SIRI KUBWA NYUMA YA NAMBA 40,KWANINI WATU HUSUBIRI SIKU 40 YA MTOTO AU MTU AKlFA.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 ноя 2024

Комментарии • 74

  • @5Gents
    @5Gents Год назад +17

    Hata mama mjamzito hubeba mimba kwa muda wa 40 weeks.... Akizidisha hapo madaktari lazma wafikirie namna ya mama kuweza kujifungua. Maana muda utakuwa umepitiliza wa kusubiri kujifungua.

  • @marcothomas4202
    @marcothomas4202 Год назад +73

    Haya mnipe likes 40 tu

  • @MwinyiJuma-ce3eq
    @MwinyiJuma-ce3eq Год назад +5

    Kaka jastine nakupnd sana kwa ajili ya Allah Kama ww ni kristo nakulingania Uslimu kaka jastine ili usalimiekee🙏❤️

    • @mwassamwassa7264
      @mwassamwassa7264 Год назад +1

      Muhammad hajui atakachofanywa yeye au nyinyi watu wake,

    • @personpeter2221
      @personpeter2221 Год назад

      Achana na Iman za watu Fata uonacho ww ni sahii

    • @MwinyiJuma-ce3eq
      @MwinyiJuma-ce3eq Год назад

      ​@@mwassamwassa7264ww unakijua utakacho fanywa...

    • @MwinyiJuma-ce3eq
      @MwinyiJuma-ce3eq Год назад

      ​@@personpeter2221kamwe huezi kufika kilele Cha Imani na mapenzi ya kweli Kama huwatakii wengine mazuri Kama yale mazuri uyapatayo mwenyewe ukweli mapenzi yangu kwake jastine yapo zahairi shahiri ndo Mana nanligania Asilimu ili aokoke na Azabu zake Allah... Kabla umauti haujatufika nakuomba na ww Ndugu yangu kipenzi silimu Kheiri kubwa itazihirika kwako....🙏🙏❤️❤❤

    • @neemasamwel8968
      @neemasamwel8968 7 месяцев назад

      😂😂😂

  • @mwinjatheson2367
    @mwinjatheson2367 Год назад +5

    Wa kwanza hii

  • @omaar5693
    @omaar5693 Год назад +9

    wanasema mke na mume ni mwili mmoja, basi mwili una vidole 40 eh jamani...

  • @JumaAli-m4g
    @JumaAli-m4g Год назад +1

    Mm pia nakupongeza

  • @mercygichama5921
    @mercygichama5921 Год назад +1

    Kazi njema,, nilikuwa na ombi waweza nifanya video ya milima inayoripuka

  • @KulwaMbeko
    @KulwaMbeko Год назад +1

    Tutamuuliza Jamal April huwa anachambua kwa kina saana

  • @tukaeamani7090
    @tukaeamani7090 Год назад +6

    ZA MWIZI PIA HUWA NI SIKU AROBAINI

  • @kotadapotar5094
    @kotadapotar5094 Год назад

    Nakukubari jastin kwa program mzuri 🙏🇹🇿🇬🇷

  • @pembemussa2804
    @pembemussa2804 Год назад

    Justine shedy tupe history ya bandari ya Suez canal

  • @BrunojnrMz
    @BrunojnrMz Год назад

    Sasa twende kazi❤

  • @ProsperSantos
    @ProsperSantos 8 месяцев назад

    Siku za mwizi ningali vile reply nikumbushe 😅😅😅

  • @khatijakhatija9518
    @khatijakhatija9518 Год назад

    SAW❤❤

  • @godfreybitakama9845
    @godfreybitakama9845 Год назад +3

    Kweli kabisa kwa ujumbe huu

  • @yusuframadhan8927
    @yusuframadhan8927 Год назад +2

    Hujaeleza siri ya arubaini ila ni matukio ya siku hizo

  • @irene3abi123
    @irene3abi123 Год назад

    NAKUPENDA sana kutoka KENYA 🇰🇪

  • @FidesMichael-lo3so
    @FidesMichael-lo3so Год назад

    Nakuamini, nielimishe kuhusu ndoto

  • @mpmp3195
    @mpmp3195 Год назад

    🎉Congratulations 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @nyunyaboy9523
    @nyunyaboy9523 Год назад +3

    Ndomana at cku za mwzi n arobaini😅

  • @ANAFISAIDI
    @ANAFISAIDI 11 месяцев назад

    Jafar Omar ok

  • @lucksonrupa3618
    @lucksonrupa3618 Год назад

    40 inabeba maisha ya wanadamu ppote ulimwenguni kote , ukizidisha 40 nikosa ukipunguza 40 nikosa pia , 40 ndomaisha yetu hapa dunia , 40 ninamba mhimu sana

  • @adamzakaria5860
    @adamzakaria5860 Год назад +1

    shed mara kibao nakuomba story za majitu makubwa unazingua mwanangu

  • @princengombaniza4080
    @princengombaniza4080 Год назад +1

    Bro naomba story ya THE LORD OF THE RINGS na THE HOBBIT

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 Год назад +4

    40 ina mengi kumbe 🤭

  • @robartifabiani
    @robartifabiani Год назад +8

    Wakwanza tupeane like

  • @estherclarice6266
    @estherclarice6266 Год назад

    Naomba store ya dark side of Dubai

  • @samwellyakurwa-wk5tz
    @samwellyakurwa-wk5tz Год назад

    Justine mzungumzie Carlos gaidi aliesumbua

  • @johnwangu2467
    @johnwangu2467 Год назад +1

    Naomba story ya dark side of dubai

  • @nikkimbishiunju2402
    @nikkimbishiunju2402 Год назад +3

    Za mwizi 40..

  • @iteefmedia4485
    @iteefmedia4485 Год назад

    Hujasemea Mti wa Mwarobaini 😂😂

  • @nguvumoja_1
    @nguvumoja_1 Год назад +4

    Daa nimebakiwa na Mb 40 Tu naona Tigo wananijaribu😂😂

  • @ANAFISAIDI
    @ANAFISAIDI 11 месяцев назад

    Mtu akifa roho huwa pemben ina usikitia mwili kwa pemben jafar omar

  • @abdallahmwinyi2106
    @abdallahmwinyi2106 Год назад

    Nabii Ibrahimu as alitupwa kwenye moto na alikaa humu kwa siku 40 na akatoka bila kuungua

  • @ms123ru
    @ms123ru Год назад +2

    Wiki za matazamio ya mimba ni wiki 40

  • @mussamandago6342
    @mussamandago6342 Год назад

    Swala ya ijumaa bila wanaume 40 kutumia, sio swala ijumaa inakuwa swalat dhukhri.

  • @prince70863
    @prince70863 Год назад +3

    Kwishaaaa

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Год назад +1

    👍✌️👊。

  • @JacklineChambale
    @JacklineChambale Год назад

    Maana ya namba 41 mimi nimeota namba 41

  • @gigoyrn4394
    @gigoyrn4394 Год назад +1

    Ila saiz za mwizi sio arobaini😁😁

    • @princegerard4704
      @princegerard4704 Год назад

      KAMA TUU SIKU HIZI MATAKO AMBAVYO HAYALIIMBWI KWA MASKINI PEKEE YAKE 😂😂

  • @franktiba1506
    @franktiba1506 Год назад +4

    Umezungumza kwa upande wa kidini sana tena ukristu lakini kwa uhalisia namba 40 it is when the body transform kwa mtu aliye kufa baada ya siku ya 40 uti wa mgongo katika shingo ndo hua unakatika to the babies it is Important organs, like ubongo, mapafu and liver, vinahitaji muda wa ku develop. Ubongo wa mtoto kwa 35 weeks of pregnancy weighs only two-thirds of what it will weigh at 39 to 40 weeks hivyo tafadhali ukija na hoja simamia uhalisia sio unasoma kitabu kimoja tu. Ila unakitu utafika mbali😅

    • @kingbidax9053
      @kingbidax9053 Год назад

      Its true inabd asipendelee kusoma ktab kmoja oongeze knowledge kwa kuhoji na kusoma vtabu mbal mbal ili akija na hoja isipngwe kwa kutoaminika bali hoja itapngwa na hoja

    • @Hustling_everyday
      @Hustling_everyday Год назад

      We hovyo kabisa

    • @andrewmhagama9816
      @andrewmhagama9816 Год назад

      Hoja yako haina mashiko na ni upeo mdogo wa kufikiria.
      Yeye kaongelea uharisia wa namba 40
      Alafu kwa masuala ya kifo mtu akifa amekufa yaani kidunia yeye hana hesabu, unachozungumzia wewe ni kimwili ndio maana unaambiwa Mungu si wawafu ni wawalio hai.Twende kazi

    • @GasperDanielkulaya-jf7ct
      @GasperDanielkulaya-jf7ct Год назад

      Acha wenge ongelea vyako acha kujifany mshauri

  • @belitomanuel6240
    @belitomanuel6240 Год назад +2

    Head🇲🇿

  • @ahmedhamis
    @ahmedhamis Год назад

    Za mwizi ni 40

  • @BarakaJoseph-ij2hc
    @BarakaJoseph-ij2hc Год назад +2

    40 ?

  • @5amediaonline335
    @5amediaonline335 Год назад +2

    KABLA MWISHO WA DUNIA SIKU 40 ATAKUJA ISSA WA MARYAM ATAKUJA NA UKWELI KUHUSU MUNGU WA UKWELI NA DINI YA KWELI UISLAM

  • @denisrukangula2227
    @denisrukangula2227 Год назад

    Siku 40 ni siku za kubadilishwa

  • @MwanaidiMakawa-dk4po
    @MwanaidiMakawa-dk4po Год назад

    Nipate likes 40 pia❤️❤️

  • @martinejoseph6098
    @martinejoseph6098 Год назад

    Sawa za mwizi 40😂😂😂

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 Год назад

    MANENO YA KISHIRIKINA HAYO!!HAYANA DALILI ILA KWA WASHIRIKINA,HAKUNA LILOTE KWA 40!!!

  • @denisrukangula2227
    @denisrukangula2227 Год назад

    Siku 40 ni siku za kubadilishwa