SALAMBA: KUFURU YA PESA MO KUMSHUSHA FEITOTO SIMBA!! MSHAHARA, BONASI NI BALAAA TUPU...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 янв 2025

Комментарии •

  • @michaelluziga2709
    @michaelluziga2709 3 месяца назад +30

    Binadamu tumuogope Mungu. Tuache comment za Matusi.tuwe na hekima, matusi si lugha nzuri mbele za Mungu na wanadamu.kama taarifa zinakukwaza comment kwa hoja sio matusi.siku njema

    • @StevenMzungu-v9u
      @StevenMzungu-v9u 3 месяца назад +2

      ❤❤❤sipend sana matusi yan watu sijui wanamaadir gan ila mungu awasamehe😊

    • @JumseMSTAARABU
      @JumseMSTAARABU 3 месяца назад

      Hilo ndio tatizo la watu wa siku hizi ndugu

    • @IsayaMakoo
      @IsayaMakoo 2 месяца назад

      Nipenda sana kuwaambia ukweli mungu apendi

    • @FelixSikanyika-r2h
      @FelixSikanyika-r2h Месяц назад

      Kweli kabisa

    • @onesmokabia
      @onesmokabia Месяц назад

      Mungu sio mungu, heshimu hilo​@@IsayaMakoo

  • @AlimasGwotta
    @AlimasGwotta 29 дней назад

    Mo mungu akupe maisha malefu unajua kutufulahisha wana simba

  • @FIDELISMfugale
    @FIDELISMfugale 10 дней назад

    LEO SAA MBOVU IMEONGEA UKWELI

  • @FIDELISMfugale
    @FIDELISMfugale 10 дней назад

    Bernad mbona
    Msiba YUPI ni huyu msenge anajiita mwana harakati aliyeibukia KIPINDI CHA magufuli lile SENGE silikubali hata kdogooo

  • @davidsimbeye1548
    @davidsimbeye1548 Месяц назад +1

    Kwa kawaida huwa sifuatilii uchambuzi wa huyu jamaa kilichonileta leo ni kuja kushangaa kama anaweza kuizungumzia vizuri Simba

  • @EfrahimMabura
    @EfrahimMabura Месяц назад

    Ni kweli fei toto kwenda simba

  • @jamalmanishi7282
    @jamalmanishi7282 2 месяца назад

    Tatizo watu wanasahau kwamba Kuna maisha baada ya mpila matusi nidhambi na mtubu mwaminini yesu mfundishwe madili ya biblia haya maisha niamda msijisahau ahsante

  • @Ommybabaa47
    @Ommybabaa47 3 месяца назад +1

    Alhamdulillah ❤️ 🇹🇿 🇦🇪

  • @abdallahomaryabdallah
    @abdallahomaryabdallah 16 дней назад

    Kwanini.yanga.nao.wanachukuwa.wachezaji.wa.simba.wamuache.aende.timu.anayotaka.wamuache.hao.yanga.angalie.sehemu.nyingine

  • @Cathertwillamngoda
    @Cathertwillamngoda 3 месяца назад +1

    Ni kweli kaka matusi ya nini unaumizwa na nini mpaka utukane

  • @FIDELISMfugale
    @FIDELISMfugale 19 дней назад

    Salamba umemaliza

  • @MejaYohana
    @MejaYohana 28 дней назад

    Mashabiki wa nyuma mwiko wanajikuta wanajua sana kutukana

  • @FIDELISMfugale
    @FIDELISMfugale 10 дней назад

    ASILI YA UTOPOLO NI USHAMBA KULA WAKATI

  • @AbisinaRashidi-c8d
    @AbisinaRashidi-c8d 3 месяца назад +2

    Hapa utopolo wanateseka kweli jamani nyuma mwiko mhm

  • @bernardmboma1461
    @bernardmboma1461 Месяц назад

    Mchambuzi mara nyingi unafata upepo 😂😂huyo sio mchambuzi. Tunangalia sana wachambuzi wengi wapo kimapenzi na timu kasoro Ali mayayi tembele ndo kabaki. Na Cyprian msimba ajua mpira kuliko hawa waki salamba

  • @Abdulisramu
    @Abdulisramu 3 месяца назад

    🎉ni kweli kabisa

  • @ErickJeremiah-ry4pw
    @ErickJeremiah-ry4pw 3 месяца назад +1

    Kaka Kisugu kasema we ni Mamuluki tu unstumiwa vibaya 😂😂
    Alfu kasema uache kukataa vitu vya kupima 😂

  • @bernardmboma1461
    @bernardmboma1461 Месяц назад

    😂😂salamba kachoka na timu yake wakujidunga fc. Sijui utachambua nn maana ww ni yanga tu naona unaumia sana sana pole sana

  • @ChicsSalimu
    @ChicsSalimu 3 месяца назад

    Waandishiz na watoa habari pia mwakemee wawe na hekima kwenye fani zao wasiwe na mapenzi na Tim wamuinge marehem mwarimu kashasha mungu amraze pema hakuna na ubanguzi

  • @HamisiNamala-i9v
    @HamisiNamala-i9v 10 дней назад

    Nyie mashabki wa yanga vp mbona hamtulii kuusu fei achen matus mnawashwa nn

  • @HamadKizumbiru
    @HamadKizumbiru 2 месяца назад +1

    Kwn shida nn yanga kwanza mkumbke ynga mlikua mnamtukana Feitto kila agusapo mpila leo kinawauma nn mpka matuc ushamba ss Simba wachezaj wangp wamekuja kwnu mbn atunaga ushamba wamatuc

  • @AdiliSenyagwa
    @AdiliSenyagwa 2 месяца назад

    Tutumie mitandao vizuli

  • @ERADIUSIfrugensi
    @ERADIUSIfrugensi 2 месяца назад

    Je nikweli au munatufulaiaha

  • @RockyMbwana
    @RockyMbwana Месяц назад

    Hivi ni mashabiki gn wanapenda san kutukana kuliko kutoa hoja

  • @FootballHighlights-zv5bc
    @FootballHighlights-zv5bc 3 месяца назад

    Huyu jamaa ana EGO kweli😂... Ila msinshangae kuhusu kuipendelea Yanga coz huyu ni mwanachama hai kabisa wa Yanga, na alimpigia kura Rais Hersi...kwahiyo tumsikilize tu kama alivyo.

  • @GamaKondo
    @GamaKondo 29 дней назад

    Kwan mtu kama ukubaliani nakitu lazima utukane tuwe nauoga bc hata na Mungu

  • @mwinjumabujon4286
    @mwinjumabujon4286 3 месяца назад

    HUYU JAMAA NI NYUMA MWIKO KINDAKINDAKI ANAUMIA SANA

  • @bernardmboma1461
    @bernardmboma1461 Месяц назад

    Huyu jamaa sio mchambuzi maana nimuchambuzi anaonyesha mahaba yake kwamba ni wakujidunga fc 😂😂. Cyprian msimba nimchumbuzi bora sana TFF wangemwajiri awe msemaji wa TFF jamaa mpira anajua Cyprian msiba

  • @BenjaminMetanyau
    @BenjaminMetanyau 3 месяца назад +1

    Msenge ana shobo na Simba tuna mjua huyu ni utopolo lialia ni wapumbavu tu ndo wanaweza kumuerewa 😢 hapa ana tafuta huruma ya wana lunyasi hatumutaki mamluki Mkubwa huyu😭😭 akachambue habari za uto huko😒

    • @reonardchatanda6371
      @reonardchatanda6371 3 месяца назад

      Utachelewa sana kuujua mpira. Kazi yake nikuuchambua mpira na pamoja na wachezaji. Ameiongelea yanga mara nyingi kutokana na ilionao kwa Sasa. Unataka wachambuzi wakuiongelea Simba pekeake? Basi washauri viongozi wako wa Simba wamuajiri mchambuzi atakae isifia Simba sikuzote.

    • @PaulAmos-vb1is
      @PaulAmos-vb1is 2 месяца назад

      😢😢😢

  • @FIDELISMfugale
    @FIDELISMfugale 10 дней назад

    KAMWE NDO ANAFANYA USAJIL UTOPOLO ??

  • @KremencAfred
    @KremencAfred 2 дня назад

    acheni utoto

  • @EdithaEditha-z3s
    @EdithaEditha-z3s Месяц назад

    Napita

  • @SilemaniAli
    @SilemaniAli 3 месяца назад

    Inamchukiya simba huyu

  • @JohnHembweza
    @JohnHembweza 3 месяца назад

    Huyu kaz yake kuiponda simba

  • @AbudulRahmanHamza
    @AbudulRahmanHamza 3 месяца назад

    Anae toa matusi yeyote matusi yote yawarudie wazazi wake

  • @IddinhoHamza
    @IddinhoHamza 3 месяца назад

    Kaka uko vizury sana❤❤

  • @kamazimamuganyizi6932
    @kamazimamuganyizi6932 3 месяца назад +4

    Mtu yeyote ambaye ni mwanayanga awezi kufurahia hii habari,😅😅 lkn ndo hivo inabidi wawe wapole

  • @mwinjumabujon4286
    @mwinjumabujon4286 3 месяца назад

    WEWE ACHA UONGO UNATAKA UNIAMBIE FEISALI PALE NYUMA MWIKO HAPATI NAMBA

  • @deomusyebi9930
    @deomusyebi9930 3 месяца назад

    Feisal labda aje kukata viuno lkn siyo kucheza mpira

  • @ashambozu6038
    @ashambozu6038 3 месяца назад

    Inawezekana huyu anatukan anavirusi ukimwi

  • @zunyagapeter4647
    @zunyagapeter4647 3 месяца назад

    Kuna majitu mengine hayajui mpira mtu unatukana matusi ujue huyo mtu hajui mpira ,mpira ni furaha na burudan Sasa matusi yann

  • @AlyMacanjilaMatete-m7l
    @AlyMacanjilaMatete-m7l 3 месяца назад

    Oya VP faiy totó wetu jaman

  • @andrewlusambo7123
    @andrewlusambo7123 3 месяца назад

    Asiwe anaiponda Simba awe anaongelea mpira tu

  • @RamadhaniSuleman
    @RamadhaniSuleman 3 месяца назад

    Mwambien matusi kwenye mitandao sio ujanja huo ni ushamba

  • @HUSSEINNGUSA
    @HUSSEINNGUSA 2 месяца назад

    Mbn Nini shida

  • @Gaudensiawere
    @Gaudensiawere 3 месяца назад

    kwan kuna mtu yey akikaa tu anawaza tu matusi? Tuache hzo haya ni mapito na mpira sio kitu ya watu kutusiana jameni na isikuume sana maan ata uchez kuna wengne ajawahi ata kuonana na mchezaji yeyote kwa simba ama yanga anasikiliza tu alafu unakuja kutusi watu. sare joo tupunguze kdog jamenii😅😅😅😅

  • @allynamelekela
    @allynamelekela 3 месяца назад

    Mwaka huu ubaya ubwela tu.

  • @Migohunterofficial
    @Migohunterofficial 2 месяца назад

    Ni kweli Kuna watu baadhi Yao wanapenda sana comment za matusi kwanini?

  • @NkigilaMisri
    @NkigilaMisri 3 месяца назад

    Mmmmh

  • @hassannyoni587
    @hassannyoni587 3 месяца назад

    Huyu Jamaa panya Road Hana njipya zaidi ya matusi

  • @ramadhanihabibu-xp3wd
    @ramadhanihabibu-xp3wd 3 месяца назад

    Sijaelewa matusi yana kujaje hapo

  • @GodfreyJames-zt6ig
    @GodfreyJames-zt6ig Месяц назад

    Nyie ote ni wasenge tu tm gsm kengee nyie Amna mpya

  • @brighmmasy3646
    @brighmmasy3646 3 месяца назад

    Wewe unaetukana una mapungufu ya afya ya akili

  • @jamalisalimu2754
    @jamalisalimu2754 3 месяца назад

    Astaafiru llah......

  • @toneemukure2889
    @toneemukure2889 2 месяца назад

    Haha nyie nyuma mwiko mbon mnateseka c mnamilikiwa na serikal mchukuen bc

  • @shamissuleyman4894
    @shamissuleyman4894 3 месяца назад +1

    Tuwe waungwana jamani matusi hasa kwenye soka hayapendezi

  • @chriskudilla5355
    @chriskudilla5355 3 месяца назад

    Muongo huyu

  • @JohnHembweza
    @JohnHembweza 3 месяца назад

    Huyu kaz yake kuiponda simba