MAPENZI MSIBANI ACHA KUJILIZA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 янв 2025

Комментарии •

  • @lvanyDaniel_pw7kk
    @lvanyDaniel_pw7kk Год назад +19

    Steve mwehu Steve tahira Steve kichaa Steve zezeta 😂😂😂😂😂😂😂

  • @philipomabanga9928
    @philipomabanga9928 Год назад +10

    Steve hapo kweny Fatuma + busu nachekaga balaaaaaaaa😁😁😁😁😁😁😁😁😁🙌🙌🙌

  • @PacifiqueSumaili-xg5xk
    @PacifiqueSumaili-xg5xk Год назад +13

    Nafuatilia comedy zenu nikiwa nchini DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩, Ndaro na Steve namikubali kabisa

  • @OmariRamadhan-b3s
    @OmariRamadhan-b3s Год назад +9

    Kazi nzuri sana vijan wa tz❤❤❤❤

  • @kingcicero1708
    @kingcicero1708 Год назад +8

    Amkeni jamani kabla ya wale wa nguvu za kiume awajakoment chochote 😂😂😂

  • @KirivoloKakule-hu7ge
    @KirivoloKakule-hu7ge Год назад +4

    Usi niangalie kimapenzi😂😂 yani nyinyi paka stress zina kimbia kisa kucheka😂😂😂

  • @KirivoloKakule-hu7ge
    @KirivoloKakule-hu7ge Год назад +5

    ivi stivu Fatuma kakufanyaje😂😂😂comedy haliishi bila kusema Fatuma una niuwa kweli😂😂😂

  • @bellabelle1593
    @bellabelle1593 Год назад +13

    Nawapenda sana❤❤❤from oman🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇧🇮🇧🇮🇧🇮

    • @user-peter138
      @user-peter138 Год назад

      🇹🇿

    • @-salma-zw1rz
      @-salma-zw1rz 6 месяцев назад

      𝗁𝖾𝗒 𝗈𝗆𝖺𝗇 𝗌𝗂𝖽𝖾 𝗀𝖺𝗇𝗂 𝖽𝖺𝖽𝖺

    • @-salma-zw1rz
      @-salma-zw1rz 6 месяцев назад

      𝗁𝖾𝗒

  • @NizigiyimanaEmmanuel-c7f
    @NizigiyimanaEmmanuel-c7f Год назад +11

    Mapenzi shikamo fatuma😂😂😂steve mozes unajua sna afu nimepnda kua kushilikisha mbwlaa

  • @tumajunior6080
    @tumajunior6080 Год назад +4

    Steve sikuhizi umezama kwa fatuma na ndaro wako🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🥰🥰🥰🥰🥰mbwela mpige na wewe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣fatuma we Steve ❤❤❤

  • @Silent_cries6
    @Silent_cries6 Год назад +11

    Sema uyu mdada kidoti ni mdhurii jamaniii tusiseme uongo ❤❤❤❤😂

  • @MinimanFrancis
    @MinimanFrancis Год назад +11

    Daar wakwaza ngoga like ❤❤❤ from 🤩🤩🇺🇸🇺🇸

  • @athumanabdullah1526
    @athumanabdullah1526 Год назад +45

    Shabikin yenu mkubwa sana kutoka Tanzania nchi yetu ya amani penda sana Stive pamoja na ndaro gonga like hapa kwa pamoja

  • @Benson_Shabani005
    @Benson_Shabani005 Год назад +17

    😂😂😂😂those boys kill me 🤣🤣I can’t stop laughing 🤣🤣

  • @Anointedfrederick
    @Anointedfrederick Год назад +5

    Kazi nzuri nawapenda sana ❤❤❤fro from Kenya

  • @francismuthiani349
    @francismuthiani349 Год назад +22

    ONE LOVE FROM KENYA 🇰🇪🤣🤣🤣

  • @damagemweusi
    @damagemweusi Год назад +5

    Ndaro na Steve Leo hahaha
    Angus ha like yako Napa Kama we we no mkenya au mtanzania

  • @hafidhabdi2004
    @hafidhabdi2004 Год назад +38

    Kama wewe ni mshabik wa steve,clamvevo,ndaro, shadow, kicheche,mr.bigbig,Joi master, team kitale,kingwendu,mkojani na JO TI 😂😂😂😂 gonga like Tujuane

  • @mititokevin6878
    @mititokevin6878 Год назад +4

    Nakukubali stevo.unyama upo mkubwa wangu unyama upo baba

  • @lilianalmas5911
    @lilianalmas5911 Год назад +5

    Steve mweusi na Ndarooo ❤️❤️❤️❤️🔥

  • @KennedyMoChapaaTz
    @KennedyMoChapaaTz Год назад +5

    Steve, Ndaro collaboration zenu zinavutia... Congratulations kwa wote mnaoshiliki kufulahish mioyo ya watu na kutangaza nchi yetu....
    God bless oll of you....
    🇧🇩🇹🇿

    • @meggaopticssupplys7834
      @meggaopticssupplys7834 Год назад

      hivi ni mimi sielewi lugha ama ni kuathirika na lugha ya mama...sasa kushiliki ni nini?kuflahisha ni nini? si muongee tu kiswahili kizuri tujifunze toka kwenu?

  • @TinaJuma-b7r
    @TinaJuma-b7r 12 дней назад +1

    Mmefanha vizuri Steve na ndaro

  • @inviolatahnyakoa6167
    @inviolatahnyakoa6167 Год назад +5

    😂😂😂😂Ndaro na Steve jamani

  • @KennedyMoChapaaTz
    @KennedyMoChapaaTz Год назад +2

    Haaaaaas😮😮😮 ndalo na Steve wanautanuee😢 wanadandia mada wasioifahamu ona sasa😂😂😂😂

  • @KennedyMoChapaaTz
    @KennedyMoChapaaTz Год назад +2

    Akil za Steve ukiziiga utajikuta pabaya😂😂😂😂😂

  • @PhilipKisach
    @PhilipKisach 3 месяца назад

    Kaka kazi nzuri xnaa😅😅😅
    Nko kenyan karibu Kenyan

  • @mrkane8boy866
    @mrkane8boy866 Год назад +3

    Wakwanza mie naomba likes ,form Rwanda

  • @noelyprinceprince8951
    @noelyprinceprince8951 Год назад +3

    Sema nini Hajra kidoti, we ni pic hatar🥳🙌🤗

  • @modestajamada3496
    @modestajamada3496 Год назад +3

    😂😂😂 kabula yayeye kufa limeanza kufa penzi 😅😅😅😅

  • @jacklineyaa717
    @jacklineyaa717 Год назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Steve na ndaro one ❤ alafu Steve huyo fatuma ni Dem wako au

  • @yoyokass
    @yoyokass Год назад +16

    One love from India 🇮🇳

  • @noahkajinga7599
    @noahkajinga7599 Год назад +3

    😂😂😂😂😂jikaze wewe mtoto wa kiume

  • @Silent_cries6
    @Silent_cries6 Год назад +3

    Fatuma ww mwaaaaa😂😂😂😂😂

  • @jamalyjaribu-ql7ny
    @jamalyjaribu-ql7ny 5 месяцев назад

    Haaah haah mnajua wallah nawakubali saana mtuhumiwa anakaa kizembe kizembeee

  • @AllyWaziri-nd6nc
    @AllyWaziri-nd6nc Год назад +2

    One love from dodoma❤

  • @nanahcalvin
    @nanahcalvin Год назад +4

    Ndaro $steve 😂😂😂

  • @emillynatecho1252
    @emillynatecho1252 Год назад +1

    😂😂😂😂 watazania Aki lala salama Charles 😢

  • @HashimuMkilindy-fc5fq
    @HashimuMkilindy-fc5fq Год назад +5

    Ila steve na ndaro 😂😂😂😂😂😂

  • @BarakaBrayson-jc5oj
    @BarakaBrayson-jc5oj Год назад +4

    Fatuma wewe 😂😂😂😂😂

  • @damagemweusi
    @damagemweusi Год назад +4

    Aha Leo Steve na nfsro Leo 😂😂😂😂😂😂😂😂❤

  • @crazy1programmer
    @crazy1programmer Год назад

    Owaaa steveee fatumaaa Weweee mwaaaaa 😂😂😂😂 nakukubalii saanaaa mwambaaa

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 11 месяцев назад

    Steve ukikosa unabaka😂😂😂,yatamuua na yatamnyonga😅...si size yake watampwelepweta 🙌 🙌 Steve spare my ribsssss

  • @Konde1122
    @Konde1122 Год назад +2

    Yani kucheka Bila mwisho..huu uchawi

  • @mkombozierick7828
    @mkombozierick7828 Год назад +1

    Sema kimeumanaaaaaa steve umetubless asubh asubh

  • @leilasaid3623
    @leilasaid3623 Год назад

    😂😂stevu kama umemskia unalilia mapenzi et fatuma wew😂😂😂

  • @Elkamembewiz
    @Elkamembewiz Год назад

    super love from RDC 🇨🇩 eleko ya makasi

  • @cyamatareealexis1373
    @cyamatareealexis1373 6 месяцев назад

    I like when Steve says "we fatuma we na ka kiss kufuat..) na jinsi Ndaro huonekana kama mtu mbay analaisisha Kila kitu

  • @chunaabdullah1333
    @chunaabdullah1333 Год назад

    Yani hayo macho ya mbwela pia amuyaogopi stive aki ww😂😂😂😂

  • @MartialMunezero-xo9mb
    @MartialMunezero-xo9mb Год назад

    steven nakubali sana my brather ww mukali tz

  • @Barry.ginger
    @Barry.ginger Год назад +1

    2namtaka. Aziza🥰🥰🔥🔥🏆🏆

  • @mwanaidisaidi9003
    @mwanaidisaidi9003 Год назад +1

    Stive 😂😂😂😂😂😂 utaniuwa na kucheka

  • @lawmaina78
    @lawmaina78 Год назад

    Huyu dada mwenye ushungi mzuri sana, yaani mrembo.

  • @dizzokhalid831
    @dizzokhalid831 Год назад

    Steve kituko sana et fatuma wew utaolewa mwaaaa

  • @johnrambo9642
    @johnrambo9642 Год назад

    Huo mkofi wa Steve halaf ndoro twende ukanikumbusha enz hizo 😂

  • @JojojoJojojo-wx1vi
    @JojojoJojojo-wx1vi 7 дней назад

    Steve na ndaro ninawapenda sana

  • @OmbatiVincent-g1x
    @OmbatiVincent-g1x Год назад

    Yaan stvo ndaro n sele wanatupa vibe yaan ufurahsha umati kabsaa

  • @davidkitsao8210
    @davidkitsao8210 Год назад +14

    Wasaba leo toka kenya

  • @salumumawaya
    @salumumawaya 4 месяца назад +1

    hawa jamaa jau sana😂😂😂😂😂

  • @mititokevin6878
    @mititokevin6878 Год назад +2

    Lazima ucheke hata mtu akiwa amezinguliwa jamani

  • @godwinkileo7702
    @godwinkileo7702 6 месяцев назад

    yuko wapi Theodoro🤣🤣🤣

  • @sarahmakungu8578
    @sarahmakungu8578 11 месяцев назад

    You people you're making my day 😂😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @yonasmwalongo8105
    @yonasmwalongo8105 Год назад +1

    Stiv ayo makofi unanikoshaga san😂😂😂😂

  • @Rawimtv1
    @Rawimtv1 Год назад

    😂😂😂😂😂😂nawaona westvu wew😢😢mbna unachambna hivoooo😂😂😂😂😂

  • @everlynlyn7863
    @everlynlyn7863 Год назад

    Chelewa ufike nawapenda Sana Steve na ndaro 😂😂😂🤣🤣🤣🤣

  • @NikodemuMushi
    @NikodemuMushi Год назад +3

    Atariiiiiiii nipeni maua yangu

  • @MoïseKalisa
    @MoïseKalisa Год назад

    Munaweza kabisa courage vraiment

  • @Ruwaidakhamis-p3m
    @Ruwaidakhamis-p3m Год назад

    From zanzibar ndaro mnafanan san na khajra

  • @asmaarashid2890
    @asmaarashid2890 Год назад +1

    😂😂😂😂Piga uyooo😂😂😂😂😂😂😂

  • @RahmaTanzanya
    @RahmaTanzanya Год назад

    nawakubal🎉 1f:4❤❤😊kutoka oman hap

  • @lilinalamri7643
    @lilinalamri7643 Год назад

    😂😂😂😂😂 ndaro nakupenda sana vile uko funny

  • @GoldenJR-b5x
    @GoldenJR-b5x Год назад

    Kazi nice pita kwang nimepost audio naomben saport yak

  • @awadhijumaa939
    @awadhijumaa939 Год назад +1

    Jamaa mbabe lkn kapoa kwa stev 😀😀😀

  • @Samson-cf8xg
    @Samson-cf8xg Год назад +1

    Fatuma wewe😂😂😂😂😂😂❤

  • @jemimahmulati3305
    @jemimahmulati3305 Год назад

    😂😂😂😂😂😂😂kiss for me fatuma wewe

  • @JoanMponda
    @JoanMponda Год назад

    Stive ilo kofi kumpiga mwenzako ivo vip

  • @jovinmakene1572
    @jovinmakene1572 Год назад +2

    😂😂😂 Hii nchi hii

  • @Fatma-to6rq
    @Fatma-to6rq Год назад

    😂😂😂😂😂Steve akii naumia mbavu na kucheka

  • @EmmanuelSudi-p1h
    @EmmanuelSudi-p1h 8 месяцев назад +1

    🎉 by omben

  • @michaelmwangi4331
    @michaelmwangi4331 Год назад

    Hakuna kitu hunifurahisha kama Steve anapoita wanaume fatuma nakuiendanisha na mbusu

  • @lowasameliyo4027
    @lowasameliyo4027 Год назад

    Steven na ndaro mtatuua nyieeee 😂😂😂😂I

  • @hafidhabdi2004
    @hafidhabdi2004 Год назад +2

    Bi HAJRA ananimaliza jaman uwiiii😂 nna up.........

  • @SaumUmazi-f3o
    @SaumUmazi-f3o Год назад

    😂😂😂mwanivunja mbavu jamani😂😂

  • @hunterkoulibally5926
    @hunterkoulibally5926 Год назад +1

    Nikishindwa na bakaaaa we stevu

  • @gloirekiza5276
    @gloirekiza5276 Год назад

    Amadi kijicho Mbona si musikiyi tena

  • @SirasOkelo
    @SirasOkelo 3 дня назад

    Aki stivu na daro wananiumizagambavujamani😂

  • @MartinSilungwe-ws2se
    @MartinSilungwe-ws2se 6 месяцев назад

    Nice Steve mweus

  • @OscarDzombo
    @OscarDzombo Год назад

    Steve na ndaro combination yenu hatari 😂😂😂

  • @JoshuaTajeu-xs9fv
    @JoshuaTajeu-xs9fv Год назад

    Umoja ni nguvu utrngano ni dhaifu
    One love toka kenya

  • @ngovielkingeliance6125
    @ngovielkingeliance6125 Год назад +1

    Nawa kubali kinyama from 🇨🇩🇨🇩

  • @StephanoPaulo-x2e
    @StephanoPaulo-x2e 4 месяца назад

    Hahahah whatisyourname steve😂😂😂😂😂

  • @ozil_artvdeo
    @ozil_artvdeo 8 месяцев назад

    What izi yuwa nemuuu😂😂😂😂

  • @Ruwaidakhamis-p3m
    @Ruwaidakhamis-p3m Год назад

    Mm shabiki wenu nawapenda san

  • @BibeBoaziBivaniLuhangela
    @BibeBoaziBivaniLuhangela Год назад +1

    Wakwanza ni Ndaro na Steven

  • @HalimaAbdallah-gl8wf
    @HalimaAbdallah-gl8wf Год назад

    wew kelele moja kwa stivu na ndaro

  • @cathmakeproduction4502
    @cathmakeproduction4502 11 месяцев назад

    Aki ndaro na stive mnaniweza

  • @OmbatiVincent-g1x
    @OmbatiVincent-g1x Год назад

    Na huyu amadikijicho n nan hyu stvo anamwogopa hv

  • @rachelmikey5493
    @rachelmikey5493 Год назад

    Bwela wangu uku akukufai kabisaa jameni

  • @elmalikoye1727
    @elmalikoye1727 Год назад

    😂😂😂😂 ndalo atakua leo steve

  • @japhetbaya8954
    @japhetbaya8954 Год назад

    Naomba collabo na nyinyi kutoka KENYA

  • @paschalaloyce3187
    @paschalaloyce3187 Год назад +7

    Wa kwanza leo nipeni like zangu 😂😂😂💯💯💯