Alhamdulilah kila sifa njema ni zake Allah. Asanteni jeshi letu la police mungu awabariki sana azidi kuwafanyia wepes ktk kazi zenu.asante watanzania wote kwa ushirikiano wenu Hadi watoto kupatikana.
Alhamdulillah rabillah aalamiin namshkuru mungu na pia juhudi kubwa ya jeshi langu pendwa la polisi safi sana kazi nzuri❤❤❤ mama mpandishe cheo zaidi huyu kamanda muliro kwani anajitoa sana maisha yake Big up kamanda❤❤
Kwakweli jeshi la police linafanya kazi sana tena kuliko wakati wote wanyuma wakati wanyuma upelezi stahili ulikuwa haufanyiki vitu vilikuw vinapuziwa na wakati inawezekena kufatiliwa kweli jeshi la police linajitahidi nana na afande mriro kwlei unajitahido sna mungu akupe moyo huo huwo uzidi kusaidia raiya wako
Waganga jamani hawa ndio matatizo yanapoanzia wanawadanganya watu mie sioni ajabu kwa dada wa kazi wapo wazazi wanadanganyika na kutoa watoto wao kafara tuwe makini sana na hawa watu mitaani kwetu
Mungu mkubwa hakika ukimwamini hakika hutenda sawa na mapenzi yake MashaaAllah mama wa watoto kwa Imani kubwa uliyokuwa nayo jamani hatua kali za kisheria zichukuliwe
Kweli tuwe makini dunia na wasaidizi mambo mengi yanatokea kwa hawa wasaidizi na hata kama unamfahamu uzuri yy anaweza kufanya kitu akijuwa hatogundulika, kweli mungu atuvushe salama kwa huu wakati maana ndo ule wakati wamwisho kunavituko vitatokea ila sie tunayo yafanya tuna mu over take shetan kbs jamni😢😢
Afande murilo kweli unafaa pongezi hiyo yote ni uwaledi na ufatiliaji wa kina japo mengi watu huwa tunaropoka kila likitokea kitu tunalitupia jeshi l police
Hapo nmekuelewa kiongozi,kongole , mi niliwah kuleta binti hivyo hivyo kumbe mchawi wa hatari, ila alikutana ni nguvu nyingine ya mfalme wa wa falme Yesu ktk nyumba angu ,tukamnasa na kumrudisha kwao
Mimi naona serikali iweke sheria na mtu akioata dada wa.kazi za ndani wandikishuane police na awe kitambulisho itasaidia saana kuounguza matukio ya kjharifu
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Hili group lenu mbona kujoin linavipengele vingi sana tunashindwa
Alhamdulilah kila sifa njema ni zake Allah. Asanteni jeshi letu la police mungu awabariki sana azidi kuwafanyia wepes ktk kazi zenu.asante watanzania wote kwa ushirikiano wenu
Hadi watoto kupatikana.
Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kumuaibisha shetani hongera kwa wazazi kwa dua na sala zenu pamoja na watanzania walioomba kwa ajiri ya watoto wetu
Saluuuuuut kwa je-shi- la police TZ.kweli mnanishangaza kwa ueledi wa kazi zeni❤❤❤❤ saluuuut
Hongereni sana jeshi la polisi,kwa kazi nzuri na ushauri wenu.
Mungu wa mbinguni atukuzwe kwa wema wake kwa watoto hawa kupatikana,niliumia sana nilipoona ile clip mama akieleza
Hongera kamanda na ushauri wako ni wa msingi sana. Ubarikiwe sana
Daaha asante mola kwa wema wako police mungu azidi kuwatunza
Alhamdulillah rabillah aalamiin namshkuru mungu na pia juhudi kubwa ya jeshi langu pendwa la polisi safi sana kazi nzuri❤❤❤ mama mpandishe cheo zaidi huyu kamanda muliro kwani anajitoa sana maisha yake Big up kamanda❤❤
Mungu ni mkubwa sana,Asanteni sana jeshi la police kwa ushirikiano wenu,Mungu awabariki sana
Mungu akulinde afande mlilo kitu kikifika kwako kimefika maafisa wengine waige mfano wako
Hongera kwa kazi nzuri
Allah Akbar yaraab tunakushukuru kwa rehma zako
Mungu mkubwa hongera Jessica la polish kwa kazi nzuri
Jessica la polish 😢😢😢 rest in peace kiswahili 😂😂😂😂
Jessica tena😂😂😅😂
Alhamdulillah labillallanmin,jamani dua dawa,nimefurahi sana Mie alhamdulillah allah akuballu
Ahsante Mungu kwa wema wako. Dada wa kazi akifika nyumbani kitu cha kwanza iwe ni kumtwanga Photo 😢😢😢
Mungu ni mwema sana
Asante mungu mwema kwa uweza wako
Mungu mkubwa maskin wapo hai ni jambo jema 😢
Alhamdulilah ni jambo la kushukuru Allah Kwa kupatikana wakiwa salama aamin 🤲🤲 🤲
Mola ni mwema jaman tuzidi kumuomba kwa Kila saa mola ndie Kila kitu kwetu sote binadamu inshaallah
ALLAH MM NAKUSHURU KWA MUUJIZA WA KUWAREJESHA SALAMA HAKIKA UKAREEM WAKO HAUNA MFANO
Duh mganga kumbe subhna llah mtihan kwa kweli
Kwakweli jeshi la police linafanya kazi sana tena kuliko wakati wote wanyuma wakati wanyuma upelezi stahili ulikuwa haufanyiki vitu vilikuw vinapuziwa na wakati inawezekena kufatiliwa kweli jeshi la police linajitahidi nana na afande mriro kwlei unajitahido sna mungu akupe moyo huo huwo uzidi kusaidia raiya wako
Alhamdulillah kwa kupatikana wakiwa salama.
Mashallah tunashukuru sana jamani jeshi letu la polisi
Nyie ndo wa kwnz kuilaumu police
BILA ya kuwalaumu awafanyi kazi kialali@@SaumuSaidi-z2v
Waschana wa kazi jamani hawaaminiki tena jamani.
Kama mfanyakazi, achukue likizo bila malipo miaka 2, badae kuwapeleka shule za watoto wachanga maana watu ni heri ya mnyama
Who ren to the comments first before hearing Allahamdhullia Rabulalamin good job tz police job well done
Sio ren ni ran
ASHUKURUWE SANA BWANA MUNGU KWA KUWARUDUSHA WATOTO HAO MALAIKA . ❤❤
الحمدلله ربي العالمين
Kurudi kwa watoto salama ni kheri الحمدلله ربي العالمين
@@jokhaali5893 kabisaa
الحمد لله
Waganga jamani hawa ndio matatizo yanapoanzia wanawadanganya watu mie sioni ajabu kwa dada wa kazi wapo wazazi wanadanganyika na kutoa watoto wao kafara tuwe makini sana na hawa watu mitaani kwetu
Mungu mkubwa hakika ukimwamini hakika hutenda sawa na mapenzi yake MashaaAllah mama wa watoto kwa Imani kubwa uliyokuwa nayo jamani hatua kali za kisheria zichukuliwe
Safisana jeshi
Yaaani. Allah aninusuru na mtihani kamahuu ilaa kwakuwampenda ddawakaz na mganga nawatoa macho yote na mikono
Kweli tuwe makini dunia na wasaidizi mambo mengi yanatokea kwa hawa wasaidizi na hata kama unamfahamu uzuri yy anaweza kufanya kitu akijuwa hatogundulika, kweli mungu atuvushe salama kwa huu wakati maana ndo ule wakati wamwisho kunavituko vitatokea ila sie tunayo yafanya tuna mu over take shetan kbs jamni😢😢
Usikate tamaa na rehma za Alla ata siku moja
Allhamdulillah kupatikana
Maashaallaah Allah ni mkubwa tuwe makini jaman kwenye kuchkkuwa dada wa kaz
Afande murilo kweli unafaa pongezi hiyo yote ni uwaledi na ufatiliaji wa kina japo mengi watu huwa tunaropoka kila likitokea kitu tunalitupia jeshi l police
Dada wa kazi kwa sasa ni kubahatisha sitaki hata kuwasikia walichonifanyia bac 2niliacha kazi nilee mwanangu
Nipe Mimi ila nakuja na kurudi nimshalea watoto saana mpka mapacha ushauri wangu mtafute watu wazima
Hata uyo aloiba watoto no mkubwa pia kikubwa nikufata huo ushauri@@tinnahagustinolyelu4247
Ndio asili ya maumbile .
Mke ni kulea na kutunza jamii yake
Allah ametenda,Aamiin ya Rabbi
Pia kuwa na mdhamini awe na kitambilisho cha Nida sio kuchukua tu mfanyakazi
Mungu ni mwema, hao waovu wawili watafanywaje Kisha???
Hapo nmekuelewa kiongozi,kongole , mi niliwah kuleta binti hivyo hivyo kumbe mchawi wa hatari, ila alikutana ni nguvu nyingine ya mfalme wa wa falme Yesu ktk nyumba angu ,tukamnasa na kumrudisha kwao
ASANTENI SANA JESHI LA POLISI KWA KAZI NZURI MLIYOIFANYA. MUNGU NI MUNGU HAKUNA WAKUFANANISHA. ASANTE MUNGU
Wanafaa waekewe CCTV ili ujue kipi kinaendlea ukiwa mbali n nyumbani kwko
Kama wapo Salam nijambo la kushulu mungu 😢😢
Mimi naona serikali iweke sheria na mtu akioata dada wa.kazi za ndani wandikishuane police na awe kitambulisho itasaidia saana kuounguza matukio ya kjharifu
Wawekwni masura yao tuwwoni hao mahslifu
Asante mungu wangu
Asante Mungu
Wadada wa kazi kwakweli Sasa sio wa kuwaamini. Tunaomba waadhibiwe vikali. Wafanyakazi wengi sasahiv kwanza wachawi
ALIHAMDULLILAH tunamshukuru mung
Watu wa Siri kumbe na kimara sikuhizi kuna waganga
Mungu tulinde na watoto zetu, mm ninasubiri watoto wakuwe ndo nifanye kazi
TUNASHUKURU SANA JESHI LA POLICE KWA UTENDAJI MZURI ASANTENI.
Allhamdulillah. Yaraby🤲
Hao watuhumiwa wa hukumiwe Mika 30 jela sio kuwaachia wataandelea
Alihamdulilah
Na soka nae vipi? Au kwa sababu mmewateka wenyewe?
Hahaaaaaaaaa
Wafanyakazi wapitishwe polis na wapewe mikataba ndiyo waajiriwe,tutapunguza uhuni kamahuu
Huyo dada wa kwanza ndio aliepanga na huyo mganga kwanini azime simu ya boss wake 😢😢
Mjinga kweli wa kumnyonga huyo anatumika na matajiri mpuuzi kweli watt wawili kweli Mungu ni mwema wamepatikana
Kila siku watu wanapewa tahadhar lkn wapi
KAMATENI SHERIA KAMA YA CONGO WAHALIFU KAMAHAO WA UAWE WAHALIFUWOTE WATAKOMA 😮😮😮😮
Kaz nzr jesh la police
Hivi haya matokeo yote bado mnaona wasichana wa kazi ni wema
Mhhh hapana kwa kweli
Tupo uku mbona tunafanya kazi KWA wema tunamuoopa Mwenyezi Mungu ndiye anaye tuona
Wema wapo wengi tu , wachache waovo
Mbon hamuwa onyeshi
MULIRO
Asante Mungu