Goodluck Gozbert NIPE ( Video Lyrics)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 дек 2024

Комментарии •

  • @happyjoseph9766
    @happyjoseph9766 2 года назад +1

    Huu wimbo n mzur snaa ,,,Nipe kukumbuka wema Mungu wangu😭🥰🙏🙏

  • @emmamnzava9372
    @emmamnzava9372 6 лет назад +12

    Amen. Wimbo mzuri sana. Nimejikuta nau-play tu. Umenigusa sana. Mungu akubariki

  • @barakamkalanga7707
    @barakamkalanga7707 6 лет назад

    Mungu akuinue sana Nazis kubarikiwa San kwa uduma yak gozbet mungu ana kusudi na ww ndo mana tuba pat vt vzr

  • @happythobias630
    @happythobias630 2 года назад +1

    Who still listening this great song 2022🙌 nipe kukumbuka wema wako Yesu🇹🇿

  • @johnelia2223
    @johnelia2223 6 лет назад

    Sana kaka barikiwa nmebarkiwa sana kweli kama nikisahau nipe kukumbuka wema wako mungu

  • @juliemsupa350
    @juliemsupa350 6 лет назад +2

    Tabu kidogo zisifanye nisahao makuu uliyonitendea Baba👏👏👏👏

  • @vigilancem3364
    @vigilancem3364 6 лет назад +1

    Kila ninapo skiza nyimbo zako i feel blessed nasahau kila kitu and i feel like i'm in heaven you are a blessing #254

  • @jackrinaman7521
    @jackrinaman7521 6 лет назад

    Yaan we mkaka naomba mungu atukutanishe siku moja nikupe hongera zako.umenifanya niokoke .nibadili din niwe mkristo

  • @emanuelabel3354
    @emanuelabel3354 6 лет назад

    Blood yang Gozebert........kupitia nyimbo zako zimenifanya kupata nguv San ya kuamini katika Mungu maan kwa niliyopitia nilikata tamaa kabsa ...
    Mungu akupe nguvu akubariki katika kutunga nyimbo za kugusa maisha ya watu.......popote utakapo soma ujumbe huu malizia na Amen!!!

  • @zinazotrendnewz7712
    @zinazotrendnewz7712 6 лет назад +27

    Kaka Ubarikiwe mpaka ushangae.... 😂😂😉

  • @j-lisheonline
    @j-lisheonline 6 лет назад +13

    Nice. Halafu hii mixing imekua kali kushinda hata wimbo original! Umekua mpya kabisa huu wimbo daah

  • @mickymchele1501
    @mickymchele1501 6 лет назад

    Asante kaka kwa wimbo mzuri sana ila nakuomba utuletee wimbo wa kuabudu uliotulivu zaidi,,

  • @raysalove9178
    @raysalove9178 6 лет назад

    Be blessed nyimbo hi imenifanya nitambuwe mm ni nani. mungu wetu azidi kukuunua zaidi na zaidi

  • @kwizeraneema2731
    @kwizeraneema2731 5 лет назад +1

    Kaka yangu sio Siri watanzania mnajua kuimba sana yani Kwa gospel izo tutaacha zambi.

  • @happykyando31
    @happykyando31 6 лет назад

    yanii huu wimbo menitia moyo mnoo ikiwa, nitachoka niiuee, Mungu azidi kukutumia Gozbert

  • @annechemutai4470
    @annechemutai4470 3 года назад

    Nilihitaji kupata kila neno la wimbo huu. Ni ya baraka sana. Barikiwa bro.

  • @florahmichael9339
    @florahmichael9339 6 лет назад

    Huu wimbo umenibariki sana Mungu azidi kukutumia kufikisha ujumbe kwa kila aliyehai na weny kutend watende

  • @kezajeannettemisago8694
    @kezajeannettemisago8694 6 лет назад

    Yani kwenye hi dunia kuna waimbaji lakini wewe gozbert una mukumbusha kila biandam mwenye pumzi na kila dini mungu kakukachaguwa kaka yngu nauzidi kuendelea

  • @boazylazaro6724
    @boazylazaro6724 6 лет назад

    amen ,,,,,, nipe kukumbuka wema wako mungu , ilinitende mema mbelezako

  • @Mirriefoods
    @Mirriefoods 6 лет назад

    Barikiwa mno mtu wa Mungu na Mungu akuinue zaid na zaid

  • @farajakayinga3540
    @farajakayinga3540 6 лет назад

    Uzidi kubarikiw Goodluck heart touching song
    kweli sisi ni watu tu duniani tuna pita😭😭

  • @marynonay8462
    @marynonay8462 4 года назад

    Napenda nyimbo zako sana, zinanipa nguvu, sana. Barikiwa daima.

  • @classictz763
    @classictz763 6 лет назад +7

    Nice to you my BROTHER this is GUY from United States of America OHIO STATE akron Congolese BAND.

  • @stellamaryedward2588
    @stellamaryedward2588 6 лет назад

    Mungu akubariki kaka na akuvushe na vikwazo vyoteeee....

  • @israelkagiri
    @israelkagiri 6 лет назад

    Huu wimbo umeninea Nitakuwa mtu wa kushukuru ata iwe hali gani.. The song is soo nice

  • @scholarfrank5180
    @scholarfrank5180 6 лет назад

    nikumbushe mm n mtu tu dunian tunapita barikiwe sanaaa kaka

  • @sylvesterfabian8688
    @sylvesterfabian8688 6 лет назад +2

    "Nikumbushe nisidhani wakifanikiwa tuna upinzani" Exactly

  • @deborahngoliga
    @deborahngoliga Год назад

    Amina Sana mungu akubariki mtumishi wa mungu kwa ujumbe mzuri

  • @hamisreegan3738
    @hamisreegan3738 6 лет назад +13

    Daah ujawah kuniangusha gudluck

  • @nicken3250
    @nicken3250 6 лет назад +3

    Gooluck u r doing a good music....
    Vuka boda bas..kapige makolabo na Kenya Uganda huko... Im sure they follow u.

  • @fedinatimotheo6707
    @fedinatimotheo6707 6 лет назад

    mungu atukuzwe my Brother g endelea kusifu jina lake for real azidi kukuona had kule amen

  • @kacheali4777
    @kacheali4777 6 лет назад

    Amen.Kaz nzur sana my favourite Gospel singer forever ..I lov ur wark Godluck u hav real inspired me. +254 gonga lik kama wabarikiwa n nyimbo zake.....

  • @princessnoelamilambo3679
    @princessnoelamilambo3679 6 лет назад

    Mungu akutunze na akuweke mahali pa juu zaidi

  • @priscajohn2220
    @priscajohn2220 6 лет назад +7

    Amen mkubwa mtumishi, kweli Mungu nipe kukumbuka wema wako

  • @selinaselii9414
    @selinaselii9414 6 лет назад

    nakupenda unajuwa kumtumikia Mungu ubarikiwe sana usikate tama

  • @reganlyatuu4072
    @reganlyatuu4072 6 лет назад +10

    kazi nzur bro barikiwa sanaaaaa

  • @petersuka7527
    @petersuka7527 6 лет назад

    Ubarikiwe Lakin gudurk Mbona utajagi LA yesu

  • @chembehenry7022
    @chembehenry7022 6 лет назад +10

    Safi cna kaka hujawahi kuniangusha ubarikiwe na Bwana

  • @saleciawendreen4777
    @saleciawendreen4777 5 лет назад

    Nimeguswa na nimebarikiwa kwa huu wimbo yaani hii ni Mara ya kumi kuplay and am still ............❤👏🎵🎵🔥🔥🔥

  • @haykermrema
    @haykermrema 6 лет назад +22

    mungu wangu ni mwema kwa aliyo nitendea..sita acha kushukuru

  • @priscilamongi5395
    @priscilamongi5395 6 лет назад

    Nipe kukumbuka wema wako Good job Goodluck Mungu azidi kukutia nguvu

  • @myrarobert3003
    @myrarobert3003 6 лет назад

    Wow.blessed.huniangishaji huwa unatoa

  • @robertsichela1545
    @robertsichela1545 6 лет назад

    Nipe hekima ya kukukumbuka na pia nguvu ya kunya kazi lord jesus

  • @sophianathanael9264
    @sophianathanael9264 6 лет назад +6

    Nice song... ubarikiwe sanaaa mtumishi wa Mungu...😚

    • @anethlema9857
      @anethlema9857 6 лет назад

      Sophia Nathanael kwa kweli nyimbo zako zinanibariki sana

  • @noelahfrank7433
    @noelahfrank7433 6 лет назад

    Cna neno natamni ningekuwa na kipaj namii nimuimbie mungu wangu

  • @glorychitumbi187
    @glorychitumbi187 6 лет назад

    nlilala njaa sku2 nliusikiliza wimbohuu nkauimba mala25 nauludia tu nayaa25 nkapigiwa sm naulizwa umesajilii laine jinagani dah nlimuonaBwanayesu kupitia mnyimbohii oooooh nipekukumbukà Wema.

  • @ezekielmeja312
    @ezekielmeja312 6 лет назад

    Amen ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu

  • @edithwaweru2022
    @edithwaweru2022 6 лет назад +5

    Wow my bro.umeniweza na huyu wimbo😗😗😗 be blessed. Wimbo mtamu sana.

  • @agnesmhume4927
    @agnesmhume4927 6 лет назад +9

    Be blessed ,, nice song👏👏👍

  • @dennischarles8524
    @dennischarles8524 6 лет назад +4

    There you go the man of God,nice one, greetings from chocolate city

  • @seamansilver1840
    @seamansilver1840 6 лет назад +5

    Soooooooooooooooooo Great...Mungu akutunze Dear

  • @noahbofficial7134
    @noahbofficial7134 6 лет назад

    Mungu nipe moyo wa shukrani.. Kazi zuri kaka waifanya. Mungu akwinue zaidi

  • @yessecharles3155
    @yessecharles3155 6 лет назад

    Nipe nikumbuke wema wako
    Godluck mungu akubaliki nyimbo zako nyingi zinanibariki

  • @peterkipeja3630
    @peterkipeja3630 6 лет назад

    God Bless you Goodluck. Tunabarikiwa kupitia nyimbo zako

  • @dianaroseassenga4968
    @dianaroseassenga4968 6 лет назад

    Wimbo unanibariki sana... Hujawah kukosea G

  • @azizawasha8320
    @azizawasha8320 6 лет назад

    Nyimb zak nazipend sana doodluck Mung akuongoz uzid kutuletea nyimb nzurii
    Ubarilkiw sanaa

  • @faithmudave7140
    @faithmudave7140 2 года назад

    Am listening this song at a time that am feeling hopeless, but it has encouraged me

  • @alphoncemahinya6224
    @alphoncemahinya6224 6 лет назад

    Aisee Goodluck mpaka unaniboa yani unajua sana we jamaa mungu akuongozeee

  • @ibranappyboy3376
    @ibranappyboy3376 3 года назад

    Nipe kukumbuka baba,,,,its a memory !Nani anaskiliza 2021 February19

  • @maryamrehema3392
    @maryamrehema3392 6 лет назад +7

    Nice mtu mishi wa mungu

  • @Msetotz
    @Msetotz 6 лет назад

    Mbona haina vyuaz million moja
    #mungu akubariki

  • @bohochic4559
    @bohochic4559 6 лет назад

    Nisiwai sahau wema wako Yehova❤🇰🇪

  • @mangowi1327
    @mangowi1327 6 лет назад

    Favourate music kwa sasa, barikiwa sana Gozbert

  • @onlinetembovevo7473
    @onlinetembovevo7473 6 лет назад +5

    Nice song and best one....All the way from New york city....Umetisha sna wajina ......Kwa bariki zaid like na thumb out...Team Gozberth

    • @sdasongs3343
      @sdasongs3343 6 лет назад

      YES ruclips.net/video/LFoNGyPP7Hs/видео.html

  • @graceycrucial9536
    @graceycrucial9536 6 лет назад +8

    Kama kawaida kazi safi sana

  • @nikumwalemba4841
    @nikumwalemba4841 6 лет назад

    Amina, nabarikiwa na huduma yako

  • @leonidafatson8107
    @leonidafatson8107 6 лет назад +10

    Mungu azidi kukuinua

  • @gudilamrema9227
    @gudilamrema9227 6 лет назад

    Hawalalamiki,mm nmekup nn Bwana,,nipe kukumbukaaaa Kwema wako

  • @babrahjimmy3046
    @babrahjimmy3046 6 лет назад

    Unanikumbusha mbali huu wimbo for the first tym when I heard this song........nililia aiseee........

  • @alaikemode4596
    @alaikemode4596 6 лет назад

    nakupenda sana mungu andelee kukutia nguvu nyimbo zako zina ujumbe nzuri sana

  • @angellaizer308
    @angellaizer308 6 лет назад +1

    u made it congrats bro mungu azidi kukuinua

  • @bethodhiambo28
    @bethodhiambo28 6 лет назад

    Waah I don"t know what to say but keep the nice work of serving God through songs you greately inspire me.

  • @carolineswai851
    @carolineswai851 6 лет назад

    May God keep blessing and using you. Umebarikiwa na some very serious talent. Proud to have you in Tanzania

  • @oelz9109
    @oelz9109 6 лет назад +2

    Thank you for the message. God bless you.

  • @tynerroderick4831
    @tynerroderick4831 6 лет назад +8

    Mungu amekupa kipaji good song

    • @sdasongs3343
      @sdasongs3343 6 лет назад

      WATCH THIS TOO BE BLESSED ruclips.net/video/LFoNGyPP7Hs/видео.html

  • @tilleralain1737
    @tilleralain1737 6 лет назад

    Wow! barikiwa brother

  • @mrnoah9638
    @mrnoah9638 6 лет назад

    Nabarikiwa sana nauimbaji wako....barikiwa sana bro.🔥🔥🔥

  • @modestaodemba8658
    @modestaodemba8658 6 лет назад

    sijawai kukujuti kupenda nyimbo yako hata moja nabalikiwa sna tabu kidogo zisifanye nikusau

  • @andrewmartiny1298
    @andrewmartiny1298 6 лет назад

    Daa!!! Huwa nabarikiwa sana na nyimbo zako

  • @paschazianyerere8276
    @paschazianyerere8276 6 лет назад

    Hapo pa Baba ungeweka YESU
    KAZI NZURI

  • @limijuma8334
    @limijuma8334 6 лет назад

    goodluck unajua mpaka unaboa ,nipe kukumbuka wema nipe kukumbuka wew wakooooo

  • @vailethkalinga7741
    @vailethkalinga7741 6 лет назад

    kazi nzuri sana! unikumbushe

  • @victoriamaisa2695
    @victoriamaisa2695 6 лет назад

    Wow! Mungu akubariki kwa ujumbe huu

  • @derickrozy3213
    @derickrozy3213 6 лет назад +1

    Be Blessed Brother, this one touched my heart

  • @mtotowasongwe3940
    @mtotowasongwe3940 6 лет назад

    tabu kidogo zisinifanye nikusahau mungu wangu

  • @venerandamsemwa195
    @venerandamsemwa195 6 лет назад

    Was so down but the song is so lifting, be blessed brothet

  • @sarttosartto3008
    @sarttosartto3008 6 лет назад +1

    good job sevarnt of God goodluck gozivert

  • @viviangaspar216
    @viviangaspar216 6 лет назад +1

    You're so blessed for this, you bless my day too.

  • @jerrywilhelm
    @jerrywilhelm 6 лет назад +4

    Kazi nzuri sanaaaa

  • @gloryphilip7980
    @gloryphilip7980 6 лет назад

    Mungu akutie nguvu Gy unafanya Kazi njema

  • @augustinealoyse6677
    @augustinealoyse6677 5 лет назад

    wimbo mzuri. uzidi kubarikiwa

  • @AnnaMathias-sy2iu
    @AnnaMathias-sy2iu 6 месяцев назад

    Amina Goodluck my idol❤❤

  • @frolajona6707
    @frolajona6707 6 лет назад

    mungu nakushukulu kwayote amen

  • @lydiakhasandi3661
    @lydiakhasandi3661 6 лет назад

    Always on the point meaning haukosei hata siku moja

  • @rosepeter5960
    @rosepeter5960 6 лет назад

    Nabarikiwa sana na nyimbo zako broo

  • @lovenesshumphrey4604
    @lovenesshumphrey4604 6 лет назад +7

    Mungu akubark dear

  • @elishatkenya384
    @elishatkenya384 6 лет назад

    Jamaha yangu uko juu 25flow for life be blessed bro

  • @agnessbonphace3671
    @agnessbonphace3671 6 лет назад

    Barikiwa sana mtumishi

  • @mariamjames3514
    @mariamjames3514 6 лет назад

    Umenigusa mtumishi ubarikiwe

  • @joycegikonyo4120
    @joycegikonyo4120 6 лет назад

    Wow nice song bro gud may God continue to bless u