AHMED ALLY ATEMA CHECHE KISA BILIONI 10 ANAZODAIWA, AANIKA KILA KITU/ NYOTA KIBAO KUWAKOSA WAARABU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 дек 2024

Комментарии • 33

  • @AndrewAristaricko
    @AndrewAristaricko 5 часов назад +2

    Ubayaaa ubwelaaa ❤❤

    • @FILMSTV-n5x
      @FILMSTV-n5x Час назад

      Mni follow kwakupata movie mpya

  • @Zaynabahmed-ey4zu
    @Zaynabahmed-ey4zu 10 минут назад

    Mungu atawasaidia mtashinda inshaala

  • @Edwinjuma-z4n
    @Edwinjuma-z4n Час назад

    Najua mungu atabaliki

  • @helenabizulu5823
    @helenabizulu5823 Час назад +1

    Kuwa klab bingwa sio solution ya kuwa mkubwa angalia ni Tim Gani inayotambulika zaid kimataifa na ubora iliyonayo

  • @zawadimwambungu8632
    @zawadimwambungu8632 9 часов назад +1

    Kila la heri Chama langu la nguvu,,Simba nguvu moja ❤❤❤

  • @Annaonesmo-x5b
    @Annaonesmo-x5b 8 часов назад +1

    Mungu simama na simbaa tufunge mengiiiiii maana wachawi wamezidi Sana wewe mungu tusaidie simba ishinde 4

  • @Josephtibu-l9e
    @Josephtibu-l9e 11 часов назад +4

    MUNGU AWATANGULIE KATIKA SAFARI YENU YA ALGERIA🇩🇿🇩🇿🇩🇿

    • @FILMSTV-n5x
      @FILMSTV-n5x Час назад

      Mni follow kwakupata movie mpya

  • @Salma-ho6wx
    @Salma-ho6wx 7 часов назад

    Allah azid kuipa nguvu simba sport club ❤❤❤

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 2 часа назад

    Wew choko sana ww Ahmed nishoga

    • @FILMSTV-n5x
      @FILMSTV-n5x Час назад

      Mni follow kwakupata movie mpya

  • @salumtitho1407
    @salumtitho1407 8 часов назад

    mnyama ❤

  • @IsraelMwakagire-hn8pn
    @IsraelMwakagire-hn8pn 4 часа назад +1

    Utopolo ni timu ya kawaida kama pamba jiji,ihefu na mtibwa

  • @FILMSTV-n5x
    @FILMSTV-n5x Час назад

    Mni follow kwakupata movie mpya

  • @MaendeleoMohammed
    @MaendeleoMohammed 35 минут назад

    😂😂 huyu jama anadharau eti wamekimbilia polisi

  • @ShukuruMakoko
    @ShukuruMakoko 5 часов назад

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Khaleed5767
    @Khaleed5767 12 часов назад

    SIMBA 1 NGUVU 1.. [ UBAYA UBWELA ]
    KILA LA KHERI CHAMA LA WANA ..SIMBA SC.. MWENYEZI MUNGU AWABARIKI CHAMA LA WANA SIMBA SC..
    POINT 3 AU 1 ZOTE KWETU SISI NI FAIDA..

  • @Khaleed5767
    @Khaleed5767 12 часов назад

    SIMBA SC TUNA UHABA WA KUMALIZIA NAFASI AMBAZO TUNATENGENEZA.. KIBU DENIS / MUTALE / MUKWALA / ATEBA ... NA BAADHI YA WACHEZAJI WENGINE AMBAO WANAPATA NAFASI ALAFU WANAPAISHA ... WACHEZAJI WA SIMBA SC WANAHITAJI UMAKINI SANA NA SANAAAA

  • @EmmanuelMwalongo-m6i
    @EmmanuelMwalongo-m6i 6 часов назад

    Time kubwa ni moja Tanzania simba pekee😂😂😂

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 4 часа назад

    Ahmed mbona kama mzito

    • @MrishoMindu-zq7mz
      @MrishoMindu-zq7mz Час назад

      Uli m,beba mgongoni ndio ukagundua kua mzito? Mzito ni body yake au Mzito Ahmed Mwenyewe? Siku nyingine uache kujilegeza.

  • @jumaali9243
    @jumaali9243 9 часов назад

    Straika waache Papara wawe watulivu waangalie goli lilipo

  • @DallasChance-hd6lj
    @DallasChance-hd6lj 10 часов назад

    Kawa mpole gafla😂😂😂

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 2 часа назад

    Mjinga kwel ww sasa yanga wako club bingwa nan mkubwa

  • @JILBERTDaniford
    @JILBERTDaniford 8 часов назад

    MKWALA ANA TATIZO LA UBINAFISI ANAPOFIKA GOLINI.
    HUWA ANALAZIMISHA KUPIGA GOLINI ATA KAMA HAMNA NJIA NA HUKU PEMBENI AKE WATU WANAMWOMBA KWENYE NJIA, YEYE ANABUTUA.

  • @issashabani-c7r
    @issashabani-c7r 11 часов назад

    Sasa mbona anajiita dole la mkundu kisha anajinusa yeye mwenyewe ? maana walio anza kuumizea na maneno ya ali kamwe ni wao wakakimbilia kustaki ili walipwe 😂 Leo hii huyu mwehu anajizima data na kusema kwamba yanga waumizwa na maneno yake ikiwa yanga sio walianza kutaka walipwe😂

    • @sikandarsuleimanTV
      @sikandarsuleimanTV 10 часов назад +1

      Hio ndio akili yenu yanga kazi yenu ni kashfa na matusi ,

    • @Minjum-j5m
      @Minjum-j5m 9 часов назад +2

      Kwani simba ndo walimtaka Ali kamwe alipe pesa

    • @faisaloaljabry6400
      @faisaloaljabry6400 9 часов назад

      Jitu jinga kabisa matusi kwao ni kama supu wanayo nyweshwa ya kibudu.
      Hajijui Na hana ufahamu ali kamwe hakushtakiwa na Simba wala hatuna mpango wakumshtaki tunamjua kama tunavyo kujua wewe.
      Hapo sasa Nendeni mahakamani tuone na hakuna kesi mtakayo shinda mnakurupuka tu

    • @JoshuaLeonard-lo3cs
      @JoshuaLeonard-lo3cs 9 часов назад

      Alikamwe hana kesii na simba anakesii na SANDA elewa kwanza hapo

  • @FILMSTV-n5x
    @FILMSTV-n5x Час назад

    Mni follow kwakupata movie mpya