MGOMBEA |4| MKOJANI,SAMOFI,HAJIADAM

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 май 2024
  • #mgombea #mkojani #series
  • ПриколыПриколы

Комментарии • 79

  • @user-gb1hn5ml8y
    @user-gb1hn5ml8y 14 дней назад +12

    Kutoka south Africa Durban leo wa Kwanza team mkojani nipeni tu like mana nimo mbali Ila najiwahi

    • @jumarashid978
      @jumarashid978 4 дня назад +1

      Like ndo kusema nini,,grow up plz

  • @NYENJENDEU
    @NYENJENDEU 14 дней назад +6

    Hivi mkojani na chandimu hawajawahi kuelewanaa😢😢😢😢😂😂😂😂😂😂😂

  • @FatmasaidAhmed-ws1rs
    @FatmasaidAhmed-ws1rs 14 дней назад +5

    Alhamdulillah mkojani sahii umerudi naona naomba isiwe fupi InshaAllah 🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Sarah-tq2vc
    @Sarah-tq2vc 13 дней назад +1

    Baba Hajj hongera kwa kuvaa uhusika kwa kweli😅😅😅😅

  • @user-wy7zl2vr6k
    @user-wy7zl2vr6k 14 дней назад +2

    Mgombea halalamiki hana pesa mwagapesa mwagapesa

  • @user-fw2jk3mx7g
    @user-fw2jk3mx7g 14 дней назад +4

    Kijiko kitu usicho kijuwa huyo mgombea wenu amefumaniwa na huyo haji ndio maana inakuwa ngumu kwa haji kujiunga na nyinyi

  • @DicksonRevelian
    @DicksonRevelian 14 дней назад +4

    nakubari san mkojan gang

  • @reginaelia7692
    @reginaelia7692 14 дней назад +2

    Chandimu ni more than actor tunao elewa sanaa huyu dogo tunamuona mbali sana ni trance palent sana nimependa jinsi alivyo poa kwenye hii

  • @user-fw2jk3mx7g
    @user-fw2jk3mx7g 14 дней назад +7

    Duh aisee haji upo juu kwani hili dicho unalomwangalia mkeo utazani nikweli

  • @hamisimkongo4209
    @hamisimkongo4209 14 дней назад +3

    Zilete zilete tupate uhondo

  • @saidilome-ue2df
    @saidilome-ue2df 14 дней назад

    Muheshimiwa mgombea Mkojani twaomba mmpe chakula Kijiko maana sio wembamba tn huo 😂😂😂😂😂

  • @SilviaCollins-rn4gz
    @SilviaCollins-rn4gz 14 дней назад +4

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @beautifulafrica6886
    @beautifulafrica6886 14 дней назад +1

    kumbe hajji anaongea nikajua bubu😂😂❤❤❤❤😂😂😂😂❤❤❤

  • @saddiqmageta7904
    @saddiqmageta7904 14 дней назад +1

    Haji ndo scene zako hizi😊😊

  • @saidahmed9688
    @saidahmed9688 12 дней назад

    mkojani bin darwesh bin tarbush

  • @NurdinMziray
    @NurdinMziray 13 дней назад

    Jaman mi hawa wa tu nawakubal sana yan mkojan wakikutana na samofi na kijiko utaipenda move 😅

  • @user-qq4zr3sk2g
    @user-qq4zr3sk2g 14 дней назад +1

    Kijiko jamani hicho kizibao chake😂😂😂😂

  • @SalminMaulid
    @SalminMaulid 11 дней назад

    Uyu Dem anamoyo sio jiiwe kinachomuweka nn asisepe adi jamaa moyo upoe kdg

  • @InnocentArmadillo-do9vm
    @InnocentArmadillo-do9vm 14 дней назад

    Team mkojani gang. Muko sambamba kazi nzuri sana

  • @FahadAli-ni5eu
    @FahadAli-ni5eu 14 дней назад

    Sorry my best comedian leo nimechelewa kuangalia

  • @user-fi2qs6om2p
    @user-fi2qs6om2p 14 дней назад +1

    Nimependa vipisi virefu mpaka raha

  • @hamisahamisa5896
    @hamisahamisa5896 14 дней назад

    Kijiko afanye kunenepa basi 😂😂😂😂 miguu kama fito 😂😂😂

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 14 дней назад

    Mkojani hapiti namtabiri sai mgombea malaya

  • @muniraahmedawadh2619
    @muniraahmedawadh2619 14 дней назад

    Piga kelele kwa mgombea wetu mkojani weweeeeeeeeeeeeeeeeeeee

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili
    @KoreanDramaMoviesKiswahili 14 дней назад +4

    ❤❤❤

  • @user-zb3ws3vi5k
    @user-zb3ws3vi5k 11 дней назад

    Mheshimiwa nguo moja jmn😂

  • @jumasalim1373
    @jumasalim1373 14 дней назад +1

    Good work guys...sinema itambe

  • @user-vj1mo2uo8e
    @user-vj1mo2uo8e 9 дней назад

    Ah huwa namkubaro sana haji ani anaigiza akiwa serious 🤣🤣🤣🤣🤣🤣shika adabu ako na adabu ikushike🤣🤣🤣🤣

  • @jacquelinelekule426
    @jacquelinelekule426 14 дней назад

    mimi ningeondoka aka mtihani mgumu sana huu

  • @hamismkude553
    @hamismkude553 13 дней назад

    Safi sana wazee tuko pamoja sana

  • @agnesjohn9382
    @agnesjohn9382 14 дней назад

    Sasa wewe chandimu unataka msaada wa lazima kwa mbunge mtarajiwa ambae hujui kama atashinda au atashindwa 😂😂 mwache bwana mkojani wetu usimsumbue anatoa kwa moyo hiyo lazima kwioo

  • @cyprianyinnocenty2002
    @cyprianyinnocenty2002 13 дней назад

    Haji na huy0 dada pia asee Mmeupiga mwingii

  • @haruniblackson1318
    @haruniblackson1318 14 дней назад +3

    🔥🔥🔥

  • @AdamJoa
    @AdamJoa 14 дней назад

    Haji unamacho makubwa kliko duniani

  • @saumbliz8983
    @saumbliz8983 13 дней назад

    Haji jamani😂😂😂😂😂khaaa baba mkali

  • @rvicent3215
    @rvicent3215 14 дней назад +2

    Kati ya waigizaji wenye kipaji kikubwa saana ni Haji Adam jama yupo serious saana

    • @kassimabussa6583
      @kassimabussa6583 14 дней назад

      Kweli kabisa haji anajuwa kuuva husiika sanaaa

  • @saumbliz8983
    @saumbliz8983 13 дней назад

    Kijiko handnepi

  • @user-si9pb1us8d
    @user-si9pb1us8d 14 дней назад +1

    Umefumaniwa na mume hakuulizi na bado upo tu aisee

  • @edinageorge7398
    @edinageorge7398 14 дней назад +3

    Hatar

  • @petromihayo8632
    @petromihayo8632 14 дней назад

    Baba Haji kwenye serious scenes Yuko Vzuri hatari . Nakubali tangu movie yake ya Masaa24

  • @BIGbone.9422
    @BIGbone.9422 14 дней назад +2

    Haji bwege nazi, kwa fumanizi lile bado una kaa naye acheni masiara.

    • @saumbliz8983
      @saumbliz8983 13 дней назад

      Ndio hekima hio akichukua maamuzi ya haraka aeza fanya kitu kibaya zaidi

    • @BIGbone.9422
      @BIGbone.9422 13 дней назад

      @@saumbliz8983 ni kweli ni hekma lakini kwa fumanizi la wazi hivi bila kuambiwa pengine uje useme kazingiziwa aaaa weeeh!

    • @JoyceAbedy
      @JoyceAbedy 7 дней назад

      Hata Mimi nilipoolewa nikasema nikimfuma mume wangu naachana nae nikawa nawasema na wamama wanaowafuma waume zao masiku yakazid kwenda sasa analeta mapka home na taraka hatoi ukiondoka anakufata NDOA sio masihara nyie🙌🙌

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj 14 дней назад

    Shida ya nini😂ukifumaniwa fungasha virago sepa

  • @AbdullahAlZaabi-on4tb
    @AbdullahAlZaabi-on4tb 3 дня назад

    3:53 🎉🎉🎉🎉

  • @RAMSABOYTZ
    @RAMSABOYTZ 14 дней назад

    team mkojani wapi gonga like

  • @Sadick27
    @Sadick27 14 дней назад +2

    🎉🎉🎉

  • @Gamba81
    @Gamba81 14 дней назад

    Good good 👍🏾

  • @DavidSilvanus-tp7gu
    @DavidSilvanus-tp7gu 14 дней назад

    Kijiko kakonda heee

  • @omarbosiomar8608
    @omarbosiomar8608 14 дней назад

    p1 daima

  • @jamilakhamis5576
    @jamilakhamis5576 13 дней назад

    ❤❤❤❤❤

  • @yohanalukindo3737
    @yohanalukindo3737 14 дней назад +1

    Mnaomba like wote mabwabwa

  • @elizabethmahenzo7220
    @elizabethmahenzo7220 14 дней назад

    ❤❤❤🎉🎉

  • @mohdsaad2736
    @mohdsaad2736 14 дней назад

    ❤❤❤😊😊😊😊

  • @jumasalim1373
    @jumasalim1373 14 дней назад

    Mkojani huyo jamaa hapo bar na chandimu amevaa tshirt nyeupe hayumo atakama ni extra talent zero

  • @aminali2677
    @aminali2677 14 дней назад

    ❤❤❤🇸🇦🇸🇦🇰🇪🔥🔥🔥👏👏

  • @Fununu933
    @Fununu933 14 дней назад +1

    Lakin nauliza mbona cc wanawake tukifumaniwa hatusamehewi 😂😂tunaacwa lakin waume wanataka cc tuwasamehe 😅😅 tucwaache kwann lakin😂😅❤

    • @user-fr3dl6dx9v
      @user-fr3dl6dx9v 14 дней назад +1

      Mwanaume hata akichepuka Bado ndowa yake ataendelea kuyitunza, ila once mwanamke akicheat basi ndowa haipo tena ,kwanza ataanza zalau nyingi, nyodo kama zote hivyo ndowa haitakuwa imara tena ,ndiyo maana hata maandiko matakatifu yanasema nyinyi ni viumbe zaifu, Asante samahani kama nimekujibu vibaya

    • @Fununu933
      @Fununu933 14 дней назад

      @@user-fr3dl6dx9v sawa nimekuelewa kumbee

    • @complex7582
      @complex7582 14 дней назад

      Mwanamke kutembea na mtu mwengine huo ni umalaya na ukahaba

    • @Fununu933
      @Fununu933 14 дней назад

      @@complex7582 🤣🤣kumbe lakin mwanamume cmalaya😄😄

    • @complex7582
      @complex7582 14 дней назад

      @somoeluku933 yes,Malaya ni wanawake sio wanaume,ndio maana ww ukifumaniwa hata wanawake wenzako watakushangaa,lkn mwanaume hakuna anaemshangaa

  • @youngsuperhiphopmrog
    @youngsuperhiphopmrog 13 дней назад +1

    ❤❤❤

  • @ngoshaog1255
    @ngoshaog1255 13 дней назад

    🔥🔥🔥

  • @gayanestory4357
    @gayanestory4357 14 дней назад

    ❤❤❤