10. Raddi ya kielimu: Kubatilisha vitimbi vya Shafi, Mazungumzo ya Shafi na Mgombea | Kikao cha Saba

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 дек 2024

Комментарии • 35

  • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
    @ABUUBAAZNYUNGU-j4x Месяц назад +1

    Maa shaa Allah! nimekupata vyema kabsa Alhamdulillah!

  • @AbdulbaryShaban
    @AbdulbaryShaban Месяц назад

    Alhamdulllillah mwenye kuelewa kaelewa kuna baadhi ya masalaf hawasikilizi ruduud wanajenga msimamo kwa shekh

  • @abdalasambe4005
    @abdalasambe4005 Месяц назад

    5. Tusome rudud za wanawachuon wa kisaf kipnd wakiradiana na hal yakuwa wote ni masalaf

  • @AbusufyaanKhalfaan
    @AbusufyaanKhalfaan Месяц назад

    Tunamtaka muba aje aape hapa mbele yawatu
    Tumpeleke kiwanjani aaape hawakupiga kura
    Huo msikit rand zinanyiwaga chumbani kama mwali
    Mnazunguka kama tiara kutetea maostaz wakotu hauswarrih mojakwa moja
    Kama alivyokuwa
    anazunguka kwenye jai shekhe wako
    Aundio malez ya omary au
    Manhaj mpya maaana nyinyi mnaitaqd hao ni maulaaa wenu na hamjawah kukanusha.

  • @abuumuzaniy7375
    @abuumuzaniy7375 Месяц назад +1

    Sjaona hapo ukikanusha kuwa hamujaenda kupiga kura, pili hujakanusha madai ya mgombea namna mlivyofanya hujuma Hadi uchaguz ukarudiwa na pia Hadi akaja mtu wa ccm eneo la uchaguz na yale yaliyojiri, tatu umezungumza kwa kejeli sana na kuitwaan elimu ya hadithi , nne wee hujitambui unashindw kubainisha ukweli na unabaki na taasub , Allah akuongoze.

    • @abuurayaan3902
      @abuurayaan3902 Месяц назад

      Hayo madai yako unasema hayajibiwa una ushahidi nayo au ni tuhuma tu umeamua kuzulia watu kwa chuki binafsi???

    • @Daifar100
      @Daifar100 Месяц назад

      Wanafunzi wa Shekhe mgombea??? Hhhhhhh hiyo riwaya nzima ya mgombea ni dhaifu sasa akanushe nini zaidi ya kusema ni dhaifu hhhhhh.. muhadithuna wa mwanza

    • @Daifar100
      @Daifar100 Месяц назад

      Yote yaliokuwa katika hiyo riwaya hayakubaliki ni dhaifu , leteni riwaya nyengine sahihi inayothibitisha kuwa Mashekhe waliwapeleka wanafunzi kupiga kura....maana shekhe wako alisema hivyo

    • @RamadhaniMohamedi-r2k
      @RamadhaniMohamedi-r2k Месяц назад

      @@Daifar100 kura mmepiga. Na nyie mnajua,, na jambo liko waz ila mnajizima data..
      Hilo halitosaidia, ila tambuen mnaichafua markaz Omari kwa mikono yenu wenyewe

    • @AbuuBakar1
      @AbuuBakar1 Месяц назад

      ​@@RamadhaniMohamedi-r2kBainisha maana hata sisi pia hatuko radhi kumtegemea mtu katika jambo la dini na hali ya kua kapinda
      Twaomba utoe bayana tukishajua tutaachana nao tumewaacha masheikh wengi tu tulikua twawapenda
      Maneno ya mgombea ni maneno tu bila dalili yoyote
      Na masheikh wa umar sio juu yao kutoa ushahidi eti hawajapiga kura
      Bali ni juu yao kuapa tu kwa mujibu wa dini
      Shafy na mgombea wameongea maneno tu na masheikh wa umar wamekanusha sasa jambo limerudi kwa shafy na mgombea waachane na maneno matupu walete ushahidi

  • @ibrahimselemani-nq2nc
    @ibrahimselemani-nq2nc Месяц назад

    Ila ukweli hua unauma owongo haumi c uwongo ata kma wakisema nafsi yako inajua ni uongo ila kama kweli nafsi yako itauma sana ndo mmeamka na hasira huyu katukana mara huyu kajibu matusi tu nyie hamumzingatii shafi nyie mbna mnajibu sasa au imewauma poleni

  • @mustafaibrahim5200
    @mustafaibrahim5200 Месяц назад

    haya yanamsaidia nini muislam

  • @abdalasambe4005
    @abdalasambe4005 Месяц назад

    4.kuna qauli inatumika hapa kwamba mweleshe shekh wako. Au mwambie shekh wako kana kwamba wew humkubal sawa lakin ni dai wa kisalaf au laa maana hapa inaangaliwa haqq ila kutetea kitu maadam amesema shekh wako hilo si jambo la sawa markaz omar ni masalaf yahya ibn amiin ni masalaf
    Kosa limefanyika inaangaliwa haqq kwa yoyot yulee awe shekh wako au shafii
    Na jambo muhim ata kama si shekh wako iko haqq kwake ichukue maadam ni salaf

  • @abdalasambe4005
    @abdalasambe4005 Месяц назад +1

    1 kura mmepiga au hamjapiga?
    2.tujaaalie abuu mubaraka aliwachukua wanafunzi kwenda kupiga kura maana ulisema hivi mwenyew. Je mudir na msimamiz mkuu wa wanafunzi ni nan? Na je kiongoz mwingine wa markaz anaweza kuwatumia wanafunzi bila idhini ya mudir?
    3.khabar ya mtu majuhul yaichukuliwi wallah me sikufaham isipokuwa kwa kadhia hii na ww yako haichukuliwi kwahivo tunasubir habar ya wanao julikana

    • @abuurayaan3902
      @abuurayaan3902 Месяц назад

      1 ulikuwepo ukawaona wanafunzi wakipiga kura ??
      Na je una ushahidi wa unayo yasema

    • @RamadhaniMohamedi-r2k
      @RamadhaniMohamedi-r2k Месяц назад

      MaaAshaallah, nimekuelewa akh!

    • @Daifar100
      @Daifar100 Месяц назад

      Mambo ya kudhania tena?? Sema tuna ushahid markaz imewatuma wanafuzni usidhanie haya mambo haya taki dhana

    • @Daifar100
      @Daifar100 Месяц назад

      Kunywa maji kijama

    • @saadsangwa1065
      @saadsangwa1065 Месяц назад

      Kura wanafunzi hawajapiga na khabar inayothibitisha hilo ni dhaifu
      Abuu mubaaraka hajawachukua wanafunzi kwenda KUPIGA KURA khabar inayothibitisha hilo ni dhaifu piae
      Kwel hujui maana ya kutokukubaliwa khabar za mtu majhuul MAANA yake nini
      Mtu anazungumza elimu hapo unasema hukubali khabar yke!? Ye amekupa khabar gani ambayo inahitajia USHAHIDI na yeye ni majhuul hatukubali khabar yake!!??
      Mtu sehemu ya USHAHIDI anakunukulia maneno ya wanawachuoni mzee huoni au!!?
      Tabu iko pale pale vijana wa kijana wa mwanza

  • @ibrahimselemani-nq2nc
    @ibrahimselemani-nq2nc Месяц назад

    Na niwambie nyie maiwaone masalafi wajinga na wao wanataasub kma nyie watu wanaelewa ujanja wenu omar c inajulika toka zamni kwa mikhalafa kwahiyo watu wanaelewa ila nyie mnajisumbua tu ndo mna shekh hawajibu iv unazan kunashekh wakisalf wakumsikiliza huyu mtt c itakua ni ajabu