KUTOKA KIGOMA: YANGA SC WATOA MSAADA/ WAPATA BARAKA ZA USHINDI/ WATOTO WOTE NI YANGA SC....

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 дек 2024

Комментарии • 26

  • @raymondjacob9800
    @raymondjacob9800 2 года назад

    mungu awabariki sana kwa mnapo wakumbuka hawa mungu atawaacha yanga

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 2 года назад

    Yangaa ni tasisi Kubwa Sana 💚💚💛

  • @joshuamwambene6041
    @joshuamwambene6041 2 года назад +2

    Asante MUNGU awabariki sana

  • @micomeshack7024
    @micomeshack7024 2 года назад

    Good team yangu

  • @hajihija1903
    @hajihija1903 2 года назад +2

    Very good Yanga SC

  • @hosianangadi7392
    @hosianangadi7392 2 года назад

    Mungu Ibariki Yanga Mungu Ibariki Tanzania 🙏

  • @kudrantegakaje7237
    @kudrantegakaje7237 2 года назад

    Yanga oyeeeee saf

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 2 года назад +1

    Hii ndo siri ya Yanga kutoa misaada kwa watu wasiojiweza, wanawaombewa washinde. Mungu awabariki

  • @saigonabuu5173
    @saigonabuu5173 2 года назад

    Hatunaga show mbovu wananchi

  • @georgemajaliwa6028
    @georgemajaliwa6028 2 года назад

    It's good

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 2 года назад

    May God bless you🙏💚💚

  • @richardlameck1624
    @richardlameck1624 2 года назад +4

    Mm ni shabiki wa Simba ila yanga ni mfano wa kuigwa mnawakumbuka watu wenye hali ya chin

  • @muddymuzungu4357
    @muddymuzungu4357 2 года назад

    Siri kubwa ya ushindi ni hii!
    Na hatufungwi Ng’oooo
    Kwa uwezo wa Mungu

  • @bonifassimon7909
    @bonifassimon7909 2 года назад

    Kuna timu imetangulia kigoma lakini hata kuku awajachinja alafu wanajinasibu kuwa wataifunga yanga haya ngoja tuone

  • @wilbertsanze285
    @wilbertsanze285 2 года назад

    Hongerini YANGA kwa msaada mlioutoa japo msaada kutoa siyo mpaka media huko nikusimanga

    • @shijamayenga7748
      @shijamayenga7748 2 года назад

      usilolijua ni sawa na usiku wa giza
      kumbuka kuwa uhitaji ni mkubwa sana ko uwepo wa media ni kuhamasisha watu waweze kuona kuwa kuna uhitaji katika vituo hvyo

    • @voilethmoses7573
      @voilethmoses7573 2 года назад

      Kwa mtazamo wako

    • @voilethmoses7573
      @voilethmoses7573 2 года назад

      Kwa mtazamo wako

    • @kamana877
      @kamana877 2 года назад

      Media zinahamasisha na wengine

    • @jamessilwamba4259
      @jamessilwamba4259 2 года назад

      wasingeonyesha maana yake hata wewe usingeeona

  • @raymondjacob9800
    @raymondjacob9800 2 года назад

    kwakweli nafarijika ninapo waona nduguzangu wanavo furai nawaombea piawatoto hawoo wazidi kuwa na furaha

  • @seiflitonela494
    @seiflitonela494 2 года назад

    YANGA NI LIDUDE LIKUBWAAAAAAAAA AMBALO HALIFANANISHWI NA VITU VYA HOVYO HOVYO.