MTOTO YUNIS AENDELEZA MAAJABU, MGONJWA KUTOKA ZIMBABWE ALIKUJA KWA MAGONGO ARUDI KWAO BILA MAGONGO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 янв 2025

Комментарии • 70

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  2 года назад +6

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ

    • @judithmelvinealuchio8968
      @judithmelvinealuchio8968 2 года назад +1

      wana Global TV nawaomba mukirudi huko tafathali munisaidie kuambia baba Eunice maji yangu mbona hatumi imeisha 2 month tangu nitume hela kutoka Rome Italy nikimutumia text huwa ananiadi tu juma tatu mara lini surely tafathali nawaomba munikumbishie aki ahsante sana 🙏🙏🙏💞🇰🇪🇪🇺

  • @BelieveMirimi-gs3fv
    @BelieveMirimi-gs3fv Год назад +2

    I'm healed thank you sister Yunis may God continue blessing young Angel

  • @annaawinoolalaodero1672
    @annaawinoolalaodero1672 Год назад +1

    KWAJINA LA YESU AMEN AMEN

  • @MumDiddy
    @MumDiddy 2 месяца назад

    Mungu apewe sifa.Amen❤

  • @cathymunialo3386
    @cathymunialo3386 2 года назад

    Halafu uchuwe chochote kinacho karibia Mungu,shetani huwa anawapiga,,so ni vizuri kumshukuru Mungu kwa kila hali anayopitia,mnampa Mungu sifa,sababu Yesu amemsingira na Damu yake,, Mungu abariki mtoto Yunis amen

  • @salomemary3942
    @salomemary3942 2 года назад +5

    Mother Mary be your daughter Eunice so that your children can be healed and turn to Jesus your Beloved son,,,what baby Eunice doing is Mother Mary using her may the good Lord protect her and guide her Amen

  • @CassianoAlcutepa
    @CassianoAlcutepa 10 месяцев назад

    Tumsifu Yesu Kristi na mile Amina. Niko Msumbiji ningependa nip ate maji yalio barikiwa na moto Yunice Niko hapa Maputo. Nifanyeje? Kiswahili changu sio kizuri sana

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 2 года назад +3

    Mungu azidi kumuongoza uyu mtoto azidi kuwasaidia watu wenye huitaji

  • @roselineakinyi8211
    @roselineakinyi8211 2 года назад +1

    Kama ni kazi ya mungu utaonekana kwa sababu hata bibilia Ina sema nabii udharauliwa mtaa yake

  • @restitutanjau2585
    @restitutanjau2585 2 года назад +1

    Asante Mungu kwa nguvu zako,kupitia kwa mtoto Yinis

  • @AgnesAdhiamboOnyango-ue4kd
    @AgnesAdhiamboOnyango-ue4kd 9 месяцев назад

    Thanks be to God. Na Omba number

  • @josephamani
    @josephamani 2 года назад

    Mtoto huyu ni zawadi ya Mungu kwetu sisi ni nabii mponyaji kwa uwezo wa Mungu jina lake Mungu ni kuu lihimidiwe amina

  • @LomayaniLukumayi
    @LomayaniLukumayi 8 месяцев назад

    Yunis...niombee..nibarikiwe

  • @tajiluka1155
    @tajiluka1155 2 года назад +1

    Mh kwa kweli Mungu amsaidie huyu mtoto

  • @suzanamwangingo2995
    @suzanamwangingo2995 Год назад

    Mungu amsimamie huyu mtoto

  • @magejuliani5293
    @magejuliani5293 2 года назад +1

    Mungu mipango yake haichunguziki!Tumuache awasaidie watu! Ila Mtoto ni Mtoto tunaona kanachezea pazia!

  • @sophianabintu6666
    @sophianabintu6666 Год назад

    Mungu aedeleye kumlida mtoto huyo kwani ni Baraka mungu ametuma ili ukubwa wa mungu uonekane mumuchunge vizuri huyo nimalaika
    Sasa na sisi tunatamani tupate hio maji tufanye njee kuzudi ya tufikie ha Canada mimi na fwata kila siku ushuda wa mtoto alipoaza

  • @hanningtonmwinga8651
    @hanningtonmwinga8651 2 года назад

    Bwana Idi Mumba naomba number yako ya simu.Ahsante.Hannington Mwinga.

  • @anniemapendo6103
    @anniemapendo6103 Год назад

    Shalom wapendwa. Mimi naishi nje ya Afrika. Napenda kuulizia hivi mtoto Yunis ameisharudi pamoja na mama ye hapo nyumbani? Naomba jibu.

  • @AliganyiraViolet-vx1nn
    @AliganyiraViolet-vx1nn Год назад

    Help and you translate it in English mother Mary pray for us

  • @bubulini645
    @bubulini645 Год назад

    Huu baba aache kurazimisha watu kuwa na imani.mambo ya mungu harazimishwi. Asubili kwanza na mtoto huo mwishoni watu wabaa watamuuwa.

  • @stellah3844
    @stellah3844 2 года назад +5

    Wamuache mtoto asaidie watu wenye magonjwa mbalimbali afanye kaz alotumwa na Mungu

  • @christineaimtonga1787
    @christineaimtonga1787 2 года назад +1

    Ni kazi nzuri lakini muwachukue picha ingekuwa vizuri zaidi mbarikiwe sana.

  • @tamarali8325
    @tamarali8325 2 года назад +12

    Baba amekuwa kijana. Jamani umasikini ni mmbaya sana

    • @stellah3844
      @stellah3844 2 года назад

      🤣🤣Kwakweli

    • @chrisantachelele7610
      @chrisantachelele7610 2 года назад +3

      Hivi we baba wa yunisi una nini na kanisa,usilazimishe kanisa kutangaza,ndio maana kanisa halijazuia huyo mtoto kufanya kazi,wewe fanya kazi yako na kanisa lifanye yake.

    • @budhbd5208
      @budhbd5208 2 года назад +3

      @@chrisantachelele7610 anajisahau kanisa analo liongerea ni kanisa Catholic halina shobo na mtu 😄😄😄😄mambo ya kutakanzwa peleka kwa gwajima boy

    • @magrethmollel1078
      @magrethmollel1078 2 года назад

      Chezea pesa wewe

    • @magufurifofo3130
      @magufurifofo3130 2 года назад

      Umesema ukweli

  • @Kazozanet
    @Kazozanet 2 года назад

    Tusaidie namba

  • @cathymunialo3386
    @cathymunialo3386 2 года назад

    Ni vizuri kuonyesha hao wagonjwa peupe mtoto Yunis akimwakilia maji watu wakishudia kwa macho kupitia video,,tukiona wamepepwa kaa wamepooza baada ya Maombi wana Pona,vyema kuonyesha video hao watu mpaka wapone,cos ushuhuda wa Mungu uko wasi,

  • @christinaumugwaneza9055
    @christinaumugwaneza9055 2 года назад +1

    Tu naomba number yenu

  • @neyjohn923
    @neyjohn923 2 года назад

    Dah mzee ameshengaa uso.kweli kila mtu azae

  • @franciscabisimwa7093
    @franciscabisimwa7093 Год назад

    Tunaimani kwayote tunayo pokeya kwa mama bikira maria kupitiya combo cake mtoto eunice lakini nasii wazazi wake wakaee kusubiri nakujishusha kusudi mtoto huyu asiipoteze neemaile anayokuwa nayo naamboyo niyakusaidiya watuu.Mungu baba hasaubu kama kanisa inasubiri naniutaratibu wa eklezia ndio maana wanapasha subiri mpaka mapenzi ya Mungu baba ifanyike mpaka eklezia ifanyekaziyakeee île itaonesha kujishusha na Mungu baba ataendelea kufanyakazi mbaka kikamilike na eklezia takatifu pasipo vile wazazi wa yunice wasishangae baada ya muda mtoto amepoteza neema alio kuwanayoo naomba utii sana kwa eklezia navingine vitakuja taratibu .Huo niushauriwangu

  • @talhiyaibrahim1074
    @talhiyaibrahim1074 2 года назад +1

    Nyie waandishi sio mgetuonesha huyu mama ambae amepona njaa Kali sanaa

  • @AliganyiraViolet-vx1nn
    @AliganyiraViolet-vx1nn Год назад

    We don't know kiswahili

  • @Expedito2512
    @Expedito2512 2 года назад +4

    Sasa mbona anakebehi fulani

  • @robbymukonjero4854
    @robbymukonjero4854 Год назад

    Mimi ningependa kujua,malipo ni pesa ngapi?

  • @maniratungageorge6797
    @maniratungageorge6797 2 года назад

    OK Mungu atukuzwe,lakini kanisa yiheshimu juu catholique iko hivo inafanya ucunguzi pole pole vile mwenye anataka gutoka kanisa akiamuwa anaenda akitaka kurudi wanamupokea pia,kanisa yetu iko kama yule muzazi nayule mutoto arienda akaenda guharibu mari zake akarudi badayee akamupokea.

  • @hellenmwakasungula6850
    @hellenmwakasungula6850 2 года назад

    Tunaomba namba ya baba mzazi wa Yunisi

  • @olekiseetolarikoni698
    @olekiseetolarikoni698 Год назад

    Nitawapata wapi Tanzania ama munapatikana Kwa nchia gani

  • @consolathapeter1072
    @consolathapeter1072 Год назад

    Mimi nimeagiza maji na kulipia lakini maji simpati sasa sijui itakuaje

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 Год назад

    Kinachonishangaza kako bize na michezo Hadi wanakabembeleza kufanya huduma 😂😂😂

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 2 года назад +6

    Tutafuten pesa jaman hadi mazingira yamebadilika kumbe pesa ni sabuni ya maisha🐒😳

    • @neemajohn1272
      @neemajohn1272 2 года назад +1

      nilienda palikua na nyumba za nyasi lakn saiz ni mijengo

    • @judithmelvinealuchio8968
      @judithmelvinealuchio8968 2 года назад +1

      @@neemajohn1272 ulipoenda ulisaidika vizuri sivyo

    • @cheiknamouna2058
      @cheiknamouna2058 2 года назад

      @@neemajohn1272 Tupatie mrejesho basi mpenzi na sisi tuende😁🏃‍♀️

  • @dominickjohn1128
    @dominickjohn1128 2 года назад +1

    Mbona picha za wagonjwa hatuwaoni jaman watoe shuhuda wenyewe

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 2 года назад +1

    MUNGU MPE NEMA HUYU MTOTO UNISI AENDELEE KUWATIBU WATU WENYE MATATIZO. NA SI BINADAMU TUWE NA ROHO NZURI YA KUMWOMBEA IPO CK TUTAENDA KUTIBIWA. NA WENYE ROHO MBAYA ACHENI KUDHURU HUYO MTOTO. HIZO ROHO MBAYA ZIKOME KABISA MUNGU WAUNGUZE HAO WANAOTAKA KUMWUA KWA SUMU HUYO MTOTO.SHETANI NA ASHINDWE KABISA

  • @DorothMtwale
    @DorothMtwale Год назад

    Kuamini hayo inataka macho ya rohoni jina la bwana libalikiwe

  • @DorothyKathukya
    @DorothyKathukya Год назад

    Naomba uniambie nitapanda gari gani nataka kukuja huko

  • @christineaimtonga1787
    @christineaimtonga1787 2 года назад

    Maji yanauzwa au ni bure?

  • @chifuthedoni8889
    @chifuthedoni8889 2 года назад

    Nyie jidanganye tu kwa kumtegemea bikra maria! Yesu pekee ndo njia ya uzima iendayo kwa baba! Bikra maria walimalizana na yesu hapa hapa duniani wala yesu hakutaka mazoea! Kama waromani mngekuwa mnasoma biblia mngeelewa! Hamjasoma yesu alivyo wakana hao mnaowaita wazazi wake Walipo mfuata kanisani?

    • @annickrochetau6210
      @annickrochetau6210 2 года назад

      Mon frère, soit béni, le seul nom de Jésus guéri, delivre et nous fait du bien, cet peuples péri faute de connaissance. Ooh seigneur aie pitié de ses parents et delivre cet enfant de la main de satan.

  • @julianaswai7846
    @julianaswai7846 2 года назад +1

    Mimi nipo dar-es-saalum. Mimi mtanisaidiaj Mimi kuyapata hayo maji Baba yunicy ninaomb hiyo GLOBAL TV KAMA WATAFIK HUKU DAR-ES-SAALAM KAMA ITAWEZEKA WANILETEE HAYO MAJI. NINASHID N HAYO MAJI. UWEZEKAN W KUJAHUKO SINA NAULI

    • @magufurifofo3130
      @magufurifofo3130 2 года назад

      Acha guhangayika uyo nikama loliondo

    • @haurtyounis3966
      @haurtyounis3966 2 года назад

      Jamani sisi tunataka hayomaji tunawagonjwa wanaumwa sana

  • @maspro6294
    @maspro6294 2 года назад +1

    Utaperi mtupu hii kama babu wa kikombe na mijitu alivyo mipumbavu yatakwenda kama makondoo

  • @gozakoth8466
    @gozakoth8466 2 года назад

    tupatie nmbq yawa

  • @patrickmunishi2277
    @patrickmunishi2277 2 года назад

    KUNA WAKATI ITAJULIKANA TUU KUA NI NGUVU YA NINI INATUMIKA HAPO,SIO KILA MUUJIZA NI WA MUNGU.ITAKAPO ITAJIWA SADAKA KWA AJILI YA HIYO NGUVU, NDIYO WATA HAHA.

    • @annickrochetau6210
      @annickrochetau6210 2 года назад

      Aucun n'es de Dieu, mais de santa, le seul vrai Dieu c'est Jésus Christ de Nazareth., Au nom de Jésus tout genoux fléchi sur la terre, sous la terre et dans les cieux, tu es malade prie au nom de Jésus, parceque lui seul est mort a ma croix pour que nous soyons sauvé

  • @julianaswai7846
    @julianaswai7846 2 года назад +2

    Mimi nipo dar-es-saalum. Mimi mtanisaidiaj Mimi kuyapata hayo maji Baba yunicy ninaomb hiyo GLOBAL TV KAMA WATAFIK HUKU DAR-ES-SAALAM KAMA ITAWEZEKA WANILETEE HAYO MAJI. NINASHID N HAYO MAJI. UWEZEKAN W KUJAHUKO SINA NAULI

    • @pialashayo4519
      @pialashayo4519 2 года назад +1

      Hii nahisi ni tofauti sana kwahiyo kama unaimani nenda kwa kawaida sisi tunaamini Mama Bikira maria hutoa miujiza kwenye Yale maeneo ya watu wenye mioyo migumu sana huwa anajitokeza kama alivyotokea Uganda

    • @judithmelvinealuchio8968
      @judithmelvinealuchio8968 2 года назад +1

      ubaya kutuma maji utasubiri sana nilituma hela 2 month sasa ijawai fika ulaya kila wakati hakika siku fulani nikikumbushia najibiwa tu hakika siku fulani itafika miezi miwili chini