KOLO! LAZIMA UCHEKE VITUKO VYA MKOJANI RINGO NA MASANTULA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 май 2024
  • Tafadhari Usiache ku subscribe katika channel yangu 🙏🏾
  • ПриколыПриколы

Комментарии • 55

  • @kukuzambawazambanga
    @kukuzambawazambanga 21 день назад +10

    😂😂😂😂😂hii kubwa kuliko 😂😂😂😂hii crew imejaa masheitani wa pure comedy hapa ni kucheka hadi ukufe
    😂😂😂😂
    Mahali masantula yuko sikosi
    Naapa
    😂😂😂😂😂

  • @user-py6cs3tx4i
    @user-py6cs3tx4i 3 дня назад

    Ringo ni King 👑👑👑

  • @Hiari-rh8xv
    @Hiari-rh8xv 22 дня назад +7

    Man Ringo makofi kwake

  • @NatureMw155
    @NatureMw155 22 дня назад +5

    Wakwaza leo

  • @sunmelodymc
    @sunmelodymc 22 дня назад +5

    Unajua sana Ringo

  • @rashidsaid6015
    @rashidsaid6015 22 дня назад +5

    Kwaiy hiyo pale mlishangaa wale wanawake mlishasahau kuwa mna uadui😅😅😅

  • @InnocentArmadillo-do9vm
    @InnocentArmadillo-do9vm 21 день назад +1

    Ringo masantula kazi nzuri sana. Hii Kali mkojani nakukubali sana kazi nzako

  • @Moranilesoile
    @Moranilesoile 21 день назад +2

    Masantula Hana akili kabisaa anacheza mziki wa honi😂😂😂😂

  • @BensonMpomo
    @BensonMpomo 9 дней назад

    nakubali ila tunaomba muongezeni na zimwi bonge la comedy

  • @bamkalidollar777
    @bamkalidollar777 20 дней назад +1

    Best comedian

  • @AlifaHamis
    @AlifaHamis 16 дней назад

    Alala

  • @ByronMwangi
    @ByronMwangi 14 дней назад

    Ringo una bonge la sana asante kwa kazi yako ❤❤❤

  • @hamzantawinyaga2654
    @hamzantawinyaga2654 20 дней назад +1

    Bro bufa usiishiye hapo tunataka muendelezo tunakuw hatuna sapoti yoyote zaid ya views na like kaka but big up
    Jitaidi tupate muendelezo hadi mwishoooo Bro Sabufa

  • @SpecioMovies
    @SpecioMovies 20 дней назад +1

    Hii imeenda boss wngu

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 20 дней назад +2

    Jmn inatoka lini? make nzuri

  • @ByronMwangi
    @ByronMwangi 14 дней назад

    Wanawake ni sumu

  • @shebbylove5467
    @shebbylove5467 18 дней назад

    Jaman kipande kifup mno

  • @FRANK_FUNS
    @FRANK_FUNS 20 дней назад +1

    Mtazame na matangazo jaman

  • @user-fd5pb1dt4j
    @user-fd5pb1dt4j 20 дней назад +1

    Bwana harusi mtalajiwa lingo km lingo

  • @HamicKauno255
    @HamicKauno255 3 дня назад

    Hivi hawa makolo wanaotajwa ni hawahawa makolo yaani Simba au

  • @issahamissiissahamissi7775
    @issahamissiissahamissi7775 19 дней назад

    Famili😂😂😂

  • @suleimannationy-ln1wu
    @suleimannationy-ln1wu 21 день назад +2

    Unga ume shuka 😂

  • @noahchepe8036
    @noahchepe8036 19 дней назад +1

    😂😂😂ringo sabufa

  • @user-pp3vo8rw5j
    @user-pp3vo8rw5j 22 дня назад +1

    ❤❤ Ringo nakukubali sana

  • @rasakakaombwe
    @rasakakaombwe 2 дня назад

    😂😂😂😂

  • @MoseNzovu
    @MoseNzovu 19 дней назад

    Thx

  • @mohdsaad2736
    @mohdsaad2736 21 день назад +2

    😂😂😂😂😂😂

  • @user-ym8ph3vj4u
    @user-ym8ph3vj4u 19 дней назад

    Baba wa hovyo😂😂
    Ati "wameweka za utupu " 😂

  • @THAMARFILMS
    @THAMARFILMS 21 день назад +2

    Ringo huo msuli wa kanga ungeuvaa chukuchuku bila nguo nyingine ndani😂

  • @Twahamwela-ch5lz
    @Twahamwela-ch5lz 22 дня назад +3

    Ha ha ha ha sembe kilo 300?

  • @jumamajuu6185
    @jumamajuu6185 21 день назад +2

    Ringo,masantula,mkojani ,mau fundi, white ....wakiungana watauza sana .....wacheshi sana .......from kanairo

  • @Azkingogkaka
    @Azkingogkaka 22 дня назад +3

    Jitahidi utupe namba mbili brother

  • @RIPusd
    @RIPusd 21 день назад +2

    Ringo staafu sai

    • @hamzantawinyaga2654
      @hamzantawinyaga2654 20 дней назад

      Yaani sapoti yako nikumvunja moyo a stafu
      Mpe sapoti ila sio kumvunja moyo mwenzio

    • @RIPusd
      @RIPusd 20 дней назад

      @@hamzantawinyaga2654 tumemsapoti sana ila hakuna upgrade kula cku mambo hyo kwa hayo wanafaa wajiongeze ama uchekeshaji hailipi

  • @graphitenumz
    @graphitenumz 22 дня назад +6

    Kaka Kwan Shida nn mbona Ukipost kazi Siku hizi haziendi

    • @DavidSilvanus-tp7gu
      @DavidSilvanus-tp7gu 21 день назад +2

      Kwel bhana vyota hana ila kaz zake nzur

    • @duncanmulwa3704
      @duncanmulwa3704 20 дней назад +2

      Hii mmeiona aje kama haijaenda

    • @marwagabrielmwita4947
      @marwagabrielmwita4947 20 дней назад +2

      Ziende wapi 😂😂😂

    • @graphitenumz
      @graphitenumz 20 дней назад

      @@duncanmulwa3704 Jiongeze Boss Kuwa mwelewa

    • @jacksonseleman3160
      @jacksonseleman3160 19 дней назад

      Ni md wa watoto kwasasaa tunatak mabadiliko tatizo habadilik kaa wenzie anapit na zile zilee za enz iz

  • @KISWETAKOCHIKUDADADEKII
    @KISWETAKOCHIKUDADADEKII 22 дня назад +4

    kazi nzuri 😂😂😂

    • @user-pj8jw8ut1g
      @user-pj8jw8ut1g 21 день назад

      Kisweta 😂😂😂 ukiona makalio adi unasahau Audui unamfanya rafiki umeniangusha 😂😂😂

  • @ArlindoMacheka
    @ArlindoMacheka 22 дня назад +1

    😂😂😂😂