Na huko Dubai nao unaambiaje? hili ndio tatizo la kutumia vitochi sababu havukupi mwanga wa kujua duniani kitu gani kinaendelea. Kwa kukukumbusha tu huu sio wakati wa kuanza kulaumiana bali ni wakati wa kusaidiana na kujaribu kutatua tatizo kwa hiyo jitahidi mkuu IQ yako iwe ili kujua hali kama nini cha kuongea kuliko kunionyesha ni jinsi gani akili yako ilivyo finyu
Pole sana kwa dhoruba mliyoipata.Tumuombe Mwenyezi sana..ili atuepushe na majanga kama haya.
Subhanallah jamani tunahitaji kuomba kwa sana kila mmoja kwa madhehebu yake kunatisha kwa kweli
Poleni sana jamn.
Hv sasa kihama tunakiona live yaani unakimbilia kule.huku nako shida
Poleni sana
Mungu wahuruma atuhurumie haya maafa yatuepuke
Uongozi uliopo madarakani hauna baraka za mwenyezi Mungu haya yatatumaliza watanganyika
Mmmh
Na hizo Nchi nyingine za jirani zinazopata majanga kama haya,Ina maana UONGOZI wao pia ni tatizo?Acha kashfa.
@@KomboHawa nchi gani?
Una mdomo ww khee!!
Na huko Dubai nao unaambiaje? hili ndio tatizo la kutumia vitochi sababu havukupi mwanga wa kujua duniani kitu gani kinaendelea. Kwa kukukumbusha tu huu sio wakati wa kuanza kulaumiana bali ni wakati wa kusaidiana na kujaribu kutatua tatizo kwa hiyo jitahidi mkuu IQ yako iwe ili kujua hali kama nini cha kuongea kuliko kunionyesha ni jinsi gani akili yako ilivyo finyu
🎉
TUAMBIWE UKWELI KAMA BOM LA IRAN MOKO TUNAANGAIKA NALO