USAJILI WA GIVEN MASIMANGO YANGA NI BALAA!! NA KUFURU YA PESA | JAMAA ANAJUA BOLI HATARI...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 янв 2025

Комментарии • 9

  • @JonasMabena-j8r
    @JonasMabena-j8r День назад +3

    Mnavyochambua unaeza ukasema ni kwerii

  • @JosephChrisant
    @JosephChrisant День назад +3

    Hii ngumu sana yani tuwape afande wetu wakati sisi malengo yetu ni kucheza nusu fainali au fainali CAF.

  • @ShiftLeader-q9b
    @ShiftLeader-q9b 13 часов назад

    Huyu saiv kaanza uongo tofauti na mwanzo

  • @peterchalamila6198
    @peterchalamila6198 15 часов назад

    Data sports mmekuwa wapngo sana, nafasi zilizobaki yanga hazizidi tatu kwa usability awakening lakini ninyi kila siku mnatangaza mchezaji mpya yanga, naona njaa yenu sasa ina - tu ut off hatuwaamini kabisa.

  • @GodfreyKarino
    @GodfreyKarino День назад +2

    Afu we Mzee wa data ume kua muongo mpaka nime Anza kupoteza kukuamini Yani duuh

  • @josephmwise3177
    @josephmwise3177 День назад +1

    Hakuna kitu kama hicho, wachezaji wa south Africa ni soft sana hawawezi soka la bongo.

  • @yudaogonyi2383
    @yudaogonyi2383 День назад

    Kwa mchezaj wa SA ni uongo

  • @AndrewMagese
    @AndrewMagese День назад

    Nyinyi mjui maan ya tetesi au

  • @ustawiwetu
    @ustawiwetu День назад

    32 ya mchezaji wa Afrika Kusini, ni sawa sawa 40 ya mchezaji wa Tanzania. Wenzetu kuna mfumo mzuri wa kufuatilia umri, hakuna janja janja kama ya huku ya kufoji umri