08. Raddi ya kielimu: Kubatilisha vitimbi vya Shafi | Kuhusu kadhia ya kupiga kura | Kikao cha Sita

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 дек 2024

Комментарии • 33

  • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
    @ABUUBAAZNYUNGU-j4x Месяц назад +2

    HII YA KUPIGA KURA NDO NILIYOKUWA NAISUBIRI KWA HAMU...
    BAARAKALLAHU FIYK!

  • @abdalasambe4005
    @abdalasambe4005 Месяц назад

    Narudia maneno yangu
    Kama kwel unakusudia haqq itakunufaisha na utajua siku moja na kujutia kama wanavo jutia hawa unao wafanyia radd
    Na elewa huruma juu yako ni kuona unapita kulee waliko pita Allah atujaalie ufaham sahih

    • @ToneTone-ll3qb
      @ToneTone-ll3qb Месяц назад

      Yaan ww hunaakili kwahiyo unamaana Omar wako ktk njia mbaya mcheni Allah heshimuni mashekh waliofanya juhudi kusimama dawah Baada ya tawfeeq ya Allah

  • @AbAlhuraas
    @AbAlhuraas Месяц назад

    Huwenda ,huwenda ,Je una uhakika kwa hayo unayosema ,
    Yaani Unapinga Tabia ya Shafee kudhania Lkn Na Wee Hapo Hapo Unadhania. Watu Ewe kijogoo cha kisawafiqah ,ITaakillah

    • @saadsangwa1065
      @saadsangwa1065 Месяц назад

      Kasema huwenda ukiona hivyo hujue kuwa Hana ushahidi wa kukata moja kwa moja ila dalili kwa upande wake zinaonyesha hivyo
      Alafu kudhania inafaa ikiwa vielelezo unavyoo
      Shafii yeye hadhanii shafii yeye anakata kauli moja kwa moja hasemi hata huwenda
      Allah akubaarik sikiliza kwa makini sisi tuko makini

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x Месяц назад

      Wewe siunamtetea Salim Barahiyani kuwa hawapingi masalafy???!!! Huku kwa majadida umefata nini sasa😂,wewe sini muanswar au?!

    • @AbAlhuraas
      @AbAlhuraas Месяц назад

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x ndio Namtetea Sheikh Salim Kuwa Hawapingi Masalafy ,Hemu nieke Japo Ushidi Mmoja tu akiupinga Usalafy ?

    • @AbAlhuraas
      @AbAlhuraas Месяц назад

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x Mim Ni Ahlusunna Walajamaa Alaaa Fahmi Swalafy Swaleh , Rudi kwa Ulaama Albani Alipoulizwa Ahlusunna Wanajilikan kwa majina gni ?

    • @AbAlhuraas
      @AbAlhuraas Месяц назад

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x sis Masalafy Wa kwli hatujakatazwa kusikilza Upande Moja tu ,Hata Masufi Tunawasikilza ,

  • @Sanjar-y3c
    @Sanjar-y3c Месяц назад

    SASA KUPIGA KURA DHAMBI MBON MASHEKH MUNALETA UPUUUUZ

  • @saidMahinde
    @saidMahinde Месяц назад

    Allahu Akbar Duuuh kumbe haifai kumfanya shahid SUFI HIZB kwaniaba ya kuwatolea ushahid mashekh wa kisalaf . ALLAH AKUBAARIK ndugu yetu kwa kutubainishia hayo kumbe shekh shafii alikosea kumfanya hzb Yule aielezee haq Kwa WA2 ASA masalaf

  • @RamadhaniMohamedi-r2k
    @RamadhaniMohamedi-r2k Месяц назад +1

    Mpeni Jagi la maji anywe, maana mpaka kutoka hapo koo limemkauka na anachokizungumza hakieleweki...
    kanushu kuwa wanafunzi hawajatoka kwenda kupga kura, bali sema wametoka wenyewe... Maana mpaka hapo cjaelewa kuhusu kupiga kura,, je wanafunzi walienda au hawakuenda kupga kura..Jibu swal hilo kwanza..achana na inshu ya kwamba mashykh waliwatuma au hawakutuma, sisi hatutaki hivo,, tunataka kujua kuwa wanafunzi wamepiga kura au hawajapiga...

    • @swalehemusakiluwa9405
      @swalehemusakiluwa9405 Месяц назад +2

      Na ikiwa wanafunzi wameenda na jambo limezagaa halafu hakuna bayani yoyote kutoka kwa masheikh bali wamempa mwanafunzi awatakase na inawezekana nayeye ni miongoni mwa wapiga kura maana me naona anapiga tu kelele

    • @saadsangwa1065
      @saadsangwa1065 Месяц назад

      ​@@swalehemusakiluwa9405kwahio hamkuona ile waraka walioitoa mashekh??
      Mbona MASHEKH wamebainisha hilo kwa maandishi na kuweka wazi kuwa hawajatuma mwanafunzi yeyote na kama yupo aliefanya hivyo wanamnasihi amche Allah
      Mbona mambo yko wazi

    • @Daifar100
      @Daifar100 Месяц назад

      Hhhhh
      Mwambie kwanza shekhe wako aache kuwatuhumu mashekhe kuwa waliwatuma wanafunzi..... Yey ndio ameleta hayo..... Kuwa Mashekhe wamewatuma hoja hana zaidi ya dhana.....

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x Месяц назад

      ​​@@swalehemusakiluwa9405 Na huyo mzungumzaji kapiga kura....????!!!
      Kuhusu wanafunzi kupiga kura hilo linawezekana na ndomana Masjid Omary wakasema kama kuna mwanafunzi amefanya hvo, basi amche Allah! Lakin Shafee yeye alisema kuwa hao wanafunzi wametumwa na viongozi wa masjid omary, hapo ndo mzozo ulipo!!! Lengo na madhumuni ni kuwanasibisha viongoz wa masjid omary na uhizbiyyah!

    • @abuunufaysah5328
      @abuunufaysah5328 Месяц назад

      Mche Allah ewe mfuasi wa shafii mropokaji,hoja ziko wazi usilete hamasa na taa'ssubi.

  • @Sanjar-y3c
    @Sanjar-y3c Месяц назад

    Ukikaa ukiwasikiliza hawa MASHEKH kama wapuuz wanabishana vitu vya kijinga

  • @AbAlhuraas
    @AbAlhuraas Месяц назад

    Sas naona Jaamma kajitahid Sana kuponda na Kukejeli ,Na kuwatuka Watu ,Hii Radii au kutopoka , Jazba Nyingi Kijana ,Elimu Kisoda😅😅😅

  • @swalehemusakiluwa9405
    @swalehemusakiluwa9405 Месяц назад

    Ila we jamaa una dharau sana 😂😂😂
    Eti shika kalamu nikufundishe hhhh

  • @AbAlhuraas
    @AbAlhuraas Месяц назад

    Kijana anakiapaji cha kuchamba 😅😅😅

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x Месяц назад

      Kama Bachu tu😂😂😂

    • @AbAlhuraas
      @AbAlhuraas Месяц назад

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x sema ukwli hii ndio Radd ya kielimu ?

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x Месяц назад

      @@AbAlhuraas Kwan zile za Bachu ni za kielimu?!
      Enewei mimi sijui hata masharti ya radd ya kielim kwo siwez sema chochote... ila kikubwa tu ujumbe umenifikia na Alhamdulillah moyo wangu umetulizana...
      Mana kila nkiingia masjid omary nilikuw nawaza, hivi kweli hawa mashekh ni wanachama...????!!!!!

    • @omarabdullah-k8j
      @omarabdullah-k8j Месяц назад

      ABUU BAZYUUNGU wewe ukiona za nn

    • @omarabdullah-k8j
      @omarabdullah-k8j Месяц назад

      nagata. robo hajafika naona mipango tu