UONGOZI WA SHULE YA ST. FRANCIS WAELEZA SIRI YA WANAFUNZI WAO KUFAULU, "SISI HATUTUMII VIBOKO"

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 85

  • @vincentauxerbius7554
    @vincentauxerbius7554 2 года назад +10

    muwe mfano kwa wengne viboko sio dili hebu ongeza volume teacher😃😃😃😁😁😁😁

  • @perpetuampita5018
    @perpetuampita5018 2 года назад +3

    Hongera Sana viongozi wa
    ST FRANCIS na walimu wote

  • @fredymaswimwita3091
    @fredymaswimwita3091 2 года назад +5

    Hongera saana dada,, good job,, weldone

  • @neemakyando7328
    @neemakyando7328 5 месяцев назад

    Sister vina 😊

  • @emmanuelburchard3153
    @emmanuelburchard3153 2 года назад +2

    Ahsante Walimu wa St Francis

  • @hidayakisensi2747
    @hidayakisensi2747 2 года назад +1

    Had raha😍

  • @annashimiyu2007
    @annashimiyu2007 2 года назад +2

    🔥🔥

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 2 года назад

    Yn ni safi mpka laaa seeeeww

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 года назад +6

    Jifunze quran kusoma kuandik gusa picha yang hapo kama hautojli

  • @stevenmabee2949
    @stevenmabee2949 11 месяцев назад

    Hishule ya msingi mwanza ikowapi?

  • @robinbayser3079
    @robinbayser3079 2 года назад +3

    Maombi na nidhamu

  • @newahomwashiuya8858
    @newahomwashiuya8858 2 года назад

    Should yangu hiyoooo

  • @younginspired3899
    @younginspired3899 2 года назад +1

    Wasafi nenden kwa millard mkajifunze kitu

  • @catherinemzurikwao3265
    @catherinemzurikwao3265 2 года назад

    Pia mnachukua watoto ambao ni cream tu, so, walimu hawatumii nguvu nyingi kuwafundisha coz ni fast learners

  • @pulikisia7963
    @pulikisia7963 2 года назад +1

    Watoto wao wanamsingi mzuri pia toka shule za msingi wanazotoka.

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 2 года назад

    Yani hawa ada yao bei rahisi MILION 2 alafu mtoto ana uhakika wa division 1 asee ela ndogo sana

  • @tanubenson3059
    @tanubenson3059 2 года назад

    Nami pia siamini katika kutumia viboko pale ambapo mtoto hajafanya homework. Mwanafunzi kutokufanya wajibu wake husababishwa na mazingira ya shule husika.

  • @sabrinakaikai556
    @sabrinakaikai556 2 года назад +5

    Hapo aliposema kwamba hata break ya nusu saa tu mtoto anatembea akiwa anasoma ndio pamenishtua. Sasa huko ni kusoma au ni adhabu? All work and no play makes Jack a dull boy! Ndio maana wakifika vyuo wanapokuwa huru wanakuwa hawana maajabu. Wanawehuka na uhuru sababu hawakupata muda wa entertainment huko nyuma. Maisha ni ku balance bwana.

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 2 года назад +1

      Ni kweli hivi nilijiuliza hilo swali kwamba hawa watoto wanapeendelea na madomo ya juu nikimaanisha A level na vyuo wanakuwaje? Tunatakiwa pia kufuatilia mwendelezo wao wakitoka hapo unakuwaje?

    • @ericron6115
      @ericron6115 2 года назад +2

      Hata kazini wako vizuri sana wanafunzi wa St Francis. Wako sharp, hata akija field tu unaona tofauti. Uhuru wa wengine ni kushika simu mda wote wao wanakuwa na maadili sana.

    • @danielnjella4760
      @danielnjella4760 2 года назад +1

      Hapo naona zote zinatakiwa kujifunza kwa uongozi huo,kwan so rahisi shule nzima means darasa lote kuwa na division one,lakin kuwatoa watu saba top ten

    • @bongoupdatestv9322
      @bongoupdatestv9322 2 года назад +2

      Kwanini uite adhabu kitu anachofanya mtu kwa kukipenda? Watoto wanafanya wanachokipenda bila kushikiwa bakora, Wewe unaita adhabu. Tutafika kweli

  • @andrewkalubi3524
    @andrewkalubi3524 2 года назад

    madarasa yao ni ya kawaida tu na majengo yao kwa ujumla sema nidhamu yao ni ya juu Sana aisee

  • @modelteddy7393
    @modelteddy7393 2 года назад

    Umasikini huu tutaishia kuziona mtandaoni tu shule tu ya serikali zinatushinda kuhudumia je hiyo ya mimilion tutaweze eeh Mungu nikumbuke nami

  • @philibertfortunatus8125
    @philibertfortunatus8125 2 года назад

    Matokeo ya mtiani ya mtiani kidato cha 4 mkoa wa kagera wilaya kyerwa

  • @festomtilikwa5319
    @festomtilikwa5319 2 года назад

    Iko wap shule hii?

  • @geraldkbona5595
    @geraldkbona5595 2 года назад +2

    wakofi kwa mkoa wa mbeya.....haujah kuniangusha

  • @fredmbossa
    @fredmbossa 2 года назад +8

    Hao wanafaurisha Kwa sababu watoto mpaka wafike form four washachujwa sana ,,,unaweza ukanza form one hapo alafu ukashanga unamalizia form four shule nyingine kabisa kwaajili ya mchujo....kwahiyo hata shule za serikali Nazo zingekuwa kila mtihani ni mchujo mbona wangecompit na hao lkn ndo haitakiwi iwe ivyo fundisha mtoto mpaka hatua ya mwisho hashindwe yeye tu mtihani

    • @gracemartin1617
      @gracemartin1617 2 года назад +1

      Siyo kweli hii Shule huwa hawachuji Ila Wana mtihani wa kuingia pale

    • @lulumutayoba2063
      @lulumutayoba2063 2 года назад +1

      Hawachuji bwana uliza vizuri ukiingia hadi utamaliza hapo unless kuna tatizo kubwa

  • @danielwilfred2609
    @danielwilfred2609 2 года назад

    1. Walimu wapo vzr
    2 shule ina kila kitu kinachotakia kumuezesha mwanafunz afaulu.
    3. Shule inavosahil wanafunz inachukua wanafunz cream wale datsy st francis ni unstoppable.
    4. Kwa msio jua ukifka form one kuna kama mwez mmj iv unafundshwa kuandika vzr yan mwandiko uwe msaf kaz yako isomeke vzr, sa kuja shule zetu za kata no one gives a fuck 😁 .

  • @larickmtui2852
    @larickmtui2852 2 года назад

    Waalim wengi ni mafelia ndio maana wanapiga watoto hata mimi nimehamisha watoto wangu nikahamishia Silverleaf maana hakuna viboko na Mimi naamini cjazaa watumwa

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 2 года назад +2

    Jamani mpaka kujiunga hii shule procedures zikoje

  • @cielolawrence441
    @cielolawrence441 2 года назад

    Wakiingia vyuo vikuu huwa hawana maajabu sapu kwenda mbele

    • @ephraimkyando6744
      @ephraimkyando6744 2 года назад

      Siyo wote...hiyo ni kawaida hata ambao hawajasoma huko sup zipo...

  • @maryamalli9090
    @maryamalli9090 2 года назад

    Kuna kitu nyuma ya pazia kimejificha

    • @isikesamike
      @isikesamike 2 года назад +1

      Hii ndo shida tulonayo Watanzania. Ukifanya vizuri ni vibaya ukifanya vibaya nako wanakusema sa sijui jema ni lipi 😂

  • @westmanmoses541
    @westmanmoses541 2 года назад

    Ada nasikia ni milioni 3 je ni kweli?tujuzane

    • @abubakarihamissi4178
      @abubakarihamissi4178 2 года назад +3

      milioni3 kwa mazingira bora ya elimu ni hela ya kawaida mno

    • @rithadonatus8110
      @rithadonatus8110 2 года назад

      Ni kweli?

    • @mrh2812
      @mrh2812 2 года назад

      @@rithadonatus8110 ukimaliza while wanakujengea na nyumba au

    • @wozanawewoz979
      @wozanawewoz979 2 года назад

      @@mrh2812 😃😃

    • @hamadsuleiman5177
      @hamadsuleiman5177 2 года назад

      @@abubakarihamissi4178 Unavoona wewe maana wengine hata 100 hawana so hawana haki ya kusoma???

  • @abuuothman612
    @abuuothman612 2 года назад +1

    Sio walimuu tu wala wanafunzi hapa kunakitu nyumaa yapaziaa kiukwelii, nyinyii c mshawahii kufutiwa matokeo kwa uganganyifu nyieee

  • @zeinababdi4757
    @zeinababdi4757 2 года назад +1

    I hate religious or faith schools, I went to kibosho girls back then, under mother conso, my God, it was a never ending nightmare. The school did not have a doctor, no professional counselor, no hot water, no proper sanitary system, basically it was over its capacity and an absolute disaster.

    • @Expedito2512
      @Expedito2512 2 года назад +2

      You hate it is where you get 'he best

    • @peaceisrael8158
      @peaceisrael8158 2 года назад

      Its only a negative perception but if u chose to see it all in positive way, now u could be thanking them for teaching u be stronger to survive in any circumstance n' still u remain focussed.

    • @emmanuelshayo4703
      @emmanuelshayo4703 2 года назад

      At this level, you still committing fallacy. No wonder you can't appreciate even the little you have.

  • @faridmohamed203
    @faridmohamed203 2 года назад +2

    serekali inatakiwa ifanye uchunguzi huwenda wananunua mitihani

    • @emmanuelshayo4703
      @emmanuelshayo4703 2 года назад +7

      Miaka yote utabaki ukisema wananunua mitihani!!!!

    • @narrissajackson3869
      @narrissajackson3869 2 года назад +7

      Tatizo watu kufaulu kwa wengine ni kama miujiza, kama wewe huwezi usifikiri wote hawawezi, kama huwezi wewe tulia tu fanya mengine

    • @kelvin8324
      @kelvin8324 2 года назад +5

      Wewe kam ulienda shule kusindikiza wengine tulia na E Na D- zako kunawalio enda kusoma...

    • @hamadsuleiman5177
      @hamadsuleiman5177 2 года назад

      Some time huwezekana but we haven't sure about that cs miaka ya nyuma kuna shule zilitamba sana kumbe walikua wapiga madeal ilipojuilikana na kuwekewa vikwazo sahv wakawaida tu🙈🙈🙈🙈

    • @edwinekatundu6844
      @edwinekatundu6844 2 года назад +1

      Inawezakana,maana ada n 4.5 kwa mwaka,mpaka ufike4,,alaf ufer,mzaz atajisikiaj kupoteza Ela zote izo,kuna namna wnapewa majibu😀😀🙈