#EXCLUSIVE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 янв 2025

Комментарии •

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  2 года назад +2

    SUBSCRIBE NOW UWE WA KWANZA KUONA:🏾 bit.ly/3MraYdQ

  • @jamesjahasa3348
    @jamesjahasa3348 2 года назад +48

    MUNGU ahsante kwa uwezo wa mtoto huyu mlinde akue vema tunza kipaji ulichompa watu wote waseme Amin !!!!!!!

  • @judithmelvinealuchio8968
    @judithmelvinealuchio8968 2 года назад +3

    watu husema kiki malaika huyo semeni tena ni ushirikina much love and blessings beautiful angel 🙏🙏🙏💞🇰🇪🇪🇺

  • @محمدالقايد-د6ب
    @محمدالقايد-د6ب 2 года назад +2

    Mungu akufanye uwe kichwa na sii mkia mtoto Mungu akulinde

  • @foundationforcommunityhope7327
    @foundationforcommunityhope7327 2 года назад +3

    Mungu ni WA Ajabu Sana..Mungu amlinde Mtoto huyu

  • @raveenagasper8491
    @raveenagasper8491 2 года назад

    MUNGU akulindee mwanangu 🙏🙏tunakuombeaaa my love

  • @annewangui547
    @annewangui547 2 года назад +1

    Tanzania mtanihamisha Mimi mambo mazuri yanatendeka huko Ni kuonyesha Mungu yuko nanyi....hongera

  • @ashashaban6484
    @ashashaban6484 2 года назад +1

    MASHALLAH MASHALLAH ALLAH AMKUZE SALAMA AMUEPUSHE NA MA HUSDA ZA WALIMWENGU

  • @mcjunior2237
    @mcjunior2237 2 года назад +9

    Mungu asante kwa mtoto huyu

  • @zuweinaally2413
    @zuweinaally2413 2 года назад +7

    Serikali hiyo ni treasure ya nchi jamani Tumuendeleze uwezo upo. Huyo si mtt wa kawaida na bado akiwa mdogo sana

  • @roseatieno6691
    @roseatieno6691 2 года назад +12

    Lord we thank you for this wonderful Gift she's a gift like her name . May God give her more knowledge and powers.

    • @rmerynuru8660
      @rmerynuru8660 2 года назад

      Mungu akuinue zaid mtoto mzur I real love you

    • @munieshswai3263
      @munieshswai3263 2 года назад

      @@rmerynuru8660 mmpmmpmmmmmpmm0pmmmm0

  • @frankfelix3876
    @frankfelix3876 2 года назад +1

    Mungu akiamua kunitumia yeyote umri wowote hashindwi

  • @ndayikezececile2762
    @ndayikezececile2762 2 года назад +2

    Kweli Mungu wa ajabu sana Ee Mungu mtunze mtoto huu

  • @azizakombo376
    @azizakombo376 2 года назад +1

    Mashaallah mtto mzur m

  • @indiarey3439
    @indiarey3439 2 года назад +6

    OMG she’s so cute 🥰 and blessed 😊

  • @symphytindi716
    @symphytindi716 2 года назад +1

    This talent needs to be natured to full capacity...

  • @irenembura5684
    @irenembura5684 2 года назад +4

    Kweli ni Gift kutoka kwa Mungu🙏🏾🙏🏾

  • @davidnkongoki8679
    @davidnkongoki8679 2 года назад +2

    Neema ya Mungu iwe juu yako mtoto mzuri

  • @gradnessshitindi3694
    @gradnessshitindi3694 2 года назад +3

    Ee Mwenyezi Mungu nijalie kizazi chenye kumjua Mungu, na kuwa na upevu wa akili🙏

  • @roselinemoshi5008
    @roselinemoshi5008 2 года назад +1

    Fantastic!

  • @neemarobert992
    @neemarobert992 2 года назад +1

    Mungu mlinde mtoto huyu, akue na kipaji chake!!

  • @hadijahadija6129
    @hadijahadija6129 2 года назад

    Subhanallah mungu anazidi kutuonyesha utukufu wake

  • @lembricejamestukai6594
    @lembricejamestukai6594 2 года назад +5

    Hongera zake

  • @christaoman8890
    @christaoman8890 2 года назад

    Hongera kwa mtoto Gift ana kipaji kikubwa hat mm siwezi saluti kwake

  • @victoriamazula5592
    @victoriamazula5592 2 года назад +2

    An angel talking.

  • @agnesslyatuu8026
    @agnesslyatuu8026 2 года назад +3

    waaoo nimempenda huyu mtoto Mungu azidi kumtunza. Duu kanishinda hata Mimi

  • @mtitaog2139
    @mtitaog2139 2 года назад

    Good hata kam kamezeshwa lakin anaakili mi mwanangu aeleze lolote hat ukimfundia neno a baada ya dakik mbili kasahau hongera mzazi shukran kwa muumba

  • @sophiamakani6133
    @sophiamakani6133 2 года назад +1

    Mungu akulinde mtoto mzuri utimize ndoto yko

  • @chalesichisanza1891
    @chalesichisanza1891 2 года назад +2

    Nice your beautiful children

  • @muwanguzigeorgina9335
    @muwanguzigeorgina9335 2 года назад

    M Ugandan but i came to know my prezido at 12yrs Old may God keep her

  • @solangebagal3496
    @solangebagal3496 2 года назад +1

    Amen 🙌🙏🙏🙏

  • @gazzomaster9462
    @gazzomaster9462 2 года назад +8

    Aisee kwer siyo utanii Wala siyo kiki amenishinda ad mm

  • @aishatanzania597
    @aishatanzania597 2 года назад +1

    Mashaallh alhamundllh jambo la kher

  • @suleshmacs1286
    @suleshmacs1286 2 года назад

    Amazing

  • @mosesojuma9783
    @mosesojuma9783 2 года назад +3

    It's gift from GOD

  • @winrose5491
    @winrose5491 Год назад

    .........Yesu akasema, "nakushukuru ee baba Mwenyezi kwa kuwa umewafungulia watoto ..............

  • @jacksonngusi4122
    @jacksonngusi4122 2 года назад

    Mungu amjalie huyu mtoto afike mbali

  • @roselinasandi6509
    @roselinasandi6509 2 года назад +2

    Ana kipaji Mungu amlinde

  • @aikamichael5945
    @aikamichael5945 2 года назад +1

    Baby girl nakuombea Mungu akufungulie milango upate ufadhili wa kukuza kipaji chako 🙏

  • @danielmbalwa9307
    @danielmbalwa9307 2 года назад +1

    Mungu amuongozee mtoto huyu walee wazeee wa mjini wasijee wakamchezeaaa huyu mtotoo!!

  • @auntdorah9141
    @auntdorah9141 2 года назад

    Maajabu ya dunia...hii ndiyo miujizaaaaa..Utukufu kwa Munguuuu😭😭😭

  • @auntdorah9141
    @auntdorah9141 2 года назад +1

    Mwacheni Mungu aitwe Mungu🙏🙏 akili za Mungu hazichunguzikiiii..
    Azidi kutunzwa na Bwana.

  • @rahimarahima6924
    @rahimarahima6924 2 года назад +1

    Mungu akurinze mtoto mzur natamani ungekua mwanangu unakipaji sana nsiomba serikali iyamsimsmie ili aje awe kiongozi mkubwa baadae

  • @najumongdeoxcar6728
    @najumongdeoxcar6728 2 года назад

    Amina mama

  • @nasseralhabsi4121
    @nasseralhabsi4121 2 года назад

    Duhuuuuu🙄mie mwenyew sijuwi yote hayo🤣🤣🤣hongera toto m/ mungu akulinde

  • @herson9343
    @herson9343 2 года назад +5

    Allahu Akhar

    • @iddyhemed6116
      @iddyhemed6116 2 года назад

      Mashaallah 🙏🙏🙏 Allah amhifardh

  • @azizaabeid2055
    @azizaabeid2055 2 года назад +2

    Huyu mama kachelewa kuzaa lakini mtoto wake ana akili MashaAllah Kuna baadhi ya watu wanakwambia ukichelewa kuzaa watoto wanakuwa hawana akili hongera mama mungu akupe umri mrefu uweze kuwalea watt wako

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 2 года назад

      Binaadam wanaongeatu Mungu ndiyekilakitu

    • @daviddaniel9683
      @daviddaniel9683 2 года назад +1

      una uhakika kachelewa kuzaa?na huyo Gift ni mtoto wa kwanza kwake?
      huyo mama anazaidi ya huyo Gift
      hapo kuna Elisha,Cecilia,wa 3 jina nimemsahau na 4 ni huyu Gift sasa

  • @salmahanai3601
    @salmahanai3601 2 года назад

    Mungu amuongoze kwa kweli.inapendeza

  • @pelusiemanueli6926
    @pelusiemanueli6926 2 года назад

    Wowoooo honger mtoto

  • @mrunknown2825
    @mrunknown2825 2 года назад

    Wow mashallah

  • @aishamaganga5304
    @aishamaganga5304 2 года назад +1

    Maashaallah ❤❤❤

  • @priscustarimo406
    @priscustarimo406 2 года назад +6

    Kizazi Cha Cres kina maarifa yasiyo ya kawaida bado watazaliwa wasiohitaji hata kwenda shule ila watafanya Mambo makubwa ya kutisha

  • @mohameeddoaan2296
    @mohameeddoaan2296 2 года назад

    MashaaAllah MashaaAllah MashaaAllah

  • @atukuzwelameck4869
    @atukuzwelameck4869 2 года назад +3

    Pole na mafua beby😅❤🙌

  • @maisaramlade8314
    @maisaramlade8314 2 года назад

    Good

  • @joycekunyanja1027
    @joycekunyanja1027 2 года назад

    Mwachen Mungu aitwe Mungu jamani,kweli Mungu anafanya njia pasipo njia.Damu ya Yesu imfunike mtoto huyu afike mbali.

  • @lovenessmwaitege5324
    @lovenessmwaitege5324 2 года назад

    Jamani mimi hapo mhhhh mbio zitaniokoa maswali 2

  • @allyabdallahally9637
    @allyabdallahally9637 2 года назад

    MashaAllah

  • @elibarikkiakyoo
    @elibarikkiakyoo 2 года назад

    Tuna weza kusema waliotunga vitabu vya biology topic ya genetics iongezwe kua inherited genes siyo alibinisim tu Bali hata uwezo wa kufikiri pia maana siyo wa kwanza kusikia haya

  • @nipautago8574
    @nipautago8574 2 года назад

    Mungu ni mwema

  • @User92.invisible
    @User92.invisible 2 года назад

    Kako vzr...

  • @kasimramadhani1502
    @kasimramadhani1502 2 года назад

    100 Kwa 100

  • @hisanmwakijungu10
    @hisanmwakijungu10 2 года назад +11

    Mimi mkubwa ivi tu ukiniuliza maswali ya viongozi olaaaah 😄😄😂😂😂😂

  • @user-nd4of5zo8d
    @user-nd4of5zo8d 2 года назад +7

    Yan mm na degree yangu kwa huyu mtoto n sifuri😂 hapo vitabu vya din ndo empty set. Eeh Mungu nisaidiee, unirehem na umlinde huyu mtto 🙏

    • @priscamakendi5155
      @priscamakendi5155 2 года назад

      😃😃😃

    • @rehemavictor481
      @rehemavictor481 2 года назад

      Yaan kwenye dini me ziro hapo sijui waziri wa Madini mpaka nie Google

    • @eliwazadaniel6535
      @eliwazadaniel6535 2 года назад

      Lakini mtoto mwenyewe kaulizwa nani anakufundisha amesema mamake anamfundisha

  • @anjelinakaniki9162
    @anjelinakaniki9162 2 года назад +1

    Mashallah

  • @symphytindi716
    @symphytindi716 2 года назад

    Even the boy next to her is clever...... Naona alikuwa anajibu zingine.... Wacha waendelee hivyo wakisaidiana...

  • @chalesichisanza1891
    @chalesichisanza1891 2 года назад +1

    Amen

  • @salamanauthar480
    @salamanauthar480 2 года назад

    Mashaallah

  • @PatsonPius
    @PatsonPius 2 года назад +3

    Born gifted Gift ila ana bahati mbaya kuzaliwa kweny nch yenye mfumo mbovu sana hasa elimu

    • @magreth7981
      @magreth7981 2 года назад

      😂😂😂😂💃👆

  • @janethmalaika5241
    @janethmalaika5241 2 года назад +1

    Da mtoto unaweza kwakweli tatizo kuzaliwa bongo maana vipaji kama hivi wala hawavitilii maanani wala kuvilinda sijui hata kama tuna ma scientist ambao wanafanya uchunguzi na serikali kama inawatunza kuwaendeleza.

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 2 года назад

    Hatari dogo duhhhh

  • @petermahimbo3458
    @petermahimbo3458 2 года назад

    Amen!

  • @gideonzachayo9283
    @gideonzachayo9283 2 года назад

    Mungu azidi kumtunza mtoto huyu anakitu kikubwa sana kitaonekana hapo badae

  • @nyamwinukankwera3749
    @nyamwinukankwera3749 2 года назад +1

    Mungu wangu mtoto mdogo lakini anakipaji🙏

  • @lispamagu5810
    @lispamagu5810 2 года назад +2

    Duh

  • @charlessomeke8992
    @charlessomeke8992 2 года назад +5

    Ameniweza huyo. Mtoto

  • @deus8629
    @deus8629 2 года назад +15

    Dogo ana database yake kichwani

  • @happyelias9465
    @happyelias9465 2 года назад

    Hata mtoto wangu ni wa ajabu, huyu Mungu amtunze

  • @marthajohn9120
    @marthajohn9120 2 года назад

    MUNGU hambariki sana

  • @irenemlay9769
    @irenemlay9769 2 года назад

    💞💞

  • @rehemamajaliwa
    @rehemamajaliwa 2 года назад +2

    Vipaji vya watoto wa Kitanzania bana😂😂😂wote kutaja majina ya viongozi ndo kipaji yanii....mtoto amefanya vizuri ila ishakua common sasa i wish ingekua otherwise au basi

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 года назад

    Mtangazaji tu Kalewa

  • @fightermoshi5921
    @fightermoshi5921 2 года назад

    Jamani tuna vitu vya kujivunia sisi wa africa

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 года назад

    Mmm hizo nguvu mziombee saana sizije kutoweka

  • @lilianwaflotina1288
    @lilianwaflotina1288 2 года назад +3

    😂😂safi sana toto

  • @jescadeogratias5292
    @jescadeogratias5292 2 года назад

    Duh!

  • @bekaashbai1781
    @bekaashbai1781 2 года назад

    Ukipata picha hapa ndo wanatupiga wamarekani vipaji hivi bado tz we are not sanity

  • @hamissahassan2831
    @hamissahassan2831 2 года назад

    😍😍😍😍💯

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 2 года назад +2

    Niulize hata moja sijui labda Kassim Majaliwa.

  • @asha.mwambamwamba1774
    @asha.mwambamwamba1774 2 года назад +8

    Natama angekuwa mtotowangu

  • @bandonyaithe1359
    @bandonyaithe1359 2 года назад

    Hizi hutendeka tu Tanganyika sio rest of Afrika

  • @issajunior2689
    @issajunior2689 2 года назад

    Mungu ni mkubwa

  • @tinybern4159
    @tinybern4159 2 года назад

    Tatizo lao wanataja majina ya viongoz tu wajalibu kumkaririsha na formula za physics na chemistry

  • @millicentakinyi5504
    @millicentakinyi5504 2 года назад

    🤔🤔🤔🤔💪🌟🌟🌟🌟

  • @lilianwaflotina1288
    @lilianwaflotina1288 2 года назад +1

    daaa

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 2 года назад +1

    Hivi ni kweli hivi vitu jamanii

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 года назад

      Eee sema kuna mtu ndani yake anahitaji Maombi aaivurugwe huyo mtu

  • @gloryelineemalukwaro2157
    @gloryelineemalukwaro2157 2 года назад

    Asome shule zenye vipaji maalum, apewe kipaumbele

  • @charlesmugisha6529
    @charlesmugisha6529 2 года назад +1

    Maskini alafu kana mafua🙏🙏🙏🙏

  • @geofreysadok4823
    @geofreysadok4823 2 года назад +3

    Huyu angekuwa kwa wazungu angekuwa na bachelor mpaka sasa maana kule hao wa ivo wanapata phd wakiwa na mika 5 au 7 tu

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 года назад

      Hahaha siyo kweli ila tu angelipwa noti za uhakika

    • @janethmalaika5241
      @janethmalaika5241 2 года назад

      @@trophywilson7211 hujawahi ona mtoto wa 8years ana masters na kuna mwingine 12years ana phd tena hesabu .Huku wenzetu is not all about money wanatunza vipaji na always wanataka kuchunguza why and how aka Mungu watu they dont joke na watoto kama hawa wanatunzwa sana vizuri.

  • @josephmanyama9012
    @josephmanyama9012 2 года назад +4

    MUNGU NI MWEMA SANA