Assalam Alleyhkhum/Hi Lovies Asante sana kwa kufika hapa ukitaka video za Biashara ya chakula Link⬇️ ruclips.net/p/PL0lMsQJd3yDB5YqRtSZUla-Wb9N9XMqd5 ◼️Ukitaka snacks⬇️ ruclips.net/p/PL0lMsQJd3yDD90kR30GpB_AyFVjkPPMuL ◼️Halfkeki za kila aina⬇️ ruclips.net/p/PL0lMsQJd3yDBUDZIeZrA-DiOgliRi_uqo ◼️Vyakula vya kiswahili⬇️ ruclips.net/p/PL0lMsQJd3yDD5fGLDOP9StrLovA03YLzz Thanks for stopping by please Subscribe Road to 500K Subs💃💃 #roadto500k
Ahsante dada Mungu wa mbinguni akubarki mnooo kwa elimu nzur kiukweli nimejifunza vitu vingi sana sana kupititia hapa pia naomba kujua rangi ya ubuyu naweka kiasi gani🙏🙏
Looks so tempting! I will definitely give it a try. Thank you! Could you please share the recipe for seedless mabuyu balls and mabuyu bars? Thank you again
Assalam Alleyhkhum/Hi Lovies
Asante sana kwa kufika hapa ukitaka video za Biashara ya chakula Link⬇️
ruclips.net/p/PL0lMsQJd3yDB5YqRtSZUla-Wb9N9XMqd5
◼️Ukitaka snacks⬇️
ruclips.net/p/PL0lMsQJd3yDD90kR30GpB_AyFVjkPPMuL
◼️Halfkeki za kila aina⬇️
ruclips.net/p/PL0lMsQJd3yDBUDZIeZrA-DiOgliRi_uqo
◼️Vyakula vya kiswahili⬇️
ruclips.net/p/PL0lMsQJd3yDD5fGLDOP9StrLovA03YLzz
Thanks for stopping by please Subscribe Road to 500K Subs💃💃
#roadto500k
Masha Allah may Allah bless the work of your hands 👍❤
Nimejaribu yaani kiukweli ubuyu ilikua mtamu ajabu, hauchubui mdomo. Asante sana na Mungu abariki kazi ya mikono yako.❤
Ameeen my love nakupenda sanaaaa na hongera kwa kujaribu♥️
5kg maji vikombe ngapi na sugari
The best mabuyu video I have ever watched
woow thanks
Same here
Ahsante dada Mungu wa mbinguni akubarki mnooo kwa elimu nzur kiukweli nimejifunza vitu vingi sana sana kupititia hapa pia naomba kujua rangi ya ubuyu naweka kiasi gani🙏🙏
Ameen my love weka kijiko kimoja cha chai kama haijatokea vizuri ongeza usieke nyimgi sana itakua uchungu
Unafundisha vema c* God bless you mejifunza vizur many thanks to you
Ameen darling ♥️
I hardly comment...u r the best chef dida🎉
awww shukran Darling ♥️♥️Be commenting pls
Asante kwa mafundísho yako,nafatilia sana nikiwa kenya,yamenisaidia sana,ubarikiwe dada
Naitwa mama ummy kutoka zanzibar nimezidi kujifunza ahsante
MashaAllah may Allah bless the work of your hand 👌 Dada ❤
Allahuma ameen shukran
Asante sana kwa somo nimepata maarifa hakika
😮Nimejifuza nashukuru nipo mbeya Tanzania
Thanku so much for perfect recipe, very well explained..
karibu sana
Thanks so much nimejifucha naitwa riziki kutoka Kenya na nimeipenda video yako hata mm nitaanza biashar yamabuy
I'm from tz,,,,napenda sana video zako zinasaidia sana
Allah akubarik
Liking from kibwezi...iko dope...let me try to make nione
Mashallah yavutia mabuyu yenu...❤..mm niko yemen nimejifunza vizuri dear .
Nafurah sana kuskia umejifunza love share na wengine
@@HadijaSheban usijali dear
Asante dada nimependa sana
waooooh mabuyu yametoka na lang ya kipekee
Asante sana love
Watching from malawi , naipenda sana process yako dada❤
Asante tena kwa kutuonyesha kutengeneza mabuyu, nashukuru sana.
karibu sana
Tamu sana.Tunangoja jinsi ya kutengeneza unga wa mabuyu.
okey babe
Hujb
Looks really good better than what you get from the streets
za street sio mabuyu babees🤣🤣🤣
Ma Shaa Allah Mpak umenitamanisha mtamu,
pole hun
Masha Allah yummy yummy mabuyu nitajaribu na mm
utapenda babes
Upishi wako smart na simple thank u
Shukran sanaa
Nimejifunza alhamdulillah
Dada naomba utufundishe namnan ya kutendeneza ubuyu wa vipande(kashata)
nitajaribu siku moja love
Inshallah na mm nitajaribu mana siku zote nikipika unakuwa mbaya au sababu naukorogea kwenye jiko
ooh kila la kheri babe
Maa shaa ALLAH
Tabarakallah
Looks so tempting! I will definitely give it a try. Thank you! Could you please share the recipe for seedless mabuyu balls and mabuyu bars? Thank you again
Hey love yes i had shared it already check my shorts
Thank you. However, I couldn't find it in the shorts. If you don't mind, could you share the link here please. Thanks again.
Hi rangi ni gani dear n pls share the each package na prices
Nice madam
Unaweza mashallah all the way from Tanzania
Aslaam alaykum naomba kujua ni kikombe cha size gani ulichopimia maji shukran kwa sadaka hii Allah akuzidishie❤
waalykhm mussalam ameen tumia tu the normal cup ile kikombe haikosekani nyumba zote
Naomba kujua Ni kikombe gani hicho ambacho hakikosekani kwa nyumba zote😅
😂😂😂😂😂😂
naitwa hanifa mama ilsa naangalia kutokea ikwiriri rufiji asante kwaujuz
asante kipenzi
Naitwa khadija kutoka shanzu asante kwa ujuzi
Karibu sanaa kipenz
Asslam aleikum naangalia video yako kutoka Kenya ❤
Asante naomba kujifunza zaidi maana kwetu ubuyu ni mwingi hauuzwi tunaokota wenyewe ila sijajua kutengeneza Kwa rangi
Assalam aleikum. Kwenye kilo mbili ya mabuyu unaweka sukari kilo ngapi
MashaaAllah yametoka ajab
na matamu sana
Mashallah naangalia nikiwa mtwapa 🎉
Asante kea elimu ya mabuyu❤❤
karibu sana❤️
MashaAllah dada, please weka recipe ya huo unga Sasa... Looks very yummy ❤😍😍😍😍
Hey love nishaeka kwa short
Mashaallah
Asante dear Uko 👌🏻
Nimeipenda asante kwa SoMo nipo mtwara
Asante❤
MashAllah❤ mombasa mvita
MashaAllah nafurah kuskia karibu sana
Dada Asante sanaa Kwa maarifa, but me natamn kujua na ubuyu wa vipande
nitajaribu kuleta kipenzi
Npo dar shukran 🙏
karibu sana kipenzi
Asante aunty Kwa darasa ♥️♥️
Video nzuri mashallah apo kw baking powder ndo ilkuw nkishangaa
Ahsante dada wangu ukikaa unavunda nakosea wap??
Mashallah didah they look yummy mpka nijaribu 😅
asante sana love
Asant❤
Ubarikiwe mnoo
Ameen my love
Nipo morogoro nimejifunza vizuri kabisa ntaifanyia kazi....mtu alitaka
Akitaka kuagiza je...unauzaje
kipenzi kwa kenya itakusumbua
Dada didah. Naomba uweke receipts za crunchy food pls. Tofauti na bites. Mfano kuku au nyama ya n'gombe
yaani kuku crunchy?
@@HadijaSheban Ndio
Hellow Bi Hadja mm npo Singida ahsante sana kwa elimu nzuri lkn nataka kujua ni kikombe saiz gan Cha maji busy lta au Cha chai robo lta?
kikombe kinachotoshana na 250ml
Baking soda or baking powder
Samahani sana mbona hujatuambia hiyo rangi inaiweka kwa kiasi gani?
Asante my ❤❤❤
karibu❤️
Salaam alykm vp hali yako thanx kwa kipimo naomba tuelekeze pia ubuyu wa vipande
MashaAllah.
Tabarakallah
Naanagalia nikiwa Malawi 🥰
Asante sana
Kg for mabuyu?
Asante dada je kindoo kidogo sukar ni kiasi gani?
pima kwa kilo
How many kgs are there Kwa bandali moja ya Mabuyu?
Dada samahani naonba vip imo
Asante dada
karibuu
How do you sell in whole sale
1kg 600
Asantee
karibi sana
Mtu yuaezaje kupata ya kuuza dadangu niko nairobi pliz
nairobi islii yako pia love
Asante dada nipo pemba umenifunza vzuri ila nataaka kujua ubuyu wako hukuutwanga twanga hata kidogo?
hapana hatukutwanga
@HadijaSheban Asante
Ukuje utufundshe ubuyu wa vipande pia❤
Naomba no ako
Naomba vipimo mamy naitaka iyo biashara
nimetaja kwa video
Co nilitengeneza mabuyu yalikuwa red nikaweka kikopo kimoja after 2weeks nimekuta mabuyu ni light red au pink hii ni kwa sababu ya baking soda???????
yalikuwa wazi au?basi maybe rangi ilikua kidogo ila sio kawaida
Allahubarik
Naangalia nikiwa Mbeya, naomba namba yako
Mozambique
Amazing
Naomba namba yakp tafadhali
Ahsante nimependa ila je hayo maji vkombe vtatu vya nusu Lita au Lita moja
sio lita moja nikama lita kupungua kikombe kimoja
Nifurahi kuona hayo mapishi ya mabuyu naagalia video hii kutoka majengo kanamai
woow asante sana love
Da hadija natokea dodoma na mm najaribu Leo kutengeneza
karibu kipenzi
Aomba nifundishe kupika ubuyu vipande nipo dodoma
Jinsi ya ubuyu kukaukaz unafanyje ili ukauke
Sijaelewa
Naangalia nikiwa singida Tanzania nitajaribu na kuleta mrejesho dada
karibu
Da hadija hivi baking soda kwny ubuyu unasababisha mabuyu kubadilika rangi
hapana labda nimuulize nyanyangu
Naitwa hadija mbaki naangalia nikiwa Ruangwa Lindi napenda kujifunza hii biashara
How much is a kg of mabuyu
inategemea
Mtu akihitaji contact yako inakuaje au kuna masharti🙏🙏
nambie baby niko haoa
Baada ya kumaliza
Unaweka kwa masaa 2/3 ukiwa umeyafunika?
unaacha wazi
Hiyo ni food color ?
yes
Mbn mm ubuyu wangu haukaukiii
😂 j 3 fikq mapema niende kilombero nianze biashara nipate ela yavikundi mie
Mdada jamani nini faida ya banking soda hapo alafu mbona tunda zake zinakuwaga laini kama zimechemshwa
❤
Asnt kwa funzo
karibu sana
Namba nione kikombe cha maji dear
Kama ubuyu kilo 1 maji kiasi gan
nimetaja