Matangazo ya Mchana 27.07.2018

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 июл 2018
  • Leo utasikia kutoka kwa John Juma na Oummilkheir shinikizo la Umoja wa Mataifa la kumtaka Rais Kabila wa DRC asiwanie muhula wa tatu, Museveni apata tiketi itakayomwezesha kutawala maisha Uganda na ahadi za mataifa wanachama wa BRICS toa mawazo yako kwa mada hizo na nyingine utakazozisikia.

Комментарии • 8

  • @allyomarhamad1353
    @allyomarhamad1353 4 года назад +4

    Moyowangu hufarijika Sana ninapo isikia sauti ya mama ummulkheir

  • @jacobzawadi735
    @jacobzawadi735 5 лет назад +2

    Napendaga sana sauti yako kk John Juma kila mara uongeapo

  • @bennymbwile6461
    @bennymbwile6461 5 лет назад +7

    Wekeni angalau kipindi cha dakika 5 kinacho muonyesha huyo mwanamama omnhetz akitangaza

  • @bosslilyg4390
    @bosslilyg4390 4 года назад +1

    Nampenda sana huyu mama, sauti yake 👌👌

  • @77r34
    @77r34 8 месяцев назад

    Kbsa

  • @lukomyamatalu3425
    @lukomyamatalu3425 4 года назад +3

    Mwana mama ninae mpendaga xx ndo huyu.

  • @nelsonmkisi6069
    @nelsonmkisi6069 4 года назад

    Sauti.yake.ya.vituo.ni.kana.kwa.niko.naye.karibu.kanikumbusha.marehemu.Omar.Juma