#live

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 ноя 2024

Комментарии • 13

  • @mateteathumani
    @mateteathumani Месяц назад +1

    Ni kweli Simba Wanabebwa mpaka inaboa yan

  • @amadecassamo1606
    @amadecassamo1606 Месяц назад +1

    ❤❤❤

  • @MeckMsea-cx1ct
    @MeckMsea-cx1ct Месяц назад +1

    Wewe unaonge sana ambole mara nyingi unaibeza sana simba weka hakiba ya maneno ile ilikuwa penati kabisa

  • @bigbrother3196
    @bigbrother3196 Месяц назад +2

    Hawa waamzi kayoko na erisasii na tatu malogo na ahmed mkono ni nyoko, hawafai hata bure kwenye ligi yetu.

    • @ShabaniUtila
      @ShabaniUtila Месяц назад

      sure...ndo maan referee wetu hawaendi kokote yaan sisi n wa kushindwa na Rwanda jaman wametoa referee had kweny world cup hii ilipita sasa kwa mwendo huu referee hawafik kokote unless ndoto zao n kubakia ktk ligi ya ndan hadi wanazeek

  • @philemonloy874
    @philemonloy874 Месяц назад +2

    Mkuu nakukubali unanyooka kwenye ukweli uwe na msimamo kama huohuo.

  • @AlamZambi
    @AlamZambi Месяц назад

    Malefa toka msim ulio pita walikua wanafeli yanga msim uliopita walibebwa sana mlikaa kimia leo simba wanapata penat mnaichambua

  • @MussaWambura-t9l
    @MussaWambura-t9l Месяц назад

    Ayo ni mawazo yako

  • @renatusmahombwe3093
    @renatusmahombwe3093 Месяц назад +1

    We ni yanga hata uchambuzi wako ni shida mbona makosa ya yanga hausemiiiiiii.....,...

    • @MrishoMindu-zq7mz
      @MrishoMindu-zq7mz Месяц назад +1

      Huyu mpiga ramli sio mchambuzi

    • @ShabaniUtila
      @ShabaniUtila Месяц назад

      always watu wanasema pale kwenye mapungufu wewe unasema yanga jiulize lini yanga kacheza na wapinzani wakalalamika let's talk about football bro acha ushabiki maandazi fuatilia hata mpira wa mataifa ya wenzetu waliondelea kwenye football utaona fouls za penalties zinaamuliwa vp

  • @DenisSanga-bj5ud
    @DenisSanga-bj5ud Месяц назад

    Chuma ni kimoja tu cha mjerumani mzee wa kunyoosha

  • @HappyEel-wg4qx
    @HappyEel-wg4qx Месяц назад

    Apo umechemsha