jaman naombeni mauwa yangu🎉🎉 nimekuwa wa kwanza ku comments

  • @Roxynisha
    @Roxynisha Год назад

    wallah hadjira umenichekesha et ume kulaa😂😂😂😂😂😂😂

  • @JuxOmari
    @JuxOmari Год назад

    Je vous suis depuis Congo 🇨🇩🇨🇩 DRC ✌

  • @IreneMwaseba
    @IreneMwaseba 5 месяцев назад

    Mungu awalindie wenye mama na muwaombee waishi maisha marefu

  • @mkasmamba
    @mkasmamba Год назад +2

    Nashukuru kwani ni kama mume ni chezeya hii picha😢😢🇨🇩
    Kama bado mama yako yu hai inatakiwa kumupa raha❤

  • @simaovirgiliodunia3947
    @simaovirgiliodunia3947 Год назад +8

    😂😂😂este grupo é fantástico, fazer-me ficar feliz todos momentos

  • @BinamKhamis
    @BinamKhamis Год назад

    Mm nainjoy xan kuangalia comedy za xtevu mweux nice