Tatizo ni hersi mpigaji tu kutuletea wachezaji wazee kuepuka kutumia garama kama alivyotufanyia msimu uliopita pia namba 4/5 mbadala Bado kijaza viungo na washambuliaji hapo hatutonoi
Mnakosea kuwaita watu kwenye media ambao si watu wa mpira na wasiojua maana halisi ya soka! Kusajiri wachezaji Bora ni kitu kingine na kuderiver ni kitu kingine, kwenye mpira Kuna vilabu Tena vikubwa Tena wanaotumia mabilioni lakini wachezaji hao baada kufika kwenye vilabu wakashindwa kutoa matarajio ya klabu. Nzegeli ni majeruhi Kwa muda mrefu!!!
Eh bana eeeeeeh......
😂😂😂😂
Tatizo ni hersi mpigaji tu kutuletea wachezaji wazee kuepuka kutumia garama kama alivyotufanyia msimu uliopita pia namba 4/5 mbadala Bado kijaza viungo na washambuliaji hapo hatutonoi
Mazembe timu liyochukua kombe la champion zaidi ya mara mbili imefungiwa sembuche Yanga?.
Yanga sehem wanayo nikutukurudi nyuma kwa wkt wakipanda Wana bweteka kurudi nyuma wakifanya Ivo yanga hakuna timu itaigusa
Golikipa bado kuna gap.
Mchezaji gani hewa kila cku hatangazwi.uongo mtupu had.tusikie.semaji kutangaza km mwenda
Siyo Kila mtangazaji ni m hambuzi😂😂😂😂
Mnakosea kuwaita watu kwenye media ambao si watu wa mpira na wasiojua maana halisi ya soka! Kusajiri wachezaji Bora ni kitu kingine na kuderiver ni kitu kingine, kwenye mpira Kuna vilabu Tena vikubwa Tena wanaotumia mabilioni lakini wachezaji hao baada kufika kwenye vilabu wakashindwa kutoa matarajio ya klabu. Nzegeli ni majeruhi Kwa muda mrefu!!!
Sajilizakimkakati uyondio lnjinia wataomba poo kolo
Makolo nyie
Huyu ni dunduka lia lia
Hauna mchambuzi hapo
😂😂😂😂😂