A president who respected his citizens regardless of belief or class. I admired this man for the past 5 years. May Allah bless and protect this great nation. 🇸🇴 ❤️🇹🇿. Umoja Amani na upendo.
@@sarahpita4990 majini mnayo nyie msiokuwa naakili😠😠 Hivi wakiristo mgekuwa mnaakili msinge ingia kanisani na viatu wakati ndio nyumba ya ibada lakin kitanda mnakipa utukufu mnavua viatu ndio mlale Hivi hii kweli ni akili au matepo unapotaka kusema kitu fikiri Kwanzaa
Mashallaah mwenyezi mungu amjalie awe mwenye kuigwa namuomba mungu anijalie kizazi chema inshallah kama waikubali dini hii ndo ya haki gonga lake twende sawa ubalikiwe
Abdullah Nassor . Binti alie lelewa kwenye malezi ya ustarabu na hekima na kujieshimu, binti mpole mnyenyekevu, asie na makuu na kumpenda muumba wake, binadam tuwe kama hivi watu wataratibu
Mashaallah Tabaraka Rahman bahti yako ya binti si rahisi kuhitafhi qur Anni . Mashaallah wewe na wazazi wako. Allah atijalie na vizazi vyetu woote na vizazi vijazo.
@@aminasudi2938 amiin yaraabii Kwa sote wazazi wanafuraha ya aje maana ukifa huozi unafufuliwa kama ulivyo zikwa Subhana llah . Allah atupe mwisho mwema yaarabi. Watu wakimbilia elmu ya dunia basi wazarau elmu ya akhera allahu Akbar.
@@yakobomkristo872 hiyo ni lugha,na ndo maan hat Dr John Magul amewasalim kwa kiislam,kwan yy ni muislam!? Kwakuw imelenga kwa waislam ndo maan nmetumia neno Masha Allah,,,, Unacoment kutok na maelezo hayo,nikisem aleluya angenielewa!????? Ko penda kuish kulingana na mazngira mpendw Pia comment kulngan na video inavyojieleza Asante Na honger kwa kutokufagilia uongo ila ELEWA kwanza kisha reply Thanks
Salamu Haina Shida Mpendwa, Hata Wewe Ungesalimia Nisingetia Neno, Tatizo Umetaja Jina La mungu Mwingine, Hivi Hujui Kwamba BWANA ni Mungu Mwenye Wivu? Ndiomana Nilikuwa Na Mashaka Na Ukristo Wako Mpendwa.
@@yakobomkristo872 pole sana,nmetumia lugha ya Kiarabu ndo maan nikaandika vile,Allah mean God masha Allah,mean hongera,vzr na n.k Jaribu kunielewa plz mpendw
Mashaallah.. Yaani machoziyananitoka. Namuomba Allah amjaalie awe mtoto mwema kwa wazee wake nakwawaislamu kwa ujumla. Allah mlinde nahusda zawalimwengu yaarabbi.
From Oman Muscat mashaallah mashaallah yani hadi raha wallah allah atujaalie vizazi vyema tusio zaa na walio zaa allah awafanyie wepesi ktk kuhifadhi quran
Wow just wow Am a Christian but this little girl is something else Mungu wa mbingu na nchi amuinue mpaka ashangae Na asipotee kamweee 🙏🙏🙏🙏🙏👌 HAKIKA wazazi /walezi wake wamefanya kazi nzuri Kweli “mlee mtoto katika njia impasayo naye hataiacha hata atakapokuwa mzee ....mithali 22:6”
Mm Mkiristo Ila kwa hapo Jamani Hadi mwili Umesisimka Mdogo wangu hongera sana Jitaidi kuijua zaidi elimu ya mungu kwani ndio ya milele na uzima ila hii ya Mzungu ni ya mda2 Mungu Akuongoze ukue kwenye misingi Bora ya Dini Nimekupenda Sana mdogo wangu HONGERA SANA BY MWENYEKITI WA KAMATI YA WASOMA COMENT TZ
Sir J jaman yote ya dunia tuache haya ni mapito turudi kwake zala wajala raha ya dunia ipo lakin inayo mwisho balituthiruna lighata dunia waliaghirat dunia abika subhallah
Mashaa allah, mdogo wangu ulistahili kuwa mshindi namba 1, na uwezo unao ila nilichogundua afya haikuwa sawa flue ilikusumbua,,, nilitamni uchukue nafas ya kwanza,, mungu akuhifadhi na akulipe kila la her
Masha Allah..Masha Allah..Masha Allah hasbiyallah M.Mungu azidi kukupa faham na akuongoze njia iloyonyooka na awajaalie watt wetu waweze kuhifadhi qur'an na sio miziki yaarabby
Inapendeza kwa kweli pamoja na ukristu wangu lakini huwa napenda sana mtu akiso ma qrhn mashallah binti M.Mungu akuongoze daima kamwe usiyumbishwa na ya dunia....bravo🙌
@@dullyvidully7798, Ni kweli kabisa. Pia wangekua wanaeka number ya aya inayosomwa au text ili wasioelewa wakapata kujua kinachosemwa kwa kuangalia tafsir.
Bismilaaah maasha allaaaaah yaaraby akuzidishiee na mmungu akulinde na uaduwi wa sheittaani na mahaasidi walee wanapo hasidi yaaraby mmungu azidi kukuongowa na kukuongoza katika njia ilio nyooka ya hapa dunianii na yaa aakhera yaraby atuongolee na kutuongozea na watoto wetu woote kwa ujumlaa AAMEENA YAARABY LAALAMEENA 🙏🙏🙏🙏🙏
Maashaallah Allah atuzidishiee kheri tunao soma kitabu chake kitukufu (Qur an). Daaaahh had I mwili unanisisimka wallah yaaarabb tujaalie miongoni watakao kuja kuombewa na qur an tukufu aaamiin....
Masha Allah Masha Allah Masha Allah Subhan Allah Subhan Allah Subhan Allah May Allah protect you and your family Insha Allah May Almighty Allah reward you and your family Insha Allah and Insha Allah you become the most powerful AAlima Insha Allah Ameen
Haya ndio malezi bora lakini Mitoto mingine imeshika nyimbo za diamond kuliko hata vitabu vya dini au masomo ya shule daaaaaaaaaaaaaah safi Sana kwa mzazi wa huyu binti MUNGU Pamoja nawe
Allah umuepushe na mitihani ya dunia na ampe maisha marefu ya furaha na ucha Mungu
Ameen ya Rabb l Alameen
Masha Allah mwenyezi mungu akuepushe na mitihani ya dunia 😭😭😭
Ammin
Usilam ni wet
Aamiin kwasote
Allah akbar, wallahy anayekubali Qur’an kuwa ndicho kitabu kitukufu zaidi kuliko kitabu kingine hapa ulimwengu Like
mungu akupe umli wa manufa
Kbs kama umemuelewa huyu binti kwa uwezo wake wa kuhifadhi guran acha majungu na wivu gonga Like yako hapa Tanzania oyeeeeeeeeeee
Nataman hat ningekuwa hvy yaan
Aiseee hadi raha
Allah amlinde na husuda za walimwengu
Nakupenda sana mdogo wangu
Oeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Am Christian but God is good all the time God will pay this child Amin
Allahuma amin
Ameen
Allah humma amiin
Am Christian too but this child has touched my heart love you baby
Amiin
A president who respected his citizens regardless of belief or class. I admired this man for the past 5 years. May Allah bless and protect this great nation. 🇸🇴 ❤️🇹🇿. Umoja Amani na upendo.
Kama umetowa machozi kumuangaliya bint huyu bas gong like mungu ambariki
Mashaallaah mashaallaaah
Wallah naona wivu mpaka nalia 😢😢😢😢😢😢mashallah mdogo wangu Allah akulipe ilmu ziada 😭😭😭😭😭😭😭nakupenda
Lazma ulie
Mashaallah
Shamim Kingazi wallah mi pia nataman nirudii utoto subhanaAllah
Ngumu kutokulia kwa kweli,raha ilioje kwa mzazi
@@fatmahmwinyi4061 😁😁😁 hata hapo uliopo unaweza ukiamua
anaye taka raisi wetu magufuli asilimu agonge na like njingi tu
Mimi wakwanza namuombeaa sana
Asilimu kwenye dini ya majini sio?
@@sarahpita4990 unawazimu wewe
@@sarahpita4990 majini mnayo nyie msiokuwa naakili😠😠
Hivi wakiristo mgekuwa mnaakili msinge ingia kanisani na viatu wakati ndio nyumba ya ibada lakin kitanda mnakipa utukufu mnavua viatu ndio mlale Hivi hii kweli ni akili au matepo unapotaka kusema kitu fikiri Kwanzaa
Mungu msamehe mja wako huyu muongoze katika njia ilionyooka kama halijui alitendalo kama anajua mlaani umuweke pamoja na firauni lanatullah
Mashaallah mungu akujalie shahada siku ya kufa kwako
Amiin iwe kwa sote
masha alhal Mungu amlinde na Shari za shetwan na binadam by siti
Allahumma aaamin kwa sote🙏🙏
Amiin kwasote
ameen thuma amin
Mashallaah mwenyezi mungu amjalie awe mwenye kuigwa namuomba mungu anijalie kizazi chema inshallah kama waikubali dini hii ndo ya haki gonga lake twende sawa ubalikiwe
kama ni mtanzania na umependa hii sauti imekuvutia gonga like hapa na useme mashallhaaa 😍
Mashaallah
Mashaallah
Mashaala
Kila aliefurahia ushindi wa 5 wa mtoto huyu namba like chini hapo
Umejaaliwa binti allah akulinde
Hongera kwako na kwa Tanzania
Mashaa Allah
Maaashalah had nimelia
Abdullah Nassor . Binti alie lelewa kwenye malezi ya ustarabu na hekima na kujieshimu, binti mpole mnyenyekevu, asie na makuu na kumpenda muumba wake, binadam tuwe kama hivi watu wataratibu
Ambao wameskia tu saut lakin hawajaelewa alichosema gonga like
Duh
Hahahaa
Mashaallah nimependa unaenda na neno pia na hatua allah akulinde akupe afya njema na akupe wepesi ili uzid kutimiza yale ulio ya kusudia
Hata ķiingereza au kichina huwezi elewa mpaka ujifunze
Hata sijaelewa but saut ni zur
😢😢😢😢😢😢😢furaha uleta majonzi ukisikia mtoto kama huyu anasoma Quran vizuri mungu akupushie na mabalaa ya dunia
Sidhan kama watu wameeelewa hii kauli yako kwa kweli umepiga ndipo hasa
🎓
ameen yarab mungu amuepushe na husda choyo na jicho
salma othuman Allahumma ameen
Allahumma amiiin yarab
SubhanAllah beautiful recitation Allahumma barik💖
mungu amlinde siku zote za maisha yake na ampe afya njema mi ni mkristu ila kiukweli amenigusa sana god bless you 👏👏
nikweli kbsa mi pia mkristo ila du huyu mtoto ni hatar allah ampiganie afike mbsli zaid
Manshallah .my younger sister congratulations. May Almighty Allah protect you from shayitwan and grant u Janna
Amiin
Kiukweli amenigusa Sana God bless yuo
Safi sana ndugu yetu katika Adam
Mlee mtoto ktk Njia impasayo nae hataiacha hata atakapo Kuwa mzee! Hongera Sana Bint.
Na hongera kwa wazazi pia ila bira kusahau neem za allah hizo
Mashallah sumayyah😘😘💞💓💞💞💓 mungu akujaalie afya njema.
Mashaallah Tabaraka Rahman bahti yako ya binti si rahisi kuhitafhi qur Anni . Mashaallah wewe na wazazi wako. Allah atijalie na vizazi vyetu woote na vizazi vijazo.
Asalam
Mashaallah natamani angekuwa ndio Jasmin wangu jamani wallah nimesikia raha akufanyie wepesi inshaallah
@@aminasudi2938 amiin yaraabii Kwa sote wazazi wanafuraha ya aje maana ukifa huozi unafufuliwa kama ulivyo zikwa Subhana llah . Allah atupe mwisho mwema yaarabi. Watu wakimbilia elmu ya dunia basi wazarau elmu ya akhera allahu Akbar.
Nicee
Hassina Al Harthi amin
mimi.mkristo lakini napenda sana taratibu za kiislam kwakweli daaah. Mungu amsaidie bint ashinde.
Allah akuongoze uje uwe muislam.
Amiin
Allah amhifadhi kwa elimu alonayo
amin
Mungu akuuongoze uje huku
Am Christian,but my young sister your so amazing
Masha Allah
Allah inkaalish habibty
Sifagilii Uongo, Mkristo Humalizia Kwa Kusema Aleluya, Siyo Mashallah
@@yakobomkristo872 hiyo ni lugha,na ndo maan hat Dr John Magul amewasalim kwa kiislam,kwan yy ni muislam!?
Kwakuw imelenga kwa waislam ndo maan nmetumia neno Masha Allah,,,,
Unacoment kutok na maelezo hayo,nikisem aleluya angenielewa!?????
Ko penda kuish kulingana na mazngira mpendw
Pia comment kulngan na video inavyojieleza
Asante
Na honger kwa kutokufagilia uongo ila ELEWA kwanza kisha reply
Thanks
Salamu Haina Shida Mpendwa, Hata Wewe Ungesalimia Nisingetia Neno, Tatizo Umetaja Jina La mungu Mwingine, Hivi Hujui Kwamba BWANA ni Mungu Mwenye Wivu? Ndiomana Nilikuwa Na Mashaka Na Ukristo Wako Mpendwa.
@@yakobomkristo872 pole sana,nmetumia lugha ya Kiarabu ndo maan nikaandika vile,Allah mean God masha Allah,mean hongera,vzr na n.k
Jaribu kunielewa plz mpendw
Welcome in islam free
Mmmmh Masha'Allah Mashaallah Masha'Allah Jazakhalahu Kheiry Sumaiyah T Abdallah 👍🔥🔥🔥😘😘😘
Mm mkristo cjaelewa chochote ila nawapenda sana gonga like hapa hata kama haujaelewa inshallah mtoto mzuri
Mashaallaah Allaah subhanahu wataala Amuhifadhi bintu huyu na Amlinde na shari za shaitwan na wanaadam pale wanapo husudu.
Haroun Ali Tatizo lipo kwa wazee waislam kutaman mabinti kama haya kifupi ni aibu
amiin
Amina Amina amina
Ameen
Allahumma aamin
Mimi pia mkiristo nimemkubali Bing anajua sana japo sielewi mungu mlinde bint na hila za ibilis.
lugendo pius Allah anakuita kwenye uislamu upate amani ya kweli akhera
Amin Yarabialamina
Ameen Yaarabb
mashaallah mtoto mzuri Allah akulinde
Allah na we atakueka pale panapohusika ujue km yeye In Shaa Allah
MashaAllah, I want my kids to also recite like her inshaAllah
MashaAllah ,Mwenyezi Mungu amuongoze Leo hapa duniani,amuepushe na kila shari za dunia
Maashallaah
Allah amuongoze mtoto Sumayya kwa kuhifadhi kwake Qur'an aje awe kiongozi bora duniani inshaallaah
mashallah mwanangu
Hongera mdogo angu kumcha MUNGU ni njia salama
Ya Rabbi tujaalie tuwe Miongoni mwa wenye kukixoma kitabu chako kitukufu...
Masha Allah Allah atakulipa
Ongera mwanangu ,nimelia kwa furaha.
Aamin
Ameen mpk mwili kusisimk kweli
Amiiin
Mashallah mashallah Mungu nasi atupe umri tuweze kuwafunza wana wetu Ameen
Mashaallah.. Yaani machoziyananitoka. Namuomba Allah amjaalie awe mtoto mwema kwa wazee wake nakwawaislamu kwa ujumla. Allah mlinde nahusda zawalimwengu yaarabbi.
Natamani angechukua ushindi mwaka huu mwanamke inshaallah
Amina Hamisi in shaa Allah
kam umempend huyu bint kwa neema ya qur an aliyopewa na ALLAH kam nlvompenda mim sema mashllah halafu gonga like hpo
Watt wadog mashallah sie mijitu mzima hata ikhlas hatuijui
San
Mtihani
@@hafsanahafsana4527 acha tu yaan mungu atujaalie na sie
😁😁😁 Yan ata sielew
Bado muda unao wa kujifunza kwani Qur'an haina mzee wala kijana ukizoea kuisoma inakuja kawa kawaida
Tusomeshe watoto quran inshaallah
Mashallah Allah amlinde na hassad
@@saadiej4437 Aaamiyn
Baba naa wangu na huku upo mashallah baba bora😃
Allah amlinde na husda na vijicho ,,,,mashaallah Allah amhifadhi ktk Qur'an na ampe mwisho mwema in shaa Allah
Manshaallah ❤️❤️❤️❤️Allahbarik jamani kaniliza huyo mtoto kwa furaha 🤲🏽🤲🏽🤲🏽🤲🏽
Maahaallah.
MwenyeziMungu akuzidishie na akuongoze ktk njia impasayo yy tu..
Mashaallah tabaraka Rahmani Allah akuzidishie
From Oman Muscat mashaallah mashaallah yani hadi raha wallah allah atujaalie vizazi vyema tusio zaa na walio zaa allah awafanyie wepesi ktk kuhifadhi quran
.inshallha
mashaallah mdogo wangu wee ni jemedari wa kike. Allah akutunze inshallah.
@@rashidimeleka5055 shukran my sister 🙏🙏🙏
@@sadikikingo8049 mie bado sijaolewa 🙏🙏🙏
banana tz
Wow just wow
Am a Christian but this little girl is something else
Mungu wa mbingu na nchi amuinue mpaka ashangae
Na asipotee kamweee 🙏🙏🙏🙏🙏👌
HAKIKA wazazi /walezi wake wamefanya kazi nzuri
Kweli “mlee mtoto katika njia impasayo naye hataiacha hata atakapokuwa mzee ....mithali 22:6”
You are welcome my friend
Njoo kwenye dini ya haki
mashaalah.M/MUNGU akuondoshee vikwazo katika maisha yako ya kila siku na akupatie kila hitaji jema hapa duniani na kesho ahelah
Maashaa-Allah!Maashaa-Allah!
Uwanja Umefurika..Allah atujaalie Duniani Mema..na Akhera Mema,,Aamin yaa rabbil aalamiin
Allahuma Amin!
Allah Karim.
kishiki ww ni sheikh lakin unakera kwann unapenda kujipendekeza kwa kafiri
Tunatakiwa tuishi nao kwa wema huenda ikawa sababu ya kubadili imani yk na yy biidhillah
Ashraff Keebiyla .nimependa
MaashAllah mabrq, Allah atuongeze katika njia ilonyoka na watoto wetu, Allah akuhifadi InshAllah heri
Amesoma vizur xana mungu amujaalie
Jamani nasikia Raha hadi mwili unasisismka Mpka machozi ya furaha yanataka kunitoka HONGEra mdogo wangu Hicho ni kipaji cha pekee Sio kila mtu anacho
mungu akutangulie mxhani baby wetu
Allah ampe maisha marefu
Allah akujaliye kila la kheri
Mash Allah. Munguakuepushenahusda
Mm Kila nikiangalia na Kumskiza Machozi yananitoka Kwa Uzito wa Maneno ya Allah
Ma sha Allah Allah amkinge na fitna za dunya...quran itabaki kua juu zaidi
Mashaallah.Allah akupe maisha marefu na akulinde hila zote za hasad.
Mm Mkiristo Ila kwa hapo Jamani Hadi mwili Umesisimka Mdogo wangu hongera sana Jitaidi kuijua zaidi elimu ya mungu kwani ndio ya milele na uzima ila hii ya Mzungu ni ya mda2 Mungu Akuongoze ukue kwenye misingi Bora ya Dini Nimekupenda Sana mdogo wangu HONGERA SANA BY MWENYEKITI WA KAMATI YA WASOMA COMENT TZ
Hahaha jomba ulipomalizia umenifurahisha sana maaana mi ni MJUMBE WA WASOMA COMMENTS BILA KUKOMENT
Sir J good comment
Sir J r
Kingunge Ngombari hahhaaaa
Sir J jaman yote ya dunia tuache haya ni mapito turudi kwake zala wajala raha ya dunia ipo lakin inayo mwisho balituthiruna lighata dunia waliaghirat dunia abika subhallah
Wow! Yuko super big up sana!
Safi sana mungu aliyetuuba sote waislam na wakristo hapa duniani atubariki kwa umoja wetu bila kubaguana
MashaAllah 😚😚😚may Allah Guide you from evil. Allah The Great.
Mashaa allah, mdogo wangu ulistahili kuwa mshindi namba 1, na uwezo unao ila nilichogundua afya haikuwa sawa flue ilikusumbua,,, nilitamni uchukue nafas ya kwanza,, mungu akuhifadhi na akulipe kila la her
Masha Allah..Masha Allah..Masha Allah hasbiyallah M.Mungu azidi kukupa faham na akuongoze njia iloyonyooka na awajaalie watt wetu waweze kuhifadhi qur'an na sio miziki yaarabby
Huyu Sumaiyya Allah amkuze na awalipe Wazazi wake Kila la Kheri
Lkn Magufuli is The Special Father
mi ni mkrisitu ila dogo nimekukubar Mungu akutangulie umetuwakilisha vyema
Xirimu.baxi
She he
Mashallah mungu akujaalie ukue muislam INSHAALLAH
Nataman Huyu Bint Ashinde Wallaah
Inshaallha
Aisee Nngekuw Jaji Nngempa Tu Huyu Bint Kisha Nikaend Kutubu Hahaha
Haki umenifanya nicheke kwa sauti
@@Almisbahy9551 😅😅😅😅wallah ni hatari
Inapendeza kwa kweli pamoja na ukristu wangu lakini huwa napenda sana mtu akiso ma qrhn mashallah binti M.Mungu akuongoze daima kamwe usiyumbishwa na ya dunia....bravo🙌
Inshaallah mwenyeezi MUNGU anamfungulie zaid na zaid kama na wewe unapenda gonga like yako hapaa
cjaelewa chochote ila mashallah mtoto nzuri una soma vizur mwaya.
Mimi.je.naona.picha tu
Mutaelewa wapi na hapa sio pahala penu kwa anaelewa anachsema na hongera atampa nyi kueni wajinga tu hamtaelewa mpk mnakufa hamuelewi km kifo kimefika
Wew Grace utaelewaje ingekuwa nyimbo ya boni mwaitege ungeelewa
Jitahidini kufatilia vizur Qur-an hususan Qur-an tafsiri mtaelewa Nini wanaongea watoto
@@dullyvidully7798, Ni kweli kabisa. Pia wangekua wanaeka number ya aya inayosomwa au text ili wasioelewa wakapata kujua kinachosemwa kwa kuangalia tafsir.
Allah akuongoze mdogo wangu wallah uislamu raha 😘
Halima Ramadhani
Mashallah sumaiya Allah akuzidishie amin
MaashAALLAH MDOGO WANGU UMEIONGOZA NCHI YETU ALLAH AKULINDE NAMABAYA
Allahu akbar ya rabii hakika uisilam ni dini ya hakii.allah awaongoze kweli.
MashaaAllah TabarakaAllah Allah ya ihifathiki habbty 😘😘😘
M.a beautiful Recitation
Mashallah yaraab mzidishie nguvu na kipaji
Mashaalah
Naomba Rais wetu Asilim,amependeza sana.
Umelewa ww
Ili ugundue nn??
@@debbiejustine8473 mulizeni..anaone ni rahisi
Usilete mambo yasiyoyamsingi,
Sasa nyinyi mnachukia nini na yeye nimaono yake kilamtu anaaki yakuongoea mile anachokiona nisahihi kwake
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, Mashaallah....
Mashaaalah
Manshallah mwenyez mungu akijalieye hivo
Kweli kabisa
MashaAllah MashaAllah MashaAllah jadha ka Allah kheir jamani mpaka raha shukrani
Mwenyezi mungu amhifadhi katika uislam na atupe subira na hekma ktk malezi JAZZAKALLAH FIIKUM
Unaweza mung kusaidie
Mashaallah. Mungu akuzidishie zaidi
masha allah
@@kassimruga9103 x
Ma’asha’Allah Tabaaraka’Allah Mwanangu,, Mola Akuhifadhi na Akubariki zaidi na wazazi wako
mwenyenzi mugugu azidi kukutia nguvu
Nataman kama ndo amina wangu anaisoma hiyoo mungu amfanyie wepes inshalaa
gonga like kama unaimini quran ni tiba
Masha Allah
Masha ALLAH...ALLAH akupe nguvu nakuepushe mbali n husda za mahasidi. Watching from🇦🇪
Mashallah
wonderful my Allah protect our children
Ameen Allah amuepushe na shida za dunia! Ampe ujuzi, elmi zaidi ya akhera na dunia zaidi, awasaidi watoto, vizazi vijazo. Alhamdulilah!
Bismilaaah maasha allaaaaah yaaraby akuzidishiee na mmungu akulinde na uaduwi wa sheittaani na mahaasidi walee wanapo hasidi yaaraby mmungu azidi kukuongowa na kukuongoza katika njia ilio nyooka ya hapa dunianii na yaa aakhera yaraby atuongolee na kutuongozea na watoto wetu woote kwa ujumlaa AAMEENA YAARABY LAALAMEENA 🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu baliki watu wenyegusoma kitabu chamungu
Jaman mochozi yamenitoka he ww
Mimi ni mkristu ila mtoto amesoma vizuri sana
inshallha mungu akupe moyo uwouwo wenda unaweza kusilm
Amina
Xirimu
Mashallah
Jamani japo sielewi ila machozi yananitoka eti,mwenyezi mungu akuzidishie,na hila za walimwengu natamani ushinde
HAPPY AKYOO Asalam aleikum kumbe nawe upo. Masha Allah bint sumaiyyah kawawakilisha wanawake wote dunian
Amiin
Ameen
Allah amlinde na husda za bin adam na majini nasi mola utujaalie watoto kamahuyu bint mashallah amiin
Mungu akupe maisha malefu uwainue na wengine
ما شاء الله لا قوة إلا بالله تبارك الرحمن .. اللهم اجعلها قرآنًا يمشي على الأرض واجعل اخلاقها القرآن ❤️❤️❤️❤️
Masha Allah may Allah protect her from the evil eyes
Mashaabllaah mungu akuhifadh
Da..h nifuraha iliyooje kuwa maarufu kwa jambo km ili la Allah
Maashaallah anasoma vizuri allah amlipe kika ka kheri dunia wal akhera inshaallah
Maashallah binti mungu akujalie zaidi ya hapo
Allah ampe noor ya dunia na akhera btfull MashaaAllah tabarakah Allah Allah muihifadhi mtoto wetu
Masha Allah mdogo Wangu kipenzi Allah akuepushe na Shari za dunia na akupe mwisho mwema
Mungu akuzidishiye kira lilo kuwa nakheel mdogowangu nawatoto wrote waliozaliwa na watakao zaliwa
Munira Yakoub
dah nashindwa kuongea mwanangu allah akuepushe na mitihani ya dunia umenifanya nilie sana ummy wangu
Asante Rais wa wote_Allah akulipe Kila jema Kwa kutujali Na kutupenda wananchi wote
Amna kitu hapo
Yarabb tujalie wazazi tuweze kuwafudisha wanawe tu dini yetu ya haki nawawe wana wema
KWA UWEZO WA ALLAH SUMAIY AWE NO 1.
allah amuihifandi masha Allah
Amin
congrats young lady we r watching u ,from johansburg,we r happy with u in this holy month of ramadhan
Maashaallah Allah atuzidishiee kheri tunao soma kitabu chake kitukufu (Qur an). Daaaahh had I mwili unanisisimka wallah yaaarabb tujaalie miongoni watakao kuja kuombewa na qur an tukufu aaamiin....
Mashallah mashallah mwenyezimungu amzidishie ameen
Mashaallah Allah akuzidishie
Mash Allah yaan nataman hata mwanangu maana anasoma vzr
Inshaalha ipo siku atashiriki
wote in sha Allan watakaofundisha wtt wao Qur'an....Allah siku yakiama atawavisha taji ....allah atujalie tuwe miongoni mwao .
Masha Allah Masha Allah Masha Allah
Subhan Allah Subhan Allah Subhan Allah
May Allah protect you and your family
Insha Allah May Almighty Allah reward you and your family Insha Allah and Insha Allah you become the most powerful AAlima
Insha Allah Ameen
MashaAllah Barakah Allah Allah ajaalie waIslamu wenye kua na hamu yakutaka kuhifadhi Quran yarab
I’m a Christian but this make me cry 😭
You are welcome madam
Allah akubariki sana binti kuifadhi Qu-ran tukufu namna hii ndyo njia ya kutafuta uwepo wa Tabara
Sielewi kitu lakini daah huyu mtoto anaswali vizuri 👏👏👏
Allah huakbaru
Huko sio kusali japo yupo ktk ibada ya usomaji Quran
mashallah allah akuhifadh dunian na kesho akher na akujalie umri mrefu💞💞
Haya ndio malezi bora lakini Mitoto mingine imeshika nyimbo za diamond kuliko hata vitabu vya dini au masomo ya shule daaaaaaaaaaaaaah safi Sana kwa mzazi wa huyu binti MUNGU Pamoja nawe
MaashaAllah MaashaAllah... Allah amuongoze huy bint
MashaaAllah MashaaAllah MashaaAllah
Ma shaa Allah ught Allah Tabaraqal akukuze vyema,akulinde na masheitwan waalibifu In Shaa Allah
hakika raha
Hongera sana
MASHAALLAH MUNGU AKUSIMAMIE VYEMA KWA KILA JAMBO............
Yaah, Allah jalia kizazi changu niwe kama huyu Bint kwa juhudi nitakazozifanya
Naombasezoni
Naombanyimbozadinizaloma
Mashaallah...Allah awajaalie watoto wetu awake uwezo wa kuhifadhi kitabu kitukufu cha Qur'an
Mashallah Mashallah, Allah amjaalie kila la kheir. Ameen
Mpaka machozi ya furaha yananitoka mungu mbariki huyu bint aishi milele amiin