Asante sana BBC, huyu ni shabiki wenu tangu nikiwa mtoto wa shule ya msingi (1978), Enzi za kina Aisha yahya-Erick Munene-mpaka wakati huu wa kina Salim Kikeke, Daiyo Yussuf na wote hapo studio ya Bush House mpaka huko ''mashinani''. Inshallah nitazitembelea studio zenu na zile za VOA Enzi za (Emanuel Muganda), Sauti Ya Ujerumani Enzi za kina (Umul Kheir, Ahmed Mohamed, Erasto Mbwana na sauti yake safi kabisa)-, Radio Moscow-Sawhili, Peking International--Enzi za ''vita baridi'' kati ya mataifa makubwa. mechangia sana elimu yangu ya kimataifa.
Ngoja kidogo, video hii imenirudisha miaka ya tisini kwa maana nilisikia sauti za watangazaji ambao nimeona nyuso zao leo mara ya kwanza. Mungu ni mwema, nyote mbarikiwe. Kutoka Nyeri, Kenya
Nawashukuru Sana Nawaamini Sana Kazi nzuri mnafanya hongereni Ushauri kwenye kujitangaza majina yenu ni vizur kukawa na maandishi chini ili iwasaidie wenye tatizo la kutosikia bubu
Heko BBCSwahili... Hatua Nzuri Sana, Kurasa Kupendwa Na Zaidi Ya Watu Milioni, Si Rahisi. Heko Tena. Vipi Sura Ya Maria Omar Haionekani... Maoni Yangu Kama Msikilizaji, Mpange Wasikilizaji Na Wanahabari Wa BBCSwahili Waonane Nikiwemo Ili Tujue Watangazaji Wetu, Si Kwa Sauti Tu Bali Hata Uso Kwa Uso. Heko! Kila La Heri.
kwa kweli .. kutoka kwenye dhati ya moyo wangu... nilikua nasubiri kumuona SULUMA KASSIM TU!!!... I am in love with her voice.. napenda sana anavyotangaza... na sikuwahi kumuona kabla ya hapa...ningependa kujua wasifu wake zaidi.. anatokea wapi.. amesoma wapi...n.k....wengine ninaowapenda ni Zawadi Machibya na Zuhura Yunus...sijiu hii video ilikuwa wapi miaka yote hii.... anyway niko na furaha sasa.. :) :)
Salmu kikeke na timu yako hongereeni sana kutoka londan.Kutoka Tanzania mwanza mimi ni Chris Mbut nawatakia Kazi njema kutupasha habari zinazotokea duniani kote asante.
Mnachonifurahisha BBC kila mtu anautofauti wake, sauti yake na namna ya utangazaji wake. Alex Murith Suluma kasimu, Angela nyendo na Mulilo telewa na wengine wengi sauti zetu jamani hunikosha sana . Sikumoja ntafika BBC
whooo, suluma kassim, Marian Dudu Abdallah, Regina mziwanda, Robert kipto, salim kikeke, zuhura yunus, mubal. Nimeipenda sana hii. Vile unatajaga jina lako Mariam Dudu Abdallah inakuwaga poa sana, na nnaposikia "...Hujambo! Mimi ni Regina mziwanda..." nakuwa napenda hicho kipande
Aysha Yaaaaaaaaaaaaaa sauti tamu kuliko wote yuko wap mmetisha sana hongereni nawapenda sana Muungu awape umri mrefu lkn cku nyengine pia KIZIGINHO NA SAID THANI tunapenda tuyaone majembe yetu haya kwetu sisi familia ya ulimwengu wa soka. Hongera BBC kwa ukweli wa habar zenu.
nawapenda sana kwasababu habari zenu nizaukweli siyo zakubahatisha nawafutilia kupitia youtube zuhra yunusi na salimkikeke nyinyi watamu jamani na wengine wote mwaa mtanzania from spein
Tears in my eyes... Am so happy to have seen this
You are great people
Mzanzibari halisi Suluma kassim Mashaallah uko poa mama
Sloma Qassim, Abubakar Famau, Iddi Seif, Alex Mureithi na Mariam Ommar nami nawakumbuka sana katika sauti za kiswahili katika muvi ya Yesu.
Aseee ndo waloingiza sauti😲😲
nampenda xanaaaa Alex molzi nampenda xanaaaa mzeee huyo anaongea vizuri mungu ampe maixha malefu
Nimefurahi kumuona Suluma Kassim.Wawoooo
Alex Murezi ni kweli ana sauti ya kuzaliwa na sio ile ya kujiigiza... Mashallah!
Naipenda sana BBC Swahili. Nyinyi ni mabingwa wa utangazaji na mmechangia pakubwa ukuaji wa taaluma yangu ya utangazaji na uandishi. Asante sana BBC.
alex moliz nakupenda baba sauti tamuuuu
Nawapenda sana BBC Swahili ❤️
Suluma Kassim is also one of the best, naona wote hawa wawili wanazeeka sijui baada ya hapo kama ntakuwa napenda kusikiliza bbc swahili
Tears Down My Cheeks, Voices I Dream To Meet 1Day.
Asante sana BBC, huyu ni shabiki wenu tangu nikiwa mtoto wa shule ya msingi (1978), Enzi za kina Aisha yahya-Erick Munene-mpaka wakati huu wa kina Salim Kikeke, Daiyo Yussuf na wote hapo studio ya Bush House mpaka huko ''mashinani''. Inshallah nitazitembelea studio zenu na zile za VOA Enzi za (Emanuel Muganda), Sauti Ya Ujerumani Enzi za kina (Umul Kheir, Ahmed Mohamed, Erasto Mbwana na sauti yake safi kabisa)-, Radio Moscow-Sawhili, Peking International--Enzi za ''vita baridi'' kati ya mataifa makubwa. mechangia sana elimu yangu ya kimataifa.
Shukran
Shaban Ndege, Salin kikeke,Zuhula yunus. Nawapenda sana..🙏🙏🙏🙏
Tunawapenda tunawaombea mungu awalinde muwepo daima kutuhabarisha
Alex Muridhi, Zawadi Machibya 👍🏾👍🏾👏🏾👏
Masha Allah BI zuhra Allah akupe umri mrefu wenye faida pia Na nyoote kwa ujumla mmeelimisha kweli
Nimependa sana hasa caroline
Yaan saut Alex na shabani ni saut ambazo ninavutia nazo sana kiujumla BBC naipenda kusikiliza kwan napata habari zote dunian hongereni sana
Ngoja kidogo, video hii imenirudisha miaka ya tisini kwa maana nilisikia sauti za watangazaji ambao nimeona nyuso zao leo mara ya kwanza. Mungu ni mwema, nyote mbarikiwe. Kutoka Nyeri, Kenya
abdinoor Aden masha Allah
Mm!+254722209176.inbox.whatsup
Uko sawa
Nawashukuru wote kwa News BBC 👏👏
Big up sana Bbc swahili mungu awabarik(ali vyombo)kutoka tiwi
Alex Muriethi one of my favourite reporter plz may i get ur clips, just wanna hear ur voice
Alex Mureithi sijui kama hiyo sauti ulizaliwa nayo ama ulifanyia mazoezi.
Nimefurahi sana husuusan kuwaona kwa mara ya kwanza Nguli wa hapo BBC akina dadangu Suluma Kassim na wengineo woote.
Mm nampenda Sana Ares molezi iv anatokea taifagan
Kenya
hongereni sana kwa kuwajua nyote
Omari Mkambala hongera sana broo
Nampenda sana Munira Hussein
Saut ya Alex ni nomaaa kwenye kuripoti
Julius Angelo na Chama Omar Matata
Uyo mzee ni noma
Aninikoshaga Sana chama Omar Matata nae anavitu adim pia
Huyo mzee ni noma
Kabisaa
Nawashukuru Sana
Nawaamini Sana
Kazi nzuri mnafanya hongereni
Ushauri kwenye kujitangaza majina yenu ni vizur kukawa na maandishi chini ili iwasaidie wenye tatizo la kutosikia bubu
Mariam Abdallah nakupenda sana kama hujaoelwa naoma unicheck tafadhali....
nawapenda wote BBC
Mmmmhu!
Dina gahamanyi heshima kwako mamy
Nawapenda wafanyakazi wote wa BBC mwenyezi mungu akuzididhieni uzima .
joseph chacha wa moro nawapenda wote mko vizuri sana bbc.
mpeni hi sarim & zuhura na wengine woote Love u bbc swahili
Dickisoni ryoba please follow me on Twitter IreneJiggerKeny
Team soloma kassim
Heko BBCSwahili... Hatua Nzuri Sana, Kurasa Kupendwa Na Zaidi Ya Watu Milioni, Si Rahisi. Heko Tena. Vipi Sura Ya Maria Omar Haionekani... Maoni Yangu Kama Msikilizaji, Mpange Wasikilizaji Na Wanahabari Wa BBCSwahili Waonane Nikiwemo Ili Tujue Watangazaji Wetu, Si Kwa Sauti Tu Bali Hata Uso Kwa Uso. Heko! Kila La Heri.
Mimi Ibrahim wamala musikilizaji wa Redion BBC kiswahil
Nyendo Angela,
Yuko vizuri sana
Nyendo Ángela safi saana
hongereni sana
Shaban ndege you made my days when you were in national radio
ASalamualekum warahamstullah taalla wabarakatu kutoka Kenya ninaomba tarifa sahihi Nashukuru tagazaji ya BBC swahili
Chama Omary Matata BBC
Sijamsikia chama Omar matata,,, amazing voice,, 💪
Napenda pia sauti ya ALEX MURIDHI,sauti kongwe
kwa kweli .. kutoka kwenye dhati ya moyo wangu... nilikua nasubiri kumuona SULUMA KASSIM TU!!!... I am in love with her voice.. napenda sana anavyotangaza... na sikuwahi kumuona kabla ya hapa...ningependa kujua wasifu wake zaidi.. anatokea wapi.. amesoma wapi...n.k....wengine ninaowapenda ni Zawadi Machibya na Zuhura Yunus...sijiu hii video ilikuwa wapi miaka yote hii.... anyway niko na furaha sasa.. :) :)
Nimefurahi sana kuwaona live mimi nasikiriza sana BBC sauti zenu ni vinanda zina ubora uriyochujika Mungu awabariki kwa kazi nzuri
Jaman Roon Cliff Odit yukowapi na Aisha Yahaya wakowapi.
Nawapenda sana
Hongera sana
Napenda siku moja iwe kweli niwe pamoja na ninyi kama familia kupitia kipaji nilicho nacho cha utangazaji
dinah chahali, wa bbc congratulation mamy
Wooow,💓💓💓
Salmu kikeke na timu yako hongereeni sana kutoka londan.Kutoka Tanzania mwanza mimi ni Chris Mbut nawatakia Kazi njema kutupasha habari zinazotokea duniani kote asante.
Nimekupata suluma kassim long time nimekumiss kweli
Mbona Aisha yahya hatujamona kabisa????
Zuhra Yunus, Ambia Hirsi, Shedrac, Dina Gahamany, Isac Mumena, Sami Awami,
Nawapenda sanaaa BBC
Dina gahmanyi mashaallah karibu znz
safi sana
Nmefurah sana kuwaona
asante ndungu nadada BBC Swahili
Eh! Mko juu
aaaaaahkhh!!!! yuwap Aisha yahyaa.
I like Ambiya hirsi ♥️
nawapenda sana nyooote BBC SWAHILI
Mnachonifurahisha BBC kila mtu anautofauti wake, sauti yake na namna ya utangazaji wake. Alex Murith Suluma kasimu, Angela nyendo na Mulilo telewa na wengine wengi sauti zetu jamani hunikosha sana . Sikumoja ntafika BBC
Da! Hii raha sana kwa kuwajua hao wote maana tulikuwa tunawasikia tu.Murila telewa namuelewa sana.Mariamu dodo amazing sister......big support jamani
Naikubali sana bbc swahili
BBC Swahili mko juu!
Nimefrahi sana kuwaona woote hasa Regina mziwnda Shaaban ndege Maryam dodoo abdallah Suluma kassim murelo tereww dayo yussuf wanyam chibusri na wengne woote muko vzurii wallah
Love u guyz wote wa bbc karibu mwanza tz tule samaki
Tuko pamoja sana mko sawa sawa
Safiii watangazaji wapo kiwango
mimi huwa naipenda sauti ya regina mziwanda anavotanganza..natamani nikimaliza masomo yangu ya uandishi wa habari nipate bahati yakuonana nae!
Zuhura Yunusu sauti yakp nzuri
Dinah gahamanyi sauti nzuri duniani
Mariam doto ABDALLAH love u
Dullu
Nani yupo hapa 2024
Suluma Kasim❤️❤️
Safi sana bbc
Alex Muridhi kwenye usimamizi wa kipindi cha BBC Ulimwengu wa Soka siku za weekend
wow! nilikuwa nikiwaskia tu kwenye Radio, sasa nimeona sura zenu...❤❤🥇
whooo, suluma kassim, Marian Dudu Abdallah, Regina mziwanda, Robert kipto, salim kikeke, zuhura yunus, mubal. Nimeipenda sana hii. Vile unatajaga jina lako Mariam Dudu Abdallah inakuwaga poa sana, na nnaposikia "...Hujambo! Mimi ni Regina mziwanda..." nakuwa napenda hicho kipande
BBC 👍
Hii ni kweli kubwa
ASANTE SANA
❤❤❤❤❤❤❤
Nawapenda nyote BBC
1:03 Suluma kasimu ametisha
Dina Ghahamanyi 😍 😍 😍
Sauti tamu kwa swahili
Huyo sulma kassim, nikiwa shule ya msingi, namsikia sana! Wakiwa pamoja na vickie mtetema, jumbe omar Jumbe. Huyo Sulma kassim, ni mkongwe sana!
BBC mpo juuu zaidi
Mm jamani mbona sja muoonq karo robi
Suluma bila Sauti yako ya khabar sijalala vdhur suluma kasiku...
Tafadhali anayejua Ali mutasa amwambie frank ochieng anamtaka
Aysha Yaaaaaaaaaaaaaa sauti tamu kuliko wote yuko wap mmetisha sana hongereni nawapenda sana Muungu awape umri mrefu lkn cku nyengine pia KIZIGINHO NA SAID THANI tunapenda tuyaone majembe yetu haya kwetu sisi familia ya ulimwengu wa soka.
Hongera BBC kwa ukweli wa habar zenu.
Suluma kassim , muridhi ,dayo Yusuf ,mwakatobe daah km wote mnatushawishi
Nimemkumbuka charles Hilary BBC ulimwengu wa soka
Napenda kuandika stor lakn sina elimu yoyot
Muda mrefu sana tangu enzi kina John Nene kipindi cha michezo na wachezaji
nawapenda sana kwasababu habari zenu nizaukweli siyo zakubahatisha nawafutilia kupitia youtube zuhra yunusi na salimkikeke nyinyi watamu jamani na wengine wote mwaa mtanzania from spein
Hakuna Asiye jua,hapo,wote mpo imara
John Solombi, Suluma Kassim, Shaban Ndege...kumbukumbu za utotoni.
sijamsikia Aisha Yahaya
Mnanimaliza kwa sauti hizi na nakuwa na kiu kwa masiko