Allah amrehemu..wengi wa waasisi wa Tanganyika Nyerere alihakikisha wanafutika..Kitabu cha mwana historia Mohamed Said kinachambua habari zao kwa urefu zaidi...
Nimefurahi historian ya Aziz Ali imefukuliwa. Natamani mchango wake zaidi atolewe ujulikane. Hatajwi katika historia ya wanaharakati wa uhuru. Tulifundishwa kuwa Nyerere ndiye aliyekuwa kila kitu katika TANU. Aziz na wenzake walitupiliwa mbali na Nyerere na wala hakuwataja wala kuwajali. Picha zinawasuta.wengi wao walikuwa ni waislam ambayo Leo hawamo katika kutawala wala chama
Leo nimepata mwanga, Kilasiku nilikuwa najiuliza huyu Aziz Ally alikuwa ni nani mpaka eneo kubwa la temeke likapewa jina lake, Yani itokee tu eneo liitwe jina lamtu bila lolote jambo??? Nimesikiliza na kuelewa mambo vizuri, Baba yangu aliwahi kunisimulia sana habar hizi za uhuru wa Tanganyika ila sehem kubwa alisema ukweli umefichwa mwanangu soma zaidi iko siku yatakutoka machozi haki ikijulikana....leo hii nimeziona apo picha ambazo baba akinisimulia alikuwa akinionesha roho inaniuma nimelia sana adi watoto wangu wananishangaaa...HAMZA AZIZ alipewa ukuu wa polisi 1972-1973 kisha akaambulia kashfa kutokana na dini yake....
Kweli haki aipotei japo itacheleweshwa ila ipo siku itakufikia tu HISTORIA HAIFICHIKI HASWA IKIWA NZURI KAMA HII SAFI SANA endeleeni kutufukulia makabur yaliyo fichwa kwenye hii nchi yapo mengi tu
Nchi inayoitwa Tanzania haikuwepo, imezaliwa baada ya kuungana na Zanzibar mwaka 1964. Pengine labda angesema ni Mtanganyika wa kwanza kwenye eneo hilo la Mtoni kununua gari.
Hajakosea. Kamaanisha Mwafrika wa kwanza Kwa Tanganyika. Kwa maana Kwa wakati huo wazungu na wahindi wa Tanganyika walikua wanamiliki hivyo vitu. Huyu Bwana akawa ndio Mwafrika wa kwanza kumiliki ktk jamii ya Watanganyika.
Kweli kabisa..nimesikia story ya bibi zaituni matola na wenzie wengi wote waislamu kule mbeya bi zatuni Allah amrehemu alikua akimficha rais Nyerere kwa kumvisha baibui ili asionekane na wa British
Hakika huyu alikua mtu mwema sana. Tena akabarikiwa mali nyingi , mtu ana lorry Tipper mwaka 1930. Leo vijana akinunua Spacio hawasalimii watu. Nyambaffff
😂😂😂uyo nyenyere kumbe alifundishwa ustaarab na kizazi cha mzee azizi!!!..Alikua nguo ya ndani akitembelea, mara mungu si selemani akamfanya eti kuwa babu wa taifa!!!!😂😂😂😂😂...
Ili mtu umtawale umnyime, elimi, umpe umasikini, pia umuondolee historian yake ya kweli kwa ilo nyerere alifanikiwa watu wengi hawajui ni kinanani waliopigania huru wengi ujua nyerere ila ktk oradha ya kweli hakuna mkristo hata mmoja aliyepigania uhuru wa nchi hii
Wakristo hawataki kuisikia historia hii wanajiona wao ndio kila kitu Tanzania wamefunika historia ya waasisi wetu kwa sababu ya ubinafsi tu kabla ya Uhuru watanzania tulikuwa wamoja bila kujali dini au kabila
Kwa hiii Tanzania ? Habari za utofaiti wa Iman. Mmmmh watu wanazaliana mpka, Sasa utakuta huyu Muasisi matawi ya kizazi chake ni hao hao tofauti tofauti za hizo Iman, Lakini kitachobaki hapo ni (generation) kizazi chake, kiwe Iman hii au Iman ile ndio hivyo Generation inavyokwenda, mradi wote ni ndugu waliotokana na mtu Mmja, hamuwezi kujijua.
Axeee binadam bwanaa!!! Udin wann katka ukombozi was taifa!!!? Tusipandiane chuki na kujiweka special Awamu zote waislam na wakristo wanaachiana uraiss mlitaka muwekwe mfukoni waislam, wakristo, wapagan walikufa kwaajili ya hi nchi.
Kuwasiliana na wakolon ndipo Watanganyika walipomtumia yy kwa ajili ya kudai uhuru,yaliyofuata ni matokeo tuu,hata zamani dini haikuwepo wapo wa Kristo walioitwa majina ya kiislam wengi tu,mfano mababu zetu.
Mwenyeezimungu amsamehe makosa yake na amlaze mahala pema peponi. In-shaallah..❤️❤️❤️
Ama kweli historia ya Azizi Ally imenisisimua vilivyo..❤️😭
Kwahy kila mtu anamakosa tu dah 😢😢😢
Kwani ule usemi wa hakuna mkamilifu hujui au kichwa box.@@fasterwalker1464
Allah amrehemu na amrzuqu pepo ya juu kabisa Azeez Ali
Allah amsamehe, amhurumie, na ampe makazi firdausi mwamba kabisa huyu aziz ally na wazazi wake na vizazi vyake. Amiin
Hizi ni shuhuda zinapaswa kukifundisha kizazi chetu kuipenda nchi yetu , watu , na kuwapa heshima viongozi ambao Mungu amewaweka kuongoza nchi yetu.
Historia stahiki. ASANTE MZEE WETU AZIZ ALLY KIDONYO.Mwenyezi MUNGU akulaze mahala pema peponi.
Mwenyezi mungu amrehemu in shaallah
Ni kweli na ndio maana Waislam ni wengi sana kuliko kiriso❤❤❤👍👍👍mtangazaji ongera sana'tuletee mambo mengine mazuri
Mashallah Allah amsamehe amfanyie kaburi lake kua nyumba ya peponi aamiyna
Ameen
Allah amrehemu..wengi wa waasisi wa Tanganyika Nyerere alihakikisha wanafutika..Kitabu cha mwana historia Mohamed Said kinachambua habari zao kwa urefu zaidi...
Mohamed said anamengi sn yule mzee ni hazina
Kwa hakika ni hazina..
Nakumbuka baada ya mazishi ya nyerere kulitokea tetemeko kubwa sana halijawahi kutokea ile ni adhabu ya Allah
Mungu amrehemu!!!
Mungu mlaze pema peponi mzee wetu Aziz Ally
Wazee wengi wakiislamu wamefunikwa Mungu anawaona
Kweli kabisa 😢
Nimefurahi historian ya Aziz Ali imefukuliwa. Natamani mchango wake zaidi atolewe ujulikane. Hatajwi katika historia ya wanaharakati wa uhuru. Tulifundishwa kuwa Nyerere ndiye aliyekuwa kila kitu katika TANU. Aziz na wenzake walitupiliwa mbali na Nyerere na wala hakuwataja wala kuwajali. Picha zinawasuta.wengi wao walikuwa ni waislam ambayo Leo hawamo katika kutawala wala chama
Leo nimepata mwanga, Kilasiku nilikuwa najiuliza huyu Aziz Ally alikuwa ni nani mpaka eneo kubwa la temeke likapewa jina lake, Yani itokee tu eneo liitwe jina lamtu bila lolote jambo??? Nimesikiliza na kuelewa mambo vizuri, Baba yangu aliwahi kunisimulia sana habar hizi za uhuru wa Tanganyika ila sehem kubwa alisema ukweli umefichwa mwanangu soma zaidi iko siku yatakutoka machozi haki ikijulikana....leo hii nimeziona apo picha ambazo baba akinisimulia alikuwa akinionesha roho inaniuma nimelia sana adi watoto wangu wananishangaaa...HAMZA AZIZ alipewa ukuu wa polisi 1972-1973 kisha akaambulia kashfa kutokana na dini yake....
@@salumkanju1732 iko siku tutakutana wote mbele ya Allah na kila mtu atapata haki yake
@@salumkanju1732unaishi wapi nami pia naomba hizo picha
Mashallah Allah amrehemu ampe jannah
HAKIKA NYERERE ALIKUWA MWIZI WA FADHILA!!
Kweli haki aipotei japo itacheleweshwa ila ipo siku itakufikia tu
HISTORIA HAIFICHIKI HASWA IKIWA NZURI KAMA HII SAFI SANA endeleeni kutufukulia makabur yaliyo fichwa kwenye hii nchi yapo mengi tu
Yapi sasa jaamani tena🤣🤣🤣
Uko vizuri. Ila uliposema mwafrica wa kwanza kununua gari umekosea labda useme mtanzania wa kwanza kununua gari
Nchi inayoitwa Tanzania haikuwepo, imezaliwa baada ya kuungana na Zanzibar mwaka 1964. Pengine labda angesema ni Mtanganyika wa kwanza kwenye eneo hilo la Mtoni kununua gari.
Hajakosea.
Kamaanisha Mwafrika wa kwanza Kwa Tanganyika.
Kwa maana Kwa wakati huo wazungu na wahindi wa Tanganyika walikua wanamiliki hivyo vitu.
Huyu Bwana akawa ndio Mwafrika wa kwanza kumiliki ktk jamii ya Watanganyika.
Sisi tukiwaambia kua uhuru wa nchi hii asili ya imetoka kwa Waislamu lakin hamtaki, na bado mtakuja kueleza kila haki INSHAALLAAH,
Sijawahi kuona mtu mwenye uelewa mdogo kama wewe asee
@@Kibaba12 inaonyesha wee ni nyumbu khasa!
cool moods sawa naona mlimchagu sheikh kuwa na raisi wa kwanza wa nchi sio
Kweli kabisa..nimesikia story ya bibi zaituni matola na wenzie wengi wote waislamu kule mbeya bi zatuni Allah amrehemu alikua akimficha rais Nyerere kwa kumvisha baibui ili asionekane na wa British
@@mzuvendi 👍🏻👍🏻
Kwa Azizi Ally.... Shushaaaaaa!!!
Watu kama hawa hawato patikana tena daima
Hahahahhaha
Allah awarehemu
Tunaomba hii historia uindeleze tujue zaidi ya hapo
Hakika huyu alikua mtu mwema sana. Tena akabarikiwa mali nyingi , mtu ana lorry Tipper mwaka 1930. Leo vijana akinunua Spacio hawasalimii watu. Nyambaffff
🤣🤣😂😂😂🤣🤣😂😂
Usinivunje mbavu
Ndio hivyo Grace hahahaha
😂😂😂uyo nyenyere kumbe alifundishwa ustaarab na kizazi cha mzee azizi!!!..Alikua nguo ya ndani akitembelea, mara mungu si selemani akamfanya eti kuwa babu wa taifa!!!!😂😂😂😂😂...
Si utani mungu inajua
Niskilize izo story za uwongo tu ntafanyaje
Uhuru umepiganwa na Waislam na baada ya Uhuru waislam wakasaulikwa rasmi
Kwa hiyo
acha udini uhuru umepiganiwa na watanganyika
@@fj8317 Aisee,unaitoa hufahamu.Watanganyika hawana din?
Kiingereza sasa😅😅😅
Nawapa ta
Stori tam
Kwa kweli uhuru wa Tanzania umetwafutwa na waislam
Kwani kuna shida ? Jambo la Msingi ni kwamba wote walikuwa Watanganyika. Udini hauna nafasi katika nchi hii.
Daaa watu wanapenda udini kila mahali ko nyerere kama hakutafuta au hakuhusika ikawaje akawa raisi
Abalikiwe
Ili mtu umtawale umnyime, elimi, umpe umasikini, pia umuondolee historian yake ya kweli kwa ilo nyerere alifanikiwa watu wengi hawajui ni kinanani waliopigania huru wengi ujua nyerere ila ktk oradha ya kweli hakuna mkristo hata mmoja aliyepigania uhuru wa nchi hii
Wakristo hawataki kuisikia historia hii wanajiona wao ndio kila kitu Tanzania wamefunika historia ya waasisi wetu kwa sababu ya ubinafsi tu kabla ya Uhuru watanzania tulikuwa wamoja bila kujali dini au kabila
Umekosea wewe ndio umeleta huo ubaguzi sasa
Kwa hiii Tanzania ? Habari za utofaiti wa Iman. Mmmmh watu wanazaliana mpka, Sasa utakuta huyu Muasisi matawi ya kizazi chake ni hao hao tofauti tofauti za hizo Iman, Lakini kitachobaki hapo ni (generation) kizazi chake, kiwe Iman hii au Iman ile ndio hivyo Generation inavyokwenda, mradi wote ni ndugu waliotokana na mtu Mmja, hamuwezi kujijua.
Axeee binadam bwanaa!!! Udin wann katka ukombozi was taifa!!!? Tusipandiane chuki na kujiweka special Awamu zote waislam na wakristo wanaachiana uraiss mlitaka muwekwe mfukoni waislam, wakristo, wapagan walikufa kwaajili ya hi nchi.
Hiyo dini yenyewe uliletewa na waarabu ambao walikuwa wanawatesa babu na bibi zako, tumia kichwa kufikilia.
Walioachiwa mbona walishindwa kuendeleza udini si kitu kizuri tunaishi na familia zetu waislamu yaani tuwaache tusiwasomeshe
Safi mtangazaji tulikuwa hatujui jina ilo limetoka wapi?tujuze na wazee wengine maarufu.
Waislam ndio wapigania huru wa nchi hii nyerere aliwekwa km shati
Ukisema hvyo unakosea,zamani watu wengi walidharau elimu,ilikua sio rahis kudai uhuru kama huna uelewa,Nyerere alikua kasoma kwa hiyo ilikua rahis ku
Kuwasiliana na wakolon ndipo Watanganyika walipomtumia yy kwa ajili ya kudai uhuru,yaliyofuata ni matokeo tuu,hata zamani dini haikuwepo wapo wa Kristo walioitwa majina ya kiislam wengi tu,mfano mababu zetu.
Haaa haaa
Kwa hiyo🤗🤣🤣😅
Huo ndio uislam, nyie msiokuwa waislam,upingeni uislam, wapigeni vita waislam lakini ukweli utabakia kuwa ukweli. Iko siku mtaelewa tu.
Mgoa ni muhindi
Mdigo sio mgoa ( Mdigo kutoka Tanga ) 🇹🇿
@@dokasalim943 yeye aliajiriwa na goa
.
Uhuru umepiganwa na Waislam na baada ya Uhuru waislam wakasaulikwa rasmi
Acha kuendekeza udini
Sasa ikaweje alafu mm najua uhuru walipigania wazee wetu watanganyika hayo sijui waislaam au wakristo ni wewe na wajinga wenzako.