Abuu Muhammad Jaafar ni mwalimu wangu,na sijawahi kuona akishirikiana na Mahizbi katika Da'awah! Bali Mahizbi wa Kigoma wanamchukia Sana baada ya kueneza usalafy Kigoma! Na wanamuona kama mtu mweny vurugu mno...!!! Shafiy awe anafatilia mambo kabla ya kuwachafua Masalafy wenzake...😢😢😢
Abuu Muhammad Jaafar ni mwalimu wangu,na sijawahi kuona akishirikiana na Mahizbi katika Da'awah! Bali Mahizbi wa Kigoma wanamchukia Sana baada ya kueneza usalafy Kigoma! Na wanamuona kama mtu mweny vurugu mno...!!!
Shafiy awe anafatilia mambo kabla ya kuwachafua Masalafy wenzake...😢😢😢
We jamaa unaweza kufanya radd bila kuiga sauti ya sheikh shafiy
Huo ni ushamba na utoto unaletq
Mna vituko masalafi na ni uchache wa elimu ndo inawasumbua. Bure kabisa