GARI NYUMBA LILILO NA SEBULE, JIKO NA CHOO CHA NDANI ZANZIBAR

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 дек 2024

Комментарии • 529

  • @cliffordmwangosi426
    @cliffordmwangosi426 Год назад +4

    Wengi tulikua tunaamini haya mambo yanawezekana nchi za nje huko ila tunashukuru umetuheshimisha Tanzania Big up sana engineer

  • @godlistenminja3574
    @godlistenminja3574 2 года назад +18

    Baba umenifurahisha sana hongera kwa ubunifuu huu. Utaongeza chachu kwenye sector ya utalii. Hongera mno ndugu.

  • @williammsilu8617
    @williammsilu8617 2 года назад +64

    This man is highly talented, the main problem in this country doesn't recognize and support highly talented people like this man. Tunawezaje kuwa na nchi y aviwanda bila kuwawezesha watu kama kina abubakari wajenge viwanda na wavisimamie? Inchi inashindwaje kuwekeza hata bilioni 10 wawaite watu kama Abubakari halafu wajenge VETA kubwa ya mfano Tanzania itakayo toa mafunzo ya vitendo ya kutengeneza na kubuni magari, helcopter, pikipiki, vifaa vya umeme, ulizi, udereva n.k. I mean the National Technical College (VETA) which is TYPICAL PRACTICAL which can accommodate more than 500 students at once.

  • @1964AliK
    @1964AliK 2 года назад +29

    Hongera sanaBwana Abuu. Allah akuzidishie ujuzi na akufungulie milango ya mafanikio zaidi. Zanzibar got talents.

  • @salmaseif6284
    @salmaseif6284 2 года назад +39

    Jamani huyu mtu apewe hongera yake tuacheni choyo hata km ulaya zipo gari km hii nyingi lkn kwa Tanzania hatujazoea kuona mtu akitengeneza, kwa hiyo apewe hongera yake amejitahidi.

  • @vicentmlumba591
    @vicentmlumba591 2 года назад +1

    Aseee umetishaa🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥 utafikir nyumba ilojengwa ardhini

  • @sarafiamakilika9975
    @sarafiamakilika9975 2 года назад +4

    Ushauri,usiuze hata kwa pesa ipo maana atakayeinunua ataifanyia biashara hasa ya utalii na hakika atarudisha zaidi ya faida yako. Fanya hivii tafuta mawasiliano na watu wanaohusika na watalii... Hakika utapata zaidi ussahau Mungu.

    • @shabbyofficial_
      @shabbyofficial_ 2 года назад

      Ila pia yeye bado atakua hajapoteza ikiwa atakua bado anatengeza akiuza.. Akiuza hii ananunua gari nyengine na kutengeza na kuuza

  • @muhammad_alhinai
    @muhammad_alhinai 2 года назад +9

    Masha Allah! 😍 Proud of you uncle Abuu! 👏🏻

  • @munnamattaka3220
    @munnamattaka3220 2 года назад

    Me love what i see na nliamin Tanzania hakunaga hivi vitu kumbe dah!!! Kuna vitu kama hivi we missed yaan he's mastermind an hii n gold as he say kwa Tanzania ain't no hustle dared to do what he did👏👏👏👏💪💪💪💪 classic and financial balance hakuna Kodi, bili ya maji wala umeme it's mafuta ya gari na location unayotaka lala😍🔥🔥🔥🔥💯

  • @jayloo4699
    @jayloo4699 2 года назад +1

    Kama umewaona waliokimbia camera gonga like

  • @graveengrave2936
    @graveengrave2936 2 года назад +1

    Hongera saana kwakazi nzurii mtuakihitajii inakuwajee

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 2 года назад +14

    Kwa sababu ni gari, watu wataona kitu kipya. Ila kiufupii huyu ni fundi wa nyumba na mbunifu kiujumla.

  • @sebonikegobi6244
    @sebonikegobi6244 2 года назад +1

    Hongera sana Mungu akupe maono zaidi kazi yako ni nzuri saaaaana hongera mnoooo natamani kuona hilo gari nyumba from Mlandizi

  • @mussakiziyzi408
    @mussakiziyzi408 2 года назад +1

    Chakupendeza ni ununifu wa nquvu and very clean,huwez amin km ni local,ni RV moja kali sana,
    Biq up sana Abuu
    👏

  • @hajjmohd3602
    @hajjmohd3602 2 года назад +1

    Masha Allah ni kipaji cha kuzaliwa na ni akili isio na mipaka ama kwel " MAARIFA YA MTU HAYATEGEMEANI NA DARASA ALILO"

  • @mtumishidoublek1504
    @mtumishidoublek1504 2 года назад +4

    DA, HONGERA SANA MTU WA MUNGU.
    kwenye vitabu vitakatifu hayo maarifa walipewa watu wachache sana kutengeneza vitu visivyowezekana, kwa mfano NUHU alipewa maono ya kitengeneza safina nchi kavu.
    Ndio sawa na huyu mzee kupewa maono ya kutengeneza nyumba inayotembea.
    HAKIKA HIKI NI KIPAJI AU KARAMA PEKEE KUTOKA KWA MWENYEZI MUNGU.

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 Год назад +1

    Huyu mtu ni mbunifu sana hongera sana sana kwani umedesign kazi nzuri sana

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 2 года назад +6

    Masha Allah mungu akikupa kipaji ukitumie big up brother

  • @madammesatalks6913
    @madammesatalks6913 2 года назад +1

    Kiukweli nakupongeza sana kaka angu kazi nzr sana, Mungu azidi kukupa maarifa makubwa zaidi🙌🙌🤜🤜

  • @fatumasaleh8048
    @fatumasaleh8048 2 года назад +5

    Dah! Masha Allah Allah sw akujaalie mafanikio na utimize ndoto zako zote, hongera Sana broo

  • @nurudaud3993
    @nurudaud3993 2 года назад +30

    Mtu kama huyo ni Mali sana kwenye inchi yetu sema sasa hatuga habari na ujuzi wetu wataaza kusaport wazungu tulivo maboya😔

    • @zenaycechanzinho6702
      @zenaycechanzinho6702 2 года назад

      Ndo watanzania tulivyo

    • @naghemsuya5218
      @naghemsuya5218 Год назад

      Mungu asiache ujuz wako ukaishia chini, hongera sna Sana mi naamin utafka mbal

  • @hellenpaul9671
    @hellenpaul9671 2 года назад +3

    Waoooo! Ujuzi huu ni mzuri sana hongera kwako 🙏🙏🙏🙏

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 2 года назад +7

    Hili gari wazungu watapenda sana ku kodisha aisee aifanye iwe RENTAL MOBILE HOME kwa Zanzibar watalii wengi watapenda

  • @mufidaabdul5387
    @mufidaabdul5387 2 года назад +13

    Mashallah hichi kitu nimekiona kwenye mitandao uzunguni nimependa sn hyu brother kukifanya. ila mntakiwa watanzania musivunje tamaa mtu km huyu niwakuzibitiwa nakumpa support ili serekali kumundalia office malumu,👈lkn Leo hii Tanzania haijitasimin km ubunifu ndio unawaweza kkuza uchumi wetu kwadumisha viwanda vikubwa leo watu km hao mukiwazarau munakuta munasafir kwakwenda kunnua gari nyumba nchi zawatu Tena kwacost kubwa,👈 kweli nyiny hamujitasimin mamuzi yen yakkurupka tu bila yakujiengeza.👋

    • @jaysullman3697
      @jaysullman3697 2 года назад

      Sasa hilo ndio lilo kuwepo maana apo kuna Ubaguzi uliota Magugu ndio maana tumekandamizwa sana kiuchumi kwa Wananchi na kupeana nafasi wenyewe wenye utawala wakati watu wa Vipaji wapo wengi sana Mashaa Allah Zanzibar💯😍 👍

    • @newahomwashiuya8858
      @newahomwashiuya8858 2 года назад

      Yes wanaita tiny house

    • @alimuhamed1830
      @alimuhamed1830 2 года назад

      Tukumbuke kua kunajamaa alibuni vespa na ilikua nzuri sanaa nasijui kua ilipata usajili

  • @johnbernad3990
    @johnbernad3990 2 года назад +24

    Namuomba Mungu asikuchukue sasaiv maana unandoto nyingi za kuwasaidia watu wewe ni tunu yetu kwa hapa Zanzibar

  • @najashrk3738
    @najashrk3738 2 года назад +9

    Broo kumbe zile disc unanunuwa dukani kwangu ilikuwa unafanyakazihii dah please broo Haroub unadisc moja ya ofa nafkiri ukiona comment yangu utanitambu..bonge moja laakili mawazo mubashara kabisa waaaaaaawo very amazing 👏 👏👏👌👌

  • @shijamahona4491
    @shijamahona4491 2 года назад

    Hongera sana kiongozi Naomba MUNGU azidi kukulinda na kukuongezea maalifa zaidi

  • @mtumishidoublek1504
    @mtumishidoublek1504 2 года назад +3

    Natamani siku moja serikali iwaweke chini watu kawa huyu Atilist watano wafunguliwe chuo cha vipaji, naamini Tanzania itakuwa the Best country of the countries.

  • @annastevensteven9515
    @annastevensteven9515 2 года назад +3

    Honger kwa ubunifu brooo

  • @Valentinef-cj9tn
    @Valentinef-cj9tn 7 месяцев назад

    nimependa sana kazi yako na mawazo yako yako vizuri sana najua unamtazamo wa juu sana natamani sana tungeweza kuwasiliana na mimi

  • @alimambabazi3666
    @alimambabazi3666 2 года назад +14

    Congratulations brother may Almighty GOD continue to give you more talents 🫂

  • @binloufy454
    @binloufy454 2 года назад +3

    ZANZIBAAAAAAAAR TALENTED MAA SHA ALLAH

  • @dianangailo5468
    @dianangailo5468 2 года назад +2

    I love tiny houses ideas uzur wake kunakuwa na free space nyingi kuliko bigger house keep it up

  • @Dalaman10
    @Dalaman10 2 года назад +30

    Mashaallah. My advice dont sell it. Its beautiful. Rent it. Personally i will rent it when i come to zanzibar. I love it. You got talent brother. Proud of you

    • @yunusrnb5227
      @yunusrnb5227 2 года назад +1

      Kwani Kuna ulazima wa kuzungumza kingeleza?

    • @zuleikhakhamis3303
      @zuleikhakhamis3303 2 года назад

      ata mie nimesema nitarent ishallah

    • @samuelokeyo8839
      @samuelokeyo8839 2 года назад +1

      @@yunusrnb5227 acha unafik,kama hujui tulia,, nonsense NKT

    • @shabbyofficial_
      @shabbyofficial_ 2 года назад

      @@samuelokeyo8839 😂😂😂

    • @samuelokeyo8839
      @samuelokeyo8839 2 года назад

      @@shabbyofficial_ au sio😜😜😜

  • @yusrakhaidally345
    @yusrakhaidally345 2 года назад +5

    Mashallah mungu akupe maisha malefu tuendele kuona mazuri inshallah

  • @isawmsafi5710
    @isawmsafi5710 2 года назад +4

    Watching from 254 ,,,,..mzee akona kipaji kweli

  • @abrahamdismas1580
    @abrahamdismas1580 2 года назад +2

    Safi sanaa hongera sna bro

  • @Asili
    @Asili 2 года назад +6

    Kutoka ZenjiTaxi hadi nyumba inayotembea ! Hongera kaka kwa bidii yako na moyo wa kujaribu.

  • @aminaaman9439
    @aminaaman9439 2 года назад

    Mashallah sasa mr Abuu njoo unipose tuishi zetu tu😃😃😃

  • @rhobinyabasi204
    @rhobinyabasi204 2 года назад +8

    Huyu mtanzania amejaliwa talent kubwa na bidii kwa kweli ni wa mfano.

  • @lovenoor988
    @lovenoor988 2 года назад

    Hongera sana kaka M/Mungu akufikishe unapo hitaji 🌹🤗

  • @nasralukanga1712
    @nasralukanga1712 2 года назад

    Khaa naic iko pw bro we ni njiniaz w Tanzania tunatak vipaji Kam nyie kwenye inchiet n sio wannje mashaalah

  • @mwakahassan7685
    @mwakahassan7685 2 года назад

    Maa shaa Allah Allah awazidishie atuhifadh husda za kila aina

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 года назад +8

    Mashallah, good job my brother

  • @mrjohn4446
    @mrjohn4446 2 года назад +7

    Aweke na angle cameras za nnje na kwa dereva Ili watu watakaokuwa ndani waweze kujua kinachoendelea nnje bila ya kutumia simu kuwasiliana

  • @buyondeboston5571
    @buyondeboston5571 2 года назад

    Courage sana maître mungu azidi kukuonza na kukupa maono yaku vumbuza zaidi yaiyo uliyo nacho mukuu🙏🙏🙏

  • @venturebown6983
    @venturebown6983 2 года назад +1

    Wish niwepo hapo Zanzibar...Ila nko Tanzania Arusha mjin 💥💥

  • @godfreygeraz9556
    @godfreygeraz9556 2 года назад

    Hongera sana Mungu akutunze jamn serikali mchukueni atengeneze mengi utalii utazid sana

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 2 года назад

    Very creative aisee huyu jamaa ana Akili mnoo

  • @khamisshee5131
    @khamisshee5131 2 года назад +1

    MASHAALLAH
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    aka bachuchu mombasa 001
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 2 года назад +1

    Safi sana pongezi kwako kaka

  • @abdallahlugendo3221
    @abdallahlugendo3221 2 года назад +6

    Good idea for a wonderful time to come visit us in life enjoy 🌎 is very impressive for you to be able and to have you as a great opportunity

  • @husnaali7708
    @husnaali7708 2 года назад

    hongera kaka ni shilingi ngapi nataka moja tafadhali

  • @nassirahmed2275
    @nassirahmed2275 2 года назад +1

    Maashallah
    Tumevutiwa sana na Mr abuu na yupo tayari kupokea wanaotakakujifunza kwake ila mbona haikuwekwa wazi kuwa anapatkana znz sehemu gani wala nma ya kuwa na nawasiliano nae

  • @fatmamasoud1398
    @fatmamasoud1398 2 года назад

    Hongera. Sana. Mungu. Akuzishie. Apatikana. Wapi

  • @kinglee6777
    @kinglee6777 8 месяцев назад

    Hongera sana mwamba naona hapo omar na juma wameikimbia camera

  • @mamlee7983
    @mamlee7983 2 года назад +1

    Hili gari linashawishi uzinzi ila hongera kwake Mr.Aboo🤣🤣🤣🤣

  • @domowalidomo4922
    @domowalidomo4922 2 года назад

    Abuu Shala Allah akuzidishie uko vizuri sana hongera sana

  • @chiefchacha2992
    @chiefchacha2992 2 года назад

    Gari ikipata ajali,
    Anapata Hasara mara mbili,
    Gari na nyumba.
    All in all Big up mshua

  • @shamsakarimu6276
    @shamsakarimu6276 2 года назад

    Hongera kazi nzuri

  • @Judithmuniss
    @Judithmuniss 2 года назад

    Clever man 🔥🔥🔥

  • @omarikakozi3363
    @omarikakozi3363 2 года назад +5

    Elimu ya kuzaliwa kabisa sio kila kitu, wazungu ata sisi tunaweza naomba serikali imshike mkono

  • @lailawaso2421
    @lailawaso2421 2 года назад

    Wow,,,,hongera sana sana

  • @Kevinhb_
    @Kevinhb_ 2 года назад +1

    Good stuff I’m from Australia

  • @mecksaloon81
    @mecksaloon81 2 года назад +3

    Hongera kwa ubunifu Mungu akuinue zaidi.

  • @makamemassoud3143
    @makamemassoud3143 2 года назад

    Daha kazi nzur sana naitaji Kuna mwanafunzi wako na mimi

  • @nassortwahir5089
    @nassortwahir5089 2 года назад +1

    Congratulations 👌

  • @kisalaTV
    @kisalaTV 2 года назад

    Kaka utajiri umeushika. Biashara hiyo kaka . hongera sana

  • @lidriclidric4247
    @lidriclidric4247 2 года назад +3

    jamaa amejitahidi sana 🤝🤝🙏🙏

  • @rehemaabdallah3712
    @rehemaabdallah3712 2 года назад +2

    Hongera sana boss wangu abuu

  • @afandechanel1507
    @afandechanel1507 2 года назад +1

    Ongera sana kwa kazi nzuri nime sikia una sema kama una ujuzi mwingi kwa nini usi andiki kitabu tu ila watakao kuja nyuma weweze kujifunza

  • @John-vn4pp
    @John-vn4pp 2 года назад +3

    Hongera sana. Namshauri tu aongeze tairi za nyuma angalau ziwe mbili mbili

    • @abrahamdismas1580
      @abrahamdismas1580 2 года назад

      Hta mim nimeliona ili

    • @jaysullman3697
      @jaysullman3697 2 года назад

      Sawa sawa ni kweli kabisa kiukweli Wazanzibar tupo vizuri bc tunakandamizwa vipaji vyetu kwa Mfumo wa Utawala mbaya tulionao!

  • @ramadhanimrungu5806
    @ramadhanimrungu5806 2 года назад

    Upp vzr sana my frend

  • @Chongathebroker
    @Chongathebroker 2 года назад +1

    Congratulations Mr. that's a dream of mine for for very long time I hope one day am going to fulfill it too..God bless

  • @saidwayawaya5356
    @saidwayawaya5356 2 года назад +6

    Allah akufanyie wepesi kwa kila jambo.

  • @drayamochannel12
    @drayamochannel12 2 года назад

    Mawasiliano yake mbon hajatoa ....kam kuna uwezekano tupate mawasiliano yetu
    By md matar from Zanzibar

  • @kaukaroofing
    @kaukaroofing 2 года назад

    uko natalent lakini hizo pvc hujui kuzifunga maana umeacha acha mascrow ovyo nahisi ungetumia myb silcon

  • @MariahThomas-u3c
    @MariahThomas-u3c 7 месяцев назад

    Umetisha sana baba angu

  • @STAN_MACOMPUTER
    @STAN_MACOMPUTER 2 года назад

    Kazi nzuri sana

  • @lisajonsony9246
    @lisajonsony9246 2 года назад +1

    Nice nikirudi tz nitakuja kukodisha

  • @faizanassor9400
    @faizanassor9400 2 года назад +2

    Mashllallah zanzibar kuna vipaji

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 2 года назад

    Aiseerr watu wana vipaji vya kuzaliwa daaaa hatariiiiii
    ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @hannansdeliciousfood4261
    @hannansdeliciousfood4261 2 года назад

    MaashaaAllah vipaji km hivi ni vya kushughulikiwa....but serikali haitoi support yyt

  • @rubbysaddy7203
    @rubbysaddy7203 2 года назад +1

    MASHALLAH 😍

  • @MusaMapalange
    @MusaMapalange 3 месяца назад

    Hongela sana Kaka

  • @CTM.24Updates
    @CTM.24Updates 2 года назад

    *ENGENEER SOMA HYO* 🙏🙏🙏

  • @malikshafii2968
    @malikshafii2968 2 года назад +6

    Alot of Appreciate to him talented man

  • @bonnysure8706
    @bonnysure8706 2 года назад +1

    Watu wangu ukishindwa kujenga nunua hili dinga mbona ni geto kabisa lakn wangeweka Shamba pia watu walime🤔🤔

  • @florahmushi748
    @florahmushi748 2 года назад

    Jamaa genius sana weka na kamba za kuanikia nguo nakuja kulichukua

  • @sabunitv2121
    @sabunitv2121 2 года назад

    Jmn hata Kama tunapuuzia Ila Ni Muda Sasa serikali za Afrika ziangalie kwa jicho la tatu vipaji hivi....taratibu twaweza kugundua na processing za madini kuunda injin yetu wenyewe ili tupumue angalau🌺🙏

  • @youngtomuller-vh2pu
    @youngtomuller-vh2pu Год назад

    Valeu big 💖💖💖

  • @malimamalima3137
    @malimamalima3137 2 года назад

    Hongera broo,uckate tamaa utafanikiwa tu

  • @mweusiasili8345
    @mweusiasili8345 2 года назад

    Jamaa nomaa sana nimeikubal kazi

  • @rahmamollely5296
    @rahmamollely5296 2 года назад

    Jaman me nimependa jiko na choo mashaallah Allah akuhifadhi

  • @enockalexjiluhya5483
    @enockalexjiluhya5483 2 года назад

    Safi sana natamani nije japo kuona tu sjui unapatikana mtaa gani bro

  • @OmanOman-ky2oo
    @OmanOman-ky2oo 2 года назад +2

    Mashaallah Allah akupe afya njema 🥰🥰🥰

  • @maryamomary6582
    @maryamomary6582 2 года назад

    Mashallah

  • @aminatahir3411
    @aminatahir3411 2 года назад

    Kaz nzuri kakaa

  • @youngbob9761
    @youngbob9761 2 года назад +12

    Zanzibar beautiful Island of Africa

  • @joackimmbonde4125
    @joackimmbonde4125 2 года назад +2

    Talents from the Almighty Father ❤️