Ni kweli unachosema kuhusu mabeki wa pemben kupanda, ila ninachokiona ni kuwa ramovic anasubiri januari kupata watu wawili wakukimbia zaidi pembeni, tusubiri tuone.
Yaaan hawa mabeki wa Pembeni waache kupanda sana, hizi kaunta ndio zitakuwa zinatuumiza. Inatakiwa kutumia mfumo wa Nabi upande mmoja alikuwa anatumia beki wakupanda upande mwingine beki asiepanda ili tukishambuliwa kwa Ghafla kunakuwa na Beki watatu nyuma.
I second you hans 🙏
Jemedari saidi, mchambuzi mandazi ana chambua mpira kiushaki simkubari kabisa Afai hakili ana.
Ni kweli unachosema kuhusu mabeki wa pemben kupanda, ila ninachokiona ni kuwa ramovic anasubiri januari kupata watu wawili wakukimbia zaidi pembeni, tusubiri tuone.
Chama ni mtu mhimu sana wakunza kwenye mech azizi asiwe ni wakuanza kila mech
Yaaan hawa mabeki wa Pembeni waache kupanda sana, hizi kaunta ndio zitakuwa zinatuumiza. Inatakiwa kutumia mfumo wa Nabi upande mmoja alikuwa anatumia beki wakupanda upande mwingine beki asiepanda ili tukishambuliwa kwa Ghafla kunakuwa na Beki watatu nyuma.
Hakuna taarifa za timu nyingine hii redio kila kukicha ni habari za yanga nchi hi taarifa za michezo ni nyingi mno tunachoka sasa
KOLOKWINYO
Jemedali leo hauku pididiwa mbona kinyonge?