Kinachowapata Azizi Ki na Dube ni sawa na yaliyowapata Coblan na Jobe. Hao walikuwa wachezaji wazuri sana huko walikotoka lakini wakashindwa kuonesha wakiwa Simba.
Hamna kitu, mda wote nyie na yanga, mkimaliza hilo mnaa nza lingine. Hamna ushauri hapo, pale yanga kuna washauri na ni makocha ambao wanaweza kutoa ushauri mzuri kuliko nyie.

Zungumza mkataba unaaffect vip kiwango Cha mchezaji we unalazimisha tu mkataba husemi hakuna mchambuzi hapo
Kwa Dube na Azizi pia Kuna ubwera wa kindundu