RAIS SAMIA ATOA NENO KOMANDO ALIEUZA MADAFU IKULU - ''ULIKUWA MJADALA''

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 май 2024
  • RAIS SAMIA ATOA UFAFANUZI WA KOMANDO ALIEUZA MADAFU IKULU - ''ULIKUWA MJADALA''

Комментарии • 14

  • @Kijumbe
    @Kijumbe 9 дней назад

    Umependeza Rais wangu.

  • @ashahassan2120
    @ashahassan2120 22 дня назад +2

    Msiba mkubwa mm tunaomba utukumbuke na ss masikin sio wasanii tuu

  • @maftahmusa9513
    @maftahmusa9513 22 дня назад +1

    Sema pia mjinga huyo alise Mwanamke ni Mungu wala usione aibu msifie pia kwa hilo

  • @rewardyesse7314
    @rewardyesse7314 22 дня назад +1

    Wababa lini jaman

  • @DaimonMwapelele
    @DaimonMwapelele 22 дня назад

    Yaan rais anapoteza mda kuhudhuria kwa matamasha ya akina hormonize kweli inatisha au majukumu yamepungua au kwakuwa alisema mungu ni mwanamke

  • @elizabethmalenga5221
    @elizabethmalenga5221 9 дней назад

    Jamani mama kanoga.

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 19 дней назад +1

    Mama unapopata wasaa kuzungumza na wanawake wenzio uwakumbushe waache UJINGA wa kwenye mitandao, wanatia KICHEFUCHEFU

  • @maftahmusa9513
    @maftahmusa9513 22 дня назад

    Inna lilahi wainna ilayhi rajiuun mtihani mkubwa.

  • @egnomsigwa8418
    @egnomsigwa8418 22 дня назад +1

    Mhhhh mi sisemi kumbe mda unao

  • @MiriamAbdallah
    @MiriamAbdallah 22 дня назад

    Upige mwingi

  • @JuliusMtunguja
    @JuliusMtunguja 19 дней назад +1

    Wengi hawakujua maana ya hili tamasha,sasa wameshaanza kupata ufahamu kwamba ni sehemu ya kuutambua umuhimu wa wa mama zetu,lakini zaidi ya hapo kuwapa wasanii bursa ya kujua umuhimu wao kwa Jamie ya Kitanzania.

  • @HamisMakulu
    @HamisMakulu 22 дня назад

    rajabu mkumbuke wakumbuke kaka zako juma ndungwa na chopinjo kwani ulisota nao baada yakufika mjini bado wapo temeke sudani chonde chonde.

  • @HamisMakulu
    @HamisMakulu 22 дня назад

    Rajabu wakumbuke kaka zako juma ndungwa na chopinjo wote wapo temeke sudani chonde chonde.

    • @user-ls1ot6fs4v
      @user-ls1ot6fs4v 16 дней назад

      Mama utapambana kama magufuli juu ya mabebelu wa ndani na nje kweli ?